@@bbclondonulimwenguwasoka6126katiba gani tena na walifanya uchaguzi hao wazee ndio walee wasiyopenda maendeleo watu wanataka mafanikio siyo figisu hao wazee wachawi tu hamna lolote
@@joshuasamson9618 Haya Wasiongiza Hasara Walifanyia Nini Yanga Kabla Injinia? Roho Mbaya Watanzania Sisi Na Naomba Timu Zote Za Tanzania Zitolewe Kwenye Michuano Mikubwa Tuludi Tulipotoka,, Kwanza Hivo Vizee Vitakuwa Vichawi,,
Wao kama hawamtambui sisi tuna mtambua na fifa inamtambua raisi wa vilabu 🌍 na hajatuangusha Hadi Sasa so sisi kama Wananchi tunamtambua Kwa kazi yake 🔰🔰🔰🔰🔰
Mafanikio hayawezi kuja bila ya changamoto na chuki kutoka kwa kundi/ watu fulani! Eng tupo pamoja na wewe na in shaa Allah utashinda Hasbuna Allahu waniimal wakeel
Wananchiii hatuna wasi wasi ....hersi akijiuzulu maana yake 2 alotuongoz inafutika maana ilibakia 2 kwenye 4 Hivyo tunampa 4 mipya kabisaaa........ Ukolo ubwela ndo uo 😂😂😂😂 Hersi in shaa allah ataongoza yanga miaka 10 .... Miaka 4 ya awamu ya kwanza Miaka 4 ya awamu ya pili Miaka 2 hiii ya ukolo ubwela ni bonus 😂😂😂😂
Wameanza Kuvurugana.... timu ina wanasheria wa mchongo 😂😂. Mtu kachukua watoto wa dada kawafanya wanasheria 😂😂. Wazee wawili tu wanatikisa timu nzima kuanzia wanaemwita Rais, Mpaka mashabiki wao nchi nzima..😂😂😂 wazee noma
Kwahiyo hao wazee wametumwa na upande wa pili sio Kwan aliyempa urais Eris Nani hatoki mtu tutapigana na tutamwaga damu Eris hatoki bado tunamuitaji mwandamiz wetu Hao wazee sindio walikua wanajinufaisha wao na matumbo Yao Leo tunafanya vizuri wanataka kutuchafua mda wao ulishapita wakutembeza bakuli now mwendo wa soft touch Engineer Eris viva 💪
Andishi wa hovyo sana kuwahi kutokea kwenye tasnia ya habari..kama hamjui vyanzo vya vitu palelezeni ili muandike kitu kwa uhakika..Mahakama haina uwezo wa kutengua uwepo wa injinia mwenye mamlaka hizo ni FIFA
😂😂😂 mnakijua mnachokifurahiii ? Hersi akijiuzulu wakat ameshaongoza miaka 2 kwenye 4 ya kikatiba ... Itabidii anze upya miaka 4 ya kipindi Cha kwanza .... Kisha Kuna 4 ya awamu ya pili ... Ukijumlisha na 2 ya sasa itakua 10 ..... Na slogan ya yanga ni kuchukua 10 mfululizo Yanga Wanajua wanacho kifanya tabu leeeeeeeeeee leeeeeeeeee ukolo ubwela unakaziii 😂😂😂
Kuna kitu nyuma ya pazia tulio soma chini ya miembe tuxha elewa 🤣🤣🤣🤣🤣 apo engiar wetu selikali inamwitaji apewe cheo kizito kuelekea afukoni najua mmenipata kama amuamini niulize xwali ntakujibu🙌 so yanga bingwa adi 230🙏🙏
Makolo ubwela Hersi ameongoza 2 kwenye miaka 4 ... Akijiuzulu atagombea tena na atashinda miaka mingine 4 mipya kabisaaa halaf atagombea 4 ya awamu ya pili itakua miaka 8 😂😂😂 + 2 miaka ya bonus = 10 kolo ubwela Tabu leeeeeeeeeee
Had apa napo kumeanza kua na habari za uongo .. mahakama imesikiliza na kutoa hukumu juu ya bodi ya wazamini tena bodi ile ya marehemu manji na majibu yalishatoka mwaka mmoja nyuma uko ila mmeona Mr Nape ametoa mbini za ushindi wa chama chetu mnaifosi mada indeed ili asijadiliwe yeye dah hongelen sana gen-Z
