Taarab: Riziki

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 152

  • @zubedasongoro5537
    @zubedasongoro5537 Рік тому +4

    Kweli kabisa maneno yako watu huwa hawapendi ufanikiwe. Watakuandama kwa maneno na husda hawakumbuki mwenyezi mungu humpa kila mja amtakae. 🤲🤲🤲

  • @wemamwahima2527
    @wemamwahima2527 3 роки тому +11

    Riziki mwanzo wa chuk...acheni roho za kutu mpanda gazi hushukaa....mungu c mjomba w mtu mungu ana mshirika.....ina husu la kwko swaiba

  • @مريم-ه2ز9ق
    @مريم-ه2ز9ق 3 роки тому +3

    Mwacheni Allah aitwe Allah mengi kayajua mapema hangekua kamchagua wakitoa riziki walai basi angewajua watu wake ndo mahana Allah nikaze yake ya riziki riziki mwanzo wa chuki kweli Yani 💯💯

  • @tinamsumari9480
    @tinamsumari9480 5 років тому +14

    Kama unaamini Mungu sio mjomba wamtu pia hana mshilika gonga like twende wote 2019🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @Salama-p7w
    @Salama-p7w Рік тому +2

    Niweje niambien walimwengu mtaridhika nilivyokuw NA hali duni mlinisimanga NA kunicheka good song from Dubai desember 20023❤

  • @husseinremmy5762
    @husseinremmy5762 10 місяців тому +6

    Niko hapa 9/1/2024 ❤ hakika miaka inaenda kasi sana wakati hii inatoka nilikuw na miaka 18 sasa nina miaka 31 😅

  • @sakinaabd5898
    @sakinaabd5898 9 років тому +4

    acheni roho za kutu mpanda ngazi huchuka, Mungu simjomba wake mtu wala hana mchirika, sadakta dada khadija makauli poa many thank's kuwakumbusa binaadamu

  • @sakinaabd5898
    @sakinaabd5898 9 років тому +3

    hiyo ndo kibinaadamu, ukipata rizki jua kua huo ndo mwanzo wachuki dadaangu kama usemavyo, kununa kwao ni kawaida, kucheka ni bahati mbaya.nyimbo nzuri na sauti maashallah

  • @khelefomary4486
    @khelefomary4486 2 роки тому +1

    Hakika katika nyimbo zote alizoimba huyu bibie hii ni mzuri sana manake imeambatana na mahubiri jamani anafundisha na kukataza jambo mungu si mjomba wa MTU wala hana mshirika

  • @fatmaramadhan2463
    @fatmaramadhan2463 6 років тому +4

    nyimbo inanifaa kabisaa..mungu si mjomba wa mtu mungu hana mshirika.

  • @jeniphersechere1054
    @jeniphersechere1054 Рік тому +2

    The best Taraab Swahili song ❤❤

  • @ramadhanmohamed1290
    @ramadhanmohamed1290 Рік тому +2

    mnatetemesha jaman, wimbo mzuri napenda kuusikiliza ,hasa kipind cha shida

  • @amenajomasalman2294
    @amenajomasalman2294 7 років тому +3

    where lam bowaz but khadija Yusuf makes me feel at home longlive khadija

  • @aishaallyb8718
    @aishaallyb8718 6 років тому +4

    pambe Tuuuuuuu.Mungu sio mjomba wa MTU Mungu hana Mshirika.penda sana jahazi Mimi.

  • @haneefaomer6386
    @haneefaomer6386 4 роки тому +13

    2020 Oyeeeeee👌

  • @imeldabamba3779
    @imeldabamba3779 5 років тому +4

    Nampendaga Khadija jmn, ana kasura kazuri km mtoto mchanga pia sauti nzuri km chiriku😘😘👌👌👌👍👍👍

  • @TeamSelekta
    @TeamSelekta 2 місяці тому +2

    Muziki wa taarabu ndo mziki uliozalisha mziki wa singeli bila taarabu akuna singeli coz tujue hilo 22/9/2024/

  • @jumasalum1863
    @jumasalum1863 5 років тому +2

    Tutazikumbuka sana taarabu zakale zina ujumbe natunzi zilizokwenda shule

  • @christinajonas374
    @christinajonas374 5 років тому +23

    gonga like shear na kucomment 2019 never die 👌🏼❤️

  • @gggjjahhhh9419
    @gggjjahhhh9419 6 років тому +5

    Teynaaa yameshatukuta hayoo kupata riziki tu kdg huhuhuuuh imekua shida mpaka tumenuniwa kweli riziki mwanzo wa chuki naaaam

  • @denakennedy5756
    @denakennedy5756 4 роки тому +5

    Kweli kabisa, wanadamu wengine washangaza sana, yani hutaka wapate hao tu.

