KIVUMBI CHA LISSU TARIME VIJIJINI, AKUSANYA KIJIJ KIZIMA CHA NYAMONGO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 лис 2024
  • Fuatilia Mwanzo TV Plus
    SUBSCRIBE UA-cam Channel yetu
    Follow us on X, Facebook and Instagram

КОМЕНТАРІ • 64

  • @twahapeter3517
    @twahapeter3517 16 годин тому +3

    Kasongo yeyeeeyee x2
    🎶🎶🎶🎶🎶🎵
    Hatari ya mama yetuuuuuu !!

  • @hadijasufiani6167
    @hadijasufiani6167 22 години тому +4

    Upo vizuri hongera mheshimiwa lisu Mungu anakupenda sana kamanda inshaallah ushindi upo karibu CCM wanawaongopa

  • @AnaelRNasari
    @AnaelRNasari 21 годину тому +3

    Hongera Mhe. Tundu Lisu. Hotuba yako imetufungua. Endelea kuhamasisha ili wananchi waweze uamuzi sahihi katika kuchagua viongozi wa serikali za Vjiji na vitongoji . Elimu nzuri.

  • @MichaelMgudula
    @MichaelMgudula День тому +10

    Unguruma baba hao engua engua hao watakula motooo

  • @qonquererqanquerer1781
    @qonquererqanquerer1781 19 годин тому +3

    Huyu Ni Yeyee Kabisa Kamanda Lissu MUNGU Ni Mwema Sana Tuzidi Kumtukuza Sana.

  • @HellenNkwera
    @HellenNkwera 22 години тому +9

    Nyamongooo mpoo vinzur 😮😮

  • @qonquererqanquerer1781
    @qonquererqanquerer1781 19 годин тому +5

    Genius Tundu Lissu

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 День тому +6

    Hapana wakichakachua hakuna kumpa ushirikiano wowote hta kwenye maswala ya kijamiii

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 День тому +6

    Yaani CCM hawajiamini kwa upambanaji wenye mizania sawa.

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv 22 години тому +7

    Heche yupo wapiiiiii

  • @andreandula4755
    @andreandula4755 День тому +2

    M4c In ma Heart

  • @LucasKiboi
    @LucasKiboi День тому +4

    Nakukubali Tundu ✌️✌️✌️

  • @ramadhanchenga4606
    @ramadhanchenga4606 19 годин тому +1

    Hiyo ndiyo mara

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 День тому +9

    Hawa wako uzuri manzese hawataki hizo ujinga za mafisiemu

  • @LeonardMgeta
    @LeonardMgeta День тому +6

    Lisu nakukubali kiongozi pambanieni haki ya watanzania ccm awana jipya

  • @RashidiMbena
    @RashidiMbena 18 годин тому +2

    Hana sifa ya kuwa Rais kabisa anajisifia sana Kwanini ujisifu kiongozi mzuri anasifiwa na inapendeza sana wamefilisika sera kabisa na mwisho bunduki haitafichwa tutapigwa hadharani.Lakini hakuna alie mgeni nchi ya watu akawa na huruma na watu Hao Nchi hii mpaka walundi wamepewa uwaziri.Hii ndio nchi.isio na wenyewe.Lissu,Lema,Heche,Sugu,Mbowe,msiwapoteze.

  • @Fhfhfhfhf78
    @Fhfhfhfhf78 15 годин тому +2

    Heche yuko wapi mbona huyu jamaa amekuwa kimya,au ndio Mchungaji Msiba Mwingine because he’s so quiet. Is it something going on?

    • @festokemibala5832
      @festokemibala5832 26 хвилин тому

      Heche yuko Kanda nyingine kwa ajili ya uzinduzi. Jamaa wamegawana majukumu ili watu wapate vionjo vipya kwa watu ambao hawakuwazoea. Ni utaratibu mzuri unamfanya msikilizaji kutega sikio ili asikie ni kipi kipya mtoa hoja anacho

  • @camilomassao8971
    @camilomassao8971 23 години тому +3

    Nyamongo majasiri sana 🫡

  • @EmmanuelKolambo-ig6js
    @EmmanuelKolambo-ig6js 21 годину тому +2

    Lisu una akili saaana

  • @Allyiddsud
    @Allyiddsud 8 годин тому

    ❤❤❤❤ uraaaaaaa

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 День тому +2

    Mungu ni mwema

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 День тому +2

    Achana na magufuli pita kule aliua eatu wengi sana mwache asemwe anasemawa farao sembuse mwenda zake

  • @chachanyawaya9810
    @chachanyawaya9810 21 годину тому +1

    Wakurya fanyeni kweli, mapinduzi yataanzia huko. Tuko nyuma yenu.

  • @PrinceHendry-hp8vv
    @PrinceHendry-hp8vv День тому +3

    Wameangalia kwa mikoa korofi waka ogopa

    • @SylvesterMakenzie
      @SylvesterMakenzie День тому

      Ulitaka akutaje wew?wew chawa hujuwi masaibu aliyoyapitia lisu kipindi cha jiwe?punguza upumbavu bas

  • @samwelijemis
    @samwelijemis 21 годину тому

    😂😂😂😂😂😂😂chadema juuu kwa juu

  • @IreneRama-jp6pm
    @IreneRama-jp6pm 20 годин тому +1

    Hakika lisu wewe ni simba upo vizuri sana kamanda.

