Kweli,. ukitaka utofauti kaifungue Siri za familia, hakika kuna waandishi jamani, yaani Hans Masleen anajua sana tena sana visa vyenye mafundisho na havichoshi mfuatano mzuri sana, visa tofautitofauti lakini vinamuanganiko mzuri, hata maajabu ya mapenzi hazifanani kabisaa japo mwandishi ni mmoja, hata za Bwana Edgar Mbogo fuatilieni utapata ladha tofauti hazina mfanano visa ni tofauti kabisa,.na hazichoshi 👌si lazima kama bado hujapata cha kuandika,kinachobadilika ni majina tu ya wahusika na badiliko kidunchu sana lakini mfanano ni mkubwa saanaa
Kwani wambongo mnakuaje 😢😢😢😢😢unaezaje kufata mwana mme huja mpenda ama kulazimishwa ndoa pasipo kupenda huezi fanya kitu kama hauko tyr vua pete kataa kila kitu ila pia keti nmujinga yote unayataka baki na kijizee chako umeyakanyaga mana hujui kupenda kila mtu n ww unamtaka pole kwa tamaa yako
😂😂Familia ya anko J nyie ni wakubwa au ni watt haya wakubwa wenzangu njooni hapa naombeni like zenu ❤❤❤
🔥🔥😂
Mm mdogo
@@FatumaRamadan.Mwalim 😂😂😂sasa toto lala basi tuache ss mashangazi tusikilize na ugumu wa kukaa huku gulf ndo kabisaa
@@DamariJohn 😃😃😃sawa mwaya wakumbwa wafaidi
@@FatumaRamadan.Mwalim 🤣🤣🤣🤸🤸🤸kaa kwa kutulia
Nmewahi leo npen like zang jaman balikiwa sana anko jay kpenz
Wow kaka,listening from Kenya (eldoret),much love
Wakwanza link atatano jamani kirakitu kiko kwenye ubora zaidi Ankooo ❤❤
😂😂😂😂ankoj ak ww unafurahisha isee ❤❤❤kwako wale wapenzi wa ankoj like hapa
Ankoj msela 😊mashabik pia wasela simuliz msela n 🔥
LISA BEBEEE KIPZ CHANGU MTUNZI NO 1 KWANGU MM ❤❤❤❤❤❤❤ ISHI KIPENZ LEO WA 38 HAYA TWENDEKAZ MSELA LISA NA MSELA JAY
❤️❤️❤️
Msela kama msela! Hizi simulizi za mida ya wanga na wanga wenyewe ndo sisi, Asante sana Anko J
Jaman nimewai na Mimi naomben like zenu
Wakubwa WA anko jay mpoo nimefika hewani💃💃💃💃💃❤🎉 mnipe ataa like tano Tu,
👍
Hee toka mwaka uwanze ndio leo nakua wa 2 balaa❤😂😂
Waooooooo anko jey kaashia msela like kwenu
Lete vituu na miguno iwe ya action sasa mambo yako ya kugushi gushi ntakuchapa anko😅😅😅
Umalaya tu kuoga Aaaaaaaaa😂
@@user-oz9xi3dc7y 😂😂
Jamani ni moto mambo ya lisa mwalla 😊
Hatimae na mimi leo nimewahi 😂 ndo kwanza ina five minutes 💃🏽💃🏽 since posted
Ùkweli anko umenisinya tabia Aya Asante kwa dhatari
Wakwanza nipeni like zangu kama na wew urikuwa umeimiss sana😂😂😂😂🎉🎉🎉
Tulivyoingojea kwa hamu na ghamu asante anko jay
Nimewai leo❤❤
nyooooooo hii simulizi kweli kiboko haki nimecheka mpaka madam akanishangaa wallah
Nimewai pia jaman,but Thanx anko na daa lisa
Leo na mm nmewahi nataka likes jamani😂😂
Ahsante bwana anko Jay simulizi wewe mhh ngoja nikakojowe❤😂😂😂😂
😂❤
Haya first born wenu nko hapa🎉🎉
Ankoj nimeshafika nikusikilize Kwa ubora zaidi maana hata sauti Yako Iko katika ubora zaidi
😂😂😂😂
Ahsante san ankojay nimeisubili kwa hamu👍
Asante sana ankojay kwa simulizi nzuri sana ❤
Hiziii story zinafanana faanana
MILELE NA MSELA kama.story n moja😊