  • @kombakomba7922
    @kombakomba7922 3 роки тому +2

    Hongera mpaka 2021 inanikosha sanaaa

  • @ZabibuHassani
    @ZabibuHassani 3 місяці тому

    Juzi Jana Leo na kesho bado naipenda

  • @youngtizotz617
    @youngtizotz617 6 років тому

    Pambeeeee.kwakipi nikununie ww wakat yangu yananinyokea penda sana many fety
    Kutena kwa zamu zamu yangu imefka kunipokonya vigumu wangu mtaangaika. Nic song

  • @dekhajamac3213
    @dekhajamac3213 8 років тому +12

    haya ni mafanikio yangu ndio kipimo cha utu nimewajuwa maadui zangu waja wenye roho za kutu wanitazama kwa husda uso mkavu hawana haya kununa kwao ni kawaida kucheka kwa bahati mbaya

  • @singilamoki4152
    @singilamoki4152 3 роки тому +3

    Am here 2021 nipe like utamu wallahi

  • @ramadhanmohamed1290
    @ramadhanmohamed1290 Рік тому

    mbarikiwe sana kwa kazi nzuri

  • @mamaajembe3289
    @mamaajembe3289 Рік тому

    Naipenda Sana hiii nyimbo❤

  • @paulinamartin4063
    @paulinamartin4063 7 років тому +12

    nimependa sana wimbo wako huu unapojaribiwa

  • @emmanueljuma1175
    @emmanueljuma1175 3 роки тому +1

    Swadakta mama zidi kuwapasha waja wenye uraibu wa kuwa na wivu hata kwa watu ambao si jama zao

  • @janifermichael3706
    @janifermichael3706 4 роки тому

    Asante bi khadija ujumbe umefika👌🏾😻

  • @milkaauma6312
    @milkaauma6312 4 роки тому +1

    😍😍binadamu kazi

  • @supu1237
    @supu1237 Рік тому +1

    Hapo sasa❤

  • @zaynabrichard5397
    @zaynabrichard5397 6 років тому +2

    Hatarii sana dada khadija miaka mia nane mama

  • @saylily_xav7705
    @saylily_xav7705 4 роки тому +2

    2020 November 20 still best of my taarabu 👌

    • @saylily_xav7705
      @saylily_xav7705 2 роки тому

      Still listen this December 25 marry Christmas 2021

  • @salumhafidhi3323
    @salumhafidhi3323 3 роки тому +3

    09/03/2021 still listen

  • @twahamohamed
    @twahamohamed 14 років тому +2

    Sauti bomba sana,mashaili yamepangika,ujumbe maridhawa na mpangilio wa vyombo unahitimisha ubora wa kibao hiki.Khadija unastahili kila namna pnngezi.Hakika umetulia.

  • @bahatijiulize9344
    @bahatijiulize9344 5 років тому +2

    Aaaadija weee tamu kuliko jamaniii

  • @asyadezz1939
    @asyadezz1939 5 років тому +3

    Mungu hana mshirika heheheee dija ngoma hii hunimalixaga

  • @jumannerashidi8100
    @jumannerashidi8100 3 роки тому +2

    Acheni roho za kutu mpanda ngazi hushuka
    Huu wimbo Ni Zaid ya baraa.

  • @maryamali8585
    @maryamali8585 4 роки тому +3

    2020 wa kwanza mungu kanipa afueni ila roh zenu hahahhha zinalipuka duh.....

  • @aishaallyb8718
    @aishaallyb8718 6 років тому +1

    pambe Tuuuuuu.kununa kwao Nikawaida Kucheka kwa bahati mbaya.Maneno Kuntu.

