Mzee wa CHADEMA Awasha Moto, Akatishwa Akiongea, Akataa Kukaa- 'Hatupo serious'

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 252

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 Рік тому +21

    Safi sana katibu wa wazee chadema...

    • @godwinshoo5032
      @godwinshoo5032 Рік тому +1

      Kama huyu ndiye mtendaji mkuu wa wazee wa chama, basi na chama kinafanana naye!!

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 4 місяці тому

      Wewe unataka afanane na wewe?​@@godwinshoo5032

  • @Dismasbccmiraclecenter-rv9qi
    @Dismasbccmiraclecenter-rv9qi Рік тому +16

    Asante Mzee wangu umenena vyema

  • @ibrahimkibira9943
    @ibrahimkibira9943 Рік тому +37

    Huyu mzee wa chadema apewe maua yake❤

  • @mr.content266
    @mr.content266 Рік тому +25

    Nilichogundua huyu mzee sio chawa tumpe maua yake.

  • @Dismasbccmiraclecenter-rv9qi
    @Dismasbccmiraclecenter-rv9qi Рік тому +9

    N kwel kabisa Rais hayupo seriously

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 Рік тому +23

    Ndio raisi ajue kuna makasuriko mengi kwa wananchi wa Tanzania 🇹🇿..

    • @Mundi-oz7os
      @Mundi-oz7os Рік тому +1

      "Makasuriko" ni kitu gani wewe ongea vitu vya maana usituletee sheng za Kenya hapa. Sema kuna hasira nyingi au malalamiko mengi sheng waachie wenyewe 🙄

  • @philemonsnyanda9450
    @philemonsnyanda9450 Рік тому +12

    Niliwambia humo kuna vyama vingine ni vya mchongo kazi kusifia tyuu😂

  • @YohanaKivuyo-u3w
    @YohanaKivuyo-u3w 4 місяці тому +1

    Asante mzee Wang ubarikiwe

  • @minaabuu5250
    @minaabuu5250 3 місяці тому +1

    Mzee woooow😅😅😅 huko vizur mzee

  • @mungunimwemakilawakati1299
    @mungunimwemakilawakati1299 Рік тому +12

    WANANCHI TULISHATOA MAONI YETU KWENYE KATIBA YA WARIOBA, ITUMIKE HIYO. KWA HESHIMA KUBWA, TUNAOMBA MAONI YETU YAHESHIMIWE!!

  • @iwobidesouza319
    @iwobidesouza319 Рік тому +6

    Man of the mwaka 2024, dah! Nimecheka sana 🙌

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 4 місяці тому +2

    Asante mauwa yako Mzee wa CHADEMA. Lakini wachawa wanauguwa na mama yao leo ijabu itafunika na macho.

  • @HassanKibwana-h3w
    @HassanKibwana-h3w 4 місяці тому +4

    Mzee wa chadema yupo vizuri sana sio chawa

  • @janethpallangyo3855
    @janethpallangyo3855 Рік тому +8

    Huyu mzee wa chadema ❤❤❤ yupo vizuri

  • @innocentlethisia416
    @innocentlethisia416 Рік тому +7

    hongera saana mzee wetuu

  • @Yussuph-r2c
    @Yussuph-r2c Рік тому +2

    Hongera Hashim hongera Hashim hongera hashim

  • @TeddyMasawe-t5d
    @TeddyMasawe-t5d 3 місяці тому

    Safiiiiiiii weeee mzeeee.❤❤

  • @hamisiramadhan3251
    @hamisiramadhan3251 4 місяці тому +2

    Kwanini huyu mzee wachadema akiongea wanamkatisha naumia sana 😢😢 hii unashida mnoo aisee

  • @ezammwakisambwe-t8u
    @ezammwakisambwe-t8u 4 місяці тому

    Tisha sana mzee ingekua Seria ungekiwasha aisee🎉🎉

  • @fahadfaraj6474
    @fahadfaraj6474 Рік тому +14

    Nchi ilojaa mijitu mioga ambayo inahisi rais ni Mungu asietakiwa kukosolewa kila mtu chawa tena hao wavaa suti ndio watu wapuuzi mnoo.

    • @SoudRwakyaya
      @SoudRwakyaya Рік тому +1

      Kwani mada ni ya kukosoa Rais au ni kujadili miswada?

