EXCLUSIVE: MJUE FREEMAN MBOWE MWENYEKITI na MWANASIASA wa CHADEMA/ELIMU/MKE/WATOTO na KESI ya UGAIDI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 31 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 55

  • @Santzmedia
    @Santzmedia  6 місяців тому +2

    SIMULIZI ZETU HUWA ZINATOKA KILA JUMAMOSI YA MWISHO WA WIKI " HAKIKISHA UMEBONYEZA NENO LA SUBSCRIBE KISHA UMEGUSA ALAMA YA KENGELE ILI USIPITWE NA SIMULIZI YEYOTE KWETU

  • @mfalmekaitaba2425
    @mfalmekaitaba2425 6 місяців тому +9

    🎉🎉🎉🎉🎉 na msichokijuwa huyu ndo aliyenifanya niipende CHADEMA mwaka 2005 na hadi leo mm ni Kamanda halisi wa CHADEMA na siwezi badirika.

  • @deborahmgedzi632
    @deborahmgedzi632 3 місяці тому +2

    Kusudi la Mungu halizuiliki. Tupendane na kuvumiliana.

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  3 місяці тому +1

      Sure @debrorahmgedzi632

  • @MwitaTv
    @MwitaTv 6 місяців тому +4

    Wewe ni Mtangazaji mzuri sana

  • @Lordrich-m7y
    @Lordrich-m7y 4 місяці тому +3

    Duuh kumbe mama yake mbowe alikuwa mrembo sana

  • @ailennkya892
    @ailennkya892 2 місяці тому +2

    Wilaya ya Hai Haina Kijiji kinachoitwa Machame.

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 4 місяці тому +1

    Historia nzuri ila panga kwa tarehe na matukio.ili usiruke ruke. Hongera kwa kujitahidi .

  • @NickJuma-x4d
    @NickJuma-x4d 6 місяців тому +1

    Hujui chochote! Gavana Bank kuu baada ya Edwin Mtei ni Charles Nyirabu! hitoria ya uongo na mapungufu mengi!

  • @anenragnesmunis8490
    @anenragnesmunis8490 3 місяці тому +1

    Amepitia mengi sana walimfilisi tu ila kwao mambo safi

  • @christianchando7041
    @christianchando7041 4 місяці тому +1

    Ongeza bidii, unarukaruka sana. Najua kwenye simulizi huwezi kutaja vitu vyote ili story isiwe ndefu sana. Lakini mambo muhimu hutakiwi kuacha.
    Mfano:- Mbowe aliwahi kugombea urais 2005 hujaeleza
    2. Mbowe alizaliwa 1961 halafu wakati chadema inaanzishwa 1993 Mbowe alikuwa na miaka 19. Je hii ni sawa?
    3.ukimaliza form six inatakiwa ujiunge na jeshi kisha ufanye kazi miaka 20 ndipo uombe kujiunga na chuo kikuu. Kama ni hivyo mbowe alisoma chuo kikuu akiwa na umri gani,

  • @husseinathuman7532
    @husseinathuman7532 3 місяці тому +1

    Kamanda mpambanaji

  • @ashabushiri4610
    @ashabushiri4610 6 місяців тому +1

    Ongera

  • @danielbachuta157
    @danielbachuta157 4 місяці тому +1

    Miaka 19 ni 1980.. ungesema 29

  • @Rodamathayo
    @Rodamathayo 4 місяці тому +1

    Similiar Na tundu lisu

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803 7 місяців тому +2

    NI JASIRI HUYO FREEMAN AIKAELI MBOWE

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  7 місяців тому +1

      Ni Mfano wa Kuigwa

  • @felixmsale9244
    @felixmsale9244 6 місяців тому +2

    Bro simulizi yko haina mtiririko unaoleweka unarukaruka !!!!!

  • @drjbmsige4098
    @drjbmsige4098 4 місяці тому +2

    Mbowe alikuwa na miaka 31 wakati chadema inaanzishwa

  • @patrickmanasi6831
    @patrickmanasi6831 4 місяці тому +1

    Chadema kama chama kimesajiliwa 1993.
    Iwapo Freeman Mbowe alizaliwa 1961, itakuwaje awe na miaka 19 tuu mwaka wa1994?
    Mbona unatuchanganya?

