OUR LOVE STORY W/ BEKA FLAVOUR AND HAPPY REUTER | EP 04

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 292

  • @reenvictoria
    @reenvictoria 4 місяці тому +15

    This girl is next level smarties,,, brave woman she didn’t let men sit her home, she hustled her way.and now she live her desired lifestyle. Girls should learn from her ❤❤❤❤❤

  • @zeyounhabibty8587
    @zeyounhabibty8587 4 місяці тому +16

    Mungu wangu ivi nikweli ukizaa mapenzi yote yanaenda kwa mtoto mke thamani na mapenzi yanashuka
    Zipo outing za mke tu na zipo outing za familia huwezi kusema haiwezekani mimi na ww lazima alia mwisho wa maisha alia anaondoka nyumbani anakuacha na mkeo mloanza mmoja wote hii sio sawa nafkiri wanaume mjirekebishe hapo, upendo wa mwanamke na mtoto tafauti boresheni ndoa zenu , wanawake wengi ndani ya ndoa tunaishia kulea watoto na kubaki kupenda nafsi zetu na watoto mapenzi tena yanakufa kabisa badala ya kuchoka kuyapambania , mjirekebishe wanaume ule upendo wenu , ila sio wote wapo wanaume wazuri tu tena sana wanao onesha upendo still kwa wakezao na kuwadekeza yarabi wanaume hawa wape umri mrefu ❤

    • @Ms_.Jada.
      @Ms_.Jada. 4 місяці тому +2

      Yan shoga umeongeaa kweli kabisa , yan uuu no ukweli ambao wanaume hata waukataee vipi itakuja kuwacost haya mambo ndo yanafanyaga wanawake tuanze kufanya sirii haya ndo yanafanya ukikutana na mwanaume ankutunza anakispoil unabadilika alafu wanaanza kualalamika yan leo nimemuelewa happy vzuur mno alafu wanawake waelewa hatutakagi mazawaadi makuubwaa yani ni tule tu vitu tudogoo ila unaona yes mwanaume ananijali ni bhas tu wanaume hawajui

    • @HassanAli-dd3fv
      @HassanAli-dd3fv 9 днів тому

      ❤❤❤❤

  • @kilalomaerlymauya6632
    @kilalomaerlymauya6632 4 місяці тому +17

    sema happy amenyooka sana madhaifu anayo kidogo sema yuko vzuri beka tunza huyu demu kakuvumilia sana

  • @nafuwswedi2465
    @nafuwswedi2465 4 місяці тому +8

    Alhamdulilah🙏🏾🙏🏾🙏🏾Mungu ametenda🙏🏾🙏🏾na Mungu awaongoze….TRUE LOVE NEVER DIE ❤❤Nawapenda sana

  • @lilianestephanie7881
    @lilianestephanie7881 4 місяці тому +12

    Wanawake ndivyo tulivyo. Yaani happy unayoyaongea ni kweli

  • @nuryatmussa9966
    @nuryatmussa9966 4 місяці тому +16

    Mapenzi hayana uzee beka lazima utenge Muda mtoke wawil

  • @mercypeledawson1622
    @mercypeledawson1622 4 місяці тому +21

    Huyu dada ni vigumu sana kumsoma, so kwa wote mliotoa negative comments mnakosea sana jmn

    • @nin6324
      @nin6324 4 місяці тому +5

      Kwanza Happy ndio anampenda zaidi Beka. She is a wife, mom, a good partner. Beka you are loved by a Tanzanite keep it

