Tunaoishi mbali na nyumbani tujuane apa ambao tumemisi ladha tamu kama hizi..Allah awajalie kheri wazazi wetu na maisha marefu tuje onana tena inshaallah ❤
Kapenda yangu nidhamu na utulivu nyumbani, pamoja na ukarimu wa ndugu na majirani, ucheshi na tabasamu kanijalia maanani!! nimepewa lugha tamu nyoka hutoka pangoni..sifa hizi Ni Muhimu na mengimengi...... Ukirudi ubet wa kwanza Sasa pale song linapoanzaa, ni fireeeeeee Ufisadi,jeuri, ngebe na nongwaa, ukaidii, vituko vya makusudii Big up to the Artist...
2024 still i love the song and its melodic play that creates an ambient atmosphere in the house on a weekend. Good work to the artist. Hapo kwa "wasela wa vijiweni nafuu wajipatia, uroda kwa foleni" ndio climax yangu kwa hii ngoma.
Wow hongera sana hii song nilitafuta muda mrefu full video hata nilidhan hakuna iko tu nusu nusu haki naipenda hii song imetulia sana big up sana sister 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍💃💃💃💃💃💃💃💃💃
Dah Nlkuwa Nakimbia hata Chakula kwenye Vigodolo Dsm Ukonga Momba Moshi relini. Hiyo 2006,2007,2008,2009 Leo 2024,April 18 saa Tano na Dkk 23 Asubuhi nachek hili dude old is gold
March 2024 wali wautia ndimu hayo ni mapishi gani? Walai kakosa hamu kakutimua nyumbani.....more fireeeee... @likeness Electrical and Car decorations. King'orani Mombasa.
2021 I am still here💃💃💃💃💃💃💃me being a gal from bara who works in coast heard this song in my neighbours house..been looking for it like crazy🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗the message wuuueh👌👌👌👌💃
Wowooo my first time listening to this masterpiece was in tawqik bus from Kampala to Mombasa it was so relaxing since then I love tarab music I wish to marry from the coast
Respect to you guys who love TARABU I'm listening this song which from my homeland Zanzibar where singers are originally from Welcome to Zanzibar I'm going take you to a Night Club called Bwawani where you can have a dance
🎉🎉🎉 how wonderful is this so it's 2030 and I still get the chance to listen to this song like the Tarrabu we sang when my sister Aby and I werein kinyui girls, "Atakae niooa Atake niooaaaaaaaa.....😂"
I was a boy when this masterpiece was dropped, I remember it was a very big hit..I could not understand the lyrics by then but now (As a husband)😅😅😅😅...I understand why ladies loved this song haha haha haha. A quick translation of the chorus: To you, he could not hold on; To me, He just made a home, and now the man is relaxed, He is fed up with your dramas!; To him, you won't get a chance...I'm his Air now A very artistic way of hiding the words, when I was a boy I could not understand this at all, now as an adult everything is clear! The difference between old-time artists with these idiots right now. 😅😅😅😅
Ndugu zetu huko Zanzibar. Huku Congo tunapenda sana Taarab hizo zinatutoshaka majonzi machoni. Tunawaomba muwe mnatafsiri maneno ilitupate kusikiya maana ya nyimbo yaani sisi huku kiswahili chetu kinachanganyika na French. Merci, bonjour.
Reminds me of this hotel we used to take lunch while in Primary school. The owner was an Arabic woman. I heard this very many times there . Chapati surwa na pilipili ya kupikwa
Hii nyimbo ilifanya mapinduzi kwenye taarab kama hutaki utajijuu.. 😂😂👏🏾👏🏾 July 2020 still proud of this song! Nimefurahi sana kuusikia wimbo wote maana nilikuwa napata vipande vipande.
My ex husband cheated and left me and my two kids for another woman,I went through hell trying to pick myself together today he is out here chasing me all over for reconciliation and wants me back with full of regrets for he can't stand what he left me for
Tunaoishi mbali na nyumbani tujuane apa ambao tumemisi ladha tamu kama hizi..Allah awajalie kheri wazazi wetu na maisha marefu tuje onana tena inshaallah ❤
❤
The best taarab even today 2024
Very nice song
2024 this one will never get old.
