MSELA - PART 04

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 347

  • @user-rc3om5hs9i
    @user-rc3om5hs9i 16 днів тому +56

    ❤❤msela, leo upo mapema tupite mbele watu wamebanana, miguu ita vunjwa, sio kusukumana uko. niko apa nipeni like bas wadau wa msela.🤣🌹🌹🏃

    • @ReginaJumanne
      @ReginaJumanne 16 днів тому +2

      Mmmmh yaan wew unashindag hum

    • @yalalakashindi4594
      @yalalakashindi4594 16 днів тому +2

      Mmh kweli kbs watu wanakia sana 😂😂😂yaani mi kuhingia tu tayari watu wamejaa 😂😂😂😂.

    • @user-rc3om5hs9i
      @user-rc3om5hs9i 16 днів тому +1

      @@yalalakashindi4594 hahahaaa😂 nyie nabahatshatu leo nimejalbu il xo klasiku

    • @rizmwMwriz-mf2cu
      @rizmwMwriz-mf2cu 15 днів тому +1

      Uyu PAMELA ana lala umu umu mwa ANKO J MAPESA kabsaaa nampa ongera yake 🎉🎉 kwa ajili ya MSELA Wake

  • @Shadia544
    @Shadia544 16 днів тому +39

    Humu ndani kila kitu wakwanza haya jamaniii MSELA JAMANIII TUJUWE SASA ITAKUWAJE HUYO MSELA LIKE 10 ❤

    • @FatmaNjapukagy
      @FatmaNjapukagy 15 днів тому +1

      Huyo dem fungu la kukosa kweli khaaaa🙌🏾

    • @MwanatumuJumaa-rj4fg
      @MwanatumuJumaa-rj4fg 15 днів тому

      Rizki yake ikifika na wakati wake kila kitu kitarudi kwenye mstari​@@FatmaNjapukagy

    • @Shadia544
      @Shadia544 15 днів тому

      @@FatmaNjapukagy sasa RAHIM ATAMUOA KWELI MAANA MSELA KARUDI TENA NA DADA YAKE NDIYO ANAEMUWALIBIA MAISHA😔😔😔😔

  • @HappyBeltod
    @HappyBeltod 16 днів тому +11

    Waoooh ila anko unafanya kazi Kwa mazoea sana utapigwa sasa💪💪

  • @CossyKiria-fd6pq
    @CossyKiria-fd6pq 16 днів тому +19

    Nasubiri hiyo siku watu wooote watakapo acha kuomba like nakutoa maoni yao kwa anko nin afanye kwenye simulizi zake😂😂

    • @user-rc3om5hs9i
      @user-rc3om5hs9i 16 днів тому +2

      Utasurii, Sana!😂

    • @CossyKiria-fd6pq
      @CossyKiria-fd6pq 16 днів тому +4

      @@user-rc3om5hs9i hahha nasubiri kwahamu jamn cz inakuwa KERO sana😏😏

    • @user-cr1nk1zc5s
      @user-cr1nk1zc5s 15 днів тому

      @@CossyKiria-fd6pqnikajua ni mimi tuu Ndo naonaga too much watu kuomba likes. Badala ya kumsifia anko j Kwa kazi yake na kumpa support watu wanajifanya kama wanampenda ila hawako tayari kumsupport Hata Kwa elfu 2 Kwa mwezi mkaka wa watu. Akiuza simulizi watu wanapayuka kama vile wakina mama tarik

  • @linnerphilip4260
    @linnerphilip4260 16 днів тому +12

    Kudate na mvuta bangi yakupasa ujiandae kiakill lolote laweza tokea😂😂😂

    • @Catherinemichael1995
      @Catherinemichael1995 15 днів тому +1

      Kabisa yani 😂😂😂😂

    • @user-pr1uy3sh3o
      @user-pr1uy3sh3o 14 днів тому

      Sisi wanawake ni viumbe vya ajabu maneno kdgo tu unasahau mtu anae kufaa unarudia mtu alie kuumiza

  • @israeluronu9958
    @israeluronu9958 16 днів тому +13

    Anko J unajua kuturusha roho we baba!! Yote ya yote Asante na Mola abariki kazi zako.

  • @sephrinewarenga2745
    @sephrinewarenga2745 16 днів тому +11

    Wow,kazi nzuri kaka,listening from Kenya(Eldoret),much love.