Mimi nimwanasimba heris wamemkosea wamuche amalize muhula wake mashabiki sisi tunataka vikombe cio siasa za wazee mtu analeta mafanikio wengine mnaleta maneno
Hao wazee hata tukiwapa Yanga B hawawezi kuiyendesha kwahiyo wamuache Engineer miaka 1000 ukiamini hersi yupo sana Yanga gonga like hapa 🎉🎉🎉🎉🎉
Afuate katiba au wakubaliane wabadili katiba ili apate haki ya kuwa Rais, siyo kuingia ka Idd Amin Dadaa
@@bbclondonulimwenguwasoka6126Hapo umenenaa
Engineer anafanya Kazi nzuri sana ila ni tapeli fulani
@@bbclondonulimwenguwasoka6126katiba gani tena na walifanya uchaguzi hao wazee ndio walee wasiyopenda maendeleo watu wanataka mafanikio siyo figisu hao wazee wachawi tu hamna lolote
Waachieni hao wazee wawili timu muone kama hawawezi kuongoza 😂😂😂
Yajayo yanafurahisha je uko tayar kama uko tayar gonga like apooo acha vyuma viumane😂😂😂🔥🔥🐸🐸
Tuko pamoja
Bongo Upige Hatua Alafu Uachwe Wewe Sio Kweli,, Tuna Roho Mbaya Sana
Kaiingiza yanga hasara kubwa mno hafai
@@joshuasamson9618 mavi wewe
@@joshuasamson9618😂😂😂😂😂😂
@@joshuasamson9618 Haya Wasiongiza Hasara Walifanyia Nini Yanga Kabla Injinia? Roho Mbaya Watanzania Sisi Na Naomba Timu Zote Za Tanzania Zitolewe Kwenye Michuano Mikubwa Tuludi Tulipotoka,, Kwanza Hivo Vizee Vitakuwa Vichawi,,
😂😂😂😂😂😂@@joshuasamson9618
Nacho jua mandunduka wanapohozesha kumi zijazo Injinia yupo sana yanga💚💛🔰✔️
Wao kama hawamtambui sisi tuna mtambua na fifa inamtambua raisi wa vilabu 🌍 na hajatuangusha Hadi Sasa so sisi kama Wananchi tunamtambua Kwa kazi yake 🔰🔰🔰🔰🔰
Njaa mbaya sana wazee wanataka nn wataweza kuongoza Awana akili timu ipo vizuri wanataka nn
Mafanikio hayawezi kuja bila ya changamoto na chuki kutoka kwa kundi/ watu fulani!
Eng tupo pamoja na wewe na in shaa Allah utashinda
Hasbuna Allahu waniimal wakeel
Yanga bana kiki zanini sasa 😂😂😂😂😂
Aende Simba tuu ubay ubwelaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nasemaje Mimi kama rais Wa Yanga naondoka Na wachezaji Wangu bakini Na wazee wenu😂😂😂😂😂
😂😂😂
Wachawi hao jmni ,,injinia tumemkubali na ndo Raisi wetu iyo mahakama wamepewa rushwa😢
Engineer karibu msimbazi
Mhhh kuna watu hawajielewi ikiwepo hao wazee nimeamini hata wapumbavu wana zeheka 😢
Kwa kuwa Hujuwi undani wake unahaki ya kuwatusi😢
Kwenye hiyo miaka miwli walikuwa wapi maka washitaki saiz kuwa yanga Raisi wake ni batiliiii@@israelkisaila8401
Hyo ndio wanasema tenda wema bnadam hawana shukran
WAZEEEEE. 😂😂😂😂😂😂😂 HAO NI ENZIIIIII SASA JENZII WATAJUA IKOJE
Yanga bingwa adi 230🙏🙏🙏🙏
Wananchiii hatuna wasi wasi ....hersi akijiuzulu maana yake 2 alotuongoz inafutika maana ilibakia 2 kwenye 4
Hivyo tunampa 4 mipya kabisaaa........ Ukolo ubwela ndo uo 😂😂😂😂
Hersi in shaa allah ataongoza yanga miaka 10 ....
