MWANAFUNZI MTUKUTU (PART 2)

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 688

  • @Steve_Mweusi
    @Steve_Mweusi  Рік тому +320

    TRENDING NO.✅ ASANTENI SANA WATUWANGU WANGUVU GOD BLESS YOU

    • @saidi1365
      @saidi1365 Рік тому +7

      Stev nakukubal san unajua mpak unaker mungu akuwek uzid kutu furahish zaid brother n ufik mbali

    • @EtienneAssuman-uw8ib
      @EtienneAssuman-uw8ib Рік тому +7

      tupo nyuma yako

    • @AmmyKurunge
      @AmmyKurunge Рік тому +5

      Ndugu yangu mm nkiwa na hasira af nikakuchek kwenye Kaz yako duh moyo Wang nauskia mwemwere mungu akupe akili nyingi hekima namaarifa zaid ili upate mafanikio mema kupitia Kaz yako haijalish watu watasema vp kujitoa ufaham lazma ili mahela ya patkane

    • @kachutatv
      @kachutatv Рік тому

      ua-cam.com/video/iMdXg4ozU6s/v-deo.html

    • @jumahamadkali4683
      @jumahamadkali4683 Рік тому +4

      Clip za shule ni nzur sana

  • @KirivoloKakule-hu7ge
    @KirivoloKakule-hu7ge Рік тому +66

    Steven kweli WE noma sana🤣🤣 hakuna unacho kijuwa kama una mkubali Steven gonga likes

  • @BobMikwara
    @BobMikwara Рік тому +32

    Kidawa na Steve hii mumetisha zaidi.. Huyu mdada kaja Kwa Kasi Sana kwenye game.. Inshaallah atafikia malengo👊🏾🙌🏾

  • @skybilak5135
    @skybilak5135 Рік тому +22

    Steve una utani bro...umenivunja mbavu na mpwa wangu🎉😂😂😂😂😂♥️🔥🇰🇪🇰🇪💯

  • @user-cy9in1cq2j
    @user-cy9in1cq2j 7 місяців тому +3

    Comedy zake tunazipenda sana

  • @georgemuthokasyala8026
    @georgemuthokasyala8026 Рік тому +36

    Muuza korosho nimekua wa kwanza leo,kutoka Kenya,county #002 Kijiji Ni Cha Sauzi😂😂😂😂

  • @Best_tz
    @Best_tz Рік тому +14

    Unastahili kuwa top on East Africa umetisha sana 👏👏👏

  • @ReubenSteve
    @ReubenSteve Рік тому +59

    Nipeni like 10 me leo wa kwanza

  • @Waytozanzibar
    @Waytozanzibar Рік тому +39

    Hahaha hapa kufeli Mtihani nilazima, mtu unaendaje kunya wakati muda umebaki mchache.. Sasa nitafanyaje 😅😂😂 Karibuni Sana ZANZIBAR Muje mufanye utalii wa ndani 🫶🌊⛵🌊

  • @AmmyKurunge
    @AmmyKurunge Рік тому +17

    Ooh bro Steve I like your job may Almighty God bless the work of your hands🎉

  • @ankalmzito254
    @ankalmzito254 Рік тому +11

    Steve ni kama anataka kulia hivi 😂😂.... 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @beaugosseadam6831
    @beaugosseadam6831 Рік тому +11

    Mastaa wote darasani hovyo!!!
    Steven cha mwisho.

  • @TomboSelmani
    @TomboSelmani 9 місяців тому +2

    Steve mzee wa Chabot ajuw alitendalo yaan ni shida😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @AinesPeter
    @AinesPeter 10 місяців тому +3

    Steve umeupiga mwing aseee...hat salam hujui😂😂😂

  • @jaymwinyi6957
    @jaymwinyi6957 Рік тому +6

    Hajra Mashaallah jmni❤muigizaji mzuri sana na napenda anavyojistiri

  • @FalesMoses
    @FalesMoses 7 місяців тому +3

    Umetisha sana MUNGU AKULINDE

  • @beckamohamed469
    @beckamohamed469 Рік тому +11

    Wakwaza leo 💥💥💥💥✊💕💕💕💕

  • @UMUCO145
    @UMUCO145 Рік тому +9

    Number one like zangu

  • @Izohdemepp
    @Izohdemepp Рік тому +39

    😂😂😂This made me to remember my Mathematic teacher in Primary Mr Paul Mbugua. Best teacher..

