Wee unayesema mwalimu Alikuwa mbaya kwa lipi na wakati kambona Alikuwa na tamaa yakutska kumpindua ili awe raisi yeye siku zote taamaa mbaya Nyerere apewe sifa kututoa utumwani bila kumwaga damu yanmtanzania
Nyerere Alikua Mtu Mwema Sana Alijua Kutujenga Pamoja Kuondoa Ukabila Na Mungu Alipanga Iwe Ivo Hao Wengineo Na Elimu Zao Tz Ingekuwa Kama Mataifa Mengine Ya Changu Ni Changu Na Chako Kitakua Changu Iwe Isiwe Lakini Mungu Alijua Kumfanya Nyerere Kuwa Baba Wa Taifa Kwa Ukombozi Wa Ukabila Kuondoa Uchafu Wa Ukabila Kwaivo Izi Habari Zisiwe Sababu Ya Muona Habari Kutukana Mwili Wa Nyerere Ukiwa Unajua Amani Yako Apo Ulipo Ulipozungukwa Na Makabila Kama Sita Lakini Uko Na Amani Iweje Useme Nyerere Alikua Afai Anajipenda Yeye Hi Sio Sawa Kwako Izi Kumbukumbu Za Kale Ubaya Wake Wewe Ujaujua Zaidi Ya Kusoma Sifa2
Kwani Zambia hawana amani?, Zambia hawana makabila?, Zambia kulikuwa na Nyerere?, Zimbabwe hakuna amani?, Zimbabwe kulikuwa na Nyerere?, Wewe hizo propaganda umekaririshwa ni upuuzi tu, huyo mtu alikuwa mshenzi sana.
@@sebastianmoshi7200 Siku Zote Usipende Kuusemea Moyo Wa Mtu Ambae Kama Alikua Mwema Mema Uonekana Na Aujifichi Ukiona Anatajwa Nyerere Ujue Alifanya Kazi Kubwa Sio Kupigana Bali Hata Iyo Nchi Unayotajwa Wewe Wamegundua Kama Nyerere Pia Aliona Mbali Apa Niliko Nimezungukwa Na Makabila Kama Sita Tunaishi Kwa Fulaa Unazani Kenya Kinachowatafuna Nini Wanajua Kabila Fulani Likiwa Ndani Basi Viongozi Wengi Watatokea Uko Sasa Viongozi Walioko Ndani Wataona Asala Kukuza Ajenda Mambo Kuwa Moto Wakichunguza Watajua Kama Ukabila Unawatafuna Namsifu Nyerere Amekuza Ujamaa Umoja Angekuwa Mwema Uyo Angelindwa Na Mungu Na Usingepata Tabu Kusaka Habari Zake Jitahidi Kuacha Isitoriya Hata Kwa Familia Yako Mana Hata Ndani Ya Nyumba Baba Kiongozi Pia Ukiwa Mzembe Hata Wosia Wako Unatupwa Kapuni Na Watoto Wako Kwanini Asilimia Bado Kwa Vichwa Vya Watoto
Nyerere hakutaka fikra zaidi ya fikra zake. Mpaka anatoka aloiacja Tanzania masikini sana. Mungu amrehem Mwinyi aliyeleta ruksa, nchi ikaanza kuendelea.
Mwalim huo ujinga kauanza yeye na ndio karithisha ma CCM wenzake hadi Leo hii wao hawataki kupingwa wanayoyataka wao yawe......hii ndio ujinga wa nchi kuongozwa na ideas za mtu mmoja
Nyere alipambana na mambo mengi, Bibititi alitaka kuingiza mambo ya dini ktk siasa kitu ambacho ni tatizo KUBWA sana. Kumbe amani tulio nayo ni misimamo ya Nyerere. Mungu amlaze mahala pema peponi Amen.
Ninavyo jua hakuna nchi duniani ambayo haija fanya mabaya, katika kuakikisha mafanikio ya dhati na hayo yote hutokea sababu anaekua na nafasi ya uongozi wakati huo anakua na wasiwasi na kuto kujua nani wa kumuamini na nani wa kuto kumuamini, kwaiyo aliyo yafanya Nyerere wakati wake ni kile alicho amini ni kizuri kwa taifa na ile ilikua starting point ya taifa letu kutoka kwa watu weupe, si rahisi na haikua rahisi sababu binadamu tuna chuki na tamaa hivyo sio wote watakupenda au kukueshimu, maoni yangu tujiulize saizi tunaenda wapi na kila mwenye nafasi yakutetea hili taifa kwa namna yake afanye, sababu waliopita wamefanya kwa kiasi chao.
