Khadija Kopa, silali mpaka nisikize nyimbo zako...hii ndiyo kwanzo inanitia mori zaidiiiiii! kwanza whenever i drive home....mombasa...kutoka nairobi......napandisha vioo vya gari na kupokea utamu kwa loudspeakers...barabara nyweeee. Ntafurahi kukuona siku moja!
Sijui mipaka zilitoka wapi?Mbona Wana East Africa wasiungane?Nchi iwe moja tu.Otherwise Zanzibar siondoki ng'o,nikiondoka naenda zangu Tanga ama Mombasa 🎶🎵🎶🇰🇪🇹🇿🇺🇬 one love 2021,June
Kila nikijaribu kusikiliza taarab za Tanzania huwa mashikio yangu nasikia makelele tu ,llakini mashallah nyimbo za huyu mama Khadija Kopa huwa zinanijaza sana. Si kwa ubaya lakini waimbaji wengine wajifunze mbwe mbwe kwa huyu mama. Huyu ndiye anaye tumbuiz roho yangu kwa TZ taraab. Nakupenda sana.
hamuezi kunivua joho alonipa Mungu, he he hey sigombei mwanamme nikajitia mashaka shii unamrusha roho unanini we msaka,bibi ikiwanimekuachia, ujuwe nimemchoka, na kama mstaarabu juwa kuwa nisingebanduka, wameshushwa kwa vitabu chagua unoridhika heko mama mtazania
Dada Khadija kopa makauli na nyimbo poa Mungu akuweke hai uzidi kutufurahisha japo tuko mbali na nyumbani lakini roho zetu ziko pamoja na nyie raha tele
heheya maman wa kitanzania bado niko uwanjani nimezaliwa kikwajuni but nimesimama imara wala simdharau mtu hiyo ni khulka yangu mimi napenda utu sweet wa kizanzibar na bado ninaitwa queen mimi ni top in town tena ninagawawisha tena nimewacha gumzo comoros na merekani heko mama mtanzania
Nakunasihi bora urudi kwa Mola wako kabla huja ondoka maisha ni mafupi tahadhari hiyo ni ghurur tu na vijipesa siku moja utakuja kujuta dunia ni mpito tu wachana na iblis rudi kwa Mola wako hao wote wanao kusif wanakupeleka pabaya angalia uzuriiii
heheee khadija copper malkia wa mipasho wapashe mama , karibu hapa kwetu Kenya manake twakupenda sana haya basi wacha niendelee kuimba timburi timburi weweee wimbo mtamu kweli.
2024 njooni kwa like
Evergreen 💯💯🔥🔥
Mi huyu hapa tukifunga mwaka
Hadi 2024 June bado unanikosha sana Kopa... imenogea humu kenya kwa mpigoooooo. The only Malkia Wa Mipasho is still on top!! ❤❤❤❤
Nani ako hapa baada ya kujua Khadija ni mamake Zuchu
Uliimba vizuri dada mwanake unatakiwa ujiamini sio kugombania bwana
Woooow kichuna kisio kwisha utamu....kiko na masongoni.
Niko hapa 2025 ngoma Ina dk 20 nimeangalia yote😂😂
ndio naanza kuingalia😂😂😂
Malkia wa mipasho dunian mama weraweraaaa hakuna kama khadija kopa ndo queen wa taarabu wengne wanasubiri kama unamkubali kopa 👍👍👍
Kweli yako
Khadija Kopa, silali mpaka nisikize nyimbo zako...hii ndiyo kwanzo inanitia mori zaidiiiiii! kwanza whenever i drive home....mombasa...kutoka nairobi......napandisha vioo vya gari na kupokea utamu kwa loudspeakers...barabara nyweeee. Ntafurahi kukuona siku moja!