Kapenda yangu nidhamu na utulivu nyumbani, pamoja na ukarimu wa ndugu na majirani, ucheshi na tabasamu kanijalia maanani!! nimepewa lugha tamu nyoka hutoka pangoni..sifa hizi Ni Muhimu na mengimengi......
Ukirudi ubet wa kwanza Sasa pale song linapoanzaa, ni fireeeeeee
Ufisadi,jeuri, ngebe na nongwaa, ukaidii, vituko vya makusudii
Big up to the Artist...
Here in 2024😢🎉😂😂this song give us a lot of memories 😅😅😅our moms favorite song😅😅i miss old days😢much love from Rwanda 🇷🇼🇷🇼
❤❤❤😘😘😘😘🥰🥰😍😍
Dayamond
2023 ❤❤❤this song is still lit 🔥wacha kwanza nimchezee jirani fulani hapa 😂😂😂😂
We🤣❤️
Shoooooooboooo😂😂😂😂😂🙆
😂😂😂
Weeeeeeeeeeeee😄
😂😂😂😂😂 Jirani tena😂😂😂😂
Growing up in bara hearing this song made me wish to relocate to coast...am happy am in coast now for 4years
karibu sana
Ni Nani ambae anaskiya wimbo Hu mwaka wa 2024/May/27th??
Like here👍🙈??
Uhondo huu .❤❤❤
@@peterkariuki-yz5wj huyu mama anaitwa je
Mimi zaidi naupenda sana winbo uhu ❤❤❤😊
Ooh ulikuja kucomment tareh yng ya birthday 27 may 😢
@@mourtadhoimuhammad6022Afuwa Suleyman
Abubakar from Canada🇨🇦 rise ur hand 🤚 kwa kila anaesikiliza hii 2021
🙋♀️
🙋🙋🙋
Maashaallah had canad
A very big lesson to us ladies. Mwenye maskio na askie. Anatoa dosii umpeao usingizi. Awuoro. Listening from Nakuru
I don't have time if want to go let him go
This is a must play at my wedding. Nubian from Uganda
Why do you want to play this song at your wedding? Know the meaning first
And did you got married yet? 🤔
He probably does not@@kizito2030
Kan ana gigusu likin logo anaruf asma te guna de mafi
Mashallah!!
Tears tears tears😢....Ubaya wa kumbukumbu nzuri ni kwamba huwa zinahuzunisha...Nyimbo kama hizi zinairudisha akili nyakati za zamani sana
Kabisa yn,inarudisha kumbukumbu
Zamani ndizo mizizi,bila mizizi hatupo
2024 still i love the song and its melodic play that creates an ambient atmosphere in the house on a weekend. Good work to the artist. Hapo kwa "wasela wa vijiweni nafuu wajipatia, uroda kwa foleni" ndio climax yangu kwa hii ngoma.
maana yake nini hapo kwa wasela wa vijiweni...
Hapo kwa mimi ndio yake pumzi
Nikampa vitu hadimu kwako hajajionea amri akasalimu magoti kunipigia❤️❤️ wanderful song 🔥🔥❤️🇰🇪🇰🇪❤️+254
Wow hongera sana hii song nilitafuta muda mrefu full video hata nilidhan hakuna iko tu nusu nusu haki naipenda hii song imetulia sana big up sana sister 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍💃💃💃💃💃💃💃💃💃
Ayyusha Habeebi hhhh si ww tuuu wat wengi tulihangaik
@@nasrynassor54 Yap yaan wanatutesa kumbe iko full💃💃💃💃💃
sy we tu hata mm nlzan iko nusunusu
Bw. Kapata wasimu .kwako kapotea njia
Unaogea jikoni bafuni unapikia.
Haya maneno ni zaidi ya risasi
😂😂
😂😂
My late mum's favorite song, those dancing move. .... It always takes my memory back to those days. Mwetu wa Masua continue resting in peace.
The Power of music - connecting mother and son in life and in death. I think it's good the song reminds you of her.
God rest her soul in peace.
Even my late maa❤
Napenda sana huu wimbo..who's here 2020 +254🇰🇪
Here I'm
Na haina lyrics ama
Si ni wewe nimeona tiktok uki ulizia jina la wimbo huu
Tamu sana
Niko hapa
2024....still vibing😋🤪
November 2020, ngoja tufunge mwakaaa....gonga like Kama umependea vyombo vya humu ndanii
Hatar
Weleeeeeess !