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 3 місяці тому +1

    Mshenz tu

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 5 місяців тому +1

    Wann sasa naye huyu?

  • @FrankLwila
    @FrankLwila 3 місяці тому +1

    Miaka 19

  • @georgefesto8455
    @georgefesto8455 6 місяців тому +1

    Kilicho mtajirisha sana ni biashara haramu ya pembe za ndovu na madawa ya kulevya kama mirungi na bangi.

  • @MohamedRashid-py7ro
    @MohamedRashid-py7ro 6 місяців тому +3

    Bilikana Mbowe alikuwa miaka mingi sana alikuwa halipi kodi nchi usiseme kaonewa ni sheria

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  6 місяців тому +1

      Kama utakuwa umetufuatilia Vizuri si dhanii kama kunasehemu tumefikili au kuhisi Ameonewa!!!?

    • @mfalmekaitaba2425
      @mfalmekaitaba2425 6 місяців тому

      Kama halikuwa halipii huo ni uzembe wa wakusanya kodi

    • @JackKanyigo
      @JackKanyigo 6 місяців тому +1

      Kwa hiyo kama alikuwa halipi jibu ni kubomoa?..tumia akiri angalau za kwendea chooni

    • @MohamedRashid-py7ro
      @MohamedRashid-py7ro 6 місяців тому

      @@JackKanyigo kwani nyumba ni yake

    • @HappyKitindi
      @HappyKitindi 5 місяців тому

      ​@@mfalmekaitaba2425wazembe? 😂😂😂😂

  • @Wastara001
    @Wastara001 4 місяці тому +2

    Very poor narrator. Don't take sides. Eleza history kama easter tv wanavyoeleza.

  • @charlesluanda9161
    @charlesluanda9161 5 місяців тому +2

    Yaani mtu azaliwe mwaka 1961 halafu mwaka 1993 awe na miaka 19! Mbona Math is Mathing 😂😂😂😂

    • @christianchando7041
      @christianchando7041 4 місяці тому

      Wakati huohuo alipomaliza form six alisubiri miaka 20 ndipo akaomba kujiunga na chuo kikuu. Ina maana mpaka chadema inaanzishwa 1993 mbowe alikuwa bado anasoma😂😂😂😂

  • @deusntobi6682
    @deusntobi6682 6 місяців тому +1

    Miaka 19 duh!!

  • @anenragnesmunis8490
    @anenragnesmunis8490 3 місяці тому +1

    Acha kumchafua bangi alikuwa anakuuzia ww?

  • @RamadhanMohamedi-j3d
    @RamadhanMohamedi-j3d 6 місяців тому +1

    Anatafuta haki tabani? anatafutia tumbo lake na watu wake

    • @RamadhanMohamedi-j3d
      @RamadhanMohamedi-j3d 6 місяців тому

      Nadhani umesahau kutaja walipotuibia pesa za kigeni wakati wakiwa watumishi wa uma bank kuu ya Tanzania wakaiunguza gavana mtei nimrodi mkono mbowe

  • @Rasulymnonjela
    @Rasulymnonjela 3 місяці тому +1

    tumpe Maya yake

  • @ObadiaChengula
    @ObadiaChengula 6 місяців тому +1

    Mboe achia ngazi sasa

  • @jeanbaraka1008
    @jeanbaraka1008 6 місяців тому +1

    Ndie mfanya siasa pekeeee nchini hapa

  • @stanslausshayo7104
    @stanslausshayo7104 6 місяців тому +1

    wewe ni ccm

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 6 місяців тому +1

    Wanschama wake wamemchoka haiwezekani awe yeye kila siku na kuhusu klub ya bilcanas ilikuwa inaendeshwa na Baba yake na ilikuwa nightclub na ilikuwa mali ya Nhc yeye alikuwa mrithi tu aondoke tu wamemchoka kwanini analazimisha uongozi aondoke tu

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  6 місяців тому +1

      @Margarethpolepole , Wewe NI Mtanzania wa kweli lakini jaribu kufuatilia ukweli wa mtu ,na usije ukalishwa sumu kuhusu mtu kwakuaminishwa kitu then ukamchukia mtu

    • @JackKanyigo
      @JackKanyigo 6 місяців тому +1

      Umefanya research au unaharisha tu