  • @AronJoseph-h8b
    @AronJoseph-h8b 4 місяці тому

    Safi sana mzee wetu siku zote ukweli unauma 😂😂😂😂😂

  • @HillaryMachano
    @HillaryMachano Рік тому +4

    Nchi ngumu Sana hii,kikao for nothing yaan inaingia kwenye kikao huku uzungumze wanachotaka wao😢

  • @shukranitv2971
    @shukranitv2971 Рік тому

    Nice mzee anaongea point

  • @eunicekengajaha2953
    @eunicekengajaha2953 4 місяці тому

    Namasaport mzeee❤❤❤❤❤

  • @JumaHamad-i3f
    @JumaHamad-i3f 29 днів тому

    Ameshakua mzee muacheni aongee mzee wetu

  • @DoctorRengeda
    @DoctorRengeda Рік тому

    Nchi ya hovyo sana yani mnazingua kichizi mpaka sio poa ila mwisho wenu umekaribia ✌️🇹🇿📢👏

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 Рік тому +1

    Niwape pole sana Wana kikao Kwa kuwa na mkti asiyejua nchi na wananchi wanataka nini, mnapoteza muda na PESA za nchi bira sababu ya msingi

  • @DeusiMorisi
    @DeusiMorisi Рік тому +4

    Mbona kama wanazimisha watu

  • @claudesimukoko1436
    @claudesimukoko1436 Рік тому +3

    Miti ingikuwepo umo ndani, nahisi tungempoteza uyo Mzee. Mzee nimemuherewa

  • @simontv8124
    @simontv8124 Рік тому

    😂😂😂, Mzee Noumaaaaa Sanaaaa 🤣🤣

  • @KishaKisha-ux4ul
    @KishaKisha-ux4ul 4 місяці тому +1

    Ameeapa ukweli kabisaaa

  • @jovitherkaijage614
    @jovitherkaijage614 9 місяців тому

    Ongera, Mzee Ashimu wa chadema

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 Рік тому +4

    Kwani Raisi sio binadamu jamani mnamuogopa kiasi cha kuzuia mtu asiseme dukuduku lake. Mnazingua hatari sana

    • @godwinshoo5032
      @godwinshoo5032 Рік тому

      Tatizo siyo kutoa dukuduku ila ni ametolea wapi hilo dukuduku!

    • @meshacknyandongo577
      @meshacknyandongo577 4 місяці тому

      Sasa wewe unashauri angotolea wapi dukuduku lake

  • @abdulisike
    @abdulisike 3 місяці тому

    Hagahahaaaa mzee agoma kukaa hewlew haswaaa

  • @samsonmathew6468
    @samsonmathew6468 Рік тому

    Ameongea vizuri kabisa tatizo ni kwamba hamtaki kuambiwa ukweli na kukataa ukweli ni ugonjwa na ni udhaifu m'baya mno iko siku mtaelewa hata kwa viboko!!

  • @masumbukomaganga438
    @masumbukomaganga438 8 місяців тому

    Kazi kweli kweli

  • @KishaKisha-ux4ul
    @KishaKisha-ux4ul 4 місяці тому +1

    Kazi hipo hapo. Mpaka Leo katiba mpya ni kitendawili. Tatizo ni nini?

  • @gweahshoo5120
    @gweahshoo5120 Рік тому +1

    Hiv kweli ndio kuvurugwa ama nini?au mimi sielewi..yaan kuna mtu anapongeza alichofanya huyo mzee kweli?ndio tulipofikia nchi hii ujinga ndio unapongezwa...yawezekana hoja yake ni sahihi 100% lakin sehem aliyoleta si sahihi..ni sawa na kikao cha harus chenye ndugu jamaa na marafiki unaleta hoja ya kusuluhisha ugomvi wa familia

  • @chemli23
    @chemli23 4 місяці тому +1

    Bila katiba mpya hakuna tume huru ya uchaguzi.

  • @nurdinkisaria9476
    @nurdinkisaria9476 Рік тому

    😂 Ipyana classic

  • @mohamedrashid9035
    @mohamedrashid9035 Рік тому +2

    Huyo katiba wa wazee Chadema ni mzima kweli hajui wala anacho kisema

    • @STEVENKAJUMBA
      @STEVENKAJUMBA Рік тому +1

      Umemwelewa Sana sema uchawa unakusumbu.

    • @frankjohn8706
      @frankjohn8706 9 місяців тому

      ​@@STEVENKAJUMBAWANACHOFANYA NI KUPANGA MAISHA NG'AMBO YA MTO BILA KUVUKA MTO

    • @AmbangileJoshua
      @AmbangileJoshua 4 місяці тому

      Wew tatizo lako ni kujifanya kiziwi wakati sio

    • @Paulkessy-j8n
      @Paulkessy-j8n 4 місяці тому

      Umeshaelewa fala wewe sema kijani kimekujaa kumamake

  • @jesaminzo
    @jesaminzo Рік тому

    Mbona huyu msemaji yupo vizuri? Au mwataka kusifiwa tu? Ni nani amewaweka hao watu kuongoza hiki kikao?😂😂😂

  • @Fantsonmpango-uz3jw
    @Fantsonmpango-uz3jw Рік тому +5

    Meza imejaa makada ndiyo shida, sasa taarifa ya nini mtu akijenga hoja yake, kwani hilo ni bunge?

