Mwanafunzi aeleza sababu baadhi ya viongozi kukosa uadilifu, amtaja Magufuli

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 вер 2024
  • Mwanafunzi wa kidato cha sita Sekondari ya Nganza jijini Mwanza, Florida Rugemalila amesema ukosefu wa elimu ya uzalendo kwa viongozi wa Umma umechangia baadhi yao kushindwa kutekeleza wajibu wao kama alivyofanya Rais wa awamu ya tano, Hayati, John Magufuli.
    Florida ametoa kauli hiyo leo Agosti 5, 2023, kwenye kongamano la uzinduzi wa kitabu kilichoandikwa na Mkurugenzi wa Taaluma, Tafiti na uchapishaji kutoka Chuo Kikuu cha Hebron (UHB) nchini Malawi, Malango Chinthenga chenye kichwa 'Africa Magufuli and Change' uliofanyika katika ukumbi wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agostino (Saut) Mwanza.
    Mwanafunzi huyo ameitaka Serikali kuweka sheria, muongozo, na dira inayomtaka kila kiongozi anayekabidhiwa kuongoza nchi kuifuata ili kuiwezesha malengo ya nchi yafikiwe.

КОМЕНТАРІ • 11

  • @davidmpiluka5224
    @davidmpiluka5224 Рік тому +2

    Ahsante sana Mwanangu kwa kuelezea ukweli.
    Lakini pia nikupongeze kwa kumkumbuka JPM, Mwana Afrika kweli kweli, Mzalendo wa kweli wa Nchi yetu na mwanamapinduzi kweli kweli.
    Kizazi hiki hakitamsahau kamwe JPM.
    Jina la JPM litatajwa siku zote hasa katika kizazi hiki.

  • @emmanuelhema186
    @emmanuelhema186 Рік тому +1

    Safi sana

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw Рік тому +1

    African ukiwa mzalemdo wanakukata viongozi wa Africa ni wanafiki waongo waongo uongo kuuweka kuwa ukweli wakati wakijua sio sawa lakini Wana kausha macho

  • @SumailiHamisi
    @SumailiHamisi Рік тому +1

    Waooooooooooooho🎉🎉🎉 mauwa kwako

  • @eriminahmshai
    @eriminahmshai Рік тому +1

    Kweli ukitenda mema utawacha matunda mema

  • @wilsonjohn9274
    @wilsonjohn9274 Рік тому +1

    hongera sana

  • @damianikimario5695
    @damianikimario5695 Рік тому

    🤝👁️💯

  • @AnifaRajabu-ze4wi
    @AnifaRajabu-ze4wi Рік тому +1

    Yaani mtoto umeongea poit. Serekali haipo Tanzania wewe. Tunaishi kama mbuz zizini. Naichukia hii nchi ya Tanzania . Natamani ningezaliwa mbwa marekani kuliko hii nchi ya mafisad. Natamani viongoz wote wafe tujiendeshe wenyewe. Sion sababu yakua na viongoz . Hakuna haki Tanzania.

  • @user-il8nn6ms3e
    @user-il8nn6ms3e Рік тому

    Mwalimu alisema tunahutaji vijana jeuri sio vijana wazungumzaji kwan haohao ndo huwa wanageuka badae

  • @user-il8nn6ms3e
    @user-il8nn6ms3e Рік тому

    Hakuna kitu hapo.........! Tuishi katika uhalisia tuache kuwamezesha wanafunzi maneno ili wakazungumze mbele za watu then wakitoka wanasau yote sas kama wote tuna positive thinking hawa wezi huwa wanatoka wap?

  • @azaniamgaya3083
    @azaniamgaya3083 Рік тому +1

    mwanagunz huyuuuu apewe maua yake