MBWEMBWE ZA WATU WA ARUSHA KWENYE MAGARI YA ZAMANI NA YA KISASA ,MOSHI UNATOKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 109

  • @reylerreyler2236
    @reylerreyler2236 4 роки тому +60

    Wanachuga gonga likee happ

  • @mwinyimgawe9664
    @mwinyimgawe9664 4 роки тому +2

    Arusha kwa hayo mambo nawakubali sana ,,,wanatusaidia sana magari kuukuu kurudi katika ubora

  • @obedingilisho
    @obedingilisho 4 роки тому +2

    The home of mine.. Sema Kuna yule mzungu last year alitisha..saivi amjamuonyesha

  • @iddiwaziri7598
    @iddiwaziri7598 3 місяці тому

    Fanyeni kazi kama professional shoot, tuangalie vitu kinachozungumzwa zaidi pande zote zinazopaswa kuangalia kama kujifunza zaidi na kuamasika zaidi kuliko kutuonyesha mzungumzaji wa hivyo tunachokiona!, ahsante

  • @IBRAYOGamesTZ
    @IBRAYOGamesTZ Рік тому +1

    Mwenye MarkII kauwa✊🏽🔥

  • @DevidNgosiyo
    @DevidNgosiyo 2 місяці тому

    Chuga kama chuga, mambo kama urope.❤

  • @rewaatesh4877
    @rewaatesh4877 4 роки тому +9

    Jamani Kwa kuanzia.. Hiyo inatosha. Wapo wengi wanatamani hii show, Next time waandaaji wa hiyo kitu watoe taarifa na matangazo iwe ni OLD CAR/VEHICLE SHOW watu walete vitu. Kuna Peugeot, Fiat, Ford watu wanatengenezea majiko ya mkaa..sio vizuri. Ikiwekwa vizuri utaona PUMA, OILCOM, BINSULUM TYRES na wengine watadhamini na itafanyika kwa siku ³ na itarushwa kimataifa. Pikipiki nao wataanzisha kivyao.

    • @rewaatesh4877
      @rewaatesh4877 4 роки тому

      Jamani hiyo kitu msiiache ife ...najua wapo mashabiki wengi wa magari ya zamani. Toka Tunduma hadi Namanga, Dar mpaka mwanza, Tanga mpaka kigoma.

    • @henryjohn4781
      @henryjohn4781 4 роки тому

      Ni kweli mi nna Peugeot ningejua ningeshirik

  • @jonathanmnyone4003
    @jonathanmnyone4003 2 роки тому

    Arusha mpo juu nawakubali

  • @richardkennedy3798
    @richardkennedy3798 4 роки тому +22

    Kama umeona mbeya boy tishirt gonga like hapo

  • @geraldadolf4928
    @geraldadolf4928 4 роки тому +33

    Chuga ipo mbele mbele yao tangu zamani Geneva of Africa road from capetown to Cairo inapita chuga

    • @hendrykessy2007
      @hendrykessy2007 4 роки тому

      Ujatupa kwa uzur yani hatujaona mbwembwe za ayo magari. In short amjatutendea haki

    • @seouliteawon8903
      @seouliteawon8903 4 роки тому

      Sa ivi ni California

    • @peternassari7634
      @peternassari7634 3 роки тому +1

      @@seouliteawon8903 😂😂woyoo

  • @officialkevohthedj2239
    @officialkevohthedj2239 4 роки тому

    Brown ni fire nakukubali damu yangu

  • @tumainagust5436
    @tumainagust5436 4 роки тому

    Nyie Ni noma mabraza

  • @khalidndemo4386
    @khalidndemo4386 4 роки тому +2

    Hamjaonesha vizuri

  • @humphreysangito3099
    @humphreysangito3099 4 роки тому +1

    Chuga my home birth place,sjawahi juta kwa Nini wazazi walinizaa Chuga .
    Chuga mbele daima kwa mambo mengi,ndio maana ccm haiwezi tawala watu wa Chuga daima.

    • @happymsaki1720
      @happymsaki1720 4 роки тому

      🙄🚶‍♀️

    • @hgrintercon9537
      @hgrintercon9537 4 роки тому

      Arusha juu Sana, tatizo ni moja tuu.. Gold Vinywani.

    • @humphreysangito3099
      @humphreysangito3099 4 роки тому +1

      @@hgrintercon9537 sio watu wote Wana Gold, inategemea na jiografia ya eneo ulipo

  • @chugagirl4094
    @chugagirl4094 4 роки тому +12

    Chuga Hom sweet Hom

  • @himedia6047
    @himedia6047 4 роки тому +6

    Haina maana kama gari ya mwaka 1974 alafu injini za miaka ya 2000 alafu unajisifu nini sasa

  • @eugen_photographyart4771
    @eugen_photographyart4771 4 роки тому +7

    hapo ajaja Mr godbleess Lema tungeona ya Zaman kwell

  • @florencekashaija7539
    @florencekashaija7539 4 роки тому

    Push start...