  • @ullaitijrsemindu
    @ullaitijrsemindu 5 місяців тому

    02/07/2024 bado tunauckilizaa...daaah dud song

  • @NajmahBakari
    @NajmahBakari Рік тому +1

    Climax mi naisha ..Twende nalo

  • @jacksondismas9208
    @jacksondismas9208 3 роки тому +2

    11/6/2021 riziki mwazo wa chukiiiii

  • @mariamomar8046
    @mariamomar8046 3 роки тому +2

    30/1/2021 mkuje kwa like 😘💃💃

  • @joykate100
    @joykate100 7 років тому +3

    Taarab my favorite new thing💋💋💋💋👍👍👍😘😘😘❤💖💖❤❤

  • @fatumaababy1281
    @fatumaababy1281 7 років тому +5

    Safi sana👌

  • @seifjuma7318
    @seifjuma7318 3 роки тому +2

    Wanitazama kwa hussda Uso mkavu Hawana Haya,kununa kwao ni kawaida kucheka kwa Bahati mbaya 🤪

  • @shammah42
    @shammah42 12 років тому +2

    hawa dada wana mathutha awesome.

  • @ignasbukombe9225
    @ignasbukombe9225 3 роки тому +4

    Chuki ni uchafu wa moyo ni hasara kuwa nayo

  • @fatumamustafa3831
    @fatumamustafa3831 7 років тому +4

    wanitazama kwa husda USO mkavu hawana haya!!!maneno kuntu!!

  • @swabrakaisar3212
    @swabrakaisar3212 4 роки тому +1

    2020tunamaliza nayo Inshaallah

  • @antonduwamahoro3907
    @antonduwamahoro3907 3 роки тому +1

    Nimewajua adui.zng😘😘😘😘

  • @aishakibaya7567
    @aishakibaya7567 2 роки тому +1

    Nimeipenda

  • @tatumuddy1709
    @tatumuddy1709 5 років тому +2

    Nc mamito♥️♥️

  • @ivyswit
    @ivyswit 13 років тому +1

    mungu kanip afueni, roho zenu zalipuka.. lo ndo walivyo walimwengu

  • @HendrikDaStar
    @HendrikDaStar 5 років тому +5

    I love this song!!!!!!

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 2 роки тому

    Aloooooooo🙌👌🏽

  • @razackhamis4375
    @razackhamis4375 Рік тому +1

    Five star ingekua moto mno

  • @muhamedali4685
    @muhamedali4685 Рік тому

    Nice sound like that

  • @omaralsagaf2782
    @omaralsagaf2782 12 років тому +1

    kWA wote wana taarab muache kuhitalfiyana mutumpe haki zetu sisi tunayo sikiza taarab walimu shulen nyinyi uwanjani inatosha yaliyo pita ya me pita

  • @nyanziratatou5404
    @nyanziratatou5404 2 роки тому

    Napenda mashairi yako Sana wewe dada.

  • @FakhiHaji
    @FakhiHaji 13 років тому +2

    nakukubali upo juu dafda khadija

  • @eunicewetindi5487
    @eunicewetindi5487 11 місяців тому

    Usipende uadui atakae kuzika umjuii

  • @RioIpo
    @RioIpo 4 роки тому +2

    Kutesa kwa zamu huuuuu zamu imefika haaaa

  • @shabani6631
    @shabani6631 Рік тому

    2023 bado naitazama

  • @andrewgeorge2021
    @andrewgeorge2021 10 років тому +1

    Ujumbe ni ya nguvu. Cool taarab

  • @salamasefu9434
    @salamasefu9434 5 років тому

    Tisha sana sister pendeza xana

  • @rehemamwidiniunatishababad5147
    @rehemamwidiniunatishababad5147 3 роки тому

    Saaaan

  • @fatmamunguakujaliekisabo3970
    @fatmamunguakujaliekisabo3970 7 років тому +2

    kweli dd wame nitoka moyoni aho

    • @fatumamustafa3831
      @fatumamustafa3831 7 років тому

      wanitazama kwa husda USO mkavu hawana haya!!maneno kuntu!!