    • @RuqqyahFeisal
      @RuqqyahFeisal 4 місяці тому +2

      Upo sahihi huyu dada wamemuelewa vibaya

    • @RuqqyahFeisal
      @RuqqyahFeisal 4 місяці тому +3

      Yah huyu dada anampenda sana mwanaume wake

    • @jescachandarua5898
      @jescachandarua5898 4 місяці тому +3

      Kbsaa wengi hawajamuelewa iyo mbn kawaida kwenye mazungumzo

    • @shuhudiamtasiwa6646
      @shuhudiamtasiwa6646 4 місяці тому

      Happy ni mke sema huyu kaka anashida kwenye kujali hisia ya happy so happy anaongea kama anamkazia mpaka anaonekana kama anajiamini ni kama anapoteza radha ila mimi nimemuelewa sana na hakika beka asipobadilika na kumuelewa happy ataondoka tena siombei itokee ila beka abadilike

  • @Ms_.Jada.
    @Ms_.Jada. 4 місяці тому +6

    Ama kweli don’t judge a book by look it’s cover, Happy nilikuwaga namuona mwanamke flan hvii kumbe sio yan happy jins ulivo na vyote unavyovitamani ni kama sisi wanawake tulivo hapa ndo nimejua shida ipo kwa bekaa beka have to change , happy ni mwanamke mzuuri mnoo na anaweza kupata mwanaume wa ndoto zake any time ila kwa heshima ya beka ndo mana bado yupo nae ila beka akiendelea kuzingua ipo siku haapy atachoka kabisaa .

  • @sophiaremmy6326
    @sophiaremmy6326 4 місяці тому +10

    Beka ana u mimi mwingi sana…punguza kidogo kaka mu enjoy maisha

  • @irenembura8045
    @irenembura8045 4 місяці тому +11

    Huyo ni Wife material na yuko straight forward. Kuongea ni sawa mrafi anaongea point! Beautiful couple!

    • @andrew0502
      @andrew0502 4 місяці тому

      Anaongea huyo mmmh

  • @GloryMaiko-yz6bq
    @GloryMaiko-yz6bq 4 місяці тому +6

    Jamani mbona uyu dada yuko sawa ty me sijaona kama anakosea ❤yuko sawaa

  • @hamidaabdul6004
    @hamidaabdul6004 4 місяці тому +7

    Watching from UK if you are not careful this woman is leaving you very soon wanawake tukianza kuongea hivi ujue tunachungulia kwingine na karibuni utatokwa .

  • @fatumahussein9764
    @fatumahussein9764 4 місяці тому +5

    This is me happy wallah I'm trying hard to shape my ❤ men think we need rich men to enjoy life hawajui vitu vidogo vidogo tukifanya pamoja vinatufanya mapenzi yazidi

  • @RuqqyahFeisal
    @RuqqyahFeisal 4 місяці тому +16

    Mbona huyu bint hana shida jmn,mnamponda bure tu jmn

  • @TegemeoFitina-cj4vr
    @TegemeoFitina-cj4vr 4 місяці тому +2

    Mumevumiliana mambo mengi sana sasa niwakati wa kufunga doa ❤❤❤❤❤

  • @fatumahussein9764
    @fatumahussein9764 4 місяці тому +3

    And to my mum Alhamdullillllah she tried to keep beautiful moments to me n my bro tulienjoy akii na si etii alikuwa rich

  • @trice_yanga
    @trice_yanga 4 місяці тому +12

    watu wa comment mnaniua mbavu😂😂😂🙌🙌beka acha ubahiri mpeleke happy vacation hata mara moja kwa mwaka😃

  • @PrincessHellen-pg1oy
    @PrincessHellen-pg1oy 4 місяці тому +8

    Kujishusha ni kwa wanawake na wanaume

  • @naseershiner6738
    @naseershiner6738 4 місяці тому +15

    Wangap wameiangalia interview mwanzo mwisho Kama Mimi ?

