MPINA NA WAZIRI BASHE 'WAFOKEANA' BUNGENI "ANADANGANYA, NITALETA USHAHIDI"/ SPIKA AINGILIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 217

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 3 місяці тому +15

    Mtukufu ni Mungu.....Bashe. Wewe ni mwislam wa kweli kuliita bunge eti tukufu....mmmmh unakosea sana.....utukufu una Mwenyezi Mungu pekee

    • @victorsanga2229
      @victorsanga2229 3 місяці тому

      Pamoja na maneno hayo, mbona bei ya sukari bado ipo juu?

    • @ishmaelsimon6617
      @ishmaelsimon6617 3 місяці тому +1

      Nadhani alimaanisha Saint na sio Holy, Kiswazi kipo na shida.

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 3 місяці тому

      Bunge lina utukufu gani na limejaa wizi

    • @Monja9999-c1b
      @Monja9999-c1b 3 місяці тому

      Mungu hakai maali pachafu,palipojaa rushwa na uonevu,Hukumu yenu yaja wapigaji,mijizi mikubwa

    • @SaleheMkomwa
      @SaleheMkomwa 3 місяці тому

      WIZI MTUPU HAPO SIKUELEWI

  • @godwinkasaizi882
    @godwinkasaizi882 3 місяці тому +9

    Mlitaka USHAHIDI Sasa Mpina kawapa. Mh. Spika binafsi Huwa unanikera mara kadhaa UNAVYO waongoza wenzako. Punguza ukari na ndio maana Mpina kakimbilia mtaani maana anajua ni kawaida Yako kuweka Kona wenzio. Tabia MBAYA SANA hiyo kwa ustawi wa Nchi. Mpe mtu nafasi azungumze amalize lakini wewe ni umekuwa mtu wa kuingilia watu wanapo zungumza. Sio siha NZURI.

  • @EmmanuelMoses-pb1zh
    @EmmanuelMoses-pb1zh 3 місяці тому +7

    Mtaalamu Mwenyewe Luhaga mpina 🙌🙌🙌

  • @EdwinZiade
    @EdwinZiade 2 місяці тому +1

    Hongera Mpina komboa Watanzania

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 3 місяці тому +11

    Taarifa za mpina ni za kikachero

    • @jamesselemani4562
      @jamesselemani4562 3 місяці тому +1

      😂😂 huyu mwamba nimemshitukia kabsa sijui ni kachero

    • @paschalpaul3862
      @paschalpaul3862 3 місяці тому

      @@jamesselemani4562 hao akina mpina ndiyo wanatumiwa na serkali yaani chini ya TIS ili kuwabana mawaziri

    • @venancemwanya4212
      @venancemwanya4212 3 місяці тому +2

      Jeshi la mtu mmoja,kamati ya mtu mmoja.

    • @shijandobehe4953
      @shijandobehe4953 3 місяці тому

      Kama sio kachero basi anafanya kazi na upinzani mwamba anaona mbali Sana

  • @bonifacerobert2960
    @bonifacerobert2960 3 місяці тому +8

    Umeumbuka Bashe! Unamtaja na MUNGU huna haya? Umedanganya bunge ma 18 Bashe. MUNGU amlinde sana Mh Luhaga Mpina.

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 3 місяці тому

      Kwel kabisaa mwizi huyu msomal

  • @abumuhammadmbwana3964
    @abumuhammadmbwana3964 2 місяці тому

    Watanzania hua kuwaelewa wanzchokita ni kazi kubwa sana ukisikiliza hoja za wawili hao hapo bungeni utaona lengo la Bashe ni kumtetea mwananchi wakati mpina anatetea kanuni. Mimi nilitegemea wananchi wamuunge mkono Bashe kuliko Mpina.

  • @lwitikomwambogela4276
    @lwitikomwambogela4276 3 місяці тому +12

    Hili suala la sukari liko kisiasa sana, miezi ambayo tanzania hawazalishi, wenzetu Zambia na Malawi wao wanazalisha mwaka mzima. Na hali ta hewa ya Tanzania na hizo inchi iko sawa.

