NASRA: SIMULIZI MPYA, By Ankojay

Поділитися
Вставка

КОМЕНТАРІ • 257

  • @ankojay_
    @ankojay_  Рік тому +33

    Part 2 Ya Binti Nasra Bonyeza Hapa 👇
    ua-cam.com/video/yRV5W54vfbA/v-deo.html

  • @rahabmuthoni6004
    @rahabmuthoni6004 Рік тому +22

    Anko jay you are growing so fast 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 twawakilisha kwa mpigo

  • @user-ik9et9gh1w
    @user-ik9et9gh1w 9 місяців тому +8

    Hatimaye nasra nimefikiw jamen naomben like zenu hatakam nimekuw wa mwisho🙏🙏🙏

  • @deejuma5980
    @deejuma5980 11 місяців тому +5

    Asante Sana anko Jay nimependa sana Lisa mwalla
    Mena simulizi zake zuri Sana
    ❤❤❤🎉🎉🎉🎉😊😊😊Life lesson

  • @user-re4tn2gj4z
    @user-re4tn2gj4z Рік тому +8

    Daaah nafulahi sana unavyokuwa unasimlia huku unacheka mungu akubaliki

  • @Ann-ud6yi
    @Ann-ud6yi Рік тому +10

    Simulizl eko pooaaa sana❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Catherinemichael1995
    @Catherinemichael1995 8 місяців тому +6

    Dada ake Nasra hajui majukum ya ndoa aibu tupu ndio maana ndoa zinawashinda wanawake jifunzen majukum yenu

  • @janekaranja7651
    @janekaranja7651 Рік тому +10

    Wao this one ni 🔥 fire aki,nimesoma sana ,we we aki sauti yako,am on simulizi every day l love it, good job keep up

  • @issambonde1469
    @issambonde1469 Рік тому +6

    Anko we py noma umetisha kinomanoma ngoma Ina noga imetaradadi balaaa❤❤

  • @claramasaito7880
    @claramasaito7880 Рік тому +8

    Anko jay kwa kujisifia tu upo vizuri sana ila umetisha sana kwa kunogesha simulizi ❣️❣️loup up bro ♥️🔥🔥

  • @mildredalivitsa1186
    @mildredalivitsa1186 Рік тому +4

    Anko jay ❤love your simulizi we need part three soon from 💖+254🙏

  • @user-nr4iu7ib9r
    @user-nr4iu7ib9r 5 місяців тому +4

    😂😂eti nikunujue wewe nyerere ila anko j nakupenda sana sauti yako mashaalah ❤

  • @user-kj1bf6dt1s
    @user-kj1bf6dt1s 10 днів тому +1

    Ila umalaya mbaya sana, hata kama dadako haezi majukumu yake ya ndoa, ww kama dada hauwezi kumchukulia bwana shengi yako unamvulia chupi salaaaleee... 😢😢

  • @Nasra-tz1gk
    @Nasra-tz1gk 10 місяців тому +2

    Jaman nimefurah san kuskiliza cmuliz ya mwajina mwenzang, kumb majin ya nasra tunadharau nikajua pek ang, love u anko j❤❤

  • @binthassan9191
    @binthassan9191 Рік тому +9

    Tuko na wewe bega kwa bega mpk kieleweke mr.mapesa❤😂

  • @EdwardDavid-v5c
    @EdwardDavid-v5c 18 днів тому +1

    yaan jamn mm napenda hiyo sauti jamn umebalikiwa

  • @ashajumashaban2071
    @ashajumashaban2071 Рік тому +8

    Lissa kwa mara nyengine tena ❤❤❤bila kumsahau kipenzi anko jay😂😂😂 big up broo

  • @queenlee9495
    @queenlee9495 Рік тому +4

    Mwamba uyu apa anko jay wangu katika kitu kipya binti Nasra sjui kuna nn ndani yake wacha ni enjoy kwanza ntarudi kukomment one love wana simulizi mix 💙💚💜.

