MWANAFUNZI ALIYEONGOZA TANZANIA ALIOMBA KUONANA na HAYATI MAGUFULI, RAIS SAMIA ATAJWA...

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 38

  • @lucylyimo4575
    @lucylyimo4575 3 роки тому +4

    Mungu Ni mwema kila wakatii na pongezi Sana kwa St Anna Maria academy nawapenda Sana najivuniaa kemila Wang kusoma St Anna maria

  • @dastanmhagama3482
    @dastanmhagama3482 3 роки тому +4

    Ongera sana mwalimu mkuu nakuekewa sana ukopoa sana mungu akufanyie wepesi kwenye Mambo yako

  • @nasrahassan7346
    @nasrahassan7346 3 роки тому +3

    Mashaallah ongereni walimu na mwanafunzi nawengine wote msikate tamaa wote mpo vizur

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 3 роки тому +8

    Akamuonee mamaetu janett

  • @anastaziasebastian2302
    @anastaziasebastian2302 3 роки тому +1

    Hongereni sana.

  • @gradnessshitindishitindi4881
    @gradnessshitindishitindi4881 3 роки тому +2

    Mungu msaidie na mwanangu piaa

  • @matatomlik1846
    @matatomlik1846 3 роки тому +1

    Maashallah maashallah

  • @deopatrice2578
    @deopatrice2578 3 роки тому +1

    Hongera sana kwake

  • @rahmarahma920
    @rahmarahma920 3 роки тому +3

    Hongera mtoto mzuri

  • @benedictojoseph8172
    @benedictojoseph8172 3 роки тому +1

    St. Anne Marie on top,,!

  • @michaelndilima6210
    @michaelndilima6210 3 роки тому +13

    Mpelekeni akazuru kaburi LA mpendwa marehemu magufuli.

  • @hamisayusuph5966
    @hamisayusuph5966 3 роки тому

    Hongereni sana walimu wote

  • @malugukushaha6764
    @malugukushaha6764 3 роки тому +1

    Masha Allah

  • @agiasaidi5294
    @agiasaidi5294 3 роки тому +3

    MASHAALLAH, MASHAALLAH, MASHAALLAH

  • @teddyhenry2579
    @teddyhenry2579 3 роки тому +3

    Mungu mkubwa hongera mno mwalimu mkuu ulitujengea watoto wetu mazingira ya kujiamini ndio maana tulivyokuja kuwachukua baada ya mitihani kila unaemuuliza anakuambia ni wakawaida tusubiri matokeo

  • @lelasalum555
    @lelasalum555 3 роки тому

    Mashaalh

  • @veronicathomas89
    @veronicathomas89 3 роки тому +2

    Kweli Kochi sahihi no muhimu sana,hili kuna pahali limenigusa

  • @dorisedom7358
    @dorisedom7358 3 роки тому +3

    Pongezi zangu ziende kwa wanafunzi wote Tanzania waliofaulu bila kujali nani amekuwa wa kwanza kitaifa.

  • @kiri5807
    @kiri5807 3 роки тому +2

    matokeo yenyewe yakupangwa skuli bora zinachaguliwa wanalisha rushwa ili kibiashara itajikane na watu waje kwa wingi .

  • @sinevictor8462
    @sinevictor8462 3 роки тому +4

    Ikiwezeka kwa kumpa moyo akamsalmu janet jpm

  • @mariganehemia6270
    @mariganehemia6270 3 роки тому

    Nice

  • @nasrahassan7346
    @nasrahassan7346 3 роки тому +3

    Ongera mwalm mkuu kwa usimamiz mzuri darasani

  • @nsiaelieza9568
    @nsiaelieza9568 3 роки тому +4

    Mdomo unaumba. Tujifunze kujitamkia matamshi mema kama mwanafunzi huyu.

  • @nasrahassan7346
    @nasrahassan7346 3 роки тому +2

    Natamani mwanangu nimlete hapo school ila dah sijajuw ada ni shingap

  • @geraldomwai4405
    @geraldomwai4405 3 роки тому

    Napongeza mwalimu mkuu kwajitiada

  • @donkabeho2375
    @donkabeho2375 3 роки тому

    Ada bei gani jamani

  • @simonikita8596
    @simonikita8596 3 роки тому

    Uh

  • @worldtv9049
    @worldtv9049 3 роки тому +1

    Nilidhan katoka kwenye Elimu bure,

  • @nangeboy5313
    @nangeboy5313 3 роки тому +1

    Nyie muoneni hivo tuu ila amechapwa fimbo mno darasani huyo

  • @seifmohamed836
    @seifmohamed836 3 роки тому

    Corona shv tumuacheni Rais mwenyewe

  • @newgardentv6026
    @newgardentv6026 3 роки тому

    Bei za ada zenu

  • @dorisedom7358
    @dorisedom7358 3 роки тому +5

    Pongezi zangu ziende kwa wanafunzi wote Tanzania waliofaulu bila kujali nani amekuwa wa kwanza kitaifa.