Dizasta Vina - What an IQ of 200 Looks like

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 вер 2024
  • A footage was originally uploaded in Wazo tv channel. Credits to Greyson Gideon

КОМЕНТАРІ • 29

  • @maishaforreal7798
    @maishaforreal7798 Рік тому +5

    Dizasta tunakuomba uanze kufanya videos zako uziweke UA-cam za kuchambua tuelimike zaidi kuhusu mustari umoja umoja na nyingine kuhusu maisha yetu na nyingine topic .weka kwenye channel yako utatuelimisha zaidi

  • @alkaullahmediaTz
    @alkaullahmediaTz Рік тому +4

    Genius, jamaa ana akili sana. bora sana naskiza nyimbo zake

  • @BarakaKassian
    @BarakaKassian День тому

    Jamaa ana hakiri kubwa sanaa 💪

  • @wilsonjonas5481
    @wilsonjonas5481 Рік тому +5

    Sio kila sehem polini kina nyoka lakn huko ndo nyoka wanakoishi, mh!!!

  • @zainabmaulid9637
    @zainabmaulid9637 Рік тому +3

    Dizasta kichwani kwako kuna vitu vingi jamii tunavihitaji bro unatuelimisha Ila bado elimu yako haitutoshi

  • @msimika_III
    @msimika_III Рік тому +3

    Genius

  • @ALFREDJUMA-ig2md
    @ALFREDJUMA-ig2md 2 місяці тому +1

    Vinaaa✍️✍️

  • @punjuboy4544
    @punjuboy4544 Рік тому +3

    Nashauri tusome zaidi vitabu,, maarifa mengi ya kweli tumefichwa sana. Dizasta anaongea vitu vya kawaida kabisa hapo ni vile tu asilimia kubwa ya watu ni wavivu wa kujifunza

    • @alliymohamedalliy6524
      @alliymohamedalliy6524 Рік тому +2

      🤦‍♂️ Cyo fyakawaida mkuu. Unkitaka kujua kuwa c fyakawaida njoo huku kwenye hivo vtabu Afu uone.

    • @punjuboy4544
      @punjuboy4544 Рік тому

      @@alliymohamedalliy6524 " my be my simple things are out of ya simple mind" hata yeye mwenyewe dizasta kashalisema sana hili

  • @sadikimasawa4048
    @sadikimasawa4048 Місяць тому +1

    Ndoa ingekua social construct isingekua universal. Kuna jamii zingeazisha na nyingine kuzifuata. Pia wanyama na ndege wengine (Like wolves and some eagle species) wasingekua mating habits zinazolingana na ndoa hii ina maana kuna kitu deeper katika saikolojia na baiolojia ya mwanadamu na sio watu waligundua ndoa kama walivogundua moto.
    Watu wa sasa wamekua na mtindo wa kutumia "Social construct" kupunguza significance ya mambo fulani fulani. Wasema dini, ndoa mpaka jinsia kwamba eti ni social construct pasi na kujiuliza "Kama ni social construct, kwa nini jamii karibu zote zimefanana katika hayo bila kuambizana kwa millenia nenda rudi?"

  • @maishaforreal7798
    @maishaforreal7798 Рік тому +2

    The Verteller .

  • @sadikimasawa4048
    @sadikimasawa4048 Місяць тому +1

    Just because impulses are involuntary doesn't mean free will is non existent. Free will comes one comes when someone's consciousness choose what to do about what happens inside or outside his mind and body. Though it might be more of a case for those who are not aware of themselves or their surrounding and tend to drift around with animalistic instincts which is the manner of chronical criminals and addicts.

  • @ilomogold1715
    @ilomogold1715 3 місяці тому

    Genius

  • @maishaforreal7798
    @maishaforreal7798 Рік тому +1

    Elimu yako tugawiye kidogo unatuongeleya mustari umoja unauchambua na mifano ata dakika tano saafiii Mukubwa Vina. Mengine atuelewi

  • @maishaforreal7798
    @maishaforreal7798 Рік тому +1

    Tujifunza APA kwa mwanazuoni . The Verteller

  • @Yuteman_Bigdon
    @Yuteman_Bigdon Рік тому +2

    Vina noma sana

  • @addamschamwande7734
    @addamschamwande7734 Рік тому +1

    Reo gono kesho utapata ngoma ivyoo vinaa

  • @stapinuswilliam860
    @stapinuswilliam860 Рік тому +2

    Vina

  • @Goalscorer12
    @Goalscorer12 Рік тому +2

    Yessir

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 Рік тому +2

    SALUTE SANA 🔥🔥🔥

  • @deniwisdomsanga6561
    @deniwisdomsanga6561 8 місяців тому

    Hii ya maji kurudi sehemu yake umenikumbusha mh Chalamila alipozungumzia mafuriko Dar. Genius

  • @jovinaryjoseph5489
    @jovinaryjoseph5489 3 місяці тому

    🎉🎉

  • @raphaelmwangosi9295
    @raphaelmwangosi9295 4 місяці тому

    mwambaaaa xanaaaa

  • @iduriabasi4753
    @iduriabasi4753 11 місяців тому

    Fact

  • @ernestmlonganyundo1139
    @ernestmlonganyundo1139 9 місяців тому

    gineous

  • @elinajamlaty9835
    @elinajamlaty9835 Рік тому

    Unyamaaa

  • @shenamtukufu1224
    @shenamtukufu1224 Рік тому

    Nakupata rasta

  • @sammswita716
    @sammswita716 2 місяці тому

    iQ