  • @aumuelly2909
    @aumuelly2909 Рік тому +2

    Ahsante Lisa mwalla kaziyako nzuri na namsifu msimuliaji Anko Jay unanavyo zitiamanjonjo na utamu wakusikiza Ahsante Allwah akubarikini muzidi kutuburudisha

  • @IreneNyarogenzi-hd2xh
    @IreneNyarogenzi-hd2xh Рік тому +5

    Guys kama unamkubali anko jey goga like ap chin love anko jey

  • @user-dc2vt1dt7g
    @user-dc2vt1dt7g 6 місяців тому +2

    ❤❤❤❤❤ mwaaaaaaaaaaaaa I love so much napenda unavyo hadithia Jamani Niko hoi kucheka jamani

  • @Lucy-vp8pm
    @Lucy-vp8pm 2 місяці тому +1

    😂😂😂😂pole sana nasra kilicho kupata iseee huyo n noma sana

  • @ruthwaithera2650
    @ruthwaithera2650 Рік тому +9

    Better late than never..i cant miss simulizi for anything...not a day with simulizi i. I have learned alot through simulizi....much love jay🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @fatmahmkuzi
    @fatmahmkuzi 8 місяців тому +2

    Kaka ww Wajuwa handi wajuwa tena pinga kazi my Ankoj tuko pamoja mungu awe pamoja nawe kaka❤❤

  • @user-hr9ji5ql6h
    @user-hr9ji5ql6h 11 місяців тому +2

    Nasra kafanya nn tunasikiliza anok j tunakupenda san❤❤❤❤❤❤

  • @carrenodhiambo5557
    @carrenodhiambo5557 Рік тому +4

    Dah..jamani Nasra wewe😂😂😂hatari waaa.ila simulizi ni🔥🔥🔥

  • @jawahirkahinmadar1459
    @jawahirkahinmadar1459 Рік тому +3

    Jamani tabora kwetu nimefurahi sana mimi bint wa mboka asante akojay ❤lufita

  • @user-ue7zq2fq8b
    @user-ue7zq2fq8b 7 місяців тому +2

    Jamaniiiiii story nzuri san ina funzo kubwa san ety❤❤❤❤😅😅😅

  • @minahmtaki7119
    @minahmtaki7119 Рік тому +4

    Anko j Mungu Akuweke sana uzidi kutuma raha🔥♥️

  • @AishaAljadidi
    @AishaAljadidi 3 місяці тому +1

    Uyu dada mim kabisa❤❤❤

  • @mishelygodlisten1171
    @mishelygodlisten1171 Рік тому +13

    Anko story nzr mnooo jmn ongera n hivi unavyohadithia bas mm hoiiiiiiiiiii Kwa kuchekaaaaaaa❤❤❤❤

  • @girukwishakaclaudine5374
    @girukwishakaclaudine5374 Рік тому +3

    Hi Lissa Mwalla? Yan Mungu abambalki Sana tena sana by Anko Jay asante nimejifuza kwakweli 🙌🙏
    Yan ni 🔥🤭😂🤣🤣

  • @mwapendosultan887
    @mwapendosultan887 Рік тому +4

    Lissa mwalla ataki tupumue 😂😂wee dada nakupenda bule siku nikiulizwa Kwa mwezi ipi simulizi nzuri ulizo sikiliza sitokuwa na jibu

  • @aminaomarimaidi
    @aminaomarimaidi Рік тому +6

    Shukran Lissa tunakupenda
    Anko piga kazi pamoja sana 💥

  • @blandinemasoka8625
    @blandinemasoka8625 Рік тому +7

    Uweeee anko Jay wewe 💣❤❤❤

  • @shadyasalum192
    @shadyasalum192 Рік тому +17

    NASRA jamani kafanyanini tena 🤣🤣tunasikiliza anko jay maana tunajifunza vingi sana LISA MWALLA wetuu🥰🥰🥰🥰

    • @fatmaalbahri1846
      @fatmaalbahri1846 Рік тому +1

      Shadya shog angu wew umechanjiwa asali au bad 🤣🤣

    • @shadyasalum192
      @shadyasalum192 Рік тому +3

      @@fatmaalbahri1846 miee tamuu OG kabisa ata hauchiji 🤣🤣🤣🤣🤣kuchanjiwa na asali bado 🤣🤣🤣lakini niongeza tuu utamuuu🤣🤣🤣🤣🤣