Miaka 4 ya awamu ya kwanza
Miaka 4 ya awamu ya pili
Miaka 2 hiii ya ukolo ubwela ni bonus 😂😂😂😂
Nyang'au tuu hao zee
Mimi ni mwanasimba lakini tunahitaji Maendeleo ya soka TANZANIA kwahyo sidhani kama ni sahihi uyu kiongozi kutoka
😂😂😂😂😂mwanasimba gani ww
Upo sahihi,na mm nimwekundu wa msimbazi,,tuache roho za kutu wabongo
😂😂😂😂haaa wenyewe mnasema timu ya wananchi sasa wenye timu yao wameamua kuja juu,et mnawalaumu waacheni wenye timu yao waisimamie
Bado hawajasema mpaka waseme na watasema tuu😂😂😂😂😂
Mhhhhh mbona sielew😢😢
Ahsantee 😂😂😂😂😂 saba bola vyuma vigogane
Millard ayo mwenyewe ni msenge Tuu
Yaani mpira bongo unasiasa mwingi sana mendeleo hakuna kwasababu ya upumbavu kama huuuu , Ila Mimi ni mnyama😂
Hahaha hahaha😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 utopolo kumbe team iliibiwa
Hao Wazee Wana Njaa Kali.Wanagombania Tonge
Wameanza Kuvurugana.... timu ina wanasheria wa mchongo 😂😂. Mtu kachukua watoto wa dada kawafanya wanasheria 😂😂. Wazee wawili tu wanatikisa timu nzima kuanzia wanaemwita Rais, Mpaka mashabiki wao nchi nzima..😂😂😂 wazee noma
Wana Simba tujuane kwaili gonga Link apa,
Washazoea kufanya uhuni😂😂
Kwahiyo hao wazee wametumwa na upande wa pili sio Kwan aliyempa urais Eris Nani hatoki mtu tutapigana na tutamwaga damu Eris hatoki bado tunamuitaji mwandamiz wetu Hao wazee sindio walikua wanajinufaisha wao na matumbo Yao Leo tunafanya vizuri wanataka kutuchafua mda wao ulishapita wakutembeza bakuli now mwendo wa soft touch Engineer Eris viva 💪
Unaushahidi kma wametumwa na upande wa pili na je ukiitwa utoe ushahidi unaweza kutoa ushahidi
Laana yamajini inawatafuna
😂😂😂😂eris ndio nani ubaya ubwela
Daah alafu ni kweli yanga ni ya wazee na ndomaana hata wachezaji wake ni wazee wazee,hayatena mpeni timu yake mzee Mpili
Engineer karibu msimbazi 😅😅😅😅😅😂
Hiyo imeendaaaa koma lyendegeeeeee❤❤❤❤
Enjinia kapishana maslahi na CCM.
