Salaam sheikh...naomba msaada wa hili kama mwanamke ameachika Talaka moja na ni mjamzito baada ya talaka tu mke akarudi kwao lkn mume wake akimkumbuka amfata kwao kisha wanashiriki tendo la ndoa bila kumwambia kama mke wangu nimekurejea(ndani ya eda) je hapo talaka bdo inaendelea ama inakuaje?
Asalam alleikum ukiachika taraka 1 inabid mum akuudumia au
Kkkkk loh😂! Uniache kisha unirejelee kw lazima? Mh! Jirekebishe kwanza otherwise😝
Kweli but ujue usharegelewa bila kurekebishwa
Mume akikutamkia kuwa ikifika tarehe Fulani nitakuwa nimekurejea,jee imekubalika?
Legelea😁😁😁😁
Sheikh Izudin je wafaa kumregelea mkeo kabla ya eda kuisha
Yeah hvyo ndvyo inafaa munatoa talka lkni bado munapenda
Salaam sheikh...naomba msaada wa hili kama mwanamke ameachika Talaka moja na ni mjamzito baada ya talaka tu mke akarudi kwao lkn mume wake akimkumbuka amfata kwao kisha wanashiriki tendo la ndoa bila kumwambia kama mke wangu nimekurejea(ndani ya eda) je hapo talaka bdo inaendelea ama inakuaje?
Je mume akiwa yeye ndie aliye muacha mke wake kwa talaka tatu aweza kumurudia akiwa katika eda?
Haiwezekni
Ashamaliza talaka3 hawezi kurudiana
Je mume anaweza kukup taraka kwa kumkaid kitu mfan amekuambia ukija njo nakit furan ww hutak kwenda nach je ilo inawez ikaw sabab ya kukup taraka
Yes talaka inapita
MASHA ALLAH ALEIK
Jee talaka ndani ya eda inaswehi yan mtu amekuacha talaka moja halafu hajakurejea akakuacha tena yan akakumalizia talaka zilizobaki inaswehi au vp
Hapana mpaka umrejee ndo unampa nyingine