MTAZAMO WA UISLAMU JUU YA TALAKA KWA NJIA YA SIMU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 24

  • @nadrahamid5866
    @nadrahamid5866 5 років тому

    Mashaa Allah sheikh Salum, Allah akuzidishie elimu na akupe kher nyingi

  • @ludacrissrangiyabank3737
    @ludacrissrangiyabank3737 5 років тому

    Ni ktk mashehe nnaowapenda salum msabah, mselem ally,nyundo, ukhty amina, ponda, mussa juma

  • @rahmaa.naim.9391
    @rahmaa.naim.9391 5 років тому +1

    Waalaykum salam

  • @rossamengo7211
    @rossamengo7211 5 років тому

    MA SHA ALLAH sheikh ALLAH akuhifadhi

  • @mahmudasalum9557
    @mahmudasalum9557 5 років тому

    Masha Allah. ..shukran abii lkareem

  • @rahmaa.naim.9391
    @rahmaa.naim.9391 5 років тому +1

    MashaAllah shukran

  • @bellbell9294
    @bellbell9294 4 роки тому

    Shukraan Sana sheikh wangu

  • @mohamedhaji2200
    @mohamedhaji2200 2 роки тому +1

    Hiyo ya kutia talaka kwenye kabati ilimkuta rafiki yangu mke wake akaiona. Dahhhh

  • @sophiaemanuel3118
    @sophiaemanuel3118 3 місяці тому

    Shekhe naomba namba ya kutuma swali

  • @elpistore
    @elpistore 5 років тому

    Mashallah♥

  • @humaidalwaili3921
    @humaidalwaili3921 5 років тому

    Inshaallah

  • @othmanhamad7887
    @othmanhamad7887 3 місяці тому

    Mbn mmeikatisha Shekh hajatwambia ni ipi hukmu ya yule mume ambae badae anakana kuwa co yy na hali yy amefanya tendo la kuacha?,sawa haitokw talaka ila yy vp kwa Mungu mana atkw kasema uongo.

  • @feisal6592
    @feisal6592 Рік тому

    Talaka taraweh nisawa ishallah

  • @yunusmagimba4928
    @yunusmagimba4928 Рік тому

    Assalam alaykum shekhe nina swali Je yaswihi kumrudia mke kwa kumpigia simu?

  • @pilikalolo2447
    @pilikalolo2447 2 роки тому

    Mm mume wangu alituma kweny sms alf nikawa nampigia nimuuliz ajibu sms akiulizwa na ndugu zangu anasem nasem kwamb mm sindio nimetamka nimeach yy ajasem

  • @wahidawahida6675
    @wahidawahida6675 5 років тому

    Mashekhe nawasihii katika ishu ya taraka basi kuwe na sheria kali katika utoaji wa taraka maana nikweli maana saivi taraka zimekuwa kama chungu

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy 5 років тому

    neno jipya nilojifunza hapa ni Waraka pepe.

  • @mwanahamisjuma3361
    @mwanahamisjuma3361 5 років тому

    Asalam alaikum shekh mbona unanitia wasiwasi una sema huna mke

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy 5 років тому

    sheikh msabah ni sheikh aliejaaliwa kuongea kiswahili sanifu

  • @hamadali1298
    @hamadali1298 Рік тому

    Nini hukmu ya talaka tatu shekh salumu msabah

  • @sophiaemanuel3118
    @sophiaemanuel3118 3 місяці тому

    Shekhe naomba namba ya kutuma swali