  • @everlisamsyananah1867
    @everlisamsyananah1867 4 місяці тому +3

    Mungu awatunze naipenda sana hii couple....msisikilize ya watu

  • @user-fy9pw2zr8l
    @user-fy9pw2zr8l 4 місяці тому +5

    Beka wew hujali kwenye mapensii wew kubali maana sisi wanawake tunataka kujaliwa

  • @jamilahemed5131
    @jamilahemed5131 4 місяці тому +15

    Happy alichoongea yupo sahihi nawatu mnamuelewa tofauti tu lkn 👎

  • @user-fx7ig1uy6t
    @user-fx7ig1uy6t 4 місяці тому +5

    Happy ni mimi kabisa na sio kwamba hampendi beka ni vile watu hawatuelew kwa haraka

  • @ClaireHappy
    @ClaireHappy 4 місяці тому +15

    Guys mbona mnamsema san uyu Binti? Mbona yuko vzr anaongea kwa adab na hekima na Anamapenz mengi kwa baba mtoto wake achen ushamba

  • @israeluronu9958
    @israeluronu9958 4 місяці тому +3

    Kwenye mahusiano mwanamke akikusoma hakiliyako mapema akajua kucheza nayo watu wanaeza sema amekuchezea ufahamu..Beka mkeo kashakusoma kwamba kwake hupindui, kama umempenda kubali kubali kujishusha ilimradi maisha yenu yaende, ila angalia usiwe mtumwa wa hayo mapenzi.

    • @andrew0502
      @andrew0502 4 місяці тому +1

      Hicho ulichokimalizia mwishooni Cha utumwa ndo huyu mwanamke anataka sasa koz ashajua Beka amependa kweli kweli so yeye anataka Kila kitu anachomwambia Beka afuate, sio rahic ivo hata km mtu umpende vp

  • @user-en6kf2db6f
    @user-en6kf2db6f 4 місяці тому +14

    sema huyu Dem nimemuelewa beka do hamuelew mtu wake anapenda nn🙄

  • @user-cb3yy8tp2u
    @user-cb3yy8tp2u 4 місяці тому +11

    Sema beka mwanamke ni mzuri sana sema tabia yake hamuwezi kuendana kiujumla Hana adab kabisa na anataka awe juu Yako

  • @aminanamoyo83
    @aminanamoyo83 4 місяці тому +25

    Kweli binadam hakuna asiye na mapungufu Happy yu mrembo mashallah but unaongea sana mummy pia mbishi jirekebishe sometimes acha mambo yapite mtadumu Beker anakupenda ❤

  • @NickTrickaddictedboy18
    @NickTrickaddictedboy18 2 місяці тому

    NI MUDA WA MIEZI MIWILI NIKIISIKILIZA HII STORY, NILIKUA NACHEKI THEN NASTOP HATIMAYE LEO NIMEIMALIZA MPAKA MWISHO. WOW WHAT A NICE LOVE STORY OF YOU GUYS. MBARIKIWE KWA KWELI. LOVE FROM MAPUTO, MOZAMBIQUE I GO FOR THE NAME OF ARCHITECT - NICKSON KIMARO. HOLAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
    😉😊😊😊😊😊😊

  • @iamcurthbertvevo5302
    @iamcurthbertvevo5302 4 місяці тому +4

    Huyo glory anaeongelewa hapo si ni glory mosses au

  • @khadijarashidy9304
    @khadijarashidy9304 4 місяці тому +6

    Kipind kizuri ila mnatucheleweshea sana Jaman 😢😢

  • @tausimohammedy
    @tausimohammedy 4 місяці тому +7

    Masikini happy msome huyo baba Hana hela tu but anapenda afanye ivyo😂

    • @sund2553
      @sund2553 4 місяці тому +1

      True nimewza hivyo

  • @gmako6
    @gmako6 3 місяці тому

    yes, don't compare both of you find something mutual. Love is sacrifice.