    • @fatmaalbahri1846
      @fatmaalbahri1846 Рік тому +1

      @@shadyasalum192 wah dear unachelew yaan 🤣🤣🤣 anko j tuletee prt2 jmn full kuinjoy

    • @batulii1248
      @batulii1248 Рік тому +1

      ​@@fatmaalbahri1846 pppp0😊😊pp00😊😊pp0😊pp😊😊p0pp0😊😊0pp00😊00😊00😊0p0😊😊000😊😊p00p0😊0😊😊0😊p0😊😊0p0😊p0😊0😊0p00p0😊0😊0😊0😊😊00😊😊000p000😊😊😊😊😊😊😊😊😊

  • @GisellKamikazi-hv1lj
    @GisellKamikazi-hv1lj Рік тому +3

    Kafanyaje Nasra jamani😂😂😂😂😂LISA MWALLA NAKUPENDA buree ❤❤❤❤❤❤❤😘😘😘😘😘

  • @anastaziasanga
    @anastaziasanga Рік тому +3

    Asante madame Lissa na Anko jay musimlizi wetu twende KAZI .

  • @bibizainab-fk4bt
    @bibizainab-fk4bt 4 місяці тому +3

    Sawa sawa sawa

  • @baturam94muandai-wc5lt
    @baturam94muandai-wc5lt Місяць тому +1

    Mtoto nasra mzizi huyu

  • @safiya9319
    @safiya9319 Рік тому +4

    ❤🎉😊🎉❤ hongera anko jay😊😊😊😊

  • @jescamasanja4916
    @jescamasanja4916 Рік тому +4

    Anko jay ❤❤❤

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 Рік тому +3

    Asante sana my brother from another mother

  • @user-yk6dg4kl3s
    @user-yk6dg4kl3s 4 місяці тому +2

    Kama unapend simuliz kama iz gonga like

  • @victoriajulius5239
    @victoriajulius5239 Рік тому +6

    Kumbe kuna wenzetu mmechanjiwa Asali na hamsemi😂😂😂

  • @KhayrathJuma
    @KhayrathJuma 14 днів тому +1

    Mmh anko j tuache watu wafupi jmn😂😂

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 Рік тому +3

    Tuko pamoja anko Jay mungu akubariki sana tena sana daima

  • @user-xv5ld1zy5q
    @user-xv5ld1zy5q 5 місяців тому +2

    Nasra sio kwakujiachia hivyo na mume wamtu chunga usijutie badaeeee😢😢😢😢😢

  • @aminaomarimaidi
    @aminaomarimaidi Рік тому +4

    Aaa ha ha haaa wema wee Noma
    Nikweli mambo hayo yapo😂

  • @RahelIbrahim-id2li
    @RahelIbrahim-id2li 4 місяці тому +2

    Wanandoa tuchukue somo hapo

  • @user-qv5cx2er5s
    @user-qv5cx2er5s 6 місяців тому +3

    Story nzuri sana ❤❤❤❤❤❤❤

  • @jabuali5739
    @jabuali5739 Рік тому +2

    Yani anko unajua kutupangilia sauti alafu unatufanya wengine tunajichekea km mabwege kwa nice story n nice sound😊

  • @MaryChido-kp9br
    @MaryChido-kp9br Рік тому +2

    Anko j unajua jaman kutufurahisha mungu akupe maisha marefu

  • @SamsonCharles-pl7zk
    @SamsonCharles-pl7zk Рік тому +2

    Anko j unajua kunijulia na mastoli maana mpaka tunasahau kupika mgungu akupe maisha malefu tuzidi kiki ijoi

  • @user-jl7ju9pu9h
    @user-jl7ju9pu9h 2 місяці тому +1

    Ila msimuliaji anasauti romantic❤

  • @user-nr4iu7ib9r
    @user-nr4iu7ib9r 5 місяців тому +1

    Eti nikujue kama nani wewe nyerere ila anko je love you napenda sana simulizi zako❤😂

  • @leahmajaliwa6575
    @leahmajaliwa6575 Рік тому +2

    Ankojay wew kiboko unajua kusimulia jaman ulivyo anza kwakicheko sijuti kukupa namba moja sijui kam atapatikana msimuliaji kam ww bro🙏🏼🇧🇮🇧🇮