  • @johnsonchonja4032
    @johnsonchonja4032 3 місяці тому +5

    Niko na mpina mpaka awe waziri,jamaa ananyoosha sana

  • @hillshipping5117
    @hillshipping5117 3 місяці тому +4

    Allah, yuko nawe mh bashe hukuubwa kumuogopa kiumbe yeyote fanya kazi yako amana umepewa na mungu la yahafu kiumbe mungu anajua zaid

    • @denismasele4130
      @denismasele4130 2 місяці тому

      Usiwe unatetea uovu wanao pata tabu ni sisi wananchi

    • @hellenmarandu1787
      @hellenmarandu1787 2 місяці тому

      Sio rahisi kuwa kiongozi wa chochote

  • @Nyanda506
    @Nyanda506 3 місяці тому +7

    Spika si uwaache wawili mpina na Bashe wamenyane tu ..Spika anaingilia sana 😅😅

  • @Azikiwe-qi6jd
    @Azikiwe-qi6jd 3 місяці тому +5

    Aliye Tulaani sisi alitufanyia kitu mbaya sana, sisi ni nchi yenye ardhi kubwa kuliko zote east Africa, sisi ni nchi yenye utulivu wa kiutawala kuliko nchi nyingine yoyito afrika tuna mvua za kutosha ati miaka 60 ya uhuru bado tuna tunaongelea sukari. Aliye tulaani ni mtu mbaya sana

    • @rogersiddy
      @rogersiddy 2 місяці тому +1

      Nakuunga mkono kwa point zingine ila hili la...nchi yenye utulivu wa kiutawala kuliko nchi nyingine yoyote East Africa si kweli hakuna utulivu ila wameeneza vitisho kwa wananchi ili watawale kimabavu asijitokeze mtu kuongea ukweli watakushughulikia kama Tundu Lisu

  • @GodfreyTarimo-je4xo
    @GodfreyTarimo-je4xo 3 місяці тому +8

    Mpina hoyeee

  • @rehemakayuga7051
    @rehemakayuga7051 3 місяці тому +16

    Mpina Ipo Siku Itafika Tutakumbuka Hoja Zako Na Kusema Mpina Aliwahi Kuyasema Haya Akiwa Bungeni

  • @MRHURUMAHuruma
    @MRHURUMAHuruma 3 місяці тому +4

    Bunge bila upinzan siyo bunge kweli tusirudie makosa mama tumpe urais lakin wabunge tuwachanganye

  • @alumonkisinda4574
    @alumonkisinda4574 3 місяці тому +8

    mpina akija kuwa hata waziri mkuu tu Kuna watu watakunya na watanyooka tunaishi kimazoea Sana

    • @yusuphnundu6113
      @yusuphnundu6113 2 місяці тому

      Alikua waziri wa mifugo wakati wa magufuli ndio huyo alikua anapima samaki na rula 😂😂 huyo naye anahasira za kukosa uwaziri akipewa cheo anavurunda pia

  • @AnthonyMgembe
    @AnthonyMgembe 3 місяці тому +5

    Bashe ni waziri. Mzigo

  • @oswaldtemba2770
    @oswaldtemba2770 3 місяці тому +1

    Bashe utakuwa juu sana. Mungu akulinde.Good man. Achana na Mpuuzi mpina.hopeles minister mpina. Unapambana na bashe kwa ajili ya nini. Bashe ni mzalendo wa kweli.

