"Kiwanda cha Sukari Bagamoyo ni uwekezaji wa mfano wa kuigwa" - Gavana Tutuba.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 сер 2024
  • Bodi ya Wakurugenzi ya BoT ikiongozwa na Mwenyekiti wake ambaye pia ni Gavana wa BoT, Bw. Emmanuel Tutuba, imetembelea Kiwanda cha Sukari Bagamoyo ikiwa ni mwendelezo wa ziara za Bodi hiyo kukagua shughuli mbalimbali za kiuchumi nchini.

КОМЕНТАРІ • 6