Andishi wa hovyo sana kuwahi kutokea kwenye tasnia ya habari..kama hamjui vyanzo vya vitu palelezeni ili muandike kitu kwa uhakika..Mahakama haina uwezo wa kutengua uwepo wa injinia mwenye mamlaka hizo ni FIFA
Ubaya ubwelaaaaah😂😂😂😂😂
Duh herufi H imefanya kazi
Unaenda kunywa bia ukiwa umefurahi ametemguliwa!!unalewa sana unarudi unakuta na yy karudishwa Urais😂😂😂
Wazee kama hawa hawana tija kwenye jamii yetu ndio maana idd amini alikuwa anakusanya vizee vyote anatupa mtoni avinaga akili.😊
Mwacheni eng hersi aongoze timu
Shida itakua imeanzia kwa hamisa mobeto😂😂😂
Wazee bhna wanaharibu kila kitu vijana wakitengeneza mafanikio yakaonekana wanatafuta visababu mnarudi kulekule
Hahahah taburere laaaaa!! Utoporo mmeyakanyaga 😂😂😂
Kuna kichaa mmoja,, aliwahi kusema, nanukuu, pale Utopolo wenye akili ni wawili tuu! 😂😂
Kazi kwenu GEN Z wa Yanga🤸
😂😂😂😂😂
wazee wangu mnatuchoma
Yani machumia tumbo sijui Yana tatizo gani, hii club inaelekea kufa sasa
Hv hao wazeee kwel ndo watuharibie viongozi kisa nn kwanza mbona wasenge sana hao wazeee
WAZEE NJAA ZIMEWATOA PANGONI, ENGINEER YUKO SMART WAZEE NJAA ZIKO PALE PALE.., NIPE MUDA..!!
Wazee asaiv wajiandae kupata laana za vijana. Alafu itakuwa wasaliti hao... Puppet Hao. Walkuwa wanafaidi asaiv wanakosa matunda wanaanza kelele.... Tushasahau mateso.. Wanataka tuingie stress tena.... Hatutaki hers kutoka... Kwa herufi kubwa
Ohooo washaanza kutupiana Virago kama shabiki wa simba piga kelele kidogo oyoo migogoro imehamia kwa😀😀😀😀😀
😂😂😂 mnakijua mnachokifurahiii ? Hersi akijiuzulu wakat ameshaongoza miaka 2 kwenye 4 ya kikatiba ... Itabidii anze upya miaka 4 ya kipindi Cha kwanza .... Kisha Kuna 4 ya awamu ya pili ... Ukijumlisha na 2 ya sasa itakua 10 ..... Na slogan ya yanga ni kuchukua 10 mfululizo
Yanga Wanajua wanacho kifanya tabu leeeeeeeeeee leeeeeeeeee ukolo ubwela unakaziii 😂😂😂
Aya bhana
Asante Mungu gari limewakia kwenye gia😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅
HIYO KESI YA ZAMANI HATA HAO WAZEE PIA WANASEMA HERSI ASIONDOKE
Nimeshituka😮😮😮😮😮
Mtawaponza wenzenu wafungwe goli nyingi bureeee😅
Miaka yote hiyo walikuwa wapi kweli uchawi upo
Hizo ni njama za watu hawataki kuona maendeleo yetu wapigwe mawe hadharani
Usisene yenu wewe haupat hata mia hapo Yanga acha shobo
@@ernestkatyega5781 wacha kiherehere hayakuhusu
Safii sana
Katiba gani?
Sisi mashabiki wa Yanga tunachojua Heris ndio katiba yenyewe
Kuna kitu nyuma ya pazia tulio soma chini ya miembe tuxha elewa 🤣🤣🤣🤣🤣 apo engiar wetu selikali inamwitaji apewe cheo kizito kuelekea afukoni najua mmenipata kama amuamini niulize xwali ntakujibu🙌 so yanga bingwa adi 230🙏🙏
We kwel utopolo mKolo wanaingiaje apo sasa
Wameona yanga tuna raha wanataka kuturudisha kwenye tabu nyau hawa..mungu awashinde..