  • @wiliammwalusamba3483
    @wiliammwalusamba3483 4 роки тому

    Hussein ngozi njooo huku

  • @pfranklyon
    @pfranklyon 4 роки тому +1

    Kama kwetu hivi 🤷‍♂️🔥🔥🇨🇦🇨🇦

  • @victorswai8620
    @victorswai8620 4 роки тому

    Elisha Brown.. homie👊🏾✌🏽

  • @kenybenjiz7850
    @kenybenjiz7850 4 роки тому +6

    We unayeiita Ryder magomeni hapo umeona wenzako wanvyopimp magari

  • @khallyracky8506
    @khallyracky8506 4 роки тому +1

    Picha za magari hamjazichukua vizuri wazeee

  • @prudencemushi6948
    @prudencemushi6948 4 роки тому +2

    Sasa magari yenyewe huonyeshi upuuzi

  • @saidbabu9198
    @saidbabu9198 4 роки тому

    Babu kubwa

  • @patrickedson50
    @patrickedson50 4 роки тому

    Kama unataka aina ya gari yoyote ya kizamani tutafute kwenye social media zetu fb na Instagram... Tafuta Oldschool rides Tz.... Utapata vitu roho inapenda

  • @mwami_the_don_
    @mwami_the_don_ 4 роки тому +6

    Mchukua video kuma make unachukuaje video uwonesha vyuma kiustard

  • @elizabethlizy2731
    @elizabethlizy2731 4 роки тому +2

    😀😀😀 Arusha yetu ni nchi nyingine

    • @wangaeliwilfred2919
      @wangaeliwilfred2919 4 роки тому +2

      Next time cameraman atufanyie coverage kubwa zaidi. Naomba pia haya maonyesho yaboreshwe ili yawepo kila Mwaka. Nimetapenda

  • @samsondecoman983
    @samsondecoman983 4 роки тому +2

    This is chuga starn, kichwa kiume kama ya heng ngover, Nipo nalangu nikwere kweche, charter nogaa!! 1945 piyong yang.

  • @profkatyuku
    @profkatyuku 4 роки тому +3

    Brown Elisha Mwandosya Ujatuangusha

  • @princessringo2879
    @princessringo2879 4 роки тому +4

    Ayo wew nouma love u so much

  • @ibrampanda3919
    @ibrampanda3919 4 роки тому

    Nakubaliiii

  • @missmwayway4704
    @missmwayway4704 4 роки тому +1

    Arushaaaaaaa

  • @jacksingano6897
    @jacksingano6897 4 роки тому

    Quality ya video ni hovyo sana.. onyesha interior na exterior features za magari na sio watu.

  • @shadrackdr3031
    @shadrackdr3031 4 роки тому

    Arusha ni kama Singida aise

  • @bantusworld_255
    @bantusworld_255 4 роки тому +1

    Cameraman anazingua. Kiujumla mmezingua. Show ni ya magari mnatuonesha sura za waTu tu. Balance

  • @theafricanprincevivecongo8632
    @theafricanprincevivecongo8632 4 роки тому

    Expiliensi 😁😁

  • @eminentmnzavas4463
    @eminentmnzavas4463 4 роки тому +1

    Arushaa ni ya kipee

  • @jovinusjulius1807
    @jovinusjulius1807 4 роки тому

    👍👍👍

  • @teddykanondo5753
    @teddykanondo5753 4 роки тому +1

    ARUSHA MKO POA SANA TATIZO LENU MNATAKA KUMPA GAMBO UBUNGE. MJUE KABISA BUNGE ZIMA LIKIWA NA WABUNGE WA CCM WATATUHUJUMU SANA. CHAGUENI WABUNGE WENGI WA UPINZANI.

  • @josephsererya9218
    @josephsererya9218 4 роки тому

    Jaman anaefaham jina LA huo wimbo

  • @ahmednoor1412
    @ahmednoor1412 4 роки тому +4

    CCM oyeeeee

  • @JK-uq1tv
    @JK-uq1tv 4 роки тому +1

    Chuga ndio home keroroo

  • @danielsifael7493
    @danielsifael7493 4 роки тому +4

    Anaechukua video kama vile sio videographer... Badala ya kuonesha vizur na magar mnaonesha tu watu