  • @drtobias_
    @drtobias_ 3 місяці тому +10

    Waziri Ummy alikua busy kuchati na Mimi

  • @AMENMUSHI-wt4li
    @AMENMUSHI-wt4li 3 місяці тому +2

    Mungu mbinguni utete watanzania ,hspa duniani tulikuja bila kitu tutaruf hivyo hivyo

  • @shanjemanumba6325
    @shanjemanumba6325 3 місяці тому +5

    Mpina umebaki peke Ako tu hapa nchini kuipgania Taifa hili .Mungu akupe nguvu

  • @billgussy6099
    @billgussy6099 3 місяці тому +4

    Spika naye anajibu maswali kwa niaba ya wazir???i Lengo apotoshe? Huyu Spika😂

  • @pastorsthenksrojaskapunga6843
    @pastorsthenksrojaskapunga6843 2 місяці тому +1

    Mimi niseme tu mpina yuko sahii zuli sana acheni kujidaganya Kutoka 1:8,10
    [8]Basi akainuka mfalme mpya kutawala Misri, asiyemjua Yusufu.
    Now there arose up a new king over Egypt, which knew not Joseph.
    [10]Haya! Na tuwatendee kwa akili, wasije wakaongezeka; tena, ikitokea vita, wao nao wasije wakashikamana na adui zetu na kupigana nasi, na kutoka katika nchi hii.
    Come on, let us deal wisely with them; lest they multiply, and it come to pass, that, when there falleth out any war, they join also unto our enemies, and fight against us, and so get them up out of the land.

  • @michenjembikamichenje1388
    @michenjembikamichenje1388 3 місяці тому +2

    Mpina and S makamba also good mbunge and bashe ni waziri mmoja ktk mawaziri kwelikweli wa mama Samia

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 3 місяці тому +10

    Hongera Mpina kuwa mzalendo wa Inchi hii

    • @SarahSwale
      @SarahSwale 3 місяці тому +1

      Hakuna kitu zaidi ya Makasiliko. Ana chuki na Mh. Bashe, Hawa ndio kundi linapambana kumwondoa Bashe na baadhi ya mawaziri kwenye nafasi zao kwa chuki tuu. Hon. Bashe ni Kichwa kingine cha karne hii.

    • @ishmaelsimon6617
      @ishmaelsimon6617 3 місяці тому

      Bashe yupo safi, bt tunajua target ni 2025 iwe 2000/kg, uchaguzi ni wa motoo..

  • @petersynto2043
    @petersynto2043 3 місяці тому +2

    Waheshimiwa wabunge wakati mwingine mimi huwa nashindwakuwaelewa wakiwawanaongea hapo kama watu mwenye uchungu vile kumbe hamna kitu Mimi binafsi ni moja ya waathirika wa zao la tumbaku tabora naye huyu anatokea tabora yaani kuna migogoro mpaka basi pia kuna uonevu wa Hali ya juu kwenye zao hili

  • @arcadilamu396
    @arcadilamu396 2 місяці тому +1

    Tatizo spika anajifanya wakili ikiwa Waziri alipaswa aweke ushahidi wa alivyovisema ili Mpina nae athibitishe ukweli ujulikane na sio kupendelea sehemu moja

  • @seifsaidseifsaid1210
    @seifsaidseifsaid1210 3 місяці тому +4

    Hiyo ni siasa tu. Unaongea sana lakini utendaji ni zero!

  • @AbdiMohamed-vk5kc
    @AbdiMohamed-vk5kc 3 місяці тому +2

    Bashe amewashika pabaya wenye viwanda,miaka yote wanajifanya kuna shortage ili wapewe vibali,nashauri kipindi cha shortage wapewe vibali wafanyabiashara ili wenye viwanda wazalishe sukari ya kutosha kipindi chote,mikoa iliyoko mipakani kama nchi jirani kuna sukari wafanya biashara wa mikoa hiyo waruhusiwe kuingiza,Mpina acha kutetea wezi.

  • @sadammadamba2550
    @sadammadamba2550 2 місяці тому +1

    Unataka ripoti ya CAG yup maana analeta kila siku na hakuna linalofanyika...