  • @user-hr2uw6gt2d
    @user-hr2uw6gt2d 3 місяці тому +2

  • @user-cd7pt8ec4q
    @user-cd7pt8ec4q 5 місяців тому +1

    Nzur san anko j hongera,saut nzur wee😅😅

  • @ZuberiZuberi-wu9lm
    @ZuberiZuberi-wu9lm Місяць тому +2

    Wenzetu kumbe mmechanjiwa asali

  • @yusrambodze3804
    @yusrambodze3804 Рік тому +2

    Anko Jay sio poa kwa kuonea wafupi 😂😂😂😂mungu anakuona 😂😂😂

  • @KuruthumChiamba-mh6zt
    @KuruthumChiamba-mh6zt Рік тому +2

    Anko simulizi ni nzr sana😋😋

  • @Adonai810
    @Adonai810 Рік тому +3

    THIS STORY 😂😂😂😂 IS CRAZY.... ANKO🔥🔥🔥🔥 ANKO

  • @hadijambaule7366
    @hadijambaule7366 Рік тому +3

    Jamanii hii simuliz ni👌pambeee

  • @user-hf9cc6sw7c
    @user-hf9cc6sw7c 4 місяці тому +2

    ❤❤❤❤😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @user-sn9qj1cq5y
    @user-sn9qj1cq5y 4 місяці тому +2

    Chezea watoto wa 2002😊

  • @user-gg5zu7bp6z
    @user-gg5zu7bp6z Рік тому +1

    Hapo sana anko jay endelea vivyo hivyo wewe na dada yetu LISSA kwani tupo karibu mnoo nanyi kuwasikiliza

  • @marymsangi6722
    @marymsangi6722 9 місяців тому +2

    Ankojay achieved basi ile ya X Party 2

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 Рік тому +16

    Mm naheshimu ndoa yamtu sana huwa ninamasharti yangu kwaza uko namm lkn mpende mkeo kama mpyaa usiekezee upendo kwangu sababu mm sipendi kuona mwanamke mwezangu anateseka juu yangu hapana nasra ulinusirika kwa mume wamtu sahi umeingia kwa shameji yako hakika wanaume baba yao nimmoja mana huyo mwanaume anasema mke hana tako sawa kwann ulimpendaa mm sipendi mwanaume wakupenda viuongo vyangu badala apende tabia anapenda maungo.sasa nasra weka kijiti mana unajiachia sana kwa huyo shem mtu asiekuwa na haya atakuzalisha huyoo sijui utaweka wapi sura yako

  • @dionisiadionis9903
    @dionisiadionis9903 Рік тому

    Mmmmmh Nasra umeenda kwa bibi tena kuchanja duuuuuh pole sana

  • @aboubapro3776
    @aboubapro3776 Рік тому +2

    Asant Sana kipenzi 😘😘😘😘

  • @Happy-gi9tq
    @Happy-gi9tq Рік тому +3

    Vizur kama utasema yote anko jay wetu

  • @user-ui6rf8yx7s
    @user-ui6rf8yx7s Рік тому +2

    Duu nasra pombe haikufai

  • @chanellairakoze3538
    @chanellairakoze3538 Рік тому +4

    Mimi wakwanza☝️

  • @MsChocoFlava
    @MsChocoFlava Рік тому +2

    Sauti ya ANKO
    Ndo chanjo yangu na asali 😜😜

  • @Zizzah2707
    @Zizzah2707 Рік тому

    😂😂 anko jay akianzag na kucheka weeeeee😂 najua mambo ni mareeeesh 😂🎉🎉 we lov u

  • @user-gw6jv9ue3k
    @user-gw6jv9ue3k 10 місяців тому +2

    Nyie ankojay siku akiacha kujisifia me sita sikiliza tena simuliz 😂sema anajisifia ukweli kwel saut nene bhna ya ankojay ❤❤❤❤❤

  • @richiadore
    @richiadore Рік тому +1

    Omg we love you in USA 🇺🇸 ❤❤❤

    • @florenceakothotieno3673
      @florenceakothotieno3673 Рік тому

      Richi,nilisikia hz story za ankol j kwako,ilibidi nimtafute kwa utube nikampata,siku hizi siachi kusikiliza hii sauti yake maana hata ninamimba ya sauti yake😂😂😂

