Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Uwii 2024 ni moto❤
Dah ezi haziludi hii ndio nyimbo bora ya Kila mwaka 2024❤
Waliopo apa 2024 gonga like
Yaan hii nyimbo Tangu Nipo mdogo mpk leo ni taaam
Tupooo🎉
L@@ReyKatuni
Tupo
Nihatari
Wow wow lovely haijawahi chosha kuskiliza... likes zakutosha kwakweli
22/03/2024 acha nikumbuke zilipendwa i remember so many things 😢 kipind hicho bado sijayajua nini maan ya ugumu wa maisha kbs dah
Mm napindua mwaka n hi nyimbo 2024 nikiwa saudia
Kabisa
Nawaona🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥💯🔥💯🔥
Aiwaaa
2024 still listening gonga like hapa❤
Nani yupo 2024 like plz
Watoto wa 2000 hizi raha awajawai kuzipataaaa
Hizii ndo tAarab bhna sio za. Skuizi ... Watu waliimba b mashairi .. utunzii... Hakuna matusii 2023 june ❤❤
Yaaaani hii nyimbo ilitungwa na mtu makini sanaaaa
Wallah mpaka Khadija Yussuf anaipenda sana
Saaana
Sanaaa
Huu wimbo hauna mpinzani aisee... yaani unavyoanza tu ala zake mwili unasisimka!
TUNAOTIZAMA~.. 2023 TUJUANE~ ✍️☑️
Dah!! Kweli miaka inasonga!! Nakumbuka hii nyimbo!! Harusi za mitaan yaan nimwendo wa kubaishiana tu
😃😃😃
Acha tu🤣
🤣🤣🤣🤣
Hili dude nyie🔥🔥🔥🔥atariiii nyiee 2023 may tujuanee
Nice, ludini wenyewe wenye taarabu yenu Mambo yanaharibiwa hukuuuu.
Asante dada hadija uko vizuri huu wimbo kwa mwenye akil
Wanaume likes hapa🤸
Khadija yussuph na bi mwanahawa ally huwa nawaelewa Sanaa nyimbo zao zimetulia hawana vurugu kwenye kuimba
Nikishindia dagaa wee biriani ujilie naweza kulala raha wee msalani uishie
Hapo Tu ananikosha♥️
Dah😭😭
❤@@ashurapandu4116
Leo tarehe 11 /6/2024 nausikiliza huu wimbo baada ya kumpoteza kaka yangu ktk ajali pkpk mwaka 2022....Alikua aki upenda sana huu wimbo kila nilipo kwenda nyumbani kwake nilikuta akisikilza😢
Lakuvunda halina ubani
🎉2024 kazi nzuri haisaauliki ndugu zangu tujifunze kufanya kazi kama hatutafanya tena.
Hii nyimbo ni kalii SKU zote 2023 safii Sana khadija
Kabisa old is gold🎉
Afu haiishi hamu
Nakupendha sana2 huu wimbo sichoki kuskza kla cku mthamu sana
Hauchoshi ukiusikiliz utasema umetoka jana
Usicheke nilivyoumwa, hayo maumbile ya Mwenyezi Mungu.
Moja kati ya wimbo bora kabisa wa taarab ...
Asante mpenzi wangu kwa ujumbe mzuri, mungu akubariki sana.
Wimbo mzuri sana mimi sipendi taarabu ila huu wimbo naupenda sana
Haizeeki hii nyimbo maneno fact
hii nyimbo haiishi ladha jamani yani kila nkiiskiza naona kama imetokea jana😍
Hii nyimbo nzuri Sana ata ikipigwa lazima uwaze mbali
Mashaall nasikia rahaaa mpaka moyon
Nimeisak san hii nyimbo👏
Nakumbuka mbl sana mburahati manzese tandale kigogo ilibambaaa sanaaaaaa
Wimbo wangu bora wa muda wote..... my best song of all time.