  • @DortheaMaria-ti5er
    @DortheaMaria-ti5er 16 днів тому +17

    😂😂😢Kuomba like nakutoa maoni yao kwa anko nin afanye kwenye simulizi zake 😂😂😢❤

  • @Tracepeter0723
    @Tracepeter0723 16 днів тому +10

    Cath na wew autulii jmn ndmn unapgwa matukio na mwsho wa yoteee huyo msela ndo atakuwa mumeo🤸

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 16 днів тому +7

    Huyu ni noma aiseee 😂😂Ahsante Anko jay kwa muendelezo wa simulizi yetu nzuri

  • @Nuru9568
    @Nuru9568 16 днів тому +12

    Hatimae leo tumefikiwa wasela wenzangu😂😂😂

  • @victoriangasa
    @victoriangasa 16 днів тому +7

    Waooooh ❤❤🎉🎉hatimaye tumefikiwa na msela msela msela wetu😂😂❤❤

  • @user-ex6je2uj8s
    @user-ex6je2uj8s 16 днів тому +6

    Msela nilikua nakusubili kwa hamu asante uncle j mapesa kwa kutuletea simulizi ya msela🎉🎉 nioeni like zangu apa

  • @linnerphilip4260
    @linnerphilip4260 16 днів тому +6

    Ko msela ndio kspeperuka hivyo ila msela kazingua😂😂😂 😊

  • @SofiaKhamis-ol1bn
    @SofiaKhamis-ol1bn 16 днів тому +9

    Wooyo🎉🎉😂😂😂😂😂😂 wakwanza

  • @user-yy2ve5rv7x
    @user-yy2ve5rv7x 16 днів тому +8

    Unyamaa ni mwingi snaa

  • @HemedBaruan
    @HemedBaruan 16 днів тому +5

    Jaman waooo tuanendelea na msela Asante Ankojay ❤❤

  • @BurterDreezy
    @BurterDreezy 15 днів тому +3

    Jaman anko jay hii subir subir Inamaliza bundle toa kitu kiishe baba wengne kusubir hatuwezi

  • @NadiaItangishaka
    @NadiaItangishaka 16 днів тому +6

    leo nimewayi jamani msela wee utuweka roho juu🎉🎉❤

  • @samychance
    @samychance 16 днів тому +19

    Afadhali leo nicomment ili nione kama napendwa❤🎉.
    Anko thanks kwa msela🎉🎉. Allahu baarik,🙏🙏

  • @Evelynmoreen3655
    @Evelynmoreen3655 15 днів тому +2

    Daah huyu Catherine amenikera ujinga gani huo ya nini kuumiza watu kisa huyo msela ki cheche na huyo dada yake Careen anawivu sasa kwanini amupotende Rahim nawakati aliachika,itakuwa huyu Catherine analaana maana kutembea na mtu na Mujomba wake sio kitu kizuli niuchafu kwanza hii simulizi imenichefuwa bola tuletewe Binti lisa na SIN😢😢😢😢😢😢😢

  • @user-jl7ju9pu9h
    @user-jl7ju9pu9h 16 днів тому +4

    Oooh my good Dj asant sana yani nahisi kupaa kwafulaha nilionayo asane sana mung azidi kukubariki🙏

  • @zawiyanaser3076
    @zawiyanaser3076 16 днів тому +6

    Waooooh hatimae tumekumbukwa asante sana anko wetu

  • @user-be2nx5ks2l
    @user-be2nx5ks2l 16 днів тому +8

    Ankoj ukimkagua Bata hutaweza kumla

    • @evelynlyimo1557
      @evelynlyimo1557 10 днів тому +1

      Ni kweli😂😂..sababu kwetu nyumbani kulikuwaga na Bata wengi mno, sikuwahi ona ubaya ila kuna wakati kaka wetu mkubwa alioa mke, na sikumoja alishuhudia bata wakila uroda yaani the copulation,,she stood there watching 👀 😅. Huwaga bata wakiume kabla atafute balance akiwa mgongoni ,hata anaweza mvunja mke wake mabega jamani,,after 10 minutes his long shaft was dangling outside 😄 😀 wifi wetu aliwachukia bata 😂😂, ilibidi wauzwe wooote,😢😢😢nikwambie sijala mayai ya bata kisa huyoo 😢😢😢😢😂😂 dah....nyama ndio usiseme😂😂😂😊😊