Iko sawa hii kaz
2024🎉😂
Kazi yako ufisadi, jeuri ngebe na nongwa, baraka ya ukaidi, ukali kama embe ngwangwa
Kitu nooma sana kopa alikipa kutoka bi afua sema nawo hao
Mstari wa kwanza tu wajua tayari ngoma noma hii 💪💪💪♥️
Utamaliza mizizi hmmmm EAST AFRICA FIREEEED ngoma Kali one week of tarab on my wedding
Hello from Sweden 2021, naipenda iyi taarabu.
Una sheria ya kuipenda
Me too from USA
Here
Una mafunzo
@@dorothynduku9825 00
pokea chako kibomu shoga nnakutumiaa hata ukinilaumu wako nshamchukuaaa 👌👌
Hi
Hamisa!
😁😁😁😁
Penzi ulimdhulumu visa ukamfanyia chachandu vitamu tamu bwana hukumpatia
Mash cool from Nairobi to mombasa 2007,sema conductor kuweka hii song on repeat almost all the way ..i had to like it
Who is still here in 2020 hongera bibi yeeeeeeeeee may God bless you
Tupo pamoja
Pa1
2020 pamoja
2020 November 29
Ppppp
Dah Nlkuwa Nakimbia hata Chakula kwenye Vigodolo Dsm Ukonga Momba Moshi relini.
Hiyo 2006,2007,2008,2009
Leo 2024,April 18 saa Tano na Dkk 23 Asubuhi nachek hili dude old is gold
This song is so fantasty am listen is so good kazi zuri sana
March 2024 wali wautia ndimu hayo ni mapishi gani? Walai kakosa hamu kakutimua nyumbani.....more fireeeee... @likeness Electrical and Car decorations. King'orani Mombasa.
2021 I am still here💃💃💃💃💃💃💃me being a gal from bara who works in coast heard this song in my neighbours house..been looking for it like crazy🤗🤗🤗🤗🤗🤗🤗the message wuuueh👌👌👌👌💃
2024 September let's gather here ♥️♥️ as we learn how to keep a man❤
2024 October
My all time song. I hope to attend her live concert one day ❤️❤️❤️❤️sending love from Kenya .
Daa! Hongera mama. Kazi nzuri kabixa
Amepewa lugha tamu ,nyoka hutoka pangoni!...ng'aring'ari
Hii taarab iko juu sana mwanamke kikula rada hapo sawa mamake
Hii taarab iko juu sana mwanamke nikuka rada hongera sana mamake mwanamke nikuchunga mumewe ilove that keep up
Tamu Sana
Wowooo my first time listening to this masterpiece was in tawqik bus from Kampala to Mombasa it was so relaxing since then I love tarab music I wish to marry from the coast
April 12th 2024 and it is still lit. 💥💥🔥🔥🔥🔥🔥
Wimbo huu nakupenda sana
2024, and this song still rocks!
I can't count how many times I have played it ( thanks
The ladies are neat 😜 and on point
I really love this song. From Chicago USA 🇺🇸
Tupe michongo na sisi tudondoke uko US
2023 january bdo tuko hapa kuiskiza ....iko na ladha yake hiingoma banaaa👌👌👌👌👍💘
Wimbo wenye mafunzo saana,ukipata uuwa lako ni kulishikiliya pasipo kuaciya
Burundi-Buyenzi twapenda saana mziki wa Mwambaooo!!
A good song to marrieges am at ukunda
Un morceau dont ont ne comprends pas la totalité des paroles avec mon petit Papa mais que l'on apprécie tant.
Vive le Taraab
Salut à toi mon frère qui aime les chansons taarabu comme moi. De Bukavu Congo Kinshasa.
Respect to you guys who love TARABU I'm listening this song which from my homeland Zanzibar where singers are originally from
Welcome to Zanzibar I'm going take you to a Night Club called Bwawani where you can have a dance
Tulioko apa 2024 gonga Like apa
This song and Gilbeys ....same boat 💕💕💕💕💕
😅😅😅😅😢
Balaka ya ukali tu kama embe mbwa mbwa😂
Tupo
Niko hapa in May
Nkiskiza huu wimbo unankumbusha marehem mamayang aliuiipenda sana
🎉🎉🎉 how wonderful is this so it's 2030 and I still get the chance to listen to this song like the Tarrabu we sang when my sister Aby and I werein kinyui girls, "Atakae niooa Atake niooaaaaaaaa.....😂"
2020 nipo.Mimi naletewa ndani we we watanga na njia!!! Lol
My first time watching the song and i laughed very hard..si izi nyimbo zinachekesha🤣🤣🤣...