  • @orochifaruq9748
    @orochifaruq9748 Рік тому +22

    So this time around u went back to school 😂😂😂 thanks for the effort Steve much love from 🇺🇬🇺🇬🇺🇬

  • @athumanmgissasimbadamu3316
    @athumanmgissasimbadamu3316 Рік тому +11

    Mwalimu Ni PISI 😀😀😀😀😀😀👏

  • @BobMikwara
    @BobMikwara Рік тому +8

    Team Steve Mweusi Nyote Nawakubali sana Mashaallah

  • @zeroconscious1916
    @zeroconscious1916 Рік тому +62

    Wa kwanza Leo.. nipeni likes hata 10 tu kama unamkubali jamaa. Nipo. Mkuranga kwao Kwa sasa

  • @petromsomba4523
    @petromsomba4523 Рік тому +6

    Ahsante sitive kwa burudani

  • @JackSikolia
    @JackSikolia Рік тому +6

    mwalimu ana tako nzuri kwelikweli

  • @nayairon1450
    @nayairon1450 Рік тому +6

    😂😂😂😂😂 katika clip’s zote stive hii ndo umepatia sana ongera

  • @ambrosepatrick9088
    @ambrosepatrick9088 Рік тому +7

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Steve you've made my day from Kenya ahaaaa

  • @alialmawka
    @alialmawka Рік тому +3

    Kwa hiyoo Steve ulitaka uliyosoma miaka Minne uyaandike yoote hapooo😂😂😂😂😂😅

  • @nevers7561
    @nevers7561 Рік тому +2

    Najikuta namzubaliya mwalimu😀😀😀 mtihani wa kuona movie unanishinda

  • @Cloudthoughtmedia
    @Cloudthoughtmedia Рік тому +14

    i dont understand the language but im enjoying this

  • @salvinaedward7950
    @salvinaedward7950 Рік тому +3

    Uyu Steve ni mm kabsa nlikua kilaza wadalasa af mikosi kibao kila nikigeuza shingo tayar nshakamatwa sababu kibao walimu walinichoka mweeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @timothymurithi7574
    @timothymurithi7574 Рік тому +3

    You may gooww.......acheni kizungu banaa😂😂😂😂😂

    • @Neema303
      @Neema303 Рік тому

      Nlikua nadhni n mm pke yngu nimeskia😂😂😂😂😂😂😂kozungu cha TZ

  • @reinatave780
    @reinatave780 Рік тому +5

    Kwaiy team steve wote mazuzu darasana😂😂😂😂

  • @dieudonnemugirangabo8174
    @dieudonnemugirangabo8174 Рік тому +3

    Steve wewe unaonekana wenilofa kweli examens hautaieza Kbis 🤭🙏🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @amonygeofrey3201
    @amonygeofrey3201 Рік тому +4

    Steven tiripu za chooni zitakuuwa 😂na njia hazitokii 😂 like jamani sokitu chakumnyima mtu😂 Steve anajuwa like kwakeee

  • @user-eb5bo8mb4f
    @user-eb5bo8mb4f 11 місяців тому +1

    Kiekiekie 😅😮😂😅 Steve tu es vraiment terrible, je suis au Congo Kinshasa 🇨🇩 ici à Kinshasa mais je t'apprécie beaucoup bravo 👏👏

  • @mjukuuwamfalmetz3367
    @mjukuuwamfalmetz3367 Рік тому +4

    Kiongozi wa darasa ni kifaaa hatari ya zaidi❤❤❤

  • @Zorah_
    @Zorah_ Рік тому +5

    😂😂😂 Weeh Ni Mpuuzii Sana

  • @aminapili2978
    @aminapili2978 Рік тому +4

    Steven we noma kweli ndio maana watuumisha vichwa kwa kucheka amina from 🇰🇪

  • @kenpahdonah
    @kenpahdonah Рік тому +3

    Waah,,, msee unachekesha joh. Hivi hipo siku utaja kua serious bro🔥🔥😂🤣🤣🤣 lakn uko freshi braza. Napata nacheka tu mwenyewe bro😂🤣🤣🤣🤣

  • @josephpanyakoo6180
    @josephpanyakoo6180 Рік тому +1

    Waooooo umetish san

  • @caromelvin
    @caromelvin Рік тому +2

    😂😂 mwalimu jana nilikula maragwe mingi

  • @protasraphael6961
    @protasraphael6961 Рік тому +4

    Mwenzangu tulikuwa tumezoeana😂😂😂

  • @user-jk6vt2bv8b
    @user-jk6vt2bv8b 10 місяців тому +2

    Uyo mwalimu ana mzigo

  • @MuhammadHassan-xp6dc
    @MuhammadHassan-xp6dc Рік тому +8

    kitu ambacho nilikuwa nakichukia shule mwalimu kutaja maksi mbele za wanafunzi.