Nasikia Sokoine alikuwa vizuri katika uongozi, kwa sasa tunaweza kumfananisha na Majaliwa. Wanasema Sokoine aliuawa na Mawaziri wenzake na sio Nyerere.
Nyerere Ni Mtus sio uwongo pia Ni Mtus Hatari sana Aliwafanya Watanzania Wakimbizi wa ndani kwenye nchi Yao kwa kuanzisha vijiji vya ujamaa namengine mengi machafu kwa Raia wa Tanzania
Kambona alijiuma Nyerere akimaliza miaka 10 angehombea yeye urais lakin Nyerere alikuwa hataki Wasomi kipindi chake wengi TU aliwaweka kizuizini ila Kambona alikuwa smart
Nilivyokuwa mdogo nilikuwa namshangaa sana baba yangu alikuwa happening Nyerere.Alikuwa anasema alileta umaskini.Sikumuelewa kabisa baba yangu.Ilikuwa miaka ya 80 na 90 hivi. Hasa akisimulia miaka ya maduka ya vijiji ambapo walikuwa wengine hawaruhusiwi kuuza.Alikuwa.anasema walikuwa.wanapata mahitaji kwa zamu
Alibabaika na maisha ya ulaya alikuwa na elimu nzuri ila alikuwa anataka kujitajirisha kwanza kabla ya kuangalia elimu uliyoipata itawasaidia nn wandugu zako
Maneno ya kurushiana kati ya Mwalim Nyerere na Oscar Kambona ni siasa tu, ila ukweli unabaki kuwa tumenyimwa na haki ya kumjua mtu muhimu katika historia ya n'nchi yetu. Inasikitisha hata sanamu la kumbu'kumbu hana, ila mchango wake ni mkubwa sana katika historia ya n'nchi yetu.
Kwa wasiomfatilia nyerere kwenye history wanasema nyerere alikuwa mzarendo na wanaamini kuwa Idiamin ni dictater, kumbe nyerere alikuwa bonge la dictater haku penda kuyasikia mawazo tofauti japo hakuwa msomi wa kiwango kikubwa,
Tuwache hao walio tanguli mbele za haki yupo mwe nyewe aliye wapa kipaji hicho atawahukumu mwenyewe na sisi tupambane tuivushe nchi wametuachia, vyama viko vingi tuingie tupambane kama mpina anavyopambana
Inasikitisha sana jamaa aliambiwa si mtanzania, jamaa ndio pekee alikuwa anapinga hoja za Nyerere tena bungeni na kitwa muasi inasikitisha sana, nchi yetu kipindi hicho haikutaka wasomi maana tuliamishwa kwa njozi zaidi kuliko kwa fact, nimeota muvua itanyesha hvi karibuni kumbe ni habari za hewa duniani na wakati huo kumiliki redio ya mbao wewe ni bilionea, Huyu kambona alikuwa alikuwa akisikilizwa sana sana na wanajeshi hivyo ilikuwa hofu kubwa kwa mwalimu maana alikuwa anapinga hoja zake waziwazi.
Kampong ni wa kwanzza kutangaza kiswahili London laakini wanatnga salimkke na zuhura yunusi tena walipigania uhuru na nyryr mpaka kulala chumba kimoja huko London
Asante sana kwa kuendelea kufuatilia channel hii. Please subscribe!
Unapaswa upewe pongezi kwa jhud ulzofny
Kulingana na maelezo niliyoyasikiliza Osca kambona ilikuwa na tamaa ya ya kuwa RAISI WA NCHI HOI
Wee unayesema mwalimu Alikuwa mbaya kwa lipi na wakati kambona Alikuwa na tamaa yakutska kumpindua ili awe raisi yeye siku zote taamaa mbaya Nyerere apewe sifa kututoa utumwani bila kumwaga damu yanmtanzania
Ingekuwa anatamaa asingekimbia
😅😮😮😊
Asante kwa taarifa. Nyerere alikufa akiwa hana mali yo yote nchini wala nje ya nchi. Hakuwa na tamaa ya utajiri kama Oscar Kambona.