  • @RoseMbuya-cn5dg
    @RoseMbuya-cn5dg 16 днів тому +19

    Niko ndani ya msela wadau Leo musininyime like zenu mm nawapatianga like zangu❤🎉

  • @JacquelineJohn-q2r
    @JacquelineJohn-q2r 16 днів тому +3

    Ujawah kukosea aseeeh big up sanaa nimeilikee😘

  • @user-lx3bs3iq8t
    @user-lx3bs3iq8t 16 днів тому +6

    at me nimewah jamn mnip likto😊😊😊😊

  • @UmayyaNkya-ze3ri
    @UmayyaNkya-ze3ri 16 днів тому +5

    Mushaniwahi leo 😂😂

  • @user-rc3om5hs9i
    @user-rc3om5hs9i 16 днів тому +5

    Ukweli matumbo yawanawake yapo km maduka ya bzaa mamacathe amezaa warembo sn lakn mh

    • @avelinabaluhya2804
      @avelinabaluhya2804 15 днів тому +1

      Mh,hapo umemaliza maneno,matumbo ya wanawake kweli yanabeba😅😅😅

  • @DorcasMuomba-gd3sw
    @DorcasMuomba-gd3sw 16 днів тому +3

    Wow congratulations God bless you tunakupenda zaidi hatimae umeachia mzigo surprise 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤tumefika ❤❤❤❤oyooooooooo😮😮😮😮😮

  • @MamakeJanetuser-ds8sz1mw4r
    @MamakeJanetuser-ds8sz1mw4r 16 днів тому +5

    ❤❤❤❤❤❤❤ yani ANKO jay unatusema hivyo

  • @mariam-yw3nn
    @mariam-yw3nn 16 днів тому +5

    Haaaaaaaaaaaaaaaaaaah nimecheka kwa kuona binti msela nipe 🎉🎉🎉

  • @PaulinaLwena
    @PaulinaLwena 16 днів тому +2

    Msela msela msele huyo mwendo wakobe cjachelewa asante anko jay kwa kumleta msela🎉🎉

  • @NancyMwape-sx6vw
    @NancyMwape-sx6vw 16 днів тому +4

    hii simuliz nimeipenda 😍😍😍

  • @FadhilunMohamed-je8en
    @FadhilunMohamed-je8en 16 днів тому +6

    Afadhari asante kaka nakuelewa sana

  • @UmayyaNkya-ze3ri
    @UmayyaNkya-ze3ri 15 днів тому +1

    We nae ushatucosha na huyo msela wako dada hatulizi mbumbusa 😂😂😂kaah ngoja kwanza mjeshi akuvunje taya ndo akili ikukae sawa pumbaaaavu 😂

  • @user-th5wp2gy3e
    @user-th5wp2gy3e 16 днів тому +3

    Asante sana anko nakupenda sana kwa kazi yako nzuri ila kasoro yako moja ukitoa simulizi nzuri unatubabaisha tunapata simulizi kwa ubabaika

    • @Ahmada15
      @Ahmada15 16 днів тому

      @@user-th5wp2gy3e 😭😭😭iyo nikweli anadutesa sana

  • @ninahussein5033
    @ninahussein5033 16 днів тому +6

    Exactly 14second! Nipe like zanguuu

  • @anizawasiche2457
    @anizawasiche2457 15 днів тому +1

    Kathe kanikera , Yani haezi fikiria kama anachukuliwa video ama picha , wakati Kila kitu Kiko wazi kaambiwa hatofunga ndoa, alikuwa kakasiriwa na wazazi wake aliye msaidia mpaka mahusiano ya familia ikarudi , Sasa anafatana na yule wa kumvunjia hajali upendo wa familia Wala nn, huyo lansileto sijui nani, asingemtisha , angemwambia tu memewe kinacho endelea na wangejuwa wafanyeje, Sasa saahii akipatikana sura anaieka wapo, wazazi wake atawaeleza nn , yaani itakuwa vip maskini , yaaani huyu Kathe kumbe mpuuuzi hivi , coz haya si mapenzi huu n uchizi

  • @AishaAljadidi
    @AishaAljadidi 16 днів тому +5

    Mimi wakwaza 🇴🇲🇴🇲

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 16 днів тому +5

    Huu mwanamke ana kera ana kaumalaya flanivi!😡

  • @user-hu5qi4nl1i
    @user-hu5qi4nl1i 15 днів тому +2

    Kama mnaaamini ipo siku Catherine atarudi kwa msela wake gonga like hapa tujuane😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @user-ud4lu7um5k
    @user-ud4lu7um5k 16 днів тому +2