  • @user-rv4wm7ov3s
    @user-rv4wm7ov3s Місяць тому +2

    kumbukeni hii ni interview ndo maan uyu anaongea na uyu anaongea ili nyie muwaelewe wala sio ubabe wala kuwa juu zaidi.....mi nmewaelewa sanaa na ndo maan wameelezeana best moment zao kama walikua hawapendani wasingefikia apa😂acheni makasiriko nyie watu😂😂😂

  • @lisajulis1512
    @lisajulis1512 4 місяці тому +12

    Wanawake wote mkiwa kama happy mtaheshimiwa ujinga ujinga utapotes😂

  • @petermwamanga724
    @petermwamanga724 4 місяці тому +4

    This is so called Perfect Combo I luv it and wish u guys best life ever

  • @DianaWilly-mr2pf
    @DianaWilly-mr2pf 4 місяці тому +4

    Maisha ya nyumbani usipekeleke kwenye ndoa yko

  • @princessvai6
    @princessvai6 4 місяці тому +4

    Tunataka our love story ya mentor cherry na Elton please ipost na iyo🙏🙏 but kipindi kizuri sana🎉

  • @babunabibii
    @babunabibii 4 місяці тому +5

    mimi Kuna mmoja namtafuta message Moja kwa siku sijui kama tutafika huko.

  • @Mwanasconcho_
    @Mwanasconcho_ 4 місяці тому +5

    Mmetisha sana aseee na story yenu😊

  • @user-dy6mx4yc6y
    @user-dy6mx4yc6y 4 місяці тому +2

    Bwahahahahha yan Haya n mahusiano yangu kbs na stor zetu huwa hivyohivyo😅Halaf happy ni mimi kbs af kwa mbele yan zaid with beka vois😅

  • @AggyBarick-fh9wv
    @AggyBarick-fh9wv 4 місяці тому +4

    Beka bahiri jamani ,mmmh

  • @HidayaNgala-uk8tt
    @HidayaNgala-uk8tt 4 місяці тому +22

    Uyo mwanamke anakupenda sana sana SEMA tu anataka awe juuu yako, ila sisi wanawake ndo tulivo

    • @belak999
      @belak999 4 місяці тому +2

      Labda ww ndio unataka kuwa juu ya mwanaume,

    • @everlyne8595
      @everlyne8595 4 місяці тому

      Tatizo nyota

    • @sophiaremmy6326
      @sophiaremmy6326 4 місяці тому +2

      Kutamani uonyeshwe mapenzi ndo unasema anataka awe juu yake au sijakuelewa mtoa comment

    • @itikamlagalila1911
      @itikamlagalila1911 4 місяці тому

      ​@@sophiaremmy6326si ndo apo

    • @rehemayona2223
      @rehemayona2223 4 місяці тому

      Ndio kweli anataka kuwa juu ya mumewe😂😂

  • @user-fz2qd5px1d
    @user-fz2qd5px1d 4 місяці тому +3

    Beka anaongea sana kuliko happy
    Hampi chance😂

  • @Fx_expertmoneymaker001
    @Fx_expertmoneymaker001 4 місяці тому +1

    Mwanaume kitombi alaf mnam protect.. Alikosea ndio, tabia zake zilikua mbaya 😮

  • @ninjaisma7983
    @ninjaisma7983 4 місяці тому +1

    Dem wako anapenda sana exposure not bad lakini tu asikuumize sana kila anachosema kiwezekane noo ..sometimes akuskilize ww mwanaume pia asikuforce everything ❤

  • @vumiliamadoshada4218
    @vumiliamadoshada4218 4 місяці тому +4

    You both looking Good. Na nimependa interview yenu. Nyie wote wapole. Ebu Mu sort out tofauti zenu ili muchunge watoto zenu vizuri ❤

  • @user-ve7xq9ov9u
    @user-ve7xq9ov9u 4 місяці тому +1

    Mungu andeleye Ku wapa uvumilivu,yaku vumiliyana🎉❤

  • @hbizzymelodist1344
    @hbizzymelodist1344 4 місяці тому +3

    Bro jaribu ku -shape mwanamke wako hawezi kukukalia publicly hata kama unakoseaga vingine mwanamke wa hivi kumfurahisha ni ngumu sana