  • @rogersiddy
    @rogersiddy 2 місяці тому +2

    Spika hatuna ila tunakipaza cha sauti tu 😂😂🙌

  • @Richkinji-n1g
    @Richkinji-n1g 3 місяці тому +1

    Maada ya kipumbavu yanapiga makofi hatari lkn hoja za msingi za kina Mpina wanacheka

  • @mirajiramadhani2128
    @mirajiramadhani2128 2 місяці тому +2

    Uwongo Uwongo

  • @PaulKhaday
    @PaulKhaday 2 місяці тому

    Spika anamtoa mpina kwenye point

  • @KioJuma
    @KioJuma 2 місяці тому +1

    Mpina akuna kitu ahaaa

  • @fidelismwakanyamale6787
    @fidelismwakanyamale6787 3 місяці тому +1

    Huyu mpina wakati ni waziri alikuwa ni mfitini sana kwa mali za watu na ana roho ya wivu anaona kuwa wanziri anapata sana sasa anaona kila mtu yuko kama yeye

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 3 місяці тому +3

    Mbona mpaka sasa sukari inanunuliwa kwa bei ya juu? Tulia atakupini Mpina kwa sababu agenda zao.

  • @user-md7sd3hk6l
    @user-md7sd3hk6l 3 місяці тому +1

    we bashe wee upo vizuli naona una mtaja sana mungu nikweli una tenda aki uku kwetu sukali kilo 3500 mpina tupamba nie mwamba ayo mengine tusha yazowea kila seemu ni kupigatu yeye nani bashe asi pige

  • @glassdubaialuminiumprofile2026
    @glassdubaialuminiumprofile2026 3 місяці тому

    Nakuelewa sana Brother mm kama mjasiliamali katika kilimo na mifugo Niko mikono salama

  • @oswaldtemba2770
    @oswaldtemba2770 3 місяці тому +1

    Bashe hajaiba hata Mia.mnamshambulia kwa sababu gani.wivu tu mara malori yake.kwani kuwa na malori ni dhambi?

  • @gkanyanda1173
    @gkanyanda1173 2 місяці тому

    Pina ndo yupo sawa .

  • @umranim5854
    @umranim5854 3 місяці тому +1

    Huyu mpina anaonekana ana chuki na waziri sasa alete ushahidi au imekula kwake na roho mbaya 😂

  • @KopiscoIsaya
    @KopiscoIsaya 2 місяці тому

    Danganya mbumbumbu wenzako.mawaziri na wabunge hamjielewi.

  • @pastorsthenksrojaskapunga6843
    @pastorsthenksrojaskapunga6843 2 місяці тому

    Kutoka 1:8,10
    [8]Basi akainuka mfalme mpya kutawala Misri, asiyemjua Yusufu.
    Now there arose up a new king over Egypt, which knew not Joseph.
    [10]Haya! Na tuwatendee kwa akili, wasije wakaongezeka; tena, ikitokea vita, wao nao wasije wakashikamana na adui zetu na kupigana nasi, na kutoka katika nchi hii.
    Come on, let us deal wisely with them; lest they multiply, and it come to pass, that, when there falleth out any war, they join also unto our enemies, and fight against us, and so get them up out of the land.

  • @irenekalinga323
    @irenekalinga323 2 місяці тому

    Huyu aliyekaa pembeni ya mpina eti nae mbunge duh 🙄 anaongea mpina yeye anatetemeka

  • @BahegheJoseph
    @BahegheJoseph 3 місяці тому +4

    Sasa ww bashe kama unashindwa kuwaamrisha hao wa viwanda wakakusikiliza unafany nn ofisin

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 3 місяці тому +1

      Kwel anafanya nini aachie ngaz bc

  • @katapaj2336
    @katapaj2336 2 місяці тому

    Mpina gombea uraisi kula yangu ipo❤❤❤❤❤❤

  • @JohnSulle-q6p
    @JohnSulle-q6p 3 місяці тому +2

    Bashe atoke kweny uwaziri hawezi kutusaidia wanyonge watu tunataka tuuze ata mahindi yetu ata gunia 10 ili upeleke watoto shule lakin ye anaangalia matajiri tu mshenzi uyu

