OUR LOVE STORY W/ MENTOR CHERRY AND COACH TONY (MMOJA NI MUHANGA WA VIRUS VYA UKIMWI) | S01EP05
Вставка
- Опубліковано 8 вер 2024
- Our Love story Podcast is a love genre chat podcast where two love birds chitchat on ho they met and their journey so far, including how they made each other in love
Alafu let me manifest here one day nyie our love story mtaniita tu mimi na bae wangu kuja kumake story yangu mimi na mpenz wangu yani hiki kitu nakitamani na nina kiishi Mungu aendelee kuwaweka kwa ajili yangu 😘😘😘
Umehonae mwenyezi mungu awatangulie 🙏🙏❤️❤️nawapenda sana
lazima ukutane na mpnz wako❤❤❤ bby
Polee akii
Hayaa mayatimaaa wa mapenzii tukutane apa gonga likee hapaaa
Ashukuriwe MUNGU Anaendelea kuwaleta wanaume kama hawa Duniani..Bless you young man
👏👏👏🙏🙏
Mm niliwahi ishi na mwanaume miaka 6 kabla ya kifo chake na yeye alikua na maambukizi na mm ilikua sina nahata mswaki,ilikua tunatumia 1 Natuliishi kwa furaha Sanaaah,Nimemkumbuka kwakweli mwenyezi mungu ailaze roho yake mahali pema peponi,malaika waulinzi wawe pamboja nae
Pole Sana mpedwa
Aseee
Unazidi kuthibitisha kuwa kipindi hiki ni bora 🔥
This my favorite Episode now Na Ile episode ya Dj Ally B 👍🏾❤️📌
Aliyegundua hii content apew maua yakee👊🏼👊🏼👊🏼👊🏼
Kenya walianza
Couple yakipekeh sana
Nimejifunza mengi san From you Coach
My best couple ❤❤kila moja dunian anamsaidizi wake so kama ujampata usikate tamaa,Mungu yuko everything is possible
Interview nzuri sana....hongeren
Wapewe maua yao tunajifunza vingi kupitia hawaa❤❤🌹🌹🌹
Huu Ndio upendo sasa ❤ Such a blessed couple
Is this how you guys communicate at home🥺🥺so peaceful
Fr
Nimesubiri kipindi ichii kwa hamu saana musiwi munachelewesha basi❤❤❤❤
Halaf wamekipost nipo kanisani nikaamz kuanglia apoapo😂😂😂
Love is a beautiful thing pale unapopata mtu sahii na akakupenda kwa zhati utaona ulimwengu wote ni wakwako 🙌🙌🙌🙌🙌
Nyie mungu wangu mmi nilijua wanaume kama Hawa wameshakufa wote kumbe wote wapo jamni dada dada nakuita tena mala ya tatu mtunze iyo mme dada ni zaidi ya mume kwako cc sasa uku uwiiiiiiiiiiiii🙈mungu awatangulie azidi kuwapa furaha inayodumu cku zote itoshe kusema nawapenda
Hakika wapo lakini wachache sana 🙏🙏🙏
Tupo wengi sana ila sema wengi huwa hamsemi kweli ndo shida
@@Judy-dy4zt kweli dear
@@saidbakari2408 mmmmmmh🙄 jaman sio kweli🙈
Kwasasa wameshaachana.
Uma bela história da Namoro, ainda existe Homens perfeito, não seja como ser a humildade é a coisa mais importante da vida, a vossa história deve ser contando hoje é para sempre Deus vós abençoe " Coach Tony é a Cherry ".
Kuna namna hii podcast inanifanya nione theres love out there …cherry is reall speaking very polite to his husbae ….❤❤❤
Jaman next step awe ahmad waziri na esha buheti mpishi wa taifa I really love them💓💓💓💓
Hawa watu wapo real, i love them❤❤❤
Wewe kijana mwenyezi mungu akutangulie ni wachache sana wenye moyo kama wako una nafasi yako mbinguni 🥰🥰
Kipind kizuri na tunajifunza mengi ila tunaomba mnapo rusha vipande vifupi vifupi hakikisheni kipind choote kipo tayari kwasababu mnatupa mda mrefu sana kusubiri
Huyu kaka anauppendo wa dhat
Kila la heri mungu awajalie mzidi kupendana Zaid Zaid na Zaid ..mzidi kuwa pamoja msiachane mungu awajalie Kila la heri kwenye mapenzi yenu
Aliyeelewa pale aliposema Mambo mengine yalikuwa 100% km Mimi anyoshe kidole
Acha umbeya.
Nawapenda sanaaa❤..mengi najifunza kupitia ninyi ...mentor cherry na couch Tony mungu azidi kuwaweka tupate madini mengi kutoka kwenu❤🎉🎉
Apo n coach** badala ya couch..sorry n typing error
Apo n coach** badala ya couch..sorry n typing error
I love your confidence .
Nice couple ❤
I love this couple, they are so real
😁🤣🤣 We jamaa unaongea kama mwalimu wangu wa secondary, he is my inspiration bana till now. He was a Psychiatry pia.
