#TBC1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 12 вер 2024
  • Kipindi cha Wekeza Tanzania " Fahamu mtaji wa milioni 200 ulivyotumika katika uwekezaji wa Vimbaka (Toothpick) Kwa eneo dogo"
    Saa 12:00 jioni TBC1, marudio Jumatano saa 7:30 mchana.
    Mtangazaji : (Vumilia Mwasha) @vumilia_miyangu
    Mwongozaji: NeligwaMugittu
    Msanifu Picha: @clementsilla
    Kimedhaminiwa na @azania.bank
    #WekezaTanzania #Wekeza #Uwekezaji #Viwanda #Kaziiendelee #TBCOnline #TBCUpdates

КОМЕНТАРІ • 6

  • @serggally
    @serggally 2 роки тому +1

    Hongereni sana. Hii ndio tanzania tunayoitaka. Tanzania ya viwanda

  • @danstanpanga8490
    @danstanpanga8490 2 роки тому

    Hakika nawaombea kwa Mungu muendelee kutimiza wajibu wenu umoja ni ushindi. Mmbarikiwe sana

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 2 роки тому +2

    Hongera Rais wetu wa kwanza mwanamke kipenzi chetu Mama Samia Suluhu Hassan kazi zinaendelea Tz oyeeee wanawake Oyeeee.🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @devotanyakunga5903
    @devotanyakunga5903 2 роки тому

    Hongereni sana Bongo toothpick

  • @jenistabukoko9182
    @jenistabukoko9182 2 роки тому

    Kazi nzuri

  • @temuemanuel4671
    @temuemanuel4671 2 роки тому

    Safi sana