Unauwakika
😂😂😂😂
Asante kwa historia ya Kambona. Yote yatapita lakini neno la Yehova Mungu halitapita. Naitakia Amani TANZANIA kwa jina la Yesu
ameni ameni ameni
Amani itapatikana katika ufalme wa mungu pekee kwan mwanadamu hana uwezo wa kumtawala mwanadamu mwenzie
Asante kwa history ya kambona aliwahi kuja nyumbani kwetu mwaka 1994 yeye na chipaka mwenyez mungu amrehemu
Ameni
Napenda nyerere ❤kwni asigekuwa makini leo tungekuwa kama wa cocomani
Nyerere Alikua Mtu Mwema Sana Alijua Kutujenga Pamoja Kuondoa Ukabila Na Mungu Alipanga Iwe Ivo Hao Wengineo Na Elimu Zao Tz Ingekuwa Kama Mataifa Mengine Ya Changu Ni Changu Na Chako Kitakua Changu Iwe Isiwe Lakini Mungu Alijua Kumfanya Nyerere Kuwa Baba Wa Taifa Kwa Ukombozi Wa Ukabila Kuondoa Uchafu Wa Ukabila Kwaivo Izi Habari Zisiwe Sababu Ya Muona Habari Kutukana Mwili Wa Nyerere Ukiwa Unajua Amani Yako Apo Ulipo Ulipozungukwa Na Makabila Kama Sita Lakini Uko Na Amani Iweje Useme Nyerere Alikua Afai Anajipenda Yeye Hi Sio Sawa Kwako Izi Kumbukumbu Za Kale Ubaya Wake Wewe Ujaujua Zaidi Ya Kusoma Sifa2
Kwani Zambia hawana amani?, Zambia hawana makabila?, Zambia kulikuwa na Nyerere?, Zimbabwe hakuna amani?, Zimbabwe kulikuwa na Nyerere?, Wewe hizo propaganda umekaririshwa ni upuuzi tu, huyo mtu alikuwa mshenzi sana.
@@sebastianmoshi7200 Siku Zote Usipende Kuusemea Moyo Wa Mtu Ambae Kama Alikua Mwema Mema Uonekana Na Aujifichi Ukiona Anatajwa Nyerere Ujue Alifanya Kazi Kubwa Sio Kupigana Bali Hata Iyo Nchi Unayotajwa Wewe Wamegundua Kama Nyerere Pia Aliona Mbali Apa Niliko Nimezungukwa Na Makabila Kama Sita Tunaishi Kwa Fulaa Unazani Kenya Kinachowatafuna Nini Wanajua Kabila Fulani Likiwa Ndani Basi Viongozi Wengi Watatokea Uko Sasa Viongozi Walioko Ndani Wataona Asala Kukuza Ajenda Mambo Kuwa Moto Wakichunguza Watajua Kama Ukabila Unawatafuna Namsifu Nyerere Amekuza Ujamaa Umoja Angekuwa Mwema Uyo Angelindwa Na Mungu Na Usingepata Tabu Kusaka Habari Zake Jitahidi Kuacha Isitoriya Hata Kwa Familia Yako Mana Hata Ndani Ya Nyumba Baba Kiongozi Pia Ukiwa Mzembe Hata Wosia Wako Unatupwa Kapuni Na Watoto Wako Kwanini Asilimia Bado Kwa Vichwa Vya Watoto
Mzeee angewachekea tungekua Kama Congo kwa akina mabutu wa zabanga
Labda mkundu wake ndio ulikuwa mwema😂
Charles kombe unaitaji support na nguvu katika kazi yako nzuri sana,inatufikia vizuri sana apa UNITED KINGDOM
MUNGU AKUBARIKI SANA
Shukran sana Frank kwa kufuatilia na kwa maoni yako yenye kutia nguvu. Barikiwa pia
Ilikuwa si rahisi kukaa na MTU huyu wa Musoma. Alipenda kuonekana yeye tu
@@jerryalfredngailo6106 Mzee alikua dikteta sana ila hakujidhihirisha, pia hakua focused kwenye maendeleo ya nchi..
Ameni
Nyerere hakutaka fikra zaidi ya fikra zake. Mpaka anatoka aloiacja Tanzania masikini sana. Mungu amrehem Mwinyi aliyeleta ruksa, nchi ikaanza kuendelea.
Soma vizuri historia kuhusu tanzania wakati wa Nyerere misukosuko aliyopitia,vita alizopigana angekuwa raisi wa kawaida tanzania isingejuwepo
@@emmanuelkyandochali990 Kama vita ya Uganda haikumhusu kabisa.