  • @Shafikimanga7
    @Shafikimanga7 Рік тому

    Mnaopewa dhamana ya kusikiliza watu muwe wavumilivu. Kwa stahili hii hamuwezi kufikia mnachokitafuta.

  • @nassorseif7907
    @nassorseif7907 Рік тому

    Safi sana mzee umeupiga mwingi

  • @shakaurembo477
    @shakaurembo477 3 місяці тому

    Mbona mnamkatsha uyo mzee anamegi ya kutuambia 😢

  • @evaemil856
    @evaemil856 Рік тому

    Pete zimefanya kazi

  • @jangalaalexbubehi7658
    @jangalaalexbubehi7658 14 годин тому

    Harafu leo yako wapi

  • @JumanneMwita
    @JumanneMwita 3 місяці тому

    Tanzania ni nchi ya ovyo sana yani kila mtu alioko juu ana msifia laisi ivi kwa mwendo tutapata viongozi bora

  • @millitarybattalion7515
    @millitarybattalion7515 Рік тому +1

    Mzee hajui hata anachokiongea huyu ni msaga sumu

  • @AizackKalenge-ro5rc
    @AizackKalenge-ro5rc Рік тому +1

    Huyo Mtungi anaangalia Tumbo lake sio ustawi wa Taifa hili

  • @ChristinaMpwaga-ue7jf
    @ChristinaMpwaga-ue7jf Рік тому

    Wezi wampumbaza mzee wetu ila tumeeelewa

  • @jonassmajaliwa
    @jonassmajaliwa 11 місяців тому

    Tanzania yangu😢

  • @EliaEgbert
    @EliaEgbert Рік тому +1

    Huyu mzee wa chadema ni ovyo sana

  • @AgnessJohn-v8p
    @AgnessJohn-v8p 4 місяці тому

    Muacheni jamani huyo mzee aongee ukweri

  • @charlesmurimi765
    @charlesmurimi765 Рік тому +1

    Kuna mjinga hapa mezani naye ni chawa anapiga makofi

  • @MariamElibariki
    @MariamElibariki День тому

    Inauma sana mtu anataka kutoa kero yake mnamzuia kwa nn jamani ccm mnakosea sana

  • @GodfreyMwamaso
    @GodfreyMwamaso 2 місяці тому

    CCM ni waoga sana ni wajanja wajanja sana hawataki katiba mpya

  • @jacquelineswai602
    @jacquelineswai602 4 місяці тому

    Haisee Tanzania ina uonevu sana ingetakiwa wamuache amalize , tatizo mnataka mtu akisimama apambe hata kama ni uovu.Mungu tu awarehemu

  • @abdallahmsham-eb7jz
    @abdallahmsham-eb7jz 4 місяці тому

    muacheni asememe hahahaha

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 2 місяці тому

    God

  • @AgreyAmon
    @AgreyAmon 4 місяці тому

    Daa hamyaheshim

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 Рік тому

    Taarifa za nini?

  • @BrotherKaka-j4z
    @BrotherKaka-j4z 4 місяці тому +1

    Kumbe na hawa nao niwalele ndio

  • @mayalakatema2576
    @mayalakatema2576 Рік тому

    makosa MAWILI nimeyaona
    1. Meza kuu kupiga makofi siyo sahihi
    2. Kumzuia mjumbe kutoa maoni yake kisa kagusa Neno Rais 😭
    my country is bleeding inahitaji kukombolewa kifikra inaangamia kwa kukosa Uwakilishi mwema 😳😳😳

  • @iskitogo
    @iskitogo Рік тому +3

    He is definitely sick

  • @HonestMchau
    @HonestMchau 4 місяці тому

    Taarifa taarifa taarifa

  • @tanzanitetv
    @tanzanitetv Рік тому

    ACT wazalendo wenzetu CCM

  • @SaidiYahya-t1c
    @SaidiYahya-t1c Рік тому

    Ekeni uhuru wa kuongea jamani khaa kukosoana ni muhimu

  • @eliudmpisi
    @eliudmpisi 8 місяців тому

    Jamani kilcho Baki ni kujitetea wenyewe ila Hawa atuna vngz jabisa duuuh

  • @SoudRwakyaya
    @SoudRwakyaya Рік тому +1

    Hawa ndo wanataka wapewe nchi waiongoze kweli

    • @dezruh
      @dezruh 4 місяці тому

      Mtu mmoja hawezi kuwa na jina la hawa...sema huyu

  • @steveJkaaya-qt1ih
    @steveJkaaya-qt1ih 11 місяців тому

    kuda adek mnaogopA ukweli mzeee sema

  • @MohamedSleyim
    @MohamedSleyim 3 місяці тому

    Seriousness ya Rais inajionesha kwenye kikao. Mzee hana hoja amepotea kabisa.