    • @innocentmasao7251
      @innocentmasao7251 4 роки тому

      Kazingua kwel yani si tunataka tuone magari yy anatuonesha watu

  • @eliamwakalong6160
    @eliamwakalong6160 4 роки тому +2

    Sasa Mbona magari amuonyeshi washamba nyinyi

    • @rewaatesh4877
      @rewaatesh4877 4 роки тому

      Kwa kuanzia.. Hiyo inatosha. Next time waandaaji wa hiyo kitu watoe taarifa na matangazo iwe ni OLD CAR/VEHICLE SHOW watu walete vitu. Kuna Peugeot, Fiat, Ford watu wanatengenezea majiko ya mkaa..sio vizuri. Ikiwekwa vizuri utaona PUMA, OILCOM, BINSULUM TYRES na wengine watadhamini na itafanyika kwa siku ³ na itarushwa kimataifa. Pikipiki nao wataanzisha kivyao.

  • @reylerreyler2236
    @reylerreyler2236 4 роки тому

    My chugastan

  • @dingootz8947
    @dingootz8947 4 роки тому

    Duh noma

  • @godwinkisanga8600
    @godwinkisanga8600 4 роки тому +1

    Hyo gari ya mwisho ndo gari

  • @brianronoh6183
    @brianronoh6183 4 роки тому

    Mangaaa sana

  • @shilabelatv7815
    @shilabelatv7815 4 роки тому +5

    Chuga mna nini😂😂😂😂

  • @hassanhancha1413
    @hassanhancha1413 4 роки тому +2

    chuga bhana

  • @tzfarming3742
    @tzfarming3742 4 роки тому

    Tchuga ni kisanga

  • @emanuelmlay9084
    @emanuelmlay9084 4 роки тому +2

    🔥🔥🔥

  • @iantarimo1
    @iantarimo1 4 роки тому

    Alieshika kamera jamani... ajiongeze kutonesha basiiii.!

  • @baracknicholaus2944
    @baracknicholaus2944 4 роки тому

    Hme

  • @kbclassicbeat
    @kbclassicbeat 4 роки тому +1

    Buy beat now #directorhenry

  • @avizpaul3086
    @avizpaul3086 4 роки тому +2

    Chuga ni kama Califonia hv

  • @MrReeval
    @MrReeval 4 роки тому

    Mbona kama mnarekodi na kamera ya simu

  • @wiliammwalusamba3483
    @wiliammwalusamba3483 4 роки тому

    Video camera anamatatizo

  • @ngilishotv8327
    @ngilishotv8327 4 роки тому

    Noma na nusu

  • @eliamwakalong6160
    @eliamwakalong6160 4 роки тому +2

    Io crown sjaiona io crests sjaiona

  • @brayanphilipo1851
    @brayanphilipo1851 4 роки тому +2

    Chuga ni kwere dingi

  • @princessringo2879
    @princessringo2879 4 роки тому

    Chugastan my home

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 4 роки тому +2

    Inatumia petrol au kuni

  • @samwellupimo1125
    @samwellupimo1125 4 роки тому

    ua-cam.com/video/6BNZB37lasw/v-deo.html
    ANGALIA JINSI WATU WANAVYOABUDU.........

  • @gabriel87567
    @gabriel87567 4 роки тому

    A good story with bad camera work..ruined it for me...u need to do better Millard cse we expect better standards from Ayo tv

  • @kabamedestrong3917
    @kabamedestrong3917 4 роки тому +1

    Habari zenu ndugu zangu naombeni support zenu kutazama video yangu ya pineapple na Ku subscribe kwa kugusa picha yangu hapo juu🙏🙏

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 4 роки тому +1

    Ao watu wa chuga bado kula mavi tu maana maajabu mengi wamefanya.

  • @Dymitri-Babushka.
    @Dymitri-Babushka. 4 роки тому +1

    Hahahah eti hizi ni za zamani hahahahahah

  • @namnyakiabell3818
    @namnyakiabell3818 4 роки тому +1

    🤣🤣🤣🤣

    • @carptentv6848
      @carptentv6848 4 роки тому

      Duhh Arusha nawakubali hakuna kuremba kama majanabaa

  • @nass.pofficial4086
    @nass.pofficial4086 4 роки тому

    Karibu kuskiliz mzik mzur
    ua-cam.com/video/BrWgfUmV_RY/v-deo.html

  • @amanichazy4047
    @amanichazy4047 4 роки тому

    Chuga man mautundu fool

  • @manwoka4078
    @manwoka4078 4 роки тому

    Mnasema Chuga Hiphop mbona nasikia wabana Pua kwenye Background, sisikii Watengwa, N2N. Waturutumbi, TGP?

    • @ben_son6950
      @ben_son6950 4 роки тому

      Kumaww

    • @manwoka4078
      @manwoka4078 4 роки тому

      @@ben_son6950 mama yako anayo. Choko, Son of bitch