  • @wardahsaid467
    @wardahsaid467 2 роки тому

    🔥🔥✌️

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 4 роки тому +1

    Nice song 💖 💖

  • @NajmahBakari
    @NajmahBakari Рік тому

    Natesa kwa zamu mie ..wanga mtahangaika ..heheheiya

  • @sadawi1
    @sadawi1 13 років тому +3

    Chers amis !
    Pourquoi la culture de Zanzibar continue d'être absente des scènes arabes.Votre culture est belle et mérite de sortir vers nos pays.
    Hommage à Grand mère BI KIDADE.
    Un algérien, fan .
    Merçi ramso007

    • @AmanGema
      @AmanGema Рік тому

      0p999998989999999899889Upp1P0Pl😅

  • @PUTHENTHOPE
    @PUTHENTHOPE 14 років тому +3

    Thanks for sharing Swahili music.

  • @fatimaadandidadida3878
    @fatimaadandidadida3878 6 років тому

    freshi kabisa

  • @jolvinaloyce3399
    @jolvinaloyce3399 5 років тому

    Aloys Mutayuga
    Riziki mwanzo wa chuki mashairi haya yanaleta taswila flani katika jamii

  • @aggreymunoko2056
    @aggreymunoko2056 8 років тому +1

    Muziki mufti sana!

  • @rahmahamisi7604
    @rahmahamisi7604 4 роки тому +2

    😍😍😍😍😍

  • @loveleasamson7952
    @loveleasamson7952 3 роки тому +2

    ❤️❤️❤️❤️💋

  • @saidkarera2612
    @saidkarera2612 Рік тому

  • @mr_howto-everthing
    @mr_howto-everthing 7 місяців тому

    2024 mpo?

  • @abdinoorhassanderow2510
    @abdinoorhassanderow2510 9 років тому +2

    Very nice voice

  • @muhamedali4685
    @muhamedali4685 Рік тому

    Nice music

  • @bensonmudogo9755
    @bensonmudogo9755 2 роки тому

    Vituuuu

  • @masoudmasoud5564
    @masoudmasoud5564 4 роки тому +1

    mambo hayo

  • @buashraf
    @buashraf 14 років тому

    @petero22003 Zanzibar and sometimes in Dar es Salaam in Tanzania. Once in a while in Nairobi and Mombasa in Kenya. Her permanent base is Zanzibar.

  • @auntiemylee3157
    @auntiemylee3157 4 роки тому +1

    Penda sana ...huyu Dada anaitwa nan jmn

  • @biggcoopp
    @biggcoopp 9 років тому

    Very similar to haitian kompa--very nice chune

  • @YudaMwangata
    @YudaMwangata Рік тому

    Nice

  • @SalmaAmour-jh2jh
    @SalmaAmour-jh2jh 7 місяців тому

    Kweli

  • @tanzania3672
    @tanzania3672 6 років тому

    safiii

  • @milkaauma6312
    @milkaauma6312 4 роки тому

    💕💕💕♥️2020

  • @lavina62
    @lavina62 13 років тому +3

    wamezoe dada !! wape ukweli tu!!

    • @makasimakasi168
      @makasimakasi168 6 років тому

      Masha Allah ewe mola walaze mahali pema awo wote waimbaji wa hii bend walopoteza maisha yao

  • @kisakyedorah9134
    @kisakyedorah9134 6 років тому

    Basi hiyo nyimbo niziru

  • @rahmamsangi5099
    @rahmamsangi5099 4 роки тому

    🙋🙋🙋

  • @sakinaabd5898
    @sakinaabd5898 9 років тому +1

    Asojua hafahamu kuwa wakati wangu nimwfaka kwao, nimewajua adui zangu, fukuto lina wa fukuta,mwajipa roho ya fissi, chuki ni uchafu wa moyo ni hasara kuwa nayo, kama unavyosema usipende uadui roho mbaya yakutoa akili, atakae kuzika humjui ahsante dada wa kiafrica, usemayo ni ukweli

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 5 років тому

    👍👍👍😍😍😍😍😍

  • @zenafurutuni7004
    @zenafurutuni7004 4 роки тому +1

    Mafanikio ni kipimo cha utu