Nilijua peke yangu ndio nimegundua hilo
Yaani zinafanana sanaa
@@Catherinemichael1995 hauko pekeako
Lisa mwalla pigo zake nihizo tu
@@EvelyneNifasha-zc6jr upo makin sana
Kweli,. ukitaka utofauti kaifungue Siri za familia, hakika kuna waandishi jamani, yaani Hans Masleen anajua sana tena sana visa vyenye mafundisho na havichoshi mfuatano mzuri sana, visa tofautitofauti lakini vinamuanganiko mzuri, hata maajabu ya mapenzi hazifanani kabisaa japo mwandishi ni mmoja, hata za Bwana Edgar Mbogo fuatilieni utapata ladha tofauti hazina mfanano visa ni tofauti kabisa,.na hazichoshi 👌si lazima kama bado hujapata cha kuandika,kinachobadilika ni majina tu ya wahusika na badiliko kidunchu sana lakini mfanano ni mkubwa saanaa
Siyo mbaya nilikuwa naisubili kwahamu
Asante ank
Watu wakuchelewa tumeigia na fujo🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wapiiiiiiiiiii ss jeeeeeeee
😂😂😂😂😂😂😂😂
Lisa kama Lisa kuna Lisa mmoja TUU na ANKO MMOJA TUU POKEENI MAUWA YENU WAPENZI mnatupa burudani simulizi zenu ni zaidi ya movie za 🤪🤪🤪
Asante ank Jay
Anko jay mwambie kitty fefe bint sherry tushamaliza kitambo
Hii kweli msela hivi mm wa kulala saa nane kasoro usiku nasikiliza simulizi, halafu imeishia patamu daah! Huyo msela mpaka nimemvutia picha sio poa😀😀
Ivi watu wanacheza na roho za watu mapenzi ni hatari katheline huna akili hufai unatamaa mbaya
Ingekua LISA ningekua 390.. IL iyi nimejikuta nimewai. 😂😂😂Anko Jay. Asante. Kwamuenderez Nas. Tunakusikiriza. Kwaubora. Zaidi😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@user-fu6ew1jb6e basi. Unazan. Nimesem uong. Nyie achatu. Lakin. Nimeinjoi
😂😂😂 msikilize wakubwa angalizo
Na wakubwa mwenyewe ndiyo sieee 😂😂😂😂nasikiliza peke yangu 😂😂😂nikinyegeka maji moto yapo😂😂haya jamaniii MSELA JAMANIII 😂😂
😂😂
Kumbe tko wengi😊
Pole yako 😊😊😊
@@aishasidi6673😊😊😊
😁😁😁😁
😢😢😢eiiiiish dada yetu anagawa kugawa anaizungusha kama kikapu cha sadaka😮
Wtoto akahe pebeni nikiwa congo
Wakwanza leo jamani like hata 10
Nice ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉 from 🇺🇸🇺🇸🇨🇩🇨🇩
Sijawai kujua kwann nikisikiliza simulizi zaank nalala hata simalizi kwawakat acha kutubembeleza ankoj😊😊
Kikulacho kinguon mwko msela.ushamtibua atapita mpk na dada yko sbr uwone kichaa chake
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣tahadhr tunapew mapma na ucku huu hadi raha ila sisi tuliokuw single tutapmbna na hali zetu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🔥
Nyie kwa kbamia hcho boss hanamke uturuki inamuusu boss
😂😂😂😂kumekucha
Minyanduano 🤣🤣🤣🤣
Mbona kama inataka kufanana na milele iviiiiiii..... lisa mwala simulizi zako zote kama zinaendana ivii story inajirudia
Ni kwel imetofatiana kidgo
Wana anko jay gonga like
Simuliz tamu sana hongela anko jay
Hakuna sauti anko joy
nimewahi hadi nacheka😂😂😂😂😂❤❤❤
Wakwanza mie like musininyime wadau❤❤❤
Wooyooo