Sijui mipaka zilitoka wapi?Mbona Wana East Africa wasiungane?Nchi iwe moja tu.Otherwise Zanzibar siondoki ng'o,nikiondoka naenda zangu Tanga ama Mombasa 🎶🎵🎶🇰🇪🇹🇿🇺🇬 one love 2021,June
Sigombei mwanaume nikajitia mashaka kopa mami penda wewe sana😍😍😍😍🤩
8:29 8:29 8:30
Atuogopi kitu macho kwa macho macho kwa macho macho mama yake na zuchu penda San uyu mama kopa 2020 nani anaangalia like please
"Mimi nikikuwachia ujue nimemchoka" nani ako hapa 2020 kama Mimi dondosha dole lako hapa 👍👍👍
BABA YUSUFU
Baba Yusufu
😂
Kila nikijaribu kusikiliza taarab za Tanzania huwa mashikio yangu nasikia makelele tu ,llakini mashallah nyimbo za huyu mama Khadija Kopa huwa zinanijaza sana. Si kwa ubaya lakini waimbaji wengine wajifunze mbwe mbwe kwa huyu mama. Huyu ndiye anaye tumbuiz roho yangu kwa TZ taraab. Nakupenda sana.
Mohammad Wallad +254705040885 nicht maa khadija kopa nazimia kwa hii nyimbo walaih
Kweli
Xikuwez mama mipasho
Kama unaangalia hii nyimbo 2020 like tujuwane
Washabiki bado nipo
@@rashidroja9722 We are together 2/11/2020
2022
Mnachelewa jamanj 2023 nko hapa
@@zeyshaomar3501mama
Mama
M
Vile Khadijah anajisifu hapa... Wah!!
hamuezi kunivua joho alonipa Mungu maneno kibao dadaangu KOPA wameshushwa kwa vitabu chagua unoridhikaa, hiyo ni kali sanaaaa
2020,2021,2023 Wakenya tupo hapa.
2024,2025,2026
Wapenzi wa taarabu haai hoooi....2023 still enjoying this great master piece
one of the biggest queen of mipasho big respect mamake zuchu
Duh dakika 20 mazeeee 2024 ndo naistukia hii
Zuchu ni mtoto wako but bado akona kazi kuweza kukufikia top in town dada khadija is only you
Niko hapa jyamani 2023 bado yaripua topintown
I always love this song.kweli ni queen of taarabu.naomba siku moja aje apige show mombasa
Hatutaki Kenya ni adui wa Tanzania tunakaa mbali na maadui zetu
@@sherifaali7268 🤔🤔🤔🥴🥴
Sitakimashaka
Uyu mpiga kinanda sio poa big upp gonga like za 2024 ❤❤
Wimbo mkali Sana. Ndio ringtone yangu for a loooong time. Kutoka Kisauni Mombasa, nasema tamuuuuuuu
Niambie jina la hii taraab song ,ni Kali Sana
@@liliankerubo1489 uzuli was mwanamke in kujamni,, uzuli was ndege no manyowa take!!!! @ banuli kirunda at JINJA Uganda
Uzuli was mwanamke ni kujaamini,,, uzuli wa ndege ni manyowa yake see style of dancing
Tulopatana 2023 pitieni apa...khadija azeeki mwanamke kazaliwa makadara
Khadija wanimaliza Sana na huu wimbo wa top in town hakika nasikia utamu kweli .
Kopa si dupliketi,mapedeshe hupiga salute!
Hata mm nawaona Umewatoa Nishaii Mashaallah _ _!!! Kama sii Ww Nani Mwengine !!???
