Duh uyu mdada alifariki 10.11.2012 naikumbuka siku iyo subhanallah tumepishana theatre muhumbili kwenye uzazi,Allah aifanye kaburi lake miongoni mwa mabustani ya peponi,kufia kwenye uzazi ni kama umekufa kwenye jihad Allah amsameh uyu dada
Kiukweli inauma sana da Marium kweli nataman kila wakati nipige wimbo wako huu "uzushi haunitii doa" hakika unanifariji na kukumbuka majonzi.... Allah akusamehe popote ulipo na akuepushie na adhabu za kabri
Please could you drop here any of few words about her last moment? I have been admiring her music since 2020 but its now am getting to know she passed away! Shocking 😔

Pumzika kwa amani da Mariam tulikupenda sana sana watanzania wenzako lakini kazi ya Mungu haina makosa nyimbo zako zote ni faraja kwangu,ndiyo basi tena,presha inawapanda,mti wa riziki upo kwa Mungu na raha ya mapenzi pamoja na paka mapepe.
Please could you drop here any of few words about her last moments? I have been admiring her music since 2020 but its now am getting to know she passed away! Shocking 😔

Dunia sio rafiki kwa mwanadamu
Allah akurehem da Mariam 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Kweli duniani sisi ni wasafiri tu..
+254 tulikupenda sana.. Rest easy Dada Marriam.. Mungu kazi yake naniapinge? Yetu bado machozi tu😥😰😢
❤❤wenqine swahiba zanqu salamu kutwa mara tatu.kumbe ndo wapika majunqu❤❤❤jamn hii dunia hii❤❤❤❤❤❤❤❤
Jamani nyimbo amefariki musitoweni tena hizo nyimbo ni mtihani mkubwa huko aliko akhera mungu asamekhe akhera😢😮
R,I,P, MARIYAM khamis Allah akupe jana naakusamehe makosa yako na cc atupehatima njemaa😭😭🙏🙏🤲🤲 2022/10/24 Allah 😭😭😭😭
Allha amjaliye Kila la kheri katika kaburi lake inshaallha mungu amuondolee vitisho inshaallah
@@SaudaMnodwa in shaa Allah😢😢💔
Amen
Hiyo ndio tarehe alokufa kwani😭😥😔
Duh uyu mdada alifariki 10.11.2012 naikumbuka siku iyo subhanallah tumepishana theatre muhumbili kwenye uzazi,Allah aifanye kaburi lake miongoni mwa mabustani ya peponi,kufia kwenye uzazi ni kama umekufa kwenye jihad Allah amsameh uyu dada
Five stars modern taarab haijarudi mjini au imekufaa maana kazi ya mwisho ilkuwa muomba mungu hatoki mtupu
Allah amrehem mwanadada uyo Allah aieke roho yake pema pepon Yaarabilaallahmin
Wajna wangu,Allah akurehemu❤❤
Anaimba Taratibu ❤❤❤
Humble Mariam...Allah Akuswameh Wallahi
Daaaa!!!!dada inauma sana udongo unatumaliza, pumzika kwa amani dada.
Kiukweli inauma sana da Marium kweli nataman kila wakati nipige wimbo wako huu "uzushi haunitii doa" hakika unanifariji na kukumbuka majonzi.... Allah akusamehe popote ulipo na akuepushie na adhabu za kabri
Daa safari ya wote!!! Tulikupenda dada mariam sisitupo nyuma yako.
Allah amrehemu
Dada mwenye kipaji cha kuimba,R.I.P
Mungu akupe kauli thabit akupe pepo ya daraja la juu
Dunia tunapita mungu ailaze loho yako mahal pem pepon🙏🙏🙏
Please could you drop here any of few words about her last moment? I have been admiring her music since 2020 but its now am getting to know she passed away! Shocking 😔
Mungu akupumzishe kwa amani❤ 4:05
Please could you drop here any of few words about her last moment? I have been admiring her music since 2020 but its now am getting to know she passed away! Shocking 😔
Maryam nilikupenda sana uimbaji wako slow but unajua haswa kuimba rest easy maryam
Alla akufanyie wepes ktk safar yko
Mbele yako mpezi daah
Aaaaa
😮❤wzuei
Eeeeeerre❤
Pumzika kwa amani da Mariam tulikupenda sana sana watanzania wenzako lakini kazi ya Mungu haina makosa nyimbo zako zote ni faraja kwangu,ndiyo basi tena,presha inawapanda,mti wa riziki upo kwa Mungu na raha ya mapenzi pamoja na paka mapepe.
Wewe pacha wangu kwa nyimbo za Mariam, napenda nyimbo zake sana, love from Kenya, halaf kuna ule wimbo wa lawama ❤😢
Pamoja sana@@tatianatataa1489
Allah amsameh makosayake makubwa na madogo 😢
Please could you drop here any of few words about her last moments? I have been admiring her music since 2020 but its now am getting to know she passed away! Shocking 😔
Dada.mtaratibu mwenyewe jamani.basi inauma.safari ya wote sisi tupo nyuma yako, kila nafsi itaonja umauti.
Mamu we still miss you 😥😥
Innlilah wainalilah rajiun
Kibao safi hadi wa leo
R..I..P...MUM Pumzika kwa Amani ,,🙏
RIP MARIAMU
Allah akupunguzia adhabu
Udada yuwapataajali niko tanga namkumbuka sana mungu amrehemu😭😭😭😭😭😭😭😭
Huyu hakupata ajali,alifariki mambo ya uzazi,nadhan 2021 mwezi wa kumi na mbili bila shaka
Please could you drop here any of few words about her last moments? I have been admiring her music since 2020 but its now am getting to know she passed away! Shocking 😔
Mungu.amrehem.nisafar.yawot
Am from uganda I like the tarab music
Allah akusamehe madhambi yako huko uliko
Please could you drop here any of few words about her last moments? I have been admiring her music since 2020 but its now am getting to know she passed away! Shocking 😔
Allah akusamehe mazadhambi yako inshaAllah aamiyn
Dah pumzika kwa amani
Alikua mpooole mwenyew daah😢
Please could you drop here any of few words about her last moments? I have been admiring her music since 2020 but its now am getting to know she passed away! Shocking 😔
R-I-P mariam khamis 😭😭😭😭💞💞💞💞💞💞💞
Kweli marafiki ndo wanafiki
Pumzika kwa amani Da Mariamu
Allah akupe kauli thabit
Mtihani kifo jamani
Dunia hii mungu tu mjuzi,.
Nakubalia santaaa 😍😍😍
Inalilah wainnaillah
Pumzika kwA amani
10/1/2024 twakukumbuka bi mariam
R.I.P MAMU HAMISI
😭😭 R.l.p.
Inalilah wain Lilah rajiun Allah akuondolee adhab z Kabul 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Punzik kwa amani
Mi shabiki wako hata umetangulia mbele haki
Huu wimbo sikuwahi kuuochoka
❤
Marioo
2024 January 3 tu,niko huku Pumzika dada
❤❤❤❤ 🙏 RIP
😭😭😭
Bass haya
Dunia tunapita, napenda kusikiliza huu wimbo Aliimba vizuri sana, nitakukumbuka daima Kwa huu wimbo, Inallilah wahinalilah Rahajun
😭🥰
😭😭😭😭😭👏👏👏👏
11:49
Pumzika kwa aman😰😰🙏
maliam
Rlp
Bass haya
Allah amsamehe madhambi yake
Mengi yamesemwa ila kutoka kwangu nasema amina
Kweli dunia tunapita