    ❤hatimae umetuonea huruma anko😂

  • @ChristinesifaRuwa-jx4qw
    @ChristinesifaRuwa-jx4qw 15 днів тому +1

    Wewe cathe ni mujinga sana mana huelewi hisia zako kabsaa kazi kuumiza tu wanaume

  • @user-vg3iz5mn8o
    @user-vg3iz5mn8o 16 днів тому +7

    Nimewai leo

  • @user-cl9dz6kk7u
    @user-cl9dz6kk7u 15 днів тому +1

    Woyooooooo Lisa mwaea unahatarii ww kwenye hii simulizi 😂😂😂 Ahasante sana anko jay kwakutultea utamu❤❤🇴🇲🇴🇲🇴🇲 Anko jay mwambie aje uku keti tutafute maisha sie tunaliwazwa na Anko jay

  • @PilyAlly
    @PilyAlly 15 днів тому +1

    Yani kuna simulizi zingine zinanitia hasira yani nikama uyu Catherine awe laribu yangu nimshushie kipigo kwa upuuz anaoufanya yani naumia moyo sanaa adi natoka nje ya simulizi nakuisi nitukio linatokea live 😢❤❤asante anko jay na lissa mwala mungu awaweke cz najifunza vingi kupitia nyinyi 🙏

  • @rukiawaziri4871
    @rukiawaziri4871 14 днів тому +1

    Anko J sehemu ya 5 ya Msela vip maana sio kwa sauti na simuliz hiz...
    Tunokaribia achwa kisa simulizi za anko J tujuane jaman❤❤❤

  • @YASINTARINGO
    @YASINTARINGO 16 днів тому +2

    Watu Leo wanewahi nafasi mapema 😂😂tulochelewa tukae wap jamani

  • @user-jl7ju9pu9h
    @user-jl7ju9pu9h 16 днів тому +2

    Ancojey alivyo sema kama madada wanapiga pesa mbaya uku kujifariji nasimulizi ujuwe nimeceka sana afu kam ku comment mara2 nimakosa naomba sory ila dj tunaomba part4 yani umetuaca pabaya 😂😂😂 msela simulizi kali sana kama movi nzuri daaah😂nisem thank you🙏

  • @fatumamwinyikai7439
    @fatumamwinyikai7439 16 днів тому +1

    Ubarikiwe bro big ❤..Ubarikiwe ninafurahii kusikia sauti ya mwanamume in the house 🎉🎉

  • @ZuwenaIsmail-vb4md
    @ZuwenaIsmail-vb4md 15 днів тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣Mbona nakupenda wewe na huyo bahasha wako 😂😂😂😂😂😂

  • @user-wn7gn2ji9m
    @user-wn7gn2ji9m 16 днів тому +3

    Barikiwa sana ank j kwakweli . ❤❤

  • @salmamwangi4343
    @salmamwangi4343 16 днів тому +3

    Love you uncle jay

  • @celestinkenga9212
    @celestinkenga9212 16 днів тому +7

    Wale.hatujalala.kwasababu.ya.lisa.hatujui.tutafaulu.vp.tujuane.kwa.like

  • @Fakama245
    @Fakama245 15 днів тому +1

    vipi anko j, wewe umetuzoesha raha na unatuchelesha sisi kama gen z tutakutafuta natumai unalijua tibwili letu.😁😁

  • @FadhilunMohamed-je8en
    @FadhilunMohamed-je8en 16 днів тому +4

    Mi nashauri simulizi zisiwe Na vipande vingi inachosha mwisho 5 episode

  • @nashaldy1804
    @nashaldy1804 15 днів тому +2

    Yaani kuna wadada Hawana akili kabisa.hdi ukaslimu ili uolewe alafu cku moja kabla ya ndoa wafumaniwa?hunu ni umalaya promax

  • @MamahetuChikuti-mp5lj
    @MamahetuChikuti-mp5lj 16 днів тому +8

    Waaaauuu wakwanza Leo like jamani ❤❤❤❤❤❤❤ndugu wapendwa

  • @EsperanceNsabimana
    @EsperanceNsabimana 13 днів тому

    Demu ana pepu la ngono anapenda kunyanduliwa
    Mbana atakosa kamba na mbuzi
    Na Dada mtu noma sana