  • @NDEWARA
    @NDEWARA Рік тому

    Amewasha Moto upi huyu anayebwbwaja tu😂😂😂

    • @AshrafuJuma-l3l
      @AshrafuJuma-l3l 4 місяці тому

      Wewe nawe ni chawa wa ccm Kuma wewe

    • @NDEWARA
      @NDEWARA 4 місяці тому

      @@AshrafuJuma-l3l 🤓🐯lichawa la CCM

    • @NeemaJuma-os6uo
      @NeemaJuma-os6uo 4 місяці тому

      ​@@AshrafuJuma-l3l😂😂😂😂

  • @hildandumbalo5827
    @hildandumbalo5827 Рік тому +1

    CCM sasa iwe mwisho tumechoka ni kichefuchefu tu

  • @UPENDOMLELWA-x2b
    @UPENDOMLELWA-x2b 4 місяці тому

    Hata usoni anaonekana chawa wa Chama cha mapinduzi mzee unaongea point tu Lakin wamemaataaa 🤔

  • @bibiyeabdallah6701
    @bibiyeabdallah6701 3 місяці тому

    Chizi huyo

  • @jakobongwara3038
    @jakobongwara3038 Рік тому

    Wewe mtanga zaji mwongope mungu sio binadam

  • @MOSESIMCHUNGUZI
    @MOSESIMCHUNGUZI 10 місяців тому

    Mzee yupo sw,tatizo hampendi ukweli

  • @gabrielmwikanu1160
    @gabrielmwikanu1160 Рік тому

    Hao ndiyo chadema,
    Bila fujo wanaona hawajakamilika
    Ndio tunaowategemea kuongoza nchi hii

  • @jovitherkaijage614
    @jovitherkaijage614 9 місяців тому

    Hii ni kupoteza lasilimali fedha Kwa mambo Yale Yale , hii mbaya sana

  • @IssaTayari
    @IssaTayari 4 місяці тому

    Wanakuvuluga mzee

  • @fortidaskashaigili7496
    @fortidaskashaigili7496 Рік тому

    Safi sana mzee waambie ukweli, wengi humo wateule was rais hatuwezi kupata muhafaka mpaka warekeb ishwe

  • @seraphinjosephmboya3646
    @seraphinjosephmboya3646 Рік тому

    Hatuna viongozi tuna walaji, na watafuta favour ya RAISI

  • @speciallvoice8091
    @speciallvoice8091 4 місяці тому

    Sasa hii meza si CCM tupu unategemea wakae upande up kz ya kuota vitambi

  • @sadathahmada9066
    @sadathahmada9066 Рік тому

    30 bwana😂

  • @EmmanuelMpali
    @EmmanuelMpali 4 місяці тому

    Jaman Kwa msimkilize mzee huyu amalize kuongea? Mnaogopa nn

  • @hamidmussa838
    @hamidmussa838 4 місяці тому

    Ww Mzee utanguka kwa Presha.

  • @RahimMahadi
    @RahimMahadi 4 місяці тому

    Chadema bwana wanawaziaga ugomvi kila wakati

  • @J约瑟夫·阿德森
    @J约瑟夫·阿德森 4 місяці тому

    Mjumbe Hauwawi

  • @philiprupia6076
    @philiprupia6076 5 місяців тому

    Hampo serious

  • @nurumohammed1310
    @nurumohammed1310 4 місяці тому

    Hao wa meza kuu hawapo pamoja na chadema

  • @bazilmateru915
    @bazilmateru915 3 місяці тому

    Acheni kila mtu atoe maoni yake. Nyie watu sijui mmetoka wapi. Mnachotaka ni mama anaupiga mwingi. Mafala kweli

  • @ezekielgenja3912
    @ezekielgenja3912 4 місяці тому

    Mwenyekiti huyo ni fara kweli kweli. Eti angalia asimtukane raisi, kweli?

  • @ChristineElias-bn4dw
    @ChristineElias-bn4dw 4 місяці тому

    Kikaoo cha machawa tu

  • @MOSESIMCHUNGUZI
    @MOSESIMCHUNGUZI 10 місяців тому

    Mbona mnamkatiza?

  • @PeterDaudi-z2z
    @PeterDaudi-z2z 4 місяці тому

    Wa ccm kakubariwa

  • @wazomyakinifu2301
    @wazomyakinifu2301 Рік тому +1

    Mbona huyo mwenyekiti wa mjadala ni dikteta sana! Hadi kero. Mbona mambo ya tume huru ina muunganiko mkubwa na katiba! Hivi anakwama wapi mwenyekiti dikteta huyo?

  • @marcokaroje8980
    @marcokaroje8980 4 місяці тому

    Meza kuu inawapigia makofi CCM hawako makini

  • @raymondnlelwa427
    @raymondnlelwa427 Рік тому

    Mzee wa CDM yupo makini sana