SISEMI KITU MANA NKISEMA MTANIAMBIA ILA WE MDDA NIMALAYA SANA NAUMEPATA WANAUME MALAYA WENZAKO HATAHAUONI HAYA HIO PAPUCHI YAKO KILAMWANAUME ANANA
Waooooh wanafamilia tupo pamoja kwa like😂😂❤❤🎉🎉
Wooow asante Anko jay❤
Ewaah wa kwanza leo
Nimewahi leo 😂😊
Wanasema kawia lakini ufike ehee 😂😂😂😂nimefika 🎉🎉🎉
Wow
Mm ndo wakwnz leo lkn kil mtu utaskia wkwnz 🤣🤣🤣🤣
Asantee anko jay shukrani tunakupenda zaidi 🎉🎉🎉🎉natuna subiri binti Lisa
Cathe anaanza kusahau nusu maut aliovuka mh nyie ataki bamia anataka tango 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ngoja niifadhi maji kwenye chupa yachai maana umeme hauelewek leo😂😂 kaka muokoaji sopoa hii
@@user-rc3om5hs9i 🤣🤣🤣🤣🤣pole sisi masngle tutakoma
@@user-fu6ew1jb6e hatal anko anamwaga manyanga yakufa kupona nasikia manyunyu yanapta shaaaa! hapa kwamuokoaj bange so mboga👁️👁️🔥
😂😂😂😂😂
Thanks alot Anko mapesa ❤❤❤❤
Sawaa mwanamuziki mpyaa 😂😂😂 Ankojay mapesaa
Hatimae tena, sant san anko jay 🎉
😂😂😂😂 Lea, you have adventures but bloom your friend 🤣🤣🤣🤣🤣
❤❤❤❤keep up the good work
😂 ancle na Lissa Thanks ❤❤❤🎉🎉
Kwani wambongo mnakuaje 😢😢😢😢😢unaezaje kufata mwana mme huja mpenda ama kulazimishwa ndoa pasipo kupenda huezi fanya kitu kama hauko tyr vua pete kataa kila kitu ila pia keti nmujinga yote unayataka baki na kijizee chako umeyakanyaga mana hujui kupenda kila mtu n ww unamtaka pole kwa tamaa yako
😂😂😂, khaaa sasa hilo zee,kama lengo lako ni matumizi,unapigana kwa nini,si ujifanye hujui kinachoendelea we soma kimya kimya tu 😂😂😂😂 dunia ina maneno
❤❤❤waaoh msela noma ❤❤🎉🎉
Anko jay unavituko😂 habari ya kzi pole na majukum
Jamani msela❤❤❤❤❤
Msela anachoma udi mana anajua anavutabangii..sasa ww dada unadandiadandia maboss usiowajua umepigwa ukapigika halafu umempendaa msela ila yy hakutakii sasa endekezaa mapezi watakuua
Tumekuelewa anko😂😂🎉🎉🎉🎉❤❤❤thx a lot🙏
❤❤❤Asante tunazingatia tahazali msela wetu, namda unaruhusu, we simuliatu minyanduo kwa ubora zaid,🤣🤣 tunaipenda simulinzi taamuu. wapendw a like 🌹🌹🏃
🤣🤣🤣🤣
Hakuna kulala aiseee 🤣🤣🤣🤣
@@agnesagnes5288 tulii imiss sn ad kieleweke , ankojy na Lisa mwala mungu awarnde na kuwaatunza kwaajili etu🙏
@@user-rc3om5hs9i Aamen my prayer too
Hahaha Anko Jay mapessa 😂😂
Nice story be blessed anko Jay wetu kipenzi ❤❤❤🎉🎉🎉
😂😂 patamu sana wala cnutaniii
Mwendelezo wa msela wapi mjomba ❤❤❤❤
Tuko pamoja wasela😂😂wa anko jay msela😢😂😂
Shida ya huyu dem anawamini wanaume araka alf ako mrahisi kutoa mwili wake😮😮😢😢
Jaman anko unavyo simuliag nikucheka tu
😅😅😂 🎉🎉yani uyu anko jay
Sawa tumekuwelewa
47 nimewai haki😂😂🎉🎉
❤❤❤❤❤❤❤ thanks
Sawa anko mi naweka earphones 😂😂🎉
lak zenu ❤❤❤
JAMANI ANKOJAY 😂😂😂😂😂
😂😂🔥💯👁️
@@user-rc3om5hs9i 🤣🤣🤣🤣MUNGU ANAMUONA AISEEE
Wawooooooo anko jei kazi nzuli
Aya wtoto tupisheni sasa😂😂😃
😂😂😂😂😂jamani anko Jay nimechekaaa
Nyie wadada wa saloon Mungu anawaona kwa umbea log🤣🤣🤣
Mmh.. msela usiku utaki tulale sio msela😅
😂😂😂 likajuna zee la kuforce
🎉❤❤❤
Nataka msela namba tatu tunasubiri