  • @MwajumaMsimuwilliam
    @MwajumaMsimuwilliam День тому +1

    Mama anaupiga mwingi kweli kweli

  • @EmmanuelKolambo-ig6js
    @EmmanuelKolambo-ig6js 20 годин тому +1

    Usife moyo simamia ukweli na haki mpka cku ya mwisho wa maisha Yako.

  • @MichaelMgudula
    @MichaelMgudula День тому +3

    Wewe unae mpinga lisu una masilahi na ccm acha atusemee ss wanyonge,,,

  • @ponsianomnyaru9140
    @ponsianomnyaru9140 12 годин тому +1

    Pameaza kuchangamka mapemaaaa watu hawataki ujinga kudadadeki

  • @estachengula3902
    @estachengula3902 21 годину тому +1

    Ccm hata mungu hawamuogopi wajue hatuwataki tumechoka na ufisadi wa nchi hii kodi nyingi tunashindwa mpaka kula

  • @qonquererqanquerer1781
    @qonquererqanquerer1781 19 годин тому +1

    Msema Kweli Lissu Hawa Wahuni Chama Chakavu Hawana Hata Chembe Kidogo Ya Hofu Ya MUNGU CCM Must Go.

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 29 хвилин тому

    Ongeza kasi kidogo katika kueleza maudhui ili upate muda mwingi wa kuimpart ujumbe uliokusudiwa. Usizungumze neno moja moja kama Lipumba, hoja zako ni mujarabu ni sindano inayoingia vizuri ktk vichwa vya wenye akili!

  • @innocentngaillo7331
    @innocentngaillo7331 21 годину тому +1

    Utashinda tuu usipomtaja Magufuli. Alishaondoka, machete!!

    • @1961nungwi
      @1961nungwi Годину тому

      mbona amewataja Nyerere, Mwinyi, Mkapa,na Kikwete?

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 51 хвилина тому

      Hatà erwe2 ungsema. Kuwa kilema!

  • @DavidMutiba-hr3vo
    @DavidMutiba-hr3vo 21 годину тому +1

    Mbona mnakatakata hotuba na kuingiza matangazo? Kama unaogopa si uache tu,au wewe ni kada?

  • @innocentngaillo7331
    @innocentngaillo7331 21 годину тому

    Mwache magufuli, ongea ya kwako.

    • @csato9415
      @csato9415 20 годин тому

      Aachwe kwani sababu gani? Wakati mpaka leo hata Nyerere anatajwa.
      Hivyo kila mmoja atatajwa kwa yale aliyofanya wakati wake.

  • @Abdallah_mussa
    @Abdallah_mussa 20 годин тому

    TUACHE UTANI, HIVI LISSU ALIYOSEMA YOTE NI KIPI ALICHOSEMA KITAKACHOKUSAIDIA WEWE MTANZANIA? UKIFUATILIA NI KUTAFUTIA MATUMBO YAO TU KUPITIA NYIE

    • @FrancisThomas-jc8wq
      @FrancisThomas-jc8wq Годину тому

      Zero braine hauwezi kuelewa,wewe umeumbwa kulamba viatu vya mabwana zako.

  • @adaNahimana-y7b
    @adaNahimana-y7b 3 години тому

    CCM Ni Vibaka hawajiamini Kuzuwia Viwanja Ni Dalili Za Uoga

  • @PaulineJoseph-n8z
    @PaulineJoseph-n8z 22 години тому

    Ww ropoka tu mbona ccm walikuchangia hela ukanunua gari mbona hukukataa hela ya ccm wewe bweka tu uchaguzi ukiisha ukimbilie ubelijiji ukimaliza kuongea uombe mkoa mara wakuchangie hela ya mafuta huna lolote kazi kumwongea magufuli mtu alishakufa bado unamwongea tu

  • @CyprianoKikoti
    @CyprianoKikoti День тому

    Lisu usipomtaja Magufuli huna point yoyote ya kuongea

    • @simonmwasile4377
      @simonmwasile4377 День тому +2

      Magugiri ni mungu wako????

    • @fredrickmwakalinga6390
      @fredrickmwakalinga6390 День тому +2

      Magufuli lazima aongelewe mbona hta Baba wa Taifa Nyerere anaongelewa yeye nani asiongelewe wakati ameacha makovu ya kisiasa nchini?

    • @richardnganya2311
      @richardnganya2311 День тому +1

      Chanzo cha uzuiaji uhai wa Demokrasia ni lazima kitajwe !! Huwezi kutibu chochote bila kujua chanzo !!

    • @MchungajiNzelani
      @MchungajiNzelani День тому

      Embu pisha hapo

    • @Dd-mu4fj
      @Dd-mu4fj День тому

      Yangekuwa ya kumsifia ungetulia tulia hivyo hivyoo