  • @pastadandan3569
    @pastadandan3569 3 місяці тому +3

    Hapo spika anajaribu kuua hoja mpina

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 3 місяці тому +3

      Anataka kuifanya bunge kuwa taasisi ya serikali

  • @zariadunia6328
    @zariadunia6328 3 місяці тому +1

    Kwa kutulinda wakulima hapana sasa hivi umetangaza kuanza biashara ya unga wa mahindi DRC sasa kama serikali ina anzaje kuuza ungaa Drc wakulima na hasa kigoma tunaotegemea soko la DRC tutweza kushindana na serikali kweli hii sio sawa

  • @justardzelphine6526
    @justardzelphine6526 3 місяці тому +1

    Tulibinafsisha viwanda vya sukari ili uzalishaji ukidhi mahitaji yetu!
    Leo hii hamna chochote tunachokidhi!
    Kwanini tulibinafsisha?

  • @aloycemruma6552
    @aloycemruma6552 3 місяці тому +2

    Huyu. Anachekesha watu wananunua sukari sh..4000 mpaka sasa sasa inanunulika wapi.bei ya chini

  • @dismaslalubare4196
    @dismaslalubare4196 3 місяці тому +1

    Mpina wanyooshe wote watakaosema uongo bungeni

  • @marandoruzali1946
    @marandoruzali1946 3 місяці тому +12

    Mpina oyeeeeee

  • @Chiefmutasa
    @Chiefmutasa 3 місяці тому +2

    Bashe umeyakanyaga

  • @saidimpako5186
    @saidimpako5186 3 місяці тому +1

    Kwanin kusiwe na mikakati ya kuzalisha wakati wote bila ya kusimama

  • @MjuniLaulian
    @MjuniLaulian 3 місяці тому +1

    Bashe ni msanii yuko bize na maloli yake juzi tu kampuni ya marori jamani tz ni mtaji wa wanasiasa na mawZiri

  • @PASCHALCHARLES-dc1yd
    @PASCHALCHARLES-dc1yd 2 місяці тому

    Sukari sio chakula cha watu maskini hata ingekuwa ivo maskin ndo wakose sukari.

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo7702 2 місяці тому

    Intervention wapi wewe, hapo kunaupigaji tu, kama ukiagiza sukari nje inakua ni bei rahisi, sasa kuna maana gani ya kua na viwanda sasa, waziri Iddi Simba alijiuzuru kwa issue hii hii ya sukari.

  • @dignusraymond6197
    @dignusraymond6197 3 місяці тому

    My gumu hyu ni wa wote sis ccm tutafanywa vbaya sana

  • @HashimuAbubakar-ej8gc
    @HashimuAbubakar-ej8gc 3 місяці тому +2

    Kingereza kingi

  • @JudithMwakyambo
    @JudithMwakyambo 3 місяці тому

    God is tge judge

  • @AtanasKameja
    @AtanasKameja 3 місяці тому +1

    Mbina uko sahihi sana

  • @Jal210
    @Jal210 3 місяці тому +1

    Waziri Bashe brain kubwa

  • @shubebunyesi542
    @shubebunyesi542 2 місяці тому

    sasa apo nyie ambao mnashangilia mpina mana mlitaka sukari iwe juu ili mumtukane raisi leo mnataka bashe afuate sheria wakati juzi tu mlikuwa mnamsifia Magu anafanya maamuzi kwamba sheria inachelewesha leo vp yaani nyie mkipata mtu yuko tofauti na serikali ata kama serikali ina inawahurumia nyie ndio mnamuona yk sawa

  • @nyerere1259
    @nyerere1259 3 місяці тому +1

    BUNGEE ZIMA VS MPINA

  • @selemsigala4771
    @selemsigala4771 3 місяці тому +2

    Wakulima wanalindwa vipi nenda chunya kafatilie zile mborea feki nani alie ziruhusu wakulima wanalia.