  • @user-vl1ts1eh8s
    @user-vl1ts1eh8s 16 днів тому +2

    Tupe mambo maana duuuh❤️❤️❤️

  • @janethdaud201
    @janethdaud201 16 днів тому +4

    Amakweli msela🎉

  • @AgustaMyinga
    @AgustaMyinga 16 днів тому +4

    He watu mpo vizur

  • @joanmutungi3542
    @joanmutungi3542 15 днів тому +1

    Huyu Cathe nae anaanza kuniuzi sasa, genye gani hizo mpaka unaenda kutiana na mwanaume mwingine siku moja kabla ya harusi yako, Huu ni umalaya uliokithiri 🤨🤨🤔🤔😏😏😏

  • @rizmwMwriz-mf2cu
    @rizmwMwriz-mf2cu 15 днів тому +1

    😂😂😂🎉🎉NAIMA mwambie akuelewe uyo CATHE asikilize smlz za ANKO J MAPESA na.strec za waume ztamwisha tu

    • @MamahetuChikuti-mp5lj
      @MamahetuChikuti-mp5lj 15 днів тому

      Yap yaani atafute pesa waume ni wale wale starehe gn asiyoijua kawaida wanawake wakiumizwa na mume uwa hana tena hisia na mume yeyote ilobaki kutafuta fulusi tu namshangaa Cathe

  • @gressigotti3653
    @gressigotti3653 16 днів тому +2

    Oyaaaa anko jay part 5 please tusipoe unatukata stim😂😂 maua yakoo 🎉🎉

  • @hildegardemaurice1509
    @hildegardemaurice1509 14 днів тому

    Asante sana anko j kusema kweli unanifunza mengi kupitia smlz zako nakunipotezea mawazo na kunitia moyo pia❤❤❤❤❤❤

  • @linagervas
    @linagervas 15 днів тому +1

    Hiv Catherine una shida gan 😂😂😂😂 mwanaume wangap? Huy🙌🙌🙌🙌

  • @AishaAljadidi
    @AishaAljadidi 16 днів тому +3

    Hatimae imekuja❤❤❤❤

  • @mozabayabanda4248
    @mozabayabanda4248 16 днів тому +3

    Asante sana Anko jay iyo sauti yako iyo ndo itatuuwa iyo❤❤❤❤❤❤❤😂

  • @user-yg8zz3js6u
    @user-yg8zz3js6u 15 днів тому +1

    Jamn nimeisubria Kwa ham atar ❤❤❤

  • @gressigotti3653
    @gressigotti3653 14 днів тому +1

    Jamniii anko pleaseeee part 5 unatukata stim ujue usipoe saaa

  • @FatumaMaulid-eq9hi
    @FatumaMaulid-eq9hi 16 днів тому +3

    Haaahaaa kwanza mimi

  • @ChristinaJohn-gn9sp
    @ChristinaJohn-gn9sp 16 днів тому +6

    Ansante anko jay like

  • @tinershayo6191
    @tinershayo6191 16 днів тому +1

    Huyo demu ni mjinga sana alitakiwa amwambie Rahimu kuwa bwana wake wa zamani ananisumbua na amwambie mama yake narudia tena ni mjinga mbwa sana

  • @candidamushi-se9mb
    @candidamushi-se9mb 15 днів тому +1

    Ankoo Lisa VIP umetuweka kwenye dustbin jamanii duu

  • @mariamMilha-st3qu
    @mariamMilha-st3qu 12 днів тому

    Shukran Ank Jy wadau mupoooooo jamani wanawake kwanini hamujiongezagi utaolewa kesho x anagutaka unamupa utuwako uyumudada ameniuthi kwakeri weye mbone unareta ayibu?huonikama dadako njo anagocoma naweye umecomeka aca tuone ayibu utayiweka wapiti huna mikosi wenjo huna mipanhirio wangine mujifunze asant Mwalla🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @user-hb8ph8fk5s
    @user-hb8ph8fk5s 16 днів тому +1

    😂😂😂nilijua2 huyu Kase ataiharb ndoa kisa msela😢na sizan kama ataolewa na rahm kama hawajaishia kuwa na huyo msela wake

  • @emathumani2901
    @emathumani2901 16 днів тому +8

    Woyoooo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @asharonga6660
    @asharonga6660 16 днів тому +3