Wameanza maana tz hatupendi maendeleo tunapenda malumbano
Hao wazee ni wezi jamaa kawabana sana wamekosa pakuiba na GSM nae aachane nayo tuone watafanyaje
Atutaki Wazeeee tunamtaka Hersiii wetuu
Bila kusahau majinayao kwawanao wajua,namba ya mchango atakaekua tayari aniambie nimpe
Fitina mbaya ngoja atoke waone kuporomoka kwa klabu 😂😂
Tatizo ni Hersi Halinao wazeee😂😂
😂😂😂😂😂 muvi zimeanza mapemaaaa
Wametuma na mikia😊
Aoo wazee wachawii tuuuu
Jamani ni amri ya mahakama msithubutu kuipinga mtapigwa mabomu na virungu mpate vilema Bure...
Waachieni wazee timu yao.. 😂😂😂
Ndio maana kuitwa chama Cha hifazi ya jamii 🐸🐸
🤣🤣🤣🤣🤣 kumbe huko wanapelekana mahakamani😂😂😂😂 ndiyo naisikia
Safiiiiiii😁😁😁😁😁 wafalakane
Chukueni chama wenu tupeni engineer wetu apo vip mnataka kuandamana😂😂😂😂
Bora tena aondoke na kina Aziz ki wake😂😂😂😂
😂😂😂😂acsahau kumbeba na Ally kamwe tafadhal
Ubaya ubwela 😅😅😅😅
Mmmmm yshakuwa mtiani huu😢
Hahaha duuu hiii nchi ni hatarii sanaaaa
Wazeee
Bado hawajasema,mpk waseme 😂😂😂
Hapo chacha😅😅😅
Bora hata yaliyomkuta ngungu boy kuliko hii ya ubaya ubwela.. vijana mnataka mle maokoto pekee yenu bila wazee..??? 😂😂😂😂😂
Na wazee wanavyokuwaga na nongwa , apa Uto wameyakanyaga.
Makolo ubwela
Hersi ameongoza 2 kwenye miaka 4 ... Akijiuzulu atagombea tena na atashinda miaka mingine 4 mipya kabisaaa halaf atagombea 4 ya awamu ya pili itakua miaka 8 😂😂😂 + 2 miaka ya bonus = 10 kolo ubwela
Tabu leeeeeeeeeee
SEMA WOYO WOYO
Kenya kuna Gen Z huku kuna baby boomers na generation x wamekiamsha😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kazi kweli
Hello NO!!!
Awo Wazee hawafai wanapaswa kutimuliwa
Yani humu makolo mengi yamefurah
Had apa napo kumeanza kua na habari za uongo .. mahakama imesikiliza na kutoa hukumu juu ya bodi ya wazamini tena bodi ile ya marehemu manji na majibu yalishatoka mwaka mmoja nyuma uko ila mmeona Mr Nape ametoa mbini za ushindi wa chama chetu mnaifosi mada indeed ili asijadiliwe yeye dah hongelen sana gen-Z
Miaka yote Miwili hamkujua au sababu ni chama
Kuna mmiliki wa hv timu kwel ukisema hvyo huyo mo kesi yake mpaka leo kimya yy ndio hakuna uhalali wa macho kabsa naona mzee
Sas mnataka wazee wakale wapi 😅😅😅 na ndo mchongo wao kukaa hapo yanga af anakuja mtu tu from no were anajiitaa rais
#UbayaUbwela🐸🐸🐸
Wana Yanga popote mlipo tujiandae kWa maandamano kuwatafuta hao wazeee na kuwazuia wasiingie mjengoni 😊
Yaani hawa wazee sijui huwa wanasumbuliwa na umasikini
Mimi nimwanasimba heris wamemkosea wamuche amalize muhula wake mashabiki sisi tunataka vikombe cio siasa za wazee mtu analeta mafanikio wengine mnaleta maneno
😅😅 mwiko nyuma 😀😀
Wazeee washaua tim na hao wazee hawana nguvu yoyote zaid ya uchawi
Apo sasa kumeaza kunoga wapite ivi kama wameingia kinyemela
Yanga yao iliisha wanataka watuletee uzee nasisi tunataka kuona mpira sio ukulaji kama wakatiwao natimu iliwashinda dawayao kuwapeleka garilaya wasituharibie timu