Hongera Sana hanspaul kwa kazi nzur,, mungu akubariki kwa kuwa mbunifu wa kipekee sna Arusha na kwa Tanzania kwa ujumla kwa upande wa magari pia fikiria na pkpk pia kufanya hivyo Kama ulivyobuni gari ya kutumia umeme pekee
Kwanza nawapongeza sana kwa kazi nzuri, ila masaa ya kuchaji inabidi muangalie namna ya kuyapunguza. Wenzenu wa rwanda magari yao yanatumia dakika 45 mpaka saa1.
What's the capacity with a fully loaded vehicle? These vehicles are featured here empty which won't be the reality in the field! Furthermore on a cloudy day how much frustration can the public tolerate? And finally what is the cost of a new battery five years down the road?

Hongereni sana kwa kuanza mtafika mradi mna nia
Kwanza nawapongeza sana kwa kazi nzuri, ila masaa ya kuchaji inabidi muangalie namna ya kuyapunguza. Wenzenu wa rwanda magari yao yanatumia dakika 45 mpaka saa1.
Good creativity ,still yet a lot.of improvement is required
Safi sana 👏👏👏👍
Awesome 👏
mnapatikana arusha sehemu gani
Wapo Njiro industria area
Great job
Kweli mko nyuma
Acheni uwongo tawisa wanalo gari kama hilo na lina miaka kama mitatu
Haya magari yasiyo na mgurumo si yataua watu hadi limefika kwako ulisikii
Honi zipo
Hilo gari linakimbia km ngapi kwa saa?
Masoud kipanya number mmoja
Kwanini msitengeneze ikitembea iwe inajichaji
Sasa ikiwa full chaji inatembea km 120 sasa utaendanayo mpak wapi
Ataenda km 120.
Hamna gari hapo
Hamna gari hapo wewe yako uliyo gundua iko wapi???
Solar ya W100Inaweza kuzalisha umeme mwingi sana....wakikaa chini vyema wanaweza fanya kitu kikubwa zaidi ikaenda hata kilometa 1000
Kilomita mia ni sawa na kutoka Arusha mpk Namanga mipakani na Kenya ama Arusha moshi,wewe unaona hakuna kitu wamefanya?!
Vp system ya A/c inakuwaje
Tengenezeni mfumo wa kujichaji yenyewe
Hanspol big
BORA
What's the capacity with a fully loaded vehicle? These vehicles are featured here empty which won't be the reality in the field! Furthermore on a cloudy day how much frustration can the public tolerate? And finally what is the cost of a new battery five years down the road?
These are questions to be asked... These journalists don't do their homework properly to ask relevant questions..
In this age of innovation, try to be on the positive side to in courage the gifted mentors
Chuga
Ngoja tu ni unsubscribe. Hakuna namna