CHERRY afunguka anavyoishi na mpenzi wake ELTON bila kumuambuza virusi , tunapendana sana ,hatujali

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 35

  • @allyomary2271
    @allyomary2271 10 місяців тому +1

    Hongereni sana kwa kujiamini kiasi hicho jamii inamtazamo hasi sana juu ya swala hili

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 10 місяців тому

    Kweli mwanangu,uko sahihi👍👍👍

  • @RashidAbubakar-qw6pl
    @RashidAbubakar-qw6pl 10 місяців тому +3

    Dada uyu nimkweli kabisa ata mimi nimewai kuwa kimausiano na dada alikuwa na hiv lakin mpaka sasa mimi nimzima

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 10 місяців тому +1

    Hatari mungu anisuru na kuishishi na mtu mwenywe ukimwi siyo rahis mungu anisuru ishaalah na mtu mwenywe maradhi ya ukimwi sihitaji yarabi 😢

  • @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج
    @فاطمهفاطمه-ش2ز9ج 10 місяців тому

    😢😢😢mmhhh mnaigiza AU kwel ,,,huo ujasiri mmeutoa wap,,,mbn mie naogopa

  • @jeremiahmtui6822
    @jeremiahmtui6822 10 місяців тому

    Mungu awatangulie na asanteni sana kwa elimu hii

  • @luminyaelias3688
    @luminyaelias3688 10 місяців тому +2

    Congratulations bro

  • @BeatriceDeogratius-u7e
    @BeatriceDeogratius-u7e 10 місяців тому

    Bro mungu akubariki

  • @shukurukitamuka6829
    @shukurukitamuka6829 10 місяців тому +1

    Uyo kk Ana tumia vindongo vyakujilinda naukimwi, ivyo vindongo unavinywa week Kisha ndo unafanya mapenzi ila Kilasiku unatumia kimoja, hapo kila ukilala na mtu wa ukimwi uhuwezi uchukuwa ukimwi

  • @NeemaSamson-ti8pc
    @NeemaSamson-ti8pc 10 місяців тому

    😄😄😄😄😄unanichekesha bwana sio hivyo anaishi miaka mingi tu kama mtu mwingine

  • @sofiagao6396
    @sofiagao6396 4 місяці тому

    ❤❤❤

  • @Charz_lamar
    @Charz_lamar 10 місяців тому

    Dah ngja nkapime🤕

  • @pascalvirgilio7208
    @pascalvirgilio7208 10 місяців тому +1

    PREP MEDICINE

  • @mrishomkolela4633
    @mrishomkolela4633 10 місяців тому

    Exactly

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 10 місяців тому

    INAKUWA LAKIN SIO RAHIS KAMA INAVYOONEKANA,,,,,MASHARTI KILA KUKICHA MPAKA KIFO CHENU..(NI NGUMU)

    • @gladnesstarimo6035
      @gladnesstarimo6035 10 місяців тому

      Masharti ni kwamba ni kumeza dawa kwa muda sahihi kila siku, kula vizuri, kutokutumia vilevi kabisa, kuacha umalaya kabisa na kuwa na mpenzi mmoja mwaminifu kwa asilimia zote.... Hayo ndiyo masharti ya muhimu na basic, ambayo watu wengine huona ni magumu mnooo, wao wameyaweza ndio maana ikawa rahisi kama hivyo unavyoona..... Usipozingatia hayo masharti,,,,, mambo yatakuwa magumu kama ndoto ya kujenga angani kwenye mawingu.... Na masharti ndio hayo sasa..... Sasa ndio mjifunze ilikusudi wanaume muache mfumo dume wenu wakusisitiza umalaya mpaka kwa watoto wenu wa kiume mkisema ni urijali, shida ipo waziwazi, shetani hana huruma na binadamu kabisaaaa siku zote anakoleza asali kwenye sumu kali anakupa bure tu, binadamu unachekelea unaona ume win kumbe umeshayatimba...... Kwani hivyo Virusi Vya Ukimwi ni uumbaji wa Mungu au ni vya asili?,,, hivyo virusi vipo kuwafadhaisha wanadamu na ni tishio mpaka kesho, labda kama itapatikana dawa ya kutibu..... Ila kwa Sasa masharti ndio hayo....

    • @amoonatnzani9834
      @amoonatnzani9834 10 місяців тому

      😂😂😂😂😂😂😂

  • @selemanikungu8039
    @selemanikungu8039 10 місяців тому

    😂😂

  • @FelisterMunissy
    @FelisterMunissy 10 місяців тому +1

    Ww kaka unaishi na mtu mwenye ukimwi umeamua kuingia kwenye geneza mwenyewe kisa ngono yani ww huenda unao elemishe nn wakati ameoza huyo hamna kitu huyo anakufa mda wowote kumbe ulikuwa malaya shetani ww unajidhalilisha ww kaka kimbia geneza hilo ni kaburi liko njiani hakuna kutoka mvi huyo anakata moto mda wowote

    • @husseinbakary1969
      @husseinbakary1969 10 місяців тому +1

      Daaah kuwa na stara basi we mbwa

    • @GOMAGOMA-o2e
      @GOMAGOMA-o2e 10 місяців тому +1

      Ume​ona pia ww yuko na hasira kama ni ex wake😂😂

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 10 місяців тому +1

      Wewe likimbie jenezq hivyo hivyo, kwanza huyo unayelala nae mmepima

    • @aminakilingamoyo6945
      @aminakilingamoyo6945 10 місяців тому +2

      Hivi wewe mzima kweli? Eti kimbia jeneza acha ujinga,tatizo lako unaona uko salama wakati Wala hujapima, acha kunyanyapaa wenzio ni tabia mbaya sana Tena sana

    • @jamaa_17
      @jamaa_17 10 місяців тому +2

      Hata wewe utakufa tafuta mtu akupende acha WIVU

  • @billimambo9517
    @billimambo9517 10 місяців тому

    Jamaa ana uhakika atakula peke yake