KWAYA YA VIJANA KKKKT KEKO (KVK) - MWELEZE (Official Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • Hebu kunajambo tukufahamishe,
    Je!UNAMWELEZA NANI MAMBO YAKO?
    Kuna watu Leo hii wako kwenye matatizo makubwa,migogoro mbalimbali ya kifamilia,biashara,kazi na hata ndoa kwa sababu tu ya kuwaeleza wanadamu mambo yao.(MATHAYO 7:6)
    watu wa Mungu,ni nyakati nyingine tena ambazo tunaachilia wimbo huu kwa watu wa wote,ukafungua fahamu zetu na kuweka faraja mioyoni mwetu.Amen
    #MWELEZE#
    Choir @kwaya_ya_vijana_keko_kvk
    Video @irmedia_
    Audio @BMT studios

КОМЕНТАРІ • 15

  • @lightnessshao4903
    @lightnessshao4903 Рік тому +7

    Tuko pamoja wapendwa wangu nawapenda my team💪💪💪💪💪kama unaipenda kvk keko gonga like kubwa hapo na kushare na wengine

    • @esterchuma8071
      @esterchuma8071 Рік тому

      Nawapenda mno mung aendelee kuwalinda 🥰🥰🥰

  • @mariamluther9219
    @mariamluther9219 Місяць тому

    Vijana wa Keko utukufu kwa Mungu Juu mbinguni. 🎉

  • @daud8785
    @daud8785 9 місяців тому

    Barikiweni sana

  • @remmykhan7244
    @remmykhan7244 Рік тому

    Mnaimba kama wasabato aisee nmewapenda bure

  • @alphakivamba7800
    @alphakivamba7800 11 місяців тому

    Big up KvK,Mungu awalinde daima 🙏🙏🙏🙏💪💪💪💪

  • @robertmasenge4081
    @robertmasenge4081 10 місяців тому

    Wow, what a blessing!

  • @damiankisimbe5136
    @damiankisimbe5136 Рік тому +1

    Naam amjawahi kuwa na kazi mbovu! Mnajua jinsi ambavyo mnanikosha moyo wangu! MUNGU azidi kuwasimamisha na khwavusha viwango kwenda viwango 🙏🙏🙏🙏

  • @plasdomligo2403
    @plasdomligo2403 Рік тому +1

    Waooooh 😇 barikiwa sana

  • @hilgathjoshua8804
    @hilgathjoshua8804 Рік тому +1

    Ameni MUNGU awabariki sana ❤🎉

  • @remmykhan7244
    @remmykhan7244 Рік тому

    Mak

  • @venicochogo1374
    @venicochogo1374 Рік тому

    Be blessed!!

  • @daud8785
    @daud8785 9 місяців тому

    Barikiweni sana

  • @itsgachomo
    @itsgachomo Рік тому

    Barikiwa sana

  • @emmadora7848
    @emmadora7848 Рік тому +1

    Barikiweni sana