  • @user-nz4zh6dz8k
    @user-nz4zh6dz8k Рік тому +1

    Jamanii nimechekaaa uwiiii😂😂😂😂 unatuua mbavuuuu nakupenda buree ww kaka

  • @joshuason557
    @joshuason557 Рік тому +2

    😂alafu uyo mwalimu ni fire hatari ya kufaa 🙆🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @user-qh1nq7gd9c
    @user-qh1nq7gd9c Рік тому +3

    My real comedian in tz.salute brow for good work

  • @rashidstamburi2705
    @rashidstamburi2705 Рік тому +58

    Steve never disappoint, much support from Malawi 🇲🇼
    😍😍

  • @user-kn8lg8ho6z
    @user-kn8lg8ho6z 11 місяців тому

    oa blood nakukubar kinoma big up unafany kaz nzur

  • @uwimanaaimee765
    @uwimanaaimee765 7 місяців тому +1

    Steve wangu umekoma kabs hapa hauna la kufanya mpaka umebanwa hem much love from Rwanda

  • @Machinehub_
    @Machinehub_ Рік тому +6

    Trending #5 in kenya how bigup

  • @BlaiseTezangimayolo-pw3ek
    @BlaiseTezangimayolo-pw3ek Рік тому +9

    Bien jouer mon frère sans c'est trop cool👌👌👌💓

  • @aronpaul2331
    @aronpaul2331 Рік тому +1

    Wqnafunzii someni swqli mwelewa ndoo mjibuuu

  • @danieloreri2203
    @danieloreri2203 Рік тому +2

    Kazi nzuli sana bro.

  • @AmosiTv
    @AmosiTv Рік тому +31

    Steve never disappoint😂😂

    • @renardremigius8180
      @renardremigius8180 Рік тому +1

      so poa

    • @kachutatv
      @kachutatv Рік тому

      ua-cam.com/video/iMdXg4ozU6s/v-deo.html

    • @whiterabbit9938
      @whiterabbit9938 Рік тому

      This world used to be a place to learn to suffer, but that has to change. Make this world heaven!

  • @AthKassim
    @AthKassim 11 місяців тому +3

    Keeps me happy every time i come across his videos

  • @bro8799
    @bro8799 Рік тому +2

    Steve mtu mzima😂😂
    Appreciated from Congo 🇨🇩 keep it up

  • @amospetro9116
    @amospetro9116 Рік тому +2

    Imeenda hiyo Steve 😅😅😅

  • @MichaelMwalukoba
    @MichaelMwalukoba Рік тому +1

    😂😂😂 mtegemea cha nduguye hufa maskin

  • @zebedemirambi3067
    @zebedemirambi3067 Рік тому +12

    15h 👉101k 🔥👌 nakubali Kaka Steve ❤️🇨🇩

  • @gerysongratian
    @gerysongratian Рік тому +2

    Nyie kwan Steve shule kaenda kufanya nn huyuu😂😂😂😂😂

  • @hashman254
    @hashman254 Рік тому +2

    Steve naona kama ni ukweli kichwa ni jepesi kwa masomo hauwezi kimasomo ata usipo soma nyota yako ni ile ile tuh ok am watching from Kenya my name is Bruce

  • @elijahragisjean3131
    @elijahragisjean3131 Рік тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂 yani Steven anachekesha watu kbx😂😂😂. Nawapenda

  • @AthKassim
    @AthKassim 11 місяців тому +2

    And the teachers are so cute Tanzania kuna warembo

  • @DaudAshery-ie2pf
    @DaudAshery-ie2pf Рік тому +5

    Daaaa kusema ukweli Mimi nikisimamiwa na mwalimu kama huyu lazima nitafeli mtihani maana si kwa sabufa hilo

  • @SalimSalim-ec9jo
    @SalimSalim-ec9jo Рік тому +1

    Kaka Umenikumbusha mbali sana hahahaha 😂😂😂😂😂

  • @rsautoservice984
    @rsautoservice984 Місяць тому

    Mwalimu kidhungu jamani..yes you may go..😂😂😂

  • @hillarymure530
    @hillarymure530 Рік тому +16

    Steve never disappoint😂❤

  • @lilchampion1960
    @lilchampion1960 Рік тому +1

    Haaahaa 😂😂😂😂😂😂😂 stive bro acha mungu akusaidie nimecheka Sanaa waah!

  • @user-pq8fg9bc4k
    @user-pq8fg9bc4k Рік тому

    Daaah nimekubukaa barii San

  • @kekiplus1andonly
    @kekiplus1andonly Рік тому +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mna vituko nyinyi😂😂😂😂wasimamizi sasa,wapite karibu na wewe ndo wacomment someni maswali vizuri ndo ujibu😂😂😂😂

  • @stitore2388
    @stitore2388 9 місяців тому +1

    Mubarikiwe sana ❤😆😆😆😆😆😆😆

  • @dawexmetoo
    @dawexmetoo Рік тому +2

    Huyo mwalimu ana shuzi si haba.