    • @reonandmpangalushu3434
      @reonandmpangalushu3434 3 місяці тому

      Sio chunyatuu kila kona wanalia na mbolea feki starudia (hii Somalia)

  • @jamesdadu7059
    @jamesdadu7059 2 місяці тому

    Pamba na sukari..
    Product za kisiasa...mpina uko sawa wewe pambana tutakulinda...usiwaogope

  • @lutufyolaban2144
    @lutufyolaban2144 2 місяці тому

    Mbona hakuna walipofokeana ninyi Yesu anawaona

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 3 місяці тому

    Tukitumia sheria sana nchi haiendi..... Tuwe tunakabiliana na uhalisia hata kama tunavunja sheria

  • @SHAURI.2024
    @SHAURI.2024 3 місяці тому +3

    Sukari zenyewe ni chafu

  • @frankjohn8706
    @frankjohn8706 3 місяці тому +1

    Hio ni kutuchanganya tu wanania Moja hao

  • @denismasele4130
    @denismasele4130 2 місяці тому

    Kwanza bashe ni kabila gani?😅😮😊

  • @seifsaidseifsaid1210
    @seifsaidseifsaid1210 3 місяці тому +1

    Mpina yupo sahihi kabisa bashe janja janja tu!

    • @mgosimkome9242
      @mgosimkome9242 3 місяці тому +1

      Halafu anajifanya anaongea kwa kujiamini kumbe Hakuna, Mpina yuko sahihi

    • @josephlorri431
      @josephlorri431 3 місяці тому +1

      Bashe kama Mo wa simba..janja janja mingi

    • @MasanjaMasanja-mz3ll
      @MasanjaMasanja-mz3ll 2 місяці тому

      Sisi watumishi WA kilimo tumeona mabadiliko aliyoyaleta Bashe kwenye kilimo...na bado anafanya vizuri

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 3 місяці тому

    Afrika moto, Bongo kuendelea ni swa nakuyatafuta matako ya nyoka hapo wezi wamarundika

  • @pillydea3498
    @pillydea3498 2 місяці тому

    ❤Tp

  • @emmanuelmsambya5293
    @emmanuelmsambya5293 3 місяці тому +1

    Dah spika anaakili sana na kasoma sana

  • @anytime5685
    @anytime5685 3 місяці тому

    Kama walifungia hatua gani mmechukua mpaka mwaka wa ppili unatuambia haya
    Kiuhalisia kazi imemshinda
    Maelezo mengi ila hakuna kinachotokea

  • @JustuseMalembo
    @JustuseMalembo День тому

    Wewe nxega walichagua

  • @NikoAgast
    @NikoAgast 2 місяці тому

    Makofi ni ya mawaziri tu

  • @emanuelmgote4511
    @emanuelmgote4511 3 місяці тому

    Mheshimiwa bashe mageti ya Mazao yanakamata ushuru mpaka Genoa moja..unalijua Hilo?

  • @jamesdadu7059
    @jamesdadu7059 2 місяці тому

    You guy wewe ni muongo...wakulima gani unawalinda wewe. Huku maisha magumu...

  • @davidmrindoko5044
    @davidmrindoko5044 3 місяці тому

    adiltv 1

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 3 місяці тому

    HIVI HILI BUNGE NI TUKUFU KWELI? AU NANI ANAAMBIWA NI SPIKA NDIYE ANAJUA NA ANAAMINI KWAMBA BUNGE LAKE NI TUKUFU? DUHHHH.😊😊😊😊

  • @halimamasai2234
    @halimamasai2234 3 місяці тому +1

    Mbona mpina kila siku ni kupinga tu au mimi ndo sikuelewi

    • @RenaldaZeramula
      @RenaldaZeramula 3 місяці тому

      Hakuna wapinzani BUNGENI.
      CCM WANAPANGANA KWAMBA WEWE UTAKUWA MOTHER IS BETTER THAN FATHER OR FATHER BETTER THAN.MOTHER. WAMEPANGANA