Tamuu sana
True sms i love it tarab from somali afgoye 😢😢😢😢 la mungu ni mengi
Yani haishi hamu i love khadija ysf
Namiss mashairi kama haya,what went wrong with taarab.#KhadijaYusuf hoyeeeeeeee 😍😍😍😍😍😍
Jamani mm sichoki kusikiza hii taarab congratulations 🎉🎉
Part ya mwisho my life cycle😢😢
Hatar sana mzigo huu
Nakumbuka nyumbani tabora
nyimbo pendwa nafikir kwa wote hiii
Fact
Dada upo vzr wimbo hauchuji huu daima
Mwez 9 2023 nimerudia kuitamazam tukutane kwa komenti
Sio miziki yenu ya kuamasisha matusi ..😮 sikilizeni mashaili Ayo mpaka mtu unakuwa na Amani ya maisha ... kazi ya mungu haiingiliwi
Tangu nimjue khadija yusuph hajawah kuwa na nyimbo mbaya
Mashaallah hii taarab inanikumbusha mbali sana dah
Old is GOLD ❣️🥰🥰🥰🥰
Oid is Gold🥰🥰🥰🥰🥰
Ndarau si njema kila mja ni wamungu
Ni moto wa kuotea mbali goma tamu balaaaaaaa...!!!!!!
True story kazi ya Mungu ni ya Mungu
Daah hii nyimbo huwa nakumbuka mbali xana
Keep it up.I love you all.Mungu awabariki zaidi
Ni kweli MOLA haingiliwi!!!!
Nakupenda khadija wewe ulinigusa moyo wangu na hii nyimbo ❤❤❤❤❤❤
Mora kalam yake haifutiki dah neno zito sana asanteh mola kwa siku ya reo
Aichuji hiii forever
Mashaallah nyimbo haiishi hamu🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
This song reminds me of my mum asee😢
😢😢
Pole
Nikweli mamaa🌹
hii nyimbo kali sana
Sipendi taarab ila hiiiii is number 1
tulibashiana sana enziii izo kwenye maharusi mtaani na hiyoo nyimboooo❤
Yaani napendaga hii taarabu
16years ...My wedding song ❤❤❤❤ Allahmudillah yote kazi ya mola👏👏👏
Yanini nijikere hali wakati hatma siijui... ❤️❤️
Weuweeeeee Pambe tyuuuu👌👌👌 kitambo sana hzi taarabu
Nikiwa oman kwenye mapambono yamaisha nasikiliza kazi ya mungu ❤️🔥🔥🔥💪 Khadija 🎉
💪💪💪💪Pambana aisha Issa jana yako ije ibaki kuwa historia
@@abdalahomar3952 nimefunga mkanda niko imara nashukuru sana kwa kunipa 💪😘
2024/10/20Nausikiliza nikiwa Botswana nihatari nanusu nime miss Tanzania dada ameweza congratulate
naikibalisana inyimbo dada kaimba sana
Watoto wapwani mambo yetu ayoo
Hii nyimbo haizeeki mpya kila siku
Ma Sha Allah. Khadija mashairi yenye maana. Wish us all the best.
Napenda San a
nasikiza bado elfumbili na mbili wimbo ungali safi unashika kiukweli mambo yako waa Hakuna kubwa kwa Mola.
Namtambua Khadija yusuph my best
❤️❤️❤️❤️
Naupenda wimbo,nampenda hadija yusuf
Favourite taarab naipenda mnoo ila ccy ana sauti maashaallah
Badonaskiza nyimbo mzuri saana shukran Khadija ysf🤣🤣🤣👍👍👍💕💕💕😘😘😘
I love this song 2024🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Naendeleya kuskiza ikotamu song Khadija yussuf 💕💕💕
Mashallah maneno mazuuri 🔥🔥🔥🔥
Wimbo niupendao
Napenda ujumbe na mashairi👌🏾
uja kosea dada mungu akulinde kweli😂
Khadija jua kuna mtu anakupenda sana sauti jamani nashiba mie
Asante kwa shahiri, safi sana
Sijawahi kuichoka taalabu hii
Hii Nyimbo ilisimamisha jiji hands down !!! This is classic. 15 years later still fire 🔥
Ama kweli bin a dam tisijihadae yote kazi ya Maulana....Kamwe hayawezi kuingiliwa ...❤❤❤
Mola kalamu yake aifutiki
Hapa mwisho nimepapenda mwenye sketi ya jisi na topu ya buluu bahari nimempenda
My all time favorite Khadija to the world,from Kenya
Pambe na pia inafunza ingaw ya long
Nyimbo bora kabisa aitatokea
Kwann taarab imefeli
❤❤my favourite taarab miss hadija Yusuf
Hongera Dada weee. Unanisahaulisha maumivu
Nyimbo yangu pedwa
Queen of taarabu..l Ike the message
kwa kweli unasikiliza hamu haiishi jamani

2024/10/20
Nausikiliza nikiwa Botswana nihatari nanusu nime miss Tanzania dada ameweza congratulate