Jaman mama angu bi Khadija mashallah nyimbo zako hazichuj wallah kila siku nazirudia
Jamani huyu Dada nampenda kwamajimbo yake
Pumzika kwa amani mama isha mashauzi 😢😢MUNGU aendelee kukupunguzia adhabu ya kabuli
Khaaa jmn kafa lin
Wewe wacha uongo kafa lin 🙄
nakupenda sana mamy mwaaah mwanamke kujiamini eee hapana chezeya ww tenaaa😍😍😍😍😍
Nalikujua na kukuskiza 2013 kwa sure ni top in town 😮😮
You are always beauty kopa Mungu atuengezee umri ndugu yangu pasi duplicate ma . P. D . G hupiga saluti kopa ununikosha bado ninaitwa queene
2023 tupo hapa tunaburudika na mama "" Mimi top in town ooh asiye nijua nani? Na nimeacha gumzo Comoros na uko London'' malkia hadija omari kopa
hamuezi kunivua joho alonipa Mungu, he he hey sigombei mwanamme nikajitia mashaka shii unamrusha roho unanini we msaka,bibi ikiwanimekuachia, ujuwe nimemchoka, na kama mstaarabu juwa kuwa nisingebanduka, wameshushwa kwa vitabu chagua unoridhika heko mama mtazania
mwanamke kujiamini
Dada Khadija kopa makauli na nyimbo poa Mungu akuweke hai uzidi kutufurahisha japo tuko mbali na nyumbani lakini roho zetu ziko pamoja na nyie raha tele
Sakina ABD iko juu sana
wapi likes za 2021
heheya maman wa kitanzania bado niko uwanjani nimezaliwa kikwajuni but nimesimama imara wala simdharau mtu hiyo ni khulka yangu mimi napenda utu sweet wa kizanzibar na bado ninaitwa queen mimi ni top in town tena ninagawawisha tena nimewacha gumzo comoros na merekani heko mama mtanzania
Mama hii taarabu hakika ulijipanga ni nzur kwa Mimi naweza nikaipa namba moja
Nakupenda Bure mama 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ww unasema nini, khadijah mpaka kenya ww niwetu queen.
Still the best taarab song iliosimama imara mpaka sasa 2025 🔥🔥🔥 Khadija Kopa 👑 The Swahili Golden Voice
naipenda Sana hii taraab, huyu mama kwel ni top in town
noooma Saaana mama
Hassan Miss A
gun xTir
Maashaallah
Hapo chacha
Wilixon
Napenda maneno unayozungumza mungu akulinde
Naipenda tena sana ingawaje sijui kucheza taarab. Nashindwa kutingisha kiuno.
Niko nikufunze
Cynthia Atieno nakuzaitia kutingiza dada
Hi
Cynthia Atieno 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Njoo nitakuonyesha namna wanao peleka kiuno vyao mwendo wa aste!
Mama Khadija I love your message in your song. End good kiswahili teule na mufti
lovely song nimependa mdondo wake na mashahiri yake big up khadija
Mimi top in town mama wee hilo linanitosha Big boss kopa
Heheeeeiya sigombei mwanamme nikajitia machungu
Nakunasihi bora urudi kwa Mola wako kabla huja ondoka maisha ni mafupi tahadhari hiyo ni ghurur tu na vijipesa siku moja utakuja kujuta dunia ni mpito tu wachana na iblis rudi kwa Mola wako hao wote wanao kusif wanakupeleka pabaya angalia uzuriiii
Kweli umewacha gumzo . Comori n'a. London..hakika mama wa kitanzania ni ukweli
Tena huswuswan mapenzi ya wingi na nywele za kubandika wakizitowa week sokwe mbouzi dada hadidja
Mamaa wa B unit nipo gado nipo fit 👊👊👊❤❤❤
Uzuri wa ndege manyoa. Uzuri wa Mwanamke kujiamini. Mwanamke screensaver na nyumba, makalio yanafuata baadae 🎶
singombei mwanamume nikajitia mashakaa mwanamke najiamini nipatacho naridhika hapooo chachaaaaaa
apooo chaa chaaaa😂
kibaby suleiman j
Penda sana wew mama
Kinanda cha humu ndio kinanikosha mm tuu,thabit abdul alitulia sana
Miye sisemi ki2 , amsha mizuka mama!
Pascal Marwa hee nakulola
Kwa hyu mama nashindwa namsfia nasemaje kwa maana du
kabisa
Mtoto wa kidonge Niko gado 2021
Aliyekuwa mke wangu wa kwanza aliupenda huu wimbo, sijui mbona .
Labda huenda bado anaipenda.
Enzi tukiishi Kongowea Mombasa
😂😂😂
Mbona ukamuacha?Bado unamkumbuka yaonekana...
@@nafisamohammed9064 ni mzazi mwenza japo tuliachana
Weweee 2021 from kisauni mambo ngaingai mjini akili........
Asante mama wa mipasho,hapoooo kichuna wa kizaramu usiye isha utamu heheheiyaaa patamu hapo.
Hivi ni mzaramo eti eeh?