  • @djbegge_tz
    @djbegge_tz 4 місяці тому +2

    Wow....hii love story nmeipenda

  • @esterdoriye8377
    @esterdoriye8377 4 місяці тому +3

    Wanawake tusikilize dk ya 31:00 kuendelea 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅acha nicheke ndo tabia zetu wanawake ila wanaume kama beka huwa ndo wanafuture nzuri tuwe wavumilivu kama happy😅😅😅😅😅😅😅 @happy ni mimi kabsa 😅😅😅😅

  • @khaykaw
    @khaykaw 3 місяці тому

    Sio kweli eti wazee wasienjoy moments za wawili. Kuna watu Wana watoto hata 5 na wanaenjoy wenyewe. Wanawake ndo haya mambo tunapenda.

  • @walizanasiri4963
    @walizanasiri4963 4 місяці тому +4

    Yani uyu ni mimi kabisa mtu unamwambia jambo moja kila siku😂😂😂 sipendi nikimwambia kitu kila siku ichoicho kaaah nalikasilikiaga ilo😅😅😅😂😂

  • @ngwacahnyagwaswa9979
    @ngwacahnyagwaswa9979 4 місяці тому +3

    Hapa nachoona mwanaume siyo mtokaji mwanamke mtokaji ❤ kaka m spoil kidgo 😂 ka mamaa😂

  • @Sindiiigirll
    @Sindiiigirll 4 місяці тому +8

    Such an immature man😢,Yupo na wewe just because unamtoto wake girll please runnnnn

  • @MariaThomas-wm9iq
    @MariaThomas-wm9iq 4 місяці тому +4

    Happy nimm mtupu cpend mwanaume anevaa heren

  • @bosschick2417
    @bosschick2417 4 місяці тому +6

    What a nice couple in the world 🎉❤🎉❤❤

  • @nanaleetz
    @nanaleetz 4 місяці тому +4

    2015 mm namaliza form 4 ndo rumors kuhus beka na aslay zikaanza

    • @user-ou3rc4rr2j
      @user-ou3rc4rr2j Місяць тому

      Mimi nilikuwa la tano 😂😂😂😂😂

  • @madalanasri2226
    @madalanasri2226 4 місяці тому +2

    Beka usikaze sana mtoe out mpenzi wako

  • @user-xz2vl8up5e
    @user-xz2vl8up5e 4 місяці тому +1

    mungu awatie nguvu muwe pamoja maisha yenu yote mnapendezana Sana

    • @IssaRenad
      @IssaRenad 2 місяці тому +1

      amna mke umo at

  • @bosschick2417
    @bosschick2417 4 місяці тому +5

    😅😅😅😅😂 happy ana wivu sanaaaa 😂😂😂❤❤❤❤

  • @zepinashatibu5149
    @zepinashatibu5149 4 місяці тому +2

    ❤❤nimewapenda sana mnafaa muigize nyie 🎉

  • @zepinashatibu5149
    @zepinashatibu5149 4 місяці тому +2

    Muoe kweli mzae watoto wengine wazur kama katoto kwenu

  • @pendokissatu937
    @pendokissatu937 4 місяці тому +5

    Hiki kipindii Ni Kitakuja Kuwa Kikubwaaa sanaaaaaa Keep Going ❤

  • @happyalbert5089
    @happyalbert5089 4 місяці тому +3

    Hapo pa kupenda wakwe Happy umenibariki sanaaa,mtafika mbali.

  • @tropperben-xw5xr
    @tropperben-xw5xr 4 місяці тому +3

    happy and beka you are good coup may be blessed , happy you know how to love in my on opion happy are greatest queen who knows how love a good caring man