    • @majaliwabwitonde6900
      @majaliwabwitonde6900 3 місяці тому

      Hapingi, anatoa hoja na kukosoa na kushauri ndiyo kazi ya mbunge

  • @smallscaleminingsupplies9670
    @smallscaleminingsupplies9670 3 місяці тому

    Wanaomsifia Mpina hawamjui vizuri huyu aisha kua waziri wa mifugo alicho fanya waulize wafugaji na wavuvi, kama kuna cha maana alileta zaidi ya sifa za kufilisi watu,

    • @RomanMwinyi
      @RomanMwinyi 3 місяці тому

      Sas wewe unaongea nn mbon bandali sio Mali yetu na bado laisii niyuleyule co we una taka wazidi kuibaa sio

    • @smallscaleminingsupplies9670
      @smallscaleminingsupplies9670 3 місяці тому

      @@RomanMwinyi Wewe hiyo bandari umeisha leta mzigo ukapitisha hapo chini ya Watz ukaona adha yake

  • @officialjoe8003
    @officialjoe8003 3 місяці тому +1

    kwenye vitu vya msingi kma hvi huwez kuskia kina gwajima na babu tale wanaongea hawajui chochote kuhusu haya mambo

  • @salmanmagwe2612
    @salmanmagwe2612 3 місяці тому +3

    😊mpina ni mpiga porojo mkubwa,na si alikuwa waziri alifanya nn zaidi ya kupima samaki kwa RULA?siasa ni mwanaharamu wewe mwananchi ukiwa mjinga utahadaika na watu kama mpina.

  • @SaidiMkome-qq7hy
    @SaidiMkome-qq7hy 3 місяці тому +1

    Bashe kawa bashili sikuizi😁😁😁🏃🏃🏃🏃🏃

  • @kayumbasosthenes3596
    @kayumbasosthenes3596 3 місяці тому +1

    Mpina hapana kwakwer unatumiwa na wafanyabiashara wakubwa wewe,ushahid huo unautoa wap kama hawajakupa ili utuvuruge

  • @KioJuma
    @KioJuma 2 місяці тому +1

    Bashe bingwa anabishan kW hoja mpina anajutafuta ahaaa

  • @malembobulongo3856
    @malembobulongo3856 3 місяці тому

    Acha uongo Bashe Kuna wakulima vijijini mpaka Sasa hawajasajiliwa na hawana uhakika wa kupata pembejeo

  • @williammbuzimai5744
    @williammbuzimai5744 3 місяці тому

    Bashe ikiwa wawekezaji hawakutuhudumia ipasavyo,,
    Umewachukulia hatua gani!!!

  • @joycmsokile9220
    @joycmsokile9220 3 місяці тому

    Hamna kitu, mwarobaini wa kilimo nchini haujapata majibu .bado Sana tena sana,

  • @paschalvenance1833
    @paschalvenance1833 3 місяці тому +1

    Refa (spika) na timu yake waziri hapa mpina hatoboi

  • @PhilipoMwita-wc1ku
    @PhilipoMwita-wc1ku 3 місяці тому

    Mpina piga wape spna hayo majizi mtaani tunaumia yani anasema sukari niyawatu masikini

  • @NIMRO-bx8vu
    @NIMRO-bx8vu 2 місяці тому

    Ila hii nchi(.......)

  • @yakaramayaka1456
    @yakaramayaka1456 3 місяці тому

    Waziri Ummi yuko Instagram 😂

  • @malembobulongo3856
    @malembobulongo3856 3 місяці тому

    Acheni kusema bunge tukufu mnamkosea Mungu sana

  • @michaelmlyuka6032
    @michaelmlyuka6032 3 місяці тому

    Mbunge anawakilisha Wananchi hivyo anawjibu wa kuihoji Serikali, haitakiwi akemewe Waziri anatakiwi aeleweshe ili akawaeleweshe Wananchi wake