Huna haja ya kumkumbusha au kumwambie mwanamme akuoe akikutaka wewe uwe mke wake atafanya hivyo. Naona wewe kwake sio sahihi Ndio maana ajakuweka ndani usiforce mdogo wangu Zuhura. Man know what the want darling.
Zuchu ndugu yangu kweli wewe ni msanii lakini usije kufanya mashara kwenye ndoa kuna vitu vingi vya kuangalia kabla ya maamuzi, tafakari utatumia vigezo gani?
Ni Mtihani MKUBWA ukisha kuwa Desperate kiasi hiki,Dada Diomond kukuowa ita take time Mnoo,Kiasi Wewe tu jinganganize ,Na pili Utatoka kama gueen masanja, Omba Mungu akupe Mume alosahihi KWAKO,Ila Kwa Dai Itaingia kama DIVA na kuachwa na Maumivu
Ko Zuchu umeona Hana Pesa? Zuchu ndio msani wakike anaeingiza pesa ndefu kwenye muziki wake kuliko msani yeyote wa kike pia kwa wanaume yupo top4 wew unamzungumzia je? Ulitaka asimkumbushe kujisafisha mbele ya Mungu?
Watu wanavyo comment ni wao washaachwa sana na hawana mabwana ata wakumueka ndani
❤❤BEAUTIFUL COUPLE
I love you Zach
Mkumbushe kabisa hao wanaokupinga wanataka uwe kama dada zao wamezaa zaa hovyo wakiwa nyumbani kwao wanaona gere tu
All 🇹🇿🇹🇿🎵🎵🎵
Mond hawezi kumuoa zuchu sema analinda ela zake za company zisiende bali sanaa
DIAMOND AKIFUNGA NA KING'ANG'ANIZI NDOA ATAKUWA MJINGA KULIKO! MAANA ASTHMA IS A DOMINANT TRAIT.
Kweli mwanamke mwalimu wake ni mwanamke mwezie...
Where is the full interview
Nyinyi kwenu ni hatari tuliambiwa tusicheze na nyinyi kwahani mama enu alikua😂 anafundisha watoto wawe makhanithi na wasagaaji
Huna haja ya kumkumbusha au kumwambie mwanamme akuoe akikutaka wewe uwe mke wake atafanya hivyo. Naona wewe kwake sio sahihi Ndio maana ajakuweka ndani usiforce mdogo wangu Zuhura. Man know what the want darling.
kuna madhara makubwa sana mwanamke akilazimisha ama kushawishi kuolewa.
Ko unataka akae kimya kabisa kama dada zako wajazwa mimba tu wakiwa nyumbani
😂😂😂@@AllyNzisabira
Mb0na si vibaya
@@salimmwakaribu942 😂😂😂
Hakuna ndoa hapo
Zuchu ndugu yangu kweli wewe ni msanii lakini usije kufanya mashara kwenye ndoa kuna vitu vingi vya kuangalia kabla ya maamuzi, tafakari utatumia vigezo gani?
Aliya yukwapi😂😂
Napenda sana kuona haya lakini sifanyiwi mambo kama haya na Julius kimani
Dah pole sana ipo siku atakufanyia
Chezeeni tu shilling chooni lakini ombeni ikija siku ikatumbikia ndio mtajua chezeeni tu
😂😂😂😂 anakuchezea tu kukuowa hiyo sahao unapoteza tu muda wako We huoni wanawake zake walikua wazuri wote kazaa nao tu pole sana
Una akili sana
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 unfortunately we are. Done please 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪stop stop this Media and 🇹🇿🎵🎵🎵 let's 😍🇹🇿 without 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 so it's 🇰🇪
Mond ana akili sanaa hawezi kuoa zuhura jmn
Kulazimisha ndoa sio baya Maana dhinaa mbaya
Ni Mtihani MKUBWA ukisha kuwa Desperate kiasi hiki,Dada Diomond kukuowa ita take time Mnoo,Kiasi Wewe tu jinganganize ,Na pili Utatoka kama gueen masanja, Omba Mungu akupe Mume alosahihi KWAKO,Ila Kwa Dai Itaingia kama DIVA na kuachwa na Maumivu
Ataendelea tu kumlazimisha hadi amuoe😂😂😂😂😂😂kampeni itaanza
Kwani wameshachoka kuzi hata anatakakuolewa sasa
Anapenda, helazake, Engekuwahana, pesa, Ungempenda
kwani we uliyenae anakupendea pesa au
Ko Zuchu umeona Hana Pesa? Zuchu ndio msani wakike anaeingiza pesa ndefu kwenye muziki wake kuliko msani yeyote wa kike pia kwa wanaume yupo top4 wew unamzungumzia je? Ulitaka asimkumbushe kujisafisha mbele ya Mungu?
Diamond is 😂😂😂😂😂
Hakuna urafiki kwenye kuzini fungeni ndoa nyie
Woii this sounds desparet
Ambiyeni diamond amu owe zuchu anamzehesha
we mwenyewe mama yako amezeeshwa
😂😂😂😂😂😂