    • @naah884
      @naah884 4 місяці тому

      Usiwahi kuandika kingereza ni aibu😅

    • @rockyvlogs2214
      @rockyvlogs2214 4 місяці тому

      @@naah884😂😂😂😂

  • @alexsudi
    @alexsudi 4 місяці тому +2

    Hii ni love story 1:12:41 sio mabisho tena

  • @user-uj5wg9mm2t
    @user-uj5wg9mm2t 4 місяці тому +6

    Mmmh huo mguu wa happy na yeye haviendan😂😂😂😂😂😂mguu kn fimbo ya pull

  • @kidatokassim7616
    @kidatokassim7616 4 місяці тому +1

    Hiki kipindi kinapemdeza nice idea to this channel mmekuja na utofauti keep up the good work lakini mlete wanandoa mashuhuri kinanoga zaidi

  • @user-oh2lq5vs1x
    @user-oh2lq5vs1x 4 місяці тому +4

    ❤ujana maji ya moto kazi bado tunayo 21:33

  • @user-ih9cw2nc2m
    @user-ih9cw2nc2m 4 місяці тому +19

    Huyo mwanamke anaonekana mjuwaji sanaaaaaa na Hana Hali ya kujishusha kwa mumewake, nimtu anayependa awe juuuu tu Becka kuwa makini sanaaaaa maana Bado haja juwa kama Yuko na umuhimu gani ktk moyo wako anajiangaliya sana nafsi yake yaani nimtu wa mbinafsi, wale kutenda atendewe mwenzake lakini siyo yeye anaonekana mgumu kusameheee

  • @Hajer-be2kh
    @Hajer-be2kh 4 місяці тому +4

    Hiki kipindi hakijavutia 😂😂 hakuna hata mahaba mahaba mana hapo ni wanagombana tu

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 4 місяці тому

    Yan hapa ninavyoona mim Hawa wamekuwa kwenye mapenzi lakin Kila mtu anamtazamo tofauti...Yan hawaendan kitabia ...alafu wamekutana wote wabinafsi na wabishi..ila hawaendan kitabia,,sijui kama wataishi pamoja zaid

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 4 місяці тому +13

    Beka apa kazini kwake kuna kazi aiseee mwanamke anaongea sana looohh 🙌🏻

  • @agriparose3942
    @agriparose3942 4 місяці тому +16

    Beka angalia sana huyu mwanamke Hana adabu wala hawezi kua chini yako we unaonekana hupondui kabisa kwake nae keshajua udhaifu wako

    • @itikamlagalila1911
      @itikamlagalila1911 4 місяці тому +1

      Aina hii ya ushauri ni wa uharibifu,huyu dada kanyooka she is just perfect.

    • @erycah
      @erycah 4 місяці тому

      ​@@itikamlagalila1911kweli, wanaume wengi wanataka wanawake wasojielewa ili wawburuze, sema happy anajielewa na ajaua anataka nini, washazoea wanawake ni wa kudanganywa danganywa tu

  • @MaulidMuongelwa-dw9gj
    @MaulidMuongelwa-dw9gj 2 місяці тому

    Beka ana uswahili flani wa zamani lakini upendo anao ila akijirekebisha maisha ya mahusiano yenu yatakua matamu

  • @Official_Stephano
    @Official_Stephano Місяць тому

    Kuna mjinga mmoja alipendwa na kila mtu na hakujali akasepa😥🙌🏿

  • @elijahm.muthini
    @elijahm.muthini 4 місяці тому +8

    Beka kaa rada huyu mwanamke penda sana kumsikiliza idea za wanawake ndio mara nyingi sisi mwanaume tunatumia kujengea familia👌

  • @athumanijumajuma5224
    @athumanijumajuma5224 4 місяці тому +5

    Love is beautiful thing

  • @agriparose3942
    @agriparose3942 4 місяці тому +5

    Kaka Kuna wanawake wareeeembo zaidi ya huyu waliopo tayari kua chini yako kukuskiliza na kutulia ndani mkajenga maisha huyu kwanza yupo juu yako pili alivyolelewa ni tofauti na wewe 3 anapenda maisha ya ku spend na mbaya zaidi anaweza kujitaftia na kama alivyoongea ataenda vacation mwenyewe..kazi kwako kukubali kua chini ya mke na kufanya atakacho nje ya hapo jiongeze