@@renatusmatungwa6800 🤣🤣🤣🤣🤣 Amesema Hivyo Mwenyewe.
You are one of the best Khadija Kopa in intertaiment , still energetic and attractive. Keep us entertained!!
nimekoshewa mfedha mfedha mie.....mabo yangu hamtoyaweza mie ... tena na chenji ikabaki miee...🎶🎶😍
Top in 2024. ❤❤❤❤
2022 February 14 utazickiliza zote mlimani city ni EP yake khadija kopa akiwa na manager wake mtoto Zuchu
Hiii taarabu ni noma sana siichoki kusikiliza
heheee khadija copper malkia wa mipasho wapashe mama , karibu hapa kwetu Kenya manake twakupenda sana haya basi wacha niendelee kuimba timburi timburi weweee wimbo mtamu kweli.
mmmh! Mume ni mume ingawaje gumegume sifa za mtume anazo! Namkubali bi Khadija wallahi tena!
Wajina nakupenda sanaah
Shuka zako azijua,ndani kwako ziko nne😂🙌😂Hadija Kopa ananikosha jmn
sitakii..... taxi bubu.... polisi atanishika....... , napenda nyimbo zako kwa sana dadangu
Miriam Akoth
hee, huja iisha utamu bado na bado wewe ni queen
Nani yupo apa 2020 twende sawa jamani
Nani yuko na Mimi bado nasikia kutoka Cairo mzaliwa Wa Kenya
My kiosk listened to this song now its a supermarket!!!
MashaaAllah
MashaAllah!!
Mimi nikikuachia ujue nimemchoka halooo! wamexhuxhwa kwa vitabu babu mpooo!
Nilipo nasweat aise💃💃 .. ngoma haijawai niishia hamu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Sijaoshewa mnuka nuka jasho langu likanuka, sijaoshewa mkaratusi nikaamburia matusi,nimeishewa mfedha fedha mambo yangu hamtayaweza 😜😜😘😘😘😘💯💯💯noma sanaaaaaa
Lov u smch Mama Khadija Kopa....mpaka now 10/1/2019😘😘😘😘😘😘😘😘😘
Kopa upo vizuri xana mama anguu
My mother use to play this song day .she passed away this song makes miss my mother
Sory
sorry
May she rest in peace...ameen!!
Pole sana stay strong may Allah bless our mother's
Pole dear
Uyu malikia yuko vizuri sana nyimbo zake azichuji
Mama wa zuchu...love this song.2020.
Kenya’s 🇰🇪💗 mean ??? I love this Mimi napenda utu It smean I love humanity 👏🏽🙏🏽💗👌🏽👍🏾
maneno matamu ya kweli,keep it up uko 🔝
Kwani unaimba n'a kucheza kwa style ambayo kila mtu Hana nice one
On 30/11/2021 still listening to this song. Release the next hot one.
ngoja kuna watu miatano wenye roho chafu naona, ogopa hili kamati. wimbo mzuri kama huu, dislike yatoka wapi??
109532)₩_÷×)-V
...MIES9TTTFFGGGPITEAPOJ MMNNLJHNNV xb
Ending 2022 in style with this song....... much love Khadija ♥️♥️♥️
Esther uko wapi tule Ice cream....
@@anthonyonuti8473 njoo Nairobi lakini uje Na popcorns maanake huku baridi hairuhusu ice cream 👌
Cjampata wakunifurahisha kwenye uhuu mziki zaidi yako mpaka Leo love u more mama Suma uishi miaka mia
How long has it been, its now 2022 and this song is🔥🔥
Mi top in town asiye nijua nani, nime wa pagawisha Africa na americani
The best of Khadija kopa 😘😘😘😘 just love the song
2020 wapi like zake Kopa from Kenya
Mie sie gumegume ila dume, tangia miaka ya tisini hadija kopa na muziki wake moto sana 👍👍👍
All the from kenya napenda ushauri mama mzazi anaotupa
mambo yangu hamtoyaweza nyie hapo chacha mama
Kila Mara Mimi ninapenda kuangalia this song thanks khadija kopa
Zuchu brought me here...she sings exactly like her mamma❤❤