Love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Old is Gold,Still fresh it reminds me my school days😌💃🏿💃🏿🇺🇬🇲🇪🇲🇳🇰🇪
Yaan June 2023 bado wimbo unawika masikioni mwangu, had raha, Bukoba mojaaaaaaa
Hongera sana B.mkubwa,wafundishe wasiojua maana ya Ndoa
Napend nyimbo hii had naumwa kama na we waipenda gonga like twende sawa 2019
I was a boy when this masterpiece was dropped, I remember it was a very big hit..I could not understand the lyrics by then but now (As a husband)😅😅😅😅...I understand why ladies loved this song haha haha haha.
A quick translation of the chorus: To you, he could not hold on; To me, He just made a home, and now the man is relaxed, He is fed up with your dramas!; To him, you won't get a chance...I'm his Air now
A very artistic way of hiding the words, when I was a boy I could not understand this at all, now as an adult everything is clear! The difference between old-time artists with these idiots right now. 😅😅😅😅
...I'm his air... Or I'm his oxygen.
Last statement wasn't that necessary though 😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂
@@matanobaya619❤❤m
Taraab taratibu,tena wimbo wenye staha na funzo, taarab starehe kweli❤️
Kuishi namumewe kazi mwenzangu mpoooo Love if from rwanda
From Mombasa Kenya nmebarizii na mtoto raha dunian ishakua Tanya twende nalooo
2021....Napenda tu wanavocheza taratibu kabisa....🤜🤛
Safi Kabisa. Nimambo yakwali. Great Sounds and superb instrumental
Ndugu zetu huko Zanzibar. Huku Congo tunapenda sana Taarab hizo zinatutoshaka majonzi machoni. Tunawaomba muwe mnatafsiri maneno ilitupate kusikiya maana ya nyimbo yaani sisi huku kiswahili chetu kinachanganyika na French. Merci, bonjour.
Hii ni ya Dar es salaam
Unajidanganya
Reminds me of this hotel we used to take lunch while in Primary school. The owner was an Arabic woman. I heard this very many times there . Chapati surwa na pilipili ya kupikwa
My favorite Taarab......Big up
Hii nyimbo ilifanya mapinduzi kwenye taarab kama hutaki utajijuu.. 😂😂👏🏾👏🏾 July 2020 still proud of this song! Nimefurahi sana kuusikia wimbo wote maana nilikuwa napata vipande vipande.
Pamoja sana
Jameni! Hongera mama! Nakupenda sana! Naienzi sauti yako na nyimbo zako zote!
It's a group
For me, this is the best Taarab, no more words
Indeed
Am watching in 2020 and still rocking..Mtamaliza mizizi
Waganga na waganguzi
😁😁😁😁
I really like this song 😍❤️ 26..8..2020🔥🔥🔥🔥
Tulioko mwezi 5/24 like hapa❤
Sio wa 5 adi huu wa 7 tupo
Safi sana mama kazi nzuri sana napenda sana tarabu mungu akubariki hongera sanaaaaà
🔥Kuelimisha na kuburudisha!! Well done 👍 🥰
This touched me on Radio citizen those days of June Dezinavel.Up to now still 🔒🔐
Alienda wapi june
Good lyrics 👏 👌 😌 zimenishika mimi kijana mdogo congratulations ladies you made it sauti tamu kaa hii,pongezi sana.
I have played the song several times and can't get enough of it .Hongera Wana wa Zanzibar
Nilidhani ni WA mombasa
@@garangballar9374 not Mombasa, in fact this was actually a Diss track to Zuchu’s mother ( KHADIJAH KOPA)
Amepewa lugha tamu nyuka hutoka pangoni
Huyu mwingene bwana imemisha hamu katimuliwa nyumbani. Raha ya uke weza hiyo
Aslkm lcao
Reminds me of the old days when we had true hustle in Nairobi,and Nandi Hills.wacha, naskia kukufa
Me kongowea sokoni
2021 still watching. A great hit of all time.