    • @MsChocoFlava
      @MsChocoFlava Рік тому

      Richie na huku Uko Mbona hizi story hazikufai za Lisa maana ni kuhusu mahaba ya mwanamke na mwanaume na wewe haupendi wanawake wewe unapenda wanaume wenzako sasa unajifunza nini hapa😂. Na acha ushamba Ndo hadi uandike LOVE YOU IN USA na maana yake ni nini 😂😂au unamaanisha WE LOVE YOU FROM USA. Ila kaka punguza ushamba ukileta ushoga wako nitakupeleka Uganda Kwa museveni 😏 KUMBUKA ANKO WETU NI MWANAUME KAMILI NA SIO NUSU KAMA WEWE

  • @dianamchami2720
    @dianamchami2720 5 місяців тому +1

    Mweusi tiiii ...😅😅😅😅😅😅Ila anko j jmn

  • @rosiehaggrey9378
    @rosiehaggrey9378 Рік тому +1

    Anko Jay na Lisa Mwalla tena 🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰😘🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @felistanarisis7610
    @felistanarisis7610 Рік тому +2

    Uwiii nianzeee kusikiliza😊

  • @GADSONMNAVU-em5ns
    @GADSONMNAVU-em5ns Рік тому

    Anko j mungu akupemaisha marefu uendelee kutufyrahisha sana

  • @nasrarajabu4260
    @nasrarajabu4260 Рік тому +2

    Jomn wajina umeniangusha 😅

  • @user-vo4rc1vd4d
    @user-vo4rc1vd4d 5 місяців тому

    😅😅😅 hongera kwakusimulia ukiwa umeva uhusika

  • @mariamjuma743
    @mariamjuma743 Рік тому

    Kicheko hcho mmmmh,,kwaonyesha kuna mazur maan x kwa hali hyo ya kicheko 🤣🤣🤣🤣🤣🤣❤️❤️

  • @user-ps1sj8mx7e
    @user-ps1sj8mx7e 9 місяців тому +1

    anko asante sana na ipenda miy

  • @emmanueljilatu8211
    @emmanueljilatu8211 Рік тому

    Simliz nzur sana hongela anko jey

  • @fatimafoaani2263
    @fatimafoaani2263 Рік тому

    Wajua kucheka anko Jay mbona wacheka vizuri yani we acha tu jamani mpenzi mungu akubariki sana

  • @hijamwinyi3233
    @hijamwinyi3233 Рік тому +1

    Mambo waah panachezea anko jay ❤❤❤❤

  • @MaracomKibocomplex
    @MaracomKibocomplex 2 місяці тому

    Anko j simulizi binti roz inaitwaje samahani naomba unisaidie yamwezi 9/5/2024

  • @ummufirdaws8412
    @ummufirdaws8412 11 місяців тому

    Anko uko vzl mashaallah❤❤❤

  • @bashirushabani6726
    @bashirushabani6726 Рік тому +1

    Anko jay huku UA-cam mambo 🔥🔥🔥

  • @roselambert6700
    @roselambert6700 Рік тому +1

    Asante Uncle J wewe unatutoa strees

  • @saumunyadzua
    @saumunyadzua Рік тому +3

    Twende kazi

  • @veronicapaul362
    @veronicapaul362 20 днів тому +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣mashem shem mkowapi siwaoni😂

  • @mtumwajuma3906
    @mtumwajuma3906 Рік тому +2

    Miss you

  • @avelinabaluhya2804
    @avelinabaluhya2804 Рік тому

    Huyu dadake Nasra ni mke mjinga sana haijui nafasi yake ktk ndoa

  • @jabuali5739
    @jabuali5739 Рік тому

    Anko jay jmn ungengoja tukafturu ukatuachia kitu kipya😂😊😊

  • @tegemeamhimba832
    @tegemeamhimba832 Рік тому

    Vp part 2 lini tupé mambo Bint Nasra

  • @user-dy9ht1on7y
    @user-dy9ht1on7y 8 місяців тому

    Jamani ank wetuuuu