    • @Mwananchii
      @Mwananchii 4 місяці тому +1

      Acha uchawi! Akumuacha utapata nini kwa mfano?
      @ Beka na Happy,We can see you love each other.
      Mungu awatunze🙏🏽

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 4 місяці тому +4

    Beka dinner date nikuzurula😅🤸

  • @ericwanny5500
    @ericwanny5500 4 місяці тому +1

    Nimesikiliza dakika ya 31-35 uummmhhhh panahitajika councillors 😮😢

  • @CheopsByamunguethienne
    @CheopsByamunguethienne 4 місяці тому

    Poa❤ kbs mnafaa kuwa walimu kweli

  • @isayabendera
    @isayabendera 4 місяці тому +4

    Hii ime turn kuwa argument. Shori anaongea sana.

  • @PrincessHellen-pg1oy
    @PrincessHellen-pg1oy 4 місяці тому +4

    😂😂😂😂 ila happy mbishi sana lakini beka hajakosea kumpiga maana Kuna Ile mwanaume Ana hasira mwanake ajishushe na hiy kusema happy alirudi alafu kapita chumbani ndo akatuma hapo amekosea alipaswa kusalimia akwanza ila ushauri kwa beka tu akishamjua mtu wako we ishi nae tu hivyo hivyo

  • @___ace___
    @___ace___ 4 місяці тому

    hawa wawili wanapendana sana. get married!!!!!

  • @edinakyaruzi9226
    @edinakyaruzi9226 4 місяці тому +1

    Angekuweka hapo kabisa kupitia yeye umemjua yeye baba watoto wako

  • @ramaahke512
    @ramaahke512 3 місяці тому +2

    New subscriber tokea tiktok😊

  • @user-xu2gq5cj6s
    @user-xu2gq5cj6s 4 місяці тому +8

    Mahusiano Yao wanafosi tu ila hawaendani kiakili kimtanzamo wala kimalengo

  • @Mary-ni1su
    @Mary-ni1su 4 місяці тому +3

    Jaman walete navykenzo hapa

  • @user-qh2cl3yb1m
    @user-qh2cl3yb1m Місяць тому

    Jamni mm Sina mpenzi but Nina story ya kusher na watu wanipenushauri ivo😢😢😢😢😢

  • @ezekielgeorge7389
    @ezekielgeorge7389 4 місяці тому +2

    Hiki kipindi kipo poa 🎉 sana congratulations

  • @user-zf6sc8eh2d
    @user-zf6sc8eh2d 4 місяці тому

    Naskia ni kama happy anasimulia story yangu

  • @aimborannko4048
    @aimborannko4048 4 місяці тому +2

    Ukishampiga mkeo noma

  • @tanzaniayetu5935
    @tanzaniayetu5935 4 місяці тому +4

    Happy a4cus na namisha ,,sema anapnda bata

  • @JacqDaniels-hu5xj
    @JacqDaniels-hu5xj 4 місяці тому +3

    Hawa hawafiki mbali watu wa h. N ngumu kuishi coz Kila mmoja anataka kuwa mshindi sana mwanamke

  • @teddymosha1376
    @teddymosha1376 4 місяці тому +3

    Hapo ni kweli kabisa dada teddy salon hiyo story naijua

  • @azorindege3583
    @azorindege3583 4 місяці тому +14

    Dk 10 nzima wanabishana😂😂😂😂😂 shemej mjuaji balaaaa😅😅😅

  • @shangwecharles9234
    @shangwecharles9234 4 місяці тому

    Happy ana vitu vidogo vidogo vingi ambavo vimeumiza moyo wake na alishakata tamaa ila imani ndio inamfanya aendelee kua na mahusiano na beca lakin kuna mapenzi ya thaman kabisa yamesha toka

  • @jenestermerchades9111
    @jenestermerchades9111 4 місяці тому

    Bidada ndio mpendaji saana, kumbe hii inawezekana? 💏