I know Watanzania ni ni watu wa aina Gani ndy maana mabaditiko ya ujumla kwa wananchi kiuchumi ni magumu sn mbongo uliona anahangaika kujipendekeza ujue anakula na kushiba hajali keshoitakuwaje Kuna viongozi walikuja madarakani wakisitafu wanaanza kuilalamikia serikali hata ww ni Moja wao unamasilahi na o
Mwenyekiti balaaa
Asante watoa taarifa tumesikia
Na nyinyi mlaaniwe wezi wa Mali za wananchi waja wa laana
MWENYEKITI nmemkubali saaana CCM oyeeeeeeeeeeeeeeeeee
We mbowe kweli chizi na hautopata uraisi kamwe
Hongela mwenyekiti wa kijiji
Watu wanaongelea usalama
Mbowe acha usanii pia mwenyekiti uchwara
😂 😂 😂 😂
Mwenyekiti habari yake kwisha
😍😍
I know Watanzania ni ni watu wa aina Gani ndy maana mabaditiko ya ujumla kwa wananchi kiuchumi ni magumu sn mbongo uliona anahangaika kujipendekeza ujue anakula na kushiba hajali keshoitakuwaje Kuna viongozi walikuja madarakani wakisitafu wanaanza kuilalamikia serikali hata ww ni Moja wao unamasilahi na o
Xn mbowe
Jamani huyu ni kiongozi kweli au ni kanjanja,
😂😂😂😂 M/kiti nouma
Sio mchezo
😂😂
Nani amekupa uongozi huyo anakuuliza ili
Binadamu niwanyama wabaya sn eti nani kakupa uongozi Ili?
@@LameckMbele-k3f ni kweli...nani kampa mamlaka ya kumhoji kiongozi....yeye ni kiongozi wa chama ahutubie asepe si kuanza kuhoji🙄🙄
mbowe kumbe huna akili ndiyo maswali yakumuuliza .mmeshindwa hoja zakuwaambiwa,.wananchi .Huna hoja zakuongea
Wewe ndio huna hakiri, kwa nini hasimuulize?
ww unahoja gan
Kamanda mbowe