Pamoja na yotee jamani hiki kipindi mmekileta ni kizuuri mno na sidhan kama kilishawahi tokea bongo ila mnzichelewesha sana video zenu jaman yan tunakaa na ham mpka ham zinakata jaman mi nimeumiaa kwakwel tangu nimeona IG nimekaa naweka bando nachungulia you tube wapi bando linaisha tu
Sana
Kweli hawa watu wanafanya meditation. I love you
Nilikuaa Nangoja Hii Storii for a Long Mungu Amefanyaa N imeninga nmekuelewa Mwanangu Tonny
Kupendana raha Sana ujuwe..nawishi namim nimpate ninayempenda na tunaependana ..soul met
Mm hapa nipo jamilaaa
TUNAITAKA YA DIAMOND NA ZUCHU... PIAH YA MARIOO NA PAULA...... NANDY NA BILNASS...... HARMONIZE NA POSHY❤❤😅😅😅😅😅😅😅😅
Natamani the next iwe bill nass na nandy
Wow ❤ nimewapenda kuliko maelezo❤❤❤ Binti umepata mume haswa muheshimu sana naye atakupenda daima❤❤❤
Amazing❤❤❤
Ila huyu dada kma vile namfananisha na Catalina wa Hd
Mbona hawa worst moments zao ndo best moments za vikundi vingine 😂maana worst moments za vikundi hapo kwenye kochi Baunsa akae kati ngumi mda wowote 😂
Elewa tyuu bi dada nakupenda ❤ na mheshimu shem maana wanaume kama hawa niwachache mpendwa mlinde kwa maombi
It’s more than best hii sasa ni love story podcast yaan ipo vey calm ad rahaaa ☺️☺️☺️❤️❤️❤️
Mapenz bwana yaaan ad Hawa kuongea kimahaba iv awajamaliza Ata miez Mitat wameachana......nmelia sana
Yaan 😢
I see my self here fortunately the girl I had passed away kwa issue zingine not HIV niliumia kumpoteza licha ya kujitoa kwake kwa matokeo yoyote I'm missing her 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 story hii imefanya nimkumbuke nalia hadi Sasa nampenda 3years now sijui hata why Mungu aliruhusu
Ooh! Pole sanaa, Mungu akuzidishie moyo wa Matumaini.
Polee Muombee pumziko la amani
Pole Mungu aruhusu tabasamu tena kwenye uso wako you will be fine and God loves you❤❤❤❤❤
Best show…. Love♥️
Kuna watu wanapendana ad rahaa
jamaa anaambiwa I LOVE YOU anajibu THIS IS HOW WE MET..noma kweli
😂😂😂😂
🥰🥰🥰🥰💃💃💃Nawapenda sana mwenyezi mungu awatangulie
Best Show Ever🎉🎉🎉🎉
Watching from Russia 🇷🇺🇷🇺❤️❤️hichi Kipindi ni🔥🔥
Jmn nawapenda sana nyie watu
Mature couple nd confident. Mola awalinde.
I love that couple
Toa that weka this hapo.
Toa that hapo weka this.
Mbona nimelia kama yatima wa mapenzi 😢
KWANIN MMEACHANA NMECHUKIA😢
Maua yenu,ila huyu baba ajengewe sanamu
For sure
Nmerudi teena hapa baada ya kuskia wameachana sjui ni kweli 😢😢😢
Yako wap sasa ..mlinifanya nijione sipo durian
Baada ya wao kuachana ndio nmekuja hapa, mapenz ya mtandao 😢🚮🚮🚮
Nawapenda na kuwambea mungu awakinge na hasadi
❤ aww!
Beautiful couple,i never ever thought could be❤❤
Ndo wameachana
Nimewapenda sana
One day ntakuwa apa my love 🎉❤
Hujakutana na mwamba wangu soksi sebleni ,funguo juu ya meza ya pasi shati kitandani boxer inaegemea tenga la nguo chafu yani imerushwa chwaàa na haijaingia na hqjali
Nimependa sana💓
Aiseeeee❤ I love you guys Mungu awatunze
Saut ya huyu kaka dah😊😊
sautiii tamuu sana😋
I like the couple jmn❤🎉
Mko smart wote
Kumbe shemu ni mnyaki❤️❤️❤️❤️💃💃💃
Eti ulijua ni wale watu wa kuruka jamani Cherry 😅😅 nawapenda anyway ❤
mwaisa bado ukiwa unapanga vitu vizuri ni kesi 😄😃😀
Hili neno sawa mama nimependaaaa❤
Nimesubiri Kwa ham
very smart conversation.So matured
Kipindi kizuri kabisa 🎉
Wameshaachana
Mbona kama inamwendelezo lakin hamjauweka😢
Kumbe wavivu wakuoga wapo wengi😂😂
Namimi naomba Nije kwenye kipindi iki
Beautiful ❤
❤
Naipenda sana hii couple❤
Beautiful❤❤❤❤
Nawapenda❤❤
Love shines ❤
❤❤
I love this it's the best fr
Sikuizi unavyotembea ila wanasaikolojia mnatukomeshaga jamani😂😂😂😂
😂😂😂
Mbona hii interview imenipa msisimko 😅
Jamani rudianeni bwana
Hongereni sna nawapenda ❤️❤️
Kaka apo kwenye kuoga ni Mimi mtupu 😂 sikupingi 😅
So interesting
Nimependa adi naria😭
Bonge moja la kipindi
Aww 🥰🥰
Pamoja sana
Mpaka rah 🥰🥰
Very interesting nice podcast na hii ni best couple to me🙌🙌🙌🙌
🥰🥰🥰