@@111dudi 😂😂😂 haikumuhusu unahis nan anasain mikopo ya silaha
Nyerere sifa zilimponza sh. Ilisimama akaidondosha mdgomdgo mpka hawa sasa hivi wanaendelea kuodondosha@@emmanuelkyandochali990
Never outshine the Master....
Mwalim huo ujinga kauanza yeye na ndio karithisha ma CCM wenzake hadi Leo hii wao hawataki kupingwa wanayoyataka wao yawe......hii ndio ujinga wa nchi kuongozwa na ideas za mtu mmoja
Shukran kwa kutujulisha yaliyowatofautisha Mwalimu Nyerere na Oscar Kambona
Asante sana kwa kufuatilia
Kambona alikuwa smart kuliko Nyerere
Makala hii unasimulia vizur Sana hongera kwa kazi nzuri.
Shukran sana kwa kufuatilia
Watanzania tusingekua na fitina tungekua mbali sana
Nyerere , , mtu mwenye busara, , na hekima
Habarinyelele
Hakuna na baya na binadamu ila 2 ni wenye wevu ndo wanarudxha nchi nyuma
.woo back baby
Nyere alipambana na mambo mengi, Bibititi alitaka kuingiza mambo ya dini ktk siasa kitu ambacho ni tatizo KUBWA sana.
Kumbe amani tulio nayo ni misimamo ya Nyerere.
Mungu amlaze mahala pema peponi Amen.
Asante sana Bwana Kombe
Asante bro. Life goes on ila hatujui mwisho wetu.
Nyerere ni mtu shujaa sana
Umemchambua vizuri sana
Kambona alikuwa shujaa sana, mungu amrehem
Nyerere alichangia nchi hii kuwa maskini
Kachawi afu tukaaminishwa ndo baba wa taifa na lichama lake la kifisad
Sasa wewe ukitaka baba yako ndyo awe baba wa Taifa😅
Mmmh kwani tulikuwa matajiri kabla yake?
Mwanangu unasound vizuri sanaaaaa
Hongera Sana kwa kutuandalia xtori tamu Kam hii
Shukran sana
Asante sana. Tuletee Historia ya Field Marshal Joseph Okelo
Nyerere hakupenda mabadiliko kambona aliyoyataka akageuka adui kwa Nyerere,,na ndio aliyaleta tena mwinyi
Inauma sana kwa marafiki kuitilafiana
Ndio inavyokua
Interesting thank you
Asante kwa historia nxuri
Duh nimekuja kujua nilokuwa sijui asnte sana
Nyerere ndie alieimaliza Zanzibar fisadi yule
Napenda sana makala zako
Shukran sana Pius. Nashukuru kwa kuendelea kufuatilia channel hii.
Nyerere julias alikuwa mnafiki sana tena mtuu mmbaya ni iletu watanzania hamjui historia kuhusu uyo Nyerere
Tuletee hy historia y nyerr kuw alkuw mnafk😂😂😳💃
@@halima1798 😂😂😂 na mimi nasubiri kuisikiliza
Kweli
Kuwa makini nakauli zako
Ok
Gonga lyk kama unaamin Tz tunaish kwa vsasi.
Asante kwa historia za viongozi wetu waliopita tunajifunza kitu
Mmmh 😮
Kwa stori ya Nyerere na Kambona, nakubaliana na Sera ya nje ya Marekani kuwa," Marekani hawana rafiki wa kudumu wala adui wa kudumu."
Mbowe na slaa
Story interestinge
Hv kwa matukio kama hya unawezaje kusema Nyerere alkuwa mtakatifu wkt alkuwa na element za udikteta
Ninavyo jua hakuna nchi duniani ambayo haija fanya mabaya, katika kuakikisha mafanikio ya dhati na hayo yote hutokea sababu anaekua na nafasi ya uongozi wakati huo anakua na wasiwasi na kuto kujua nani wa kumuamini na nani wa kuto kumuamini, kwaiyo aliyo yafanya Nyerere wakati wake ni kile alicho amini ni kizuri kwa taifa na ile ilikua starting point ya taifa letu kutoka kwa watu weupe, si rahisi na haikua rahisi sababu binadamu tuna chuki na tamaa hivyo sio wote watakupenda au kukueshimu, maoni yangu tujiulize saizi tunaenda wapi na kila mwenye nafasi yakutetea hili taifa kwa namna yake afanye, sababu waliopita wamefanya kwa kiasi chao.
yes
Kambona,,only,nyerere umpenda
Kumbe oscar kambona katupelekea kiswahili BBC
Kambona commander
Kambona kuwa mhaya huwa inatokana na nn👏👏
Very interesting story
Naam hayo ndio mambo ❤❤❤
Sema kambona alioa miss Tanganyika kipindi iko
Ee bwana ee kumbe ni Kambona alitupeleiea kiswahili BBC? Waoo rest in peace sir !!