    Safi sanaa❤❤

  • @user-ui6rf8yx7s
    @user-ui6rf8yx7s 15 днів тому +2

    Mie mtu waviporo naanza kugawa like kwenu wotee Kisha mnipe mimi pia like

  • @saidikaskasimkusa2787
    @saidikaskasimkusa2787 15 днів тому

    Hii story inaniumiza sana simpendi sana Las Los anamharibia mwenzie kufikia hapo nimeichukia bay

  • @nahimanahawa
    @nahimanahawa 16 днів тому +1

    Nimefurahi leo sana tuu Msela mi nipo nawe mda wowote

  • @FunnyClownfish-uc6ye
    @FunnyClownfish-uc6ye 3 дні тому

    DadA ake kasema mbwa kabisa ndio kamchoma..mwenzie😢😢

  • @rqmadhaniabeid3143
    @rqmadhaniabeid3143 16 днів тому +3

    Sijuw hatanitawah lini

  • @user-ml5rl2ev5x
    @user-ml5rl2ev5x 14 днів тому +1

    Cathe unamfatili msela unapigwaa dada

  • @KhadijaKiwele
    @KhadijaKiwele 16 днів тому +1

    Weeeh msela weeeh unanikosha mie 😂😂😂😂

  • @wertqwe8326
    @wertqwe8326 16 днів тому +3

    Woooow thankx ankojay

  • @ashurandali
    @ashurandali 16 днів тому +2

    Huyo cathe nitamtia mibao kwann hana msimamo 😮😮‍💨🥺😳😳😡😠😠

  • @agnesagnes5288
    @agnesagnes5288 16 днів тому +2

    Mambo sawasawa YESU AKIWA NDANI YA ANKOJAY SIMULIZI 2TAPATA 😂😂😂😂😂ANKOJAY PAMOJA MBK UCHOKE ...GUYS MPO 2ENJOY POLEPOLE ❤❤

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 16 днів тому +1

    Waooo! msela huyoo❤❤❤🎋🎋🎋🌹🌹🌹🥀🥀🥀💐💐💐🌷🌷🌷💃

  • @usterbae
    @usterbae 16 днів тому +3

    Finally imekuja hongera kwa kazi nzuri nakupenda ankojay mapesa ❤❤❤❤

  • @PrimmariaYusuf
    @PrimmariaYusuf 16 днів тому +1

    Nimechew san lkn bd naw❤msinisahau katk ufalme wa like jmn

  • @Zaynab-ny6gr
    @Zaynab-ny6gr 14 днів тому

    Nimependa sana alivyo fumaniwa maana ni umalaya ulio pitiliza na kuto jitambua wapo wanawake wenye tabua izi

  • @shahrayn93
    @shahrayn93 15 днів тому +1

    Kathe ni mpuuzi sna mapenzi ayo my foot 👣,,na ajui ddke ndo anamchomea hajielewi umalaya utamuua mbwa uyu pumbavu zke mm amenicnya natamani niingie nimzabe makofi2 afu nitoke zangu😏😏😏

  • @aminaathuman4919
    @aminaathuman4919 16 днів тому +5

    Jamani mm mbona napata notification baada ya masaa matatu😢😢

    • @user-cr1nk1zc5s
      @user-cr1nk1zc5s 15 днів тому +1

      Notification unapata sema unachelewa kuziangalia same hapa maybe una notification nyingi sana za youtube sasa hadi kuiona ya anko unakuja kuiona umechelewa

    • @aminaathuman4919
      @aminaathuman4919 15 днів тому

      @@user-cr1nk1zc5s kwakweli mana naweza pata notification zimefika mpaka 100 nazipuuza...notification ninayoifatiloa sana ni ya ankojay

  • @aminaathuman4919
    @aminaathuman4919 16 днів тому +1

    Catherine akirudiana na huyo mabangi wake atakuwa amenikera

  • @AgnessHassan-us8ww
    @AgnessHassan-us8ww 14 днів тому

    Uyo mwanajeshi lazim amvunje mbav 😂😂😂😂umalaya tu kutubu aaah😂

  • @JosephBisimwa-ul2eg
    @JosephBisimwa-ul2eg 15 днів тому

    Dah kweli huu bimti maya aiseee bwabwa kweli anko me siowi tena mazeeee

  • @khadijahamisi6558
    @khadijahamisi6558 14 днів тому

    Kathe kathe mtoto malaya wewe sijapata kuona unashindwa kutulia na mwanaume wa maana wew bize na uyo bangii wako unatia hasira sanaa😏😏😏😏😏😏