2021 en I feel this is the old "nyumba ndogo by zuchu"
Mama yang mwanaid upo mwenyew kweny Ubora wako ❤❤
Ati unaoga jikoni una pikiya bafuni gai waswahili waki kutusi huzai October 2020
🤣🤣🤣
😅😅😅😅😅😅😅😅Nimecheka Kwa sauti
@@nasramercy7016kamaanisha nn hapo
Mmh love ❤❤ taarab 2024 Kuna msichana ana jifanya jike dume na umbea ana uweza ufisadi ume mjaa nime wekaa hii nyimbo asubui ka vaa kanga 😅😅😅😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂
😂😂😂
Ndio dawa zao😅😅😅
😂😂😂😂😂😂😂😂Kazi kwel
The best of the best!
😂😂🤗pokea chako kibomu!
July 2020
Well composed!! Reminds me of my college days living at Magomen Mikumi in 2008. It was like National Anthem
safi sana
This was a national anthem kwa watoto wa magomeni😂
Like kwa wenye tumefika hapa Oct 2024. Taarabu tamu sana
January 7th 2020 gonga like hapa kama tuko kimoja
5th September
@@auntiemylee3157 qqq
Mwenzangu huna ujuuziiii, mpenzi umemuudhii👌👌👌
😅😅😅😅mke mwenza nimenunuaa bufa😅😅😢😢
Huyu mama amo sawa kabisa hadija kopa wa pilii huyu
Post wimbo wake huyu Afua Suleiman unaitwa Jaala ya Mungu. Ni nzuri sana sana.
My ex husband cheated and left me and my two kids for another woman,I went through hell trying to pick myself together today he is out here chasing me all over for reconciliation and wants me back with full of regrets for he can't stand what he left me for
Hugs ma'am.
Though old but her message is real and educating to nudging ladies.
It's called karma..he will never have peace
@@jacinta909
O.ki.ki.kkkkki..kkki.ki.ki.ki.ki.9.i9i
What has that got to do with this song 😂
for sure hii dis track ilikua bomba na bado ipo bomba sana mpaka leo asee inanikumbusha enzi za ujana wangu
Kitambo sana jamani nilikua namiaka11 kipindi hiko hii taarabu inatoka tujuane hapa wahenga wenzang
Mimi mamangu katoka Moshi baba katoka Nairobi,njoo oni mpige show hapa nairobi tafadhali
Swadkta nyimbo Poa tu sana East African Melody
Mkaanga sumu😂 apika bomu hivi mapishi gani haya😅amewachamba kweli!
Who still watch this in 2021
Me✌️
Hi
Niko. Kisauni Mombasa, nawakilisha saa hiiii
@@jeffabeyi491 00000000000000000000000000000000000000000
@@jeffabeyi491 000000000000
Hata mm ni naipenda hii nyimbo tamuu Tena Ina mafundisho kabisa... Asante
Nampikia chai ya tangawizi, kisha natoa dozi impayee usingizi....hahaaa
Kabisa
Sophia unaweza kutoa dozi kama hiyo?
Mm hicho kipande tu baaas😂😂😂😂
NAPIIKIWA MANDAZI NA CHAI YA TANGAWIZI aisee wimbo mzuri sana , mambo ya pwani hayo 🤣
Hahaha Wimbo anipiga mood ya Mandazi na chai ya tangawizi.
Still watching this in UK 2020
Ndalasimu na hiriziiii ongeza na vipodoziiiiiiii kwake hupati nafasi mimi ndiyo yake pumziiiiiiii
Mbona Sikuhizi hutoi nyimbo nazipenda sana nyimbo zako
Kina mama,waoneeni huruma wenzenu wasiojua kupendwa wakependeka, xio kwa vijembe ,Bi afua uliwapa somo haswaaa, love u
Magomen buguruni ndala zamkatikia hahahaa
Mmmmh kwel kabisa wake nishamchukua 2020
Kwake hupati nafasi mm ndiyo yake pumzi,,,
😂😂😂haha haha... Habari ndio hiyo... It still hits in 2020 😘
Mmm zay nawe unamaneno
Mm ndie wake pumzi kwake hupati nafasi😍😍😍😘😘
Till 2021
My favorite taarab♥️♥️ mashallah