  • @ibnnjoka4808
    @ibnnjoka4808 Рік тому +19

    Sijawahi pata like apa

  • @Emily-qb4kw
    @Emily-qb4kw Рік тому +3

    Kijicho nawapeda sana❤❤❤😂😂 good job 🇸🇸🇸🇸

    • @kachutatv
      @kachutatv Рік тому

      ua-cam.com/video/iMdXg4ozU6s/v-deo.html

  • @user-cr4ku8jh4d
    @user-cr4ku8jh4d Рік тому +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤mbavu zangu mie stvu bwani

  • @shiruboysofficial9341
    @shiruboysofficial9341 Місяць тому +1

    Confirmed By Vihiga Finest Official 👑 254

  • @nangerembeamani9537
    @nangerembeamani9537 Рік тому +2

    Good job brother never disapoit you 😂😂😂😂👏👏

  • @MikeokothElias-mc4fi
    @MikeokothElias-mc4fi 3 місяці тому

    Just go ahead brother your doing well 🎉🎉🎉

  • @amosethuo6329
    @amosethuo6329 Рік тому +15

    Mweusi family wamewakilishwa vyema Kwa nyumba 😂😂😂

    • @kachutatv
      @kachutatv Рік тому

      ua-cam.com/video/iMdXg4ozU6s/v-deo.html

  • @ramos_you4620
    @ramos_you4620 Рік тому +2

    Aise nakumbuka sana siku hizo nikiwa shule #Mahuta, Tandahimba_Mtwara.

  • @SHIJA_
    @SHIJA_ Рік тому +2

    daa mwaka huu tutaona mengi 😂😂

  • @henockmzilo6446
    @henockmzilo6446 Рік тому +3

    😁😁😁 Steve u make me Happy all the time

  • @angelusmac6631
    @angelusmac6631 Рік тому +1

    Bro upo vizur 😂🙌

  • @SecuriteHDVR
    @SecuriteHDVR Рік тому

    Unanilizikisha so steve god bless your job

  • @dwasinjebele5361
    @dwasinjebele5361 Рік тому

    Daaaa unachekesha sana stiv

  • @tcreative2018
    @tcreative2018 Рік тому +2

    Stevo akh unaniua❤❤

  • @YasintaOpiy-hk5ic
    @YasintaOpiy-hk5ic Рік тому +1

    Umeni kumbusha kipindi walikua wanagwa makala tasi duu😂😂😂😂😂

  • @renathakalamage4931
    @renathakalamage4931 Рік тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣stivu huwa unanifurahisha sana

  • @LucasWerema
    @LucasWerema 11 місяців тому

    From 🇹🇿🇹🇿 nakubali ndugu yangu stivu mungu azidi kukubariki kwa kazi yako

  • @DawsonSizya-bu3ny
    @DawsonSizya-bu3ny Рік тому +1

    😂😂😂😂😂😂Steve kweli umeua vibe.

  • @sheddymusiq7811
    @sheddymusiq7811 Рік тому +7

    Stiivuu mnoma kinyama kweli....hamna content creator (Tz/Ke) video yake nmeona kuingia trending ila stivu tu...much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @tabzwambugu1060
      @tabzwambugu1060 Рік тому

      Una macho huoni nini wakenya tupo huko juu angalia vizuri

    • @sheddymusiq7811
      @sheddymusiq7811 Рік тому

      @@tabzwambugu1060 that's your view swezy pinga

  • @onestepatatime2346
    @onestepatatime2346 Рік тому +11

    i love this guy. How about some english captions. would even be funnier.

  • @josephfrank2430
    @josephfrank2430 Рік тому +1

    Well done my brother

  • @sammy_hood
    @sammy_hood Рік тому +1

    Soma swali uelewe 😂😂 😭

  • @ahmedsdk6736
    @ahmedsdk6736 Рік тому +5

    Wanafunz Someni swali muelewe ndio Mjibu 😂😂😂 Kauli hiyo ikitolewa baada ya ticha kuchek paper yako utajua hujui

  • @venaciokariuki4552
    @venaciokariuki4552 Рік тому +8

    😂😂😂😂😂😂😂Ndah wacheni tu mie nijiseme,huwa naanza kucheka hata kabla nitizame video zenu nduguzanguni 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 muhu Kenya hatuachi kucheka kaka Stive bwanaaaa 🤣🤣🤣🤣

  • @geraldngangawangari863
    @geraldngangawangari863 Рік тому

    😂😂😂😂😅😅😅the king of comedy you are fantastic

  • @saidiamani2876
    @saidiamani2876 Рік тому +1

    Steve huyo Husna nataka kumjuwa zaidi nipe namba kumi zake niwasiliane nae