Nyerere hakutaka mtu yeyote amzidi akili😂😂
Kambona, bibi titi, Tewa , sokoine, malima, ally Juma, karume etc … Nyerere aliwapoteza kimtindo 😅bongonyoso Hakuna rais mwema TZ.
Hatari kweli kweli....Historia ya BIBI TITI tayari nishakuwekea brother, waweza itazama ktk channel hii.
Nasikia Sokoine alikuwa vizuri katika uongozi, kwa sasa tunaweza kumfananisha na Majaliwa. Wanasema Sokoine aliuawa na Mawaziri wenzake na sio Nyerere.
Juzi kati kuna machizi walivunja sanam lake pale Tabora
Ama kweli rafiki wa kweli anaweza badilika akawa adui sababu ya wazfa au maslahi 😢
Nyerere Ni Mtus sio uwongo pia Ni Mtus Hatari sana Aliwafanya Watanzania Wakimbizi wa ndani kwenye nchi Yao kwa kuanzisha vijiji vya ujamaa namengine mengi machafu kwa Raia wa Tanzania
Nimejifunza kwamba madaraka yanalevya always
👊✌👍.
Tumetoka mbali sana.
Kumbe Kambona hakuwa mbaya vile, kwani matarajio yake ndiyo yako sasa -multi party democracy.
Kambona alijiuma Nyerere akimaliza miaka 10 angehombea yeye urais lakin Nyerere alikuwa hataki Wasomi kipindi chake wengi TU aliwaweka kizuizini ila Kambona alikuwa smart
Acha uwongo
Hata saivi wasomi kaka wanapingwa sana
Mmh
Nch jau
kweli urafiki wa kisiasa hauna maana
Waoo jamani historia ya Tanzania iandikwe upya.....
Nimbaya dah😢😢😢😢😢
Kweli hii nchi kumbe ilikuwa ngumu tokea ilipopata uhuru🥲🥲
Kabisaaa kaka....Kuna mengi Mwalim kayaficha mabaya yake.......katufanya tuamini mema yake tu
Nimejifunza hii ichi maraisi wote watu wa visasi
Ndio fitna zetu Tanzania na Nyerere ndio muanzilishi wa hayo na CCM wa Sasa ndio wanaendeleza tu
🔥🔥🔥
Nikweli kambona alikua anatumika kisiasa na captalism block
Bila capitalism usingeshika hata thumuni wewe mpakachupi ungevaa ya kitenge
Socialism imewafikisha wapi
Obvious Kambona alitumika
It's fine hakuna binadamu asiye na adui
Nilivyokuwa mdogo nilikuwa namshangaa sana baba yangu alikuwa happening Nyerere.Alikuwa anasema alileta umaskini.Sikumuelewa kabisa baba yangu.Ilikuwa miaka ya 80 na 90 hivi.
Hasa akisimulia miaka ya maduka ya vijiji ambapo walikuwa wengine hawaruhusiwi kuuza.Alikuwa.anasema walikuwa.wanapata mahitaji kwa zamu
Nimejifunza kumbe rafiki kipenzi anaweza kuwa msaliti na adui mkubwa kwako
Nyerere mnafik sana simpend mm
Mpende baba yako
Umpende, usimpende, ni baba wa Taifa. Hakuna mwingine kama yeye.
Pole inawezekana unamtukana mtu kwa udhaifu ulionao mwenyewe
Saf sana
Nyerere alikuwa mpigania uhuru wa wa Efrica kambona alikuwa na Ilimu ya kuwahi angepata mpaka Leo tusingekuwa na ardhi.
Alibabaika na maisha ya ulaya alikuwa na elimu nzuri ila alikuwa anataka kujitajirisha kwanza kabla ya kuangalia elimu uliyoipata itawasaidia nn wandugu zako
Maneno ya kurushiana kati ya Mwalim Nyerere na Oscar Kambona ni siasa tu, ila ukweli unabaki kuwa tumenyimwa na haki ya kumjua mtu muhimu katika historia ya n'nchi yetu. Inasikitisha hata sanamu la kumbu'kumbu hana, ila mchango wake ni mkubwa sana katika historia ya n'nchi yetu.
Kwa wasiomfatilia nyerere kwenye history wanasema nyerere alikuwa mzarendo na wanaamini kuwa Idiamin ni dictater, kumbe nyerere alikuwa bonge la dictater haku penda kuyasikia mawazo tofauti japo hakuwa msomi wa kiwango kikubwa,
😢😢
Nyerere Kwa kambona alikuwa anaufyata,kambona alikuwa msomi mkubwa mwenye maarifa mengi kuliko nyerere
Unatumia base gani kwenye argument yako?
Me na kambona dam dam yaan hili n jabali kwel 😂😂😂😂
Tuwache hao walio tanguli mbele za haki yupo mwe nyewe aliye wapa kipaji hicho atawahukumu mwenyewe na sisi tupambane tuivushe nchi wametuachia, vyama viko vingi tuingie tupambane kama mpina anavyopambana
Inasikitisha sana jamaa aliambiwa si mtanzania, jamaa ndio pekee alikuwa anapinga hoja za Nyerere tena bungeni na kitwa muasi inasikitisha sana, nchi yetu kipindi hicho haikutaka wasomi maana tuliamishwa kwa njozi zaidi kuliko kwa fact, nimeota muvua itanyesha hvi karibuni kumbe ni habari za hewa duniani na wakati huo kumiliki redio ya mbao wewe ni bilionea, Huyu kambona alikuwa alikuwa akisikilizwa sana sana na wanajeshi hivyo ilikuwa hofu kubwa kwa mwalimu maana alikuwa anapinga hoja zake waziwazi.
Uyu ni babu yangu mzaa baba kambona😭💔
@@omarikinyory5785 haya kambona pole jmn
Sema sikuwai kumuwona nime ishiwa pewa istory2 tena juzi juzi ndio tuna juzwa kikubwa duwa2 innalilahi wahina lilahi rajun
@@omarikinyory5785 VP na ww unawanyoosha uko shule
Kampong ni wa kwanzza kutangaza kiswahili London laakini wanatnga salimkke na zuhura yunusi tena walipigania uhuru na nyryr mpaka kulala chumba kimoja huko London
Mkuu Leta story ya Dossa Azizi
TUNDU LISSU alisema Nyerere sio mungu...
Nyerere alisema kwamba ccm sio mama yake
sio kisasi Nyerere uko sawa ukiwa mnafiki mwishowake ndo huo
Kiboko ya Nyerereka
Nyerere alikuwa na figisu mtu asipokubaliana nae.....
Laki 8 kwa mdahuo nisawa na bilion 8 kwasasa
Kambona kumbe hakua mzarendo
Nyerere kwa kambona alikua hawez kitu vingine propaganda ila kambona alikua genious sana
Kambona ni zao la magharibi Nyerere zao la mashariki
😂😂😂chija jamn mmh now inebaki story
Ilikuaje akawa Balozi London?
Ubaya hauna kwao
Mechi ngumu toka Zaman mpaka leo
Nchi not mech
Kambona angelishirilian na nyerer nchi ingelifika mbali lakin tatizo ni elimu ya ulaya aliyoipata ,
Wote walikuwa na elimu ya ulaya.
Kwani Mwalim hakua na elimu ya ulaya?.........Mzee alikua na roho mbaya alitaka awe yeye tu Nyerere, wengine wote wasionekane
Nyerere husifiwa lakini alikua dictator sana
Hakuna mtu asiyenamabaya hata wewe unaukrasa ambao hutaman hata mtu aujue
Usimwamini binadamu mwenzako hapa Duniani. Binadamu hubadilika.
Rafiki yako, ndiye adui yako
Laki 8 ya enzi zetu ni kama Bilioni 80 ya sasa hv
Historia ya uwongo iyo
NYerere alikuamwalimu bado yesu ni mwalimu
Lakini huyo mis Tanzania anaonekana mzuri japokuwa picha haikuwa na kiwango
😁😁😜😜
Kambona alikuwa msaliti mkuu
Msaliti mwenye tamaa Sana Angela mamiss wote mjinga
Kumbe yanayo endelea hata sasa sii mapya
Siyo peter mbwimbo ni Petro Bwimbo