MSELA - PART 03
Вставка
- Опубліковано 21 чер 2024
- miezi minne ilipita alinifungulia duka la vipodozi mitaa ya sinza na wakati huo sie tunaishi sinza pia, nilifurahi duka lilikua kubwa kiasi na nilichoka kukaa nyumbn hivo nilifurahia sana sababu nilikua nauza vifaa vya urembo niliamua kuanza kusomea mambo ya urembo na mafuta mtandaoni
- Розваги
Wakwanzaa jmn mbn sipati like za kutosha wadau
🌹🌹👏👏
Kwa mara ya kwanza jaman 😂😂😂 naombeni like kheeee au naota
Anko jay Leo umenikumbuka usiku na simulizi hakuna kulala wadau Leo wakwanza munipe like kama zote nawapenda Sanaa 🎉🎉❤
Jamii bado sijalala naombeni like guys ❤❤❤
Mimi Wa wisho kila siku nipeni ata like moja😂😂😂😂
Aya wa sela wangu njoooni ukuu kitu kimesha shushwa n'a ankoy mapesa wetu wapi like 🤣🤣🤣
😢😢Anko eeeh leo nakushtakia nachelewaga sawa but leo nimewahi lakini wataninyima likes hata tano anko jamaniii 😢😢😢
Wa kwanza mm tena cmulizi naipenda kinoma yani
Wow msele Leo Ankojay ukatukumbuka nakupenda bureeee❤
Wachelewaji tujuane😂
❤❤❤ jamani jomani kitu cha wakubwa tunasikliza roho inapenda hamnalawamaaaa 🌹🌹 rans🔥🔥🏃
Na mim nimwah leo ata kidog msela ni mot🔥🔥🔥🔥 i love you anko j wadau comment ❤❤❤
Nime wai dhaaaa
Unaona wa kwanza em tusaidiane naweza hapo huwaga ni hnnh ndugu wackilizaji 😂😂😂😢
Anko Jay ❤
Anko j hongera sana tunainjoi jaman atulali tunakesha
Hakuna kulala leo mpaka simulizi iishe hakuna cha ajabu lakini kunyegeka lazima jamaniii 😂😂😂hali ikiwa mbaya maji moto yapo 😂😂😂
Nilisubiria kwa hamu😂😂😂😂
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉nice
😂😂mselaa
❤❤❤❤❤️ one from Kenya
Wadogo mmelala 🎉🎉🎉🎉wakubwa tuigie ndani kabisa ❤❤❤❤
Jaman Leo am. Siku izi. Anatufany. Tujiisi. Kua naupe dereo.😂😂😂😂Asante. Kwadawa yausingiz🎉🎉🎉🎉nasi tunaisikiriza❤❤❤ kwaubora. Zaidi. Tunakupenda san wafuasi wako🎉🎉🎉❤❤❤😂😂😂
Jaman me mbn Kil sik nacherewa nitakua nalal macho kusubir😅😅😅
Kwan hizo like Zina umuhim gan
Nimewahi wasela twende kazii🎉🎉❤❤
Hivi inakuwaje simulizi inakuja na ishapata comments ama views bc unaona wa kwanza em tusaidiane mawazo hapo huwaga ni nn ndugu wackilizaji😅😅
Kwani mumekesha huku jamani,na hii mijitu inashindanga ikiomba like inapelekanga wapy?
Wakwanza Leo jamani🎉😂😂😂 naomba na mm like
Woyoooooooo! Wasela wenzangu mpooooooo👋👋👋👋👋 Asante sana Anko J 🙏❤❤❤
Ahsante bwana anko Jay simulizi ❤❤❤tupelo roho inapenda
Much love from Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Wow thanks anko jay kwa mwendelezo
Asante nashukuru 🎉 Tunasonga nayo tupo hatuchoki ❤❤❤ila tunasubili binti Lisa
Nimesubiri kwahamu daaah njo ucukue gifty🎉
Wakwanza good job ankojay mapesa may God protect you I love you kutok kenya ❤❤❤
Shukran Sana anko J kwa mwendelezo kudos pia kwa beautiful wetu Lissa Mwala
thanks anko kwa simuuliz nzr ,kpande kingn kinatoka wixh ungetoa even now
Yani ako jay niliisubiliy kila mal nachunguliy jamon nimefulahiy xn❤❤❤❤❤
Wooow asante Anko jay & Lissa mwala forever ❤
🎉🎉chukua maua yako anko j ❤😂
Nice story be blessed my wetu kipenzi pamoja na Dada Lisa be blessed my wetu kipenzi twakupenda pia mnooooo pokea mauwa yako 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Boss kajuna rud utoton ukikua mtafute catha anapenda,wakubwa sowewe boss mtoto unamupaka shombot😂😂
😂😂😂😂
Wakwanzaa leoo 😂😂😂😂
Mie wamwisho gonga hapa wadau❤❤
Dada Lisa mwala asante
Sante anko❤
😁😁😁watoto kaeni pembeni hapaba chezea penzi la msela❤❤❤
Nimechungulia Sanaa....Asante ankoy jay
❤❤❤❤ pambeeeee nazipend simulz zk
Oyaaaaaa usiombe ukapendwa NA msela uta enjoy ila ujichanganye kumchit oya Umeisha alooooo ubwa wale wana upendo zawadi ndo usiseme
jamni leo na mimi sikuchelewa 🎉🎉❤
Kathy… utapata usaliti mkubwa sana from Lanci, lkn, thats love for you. Good luck baby gal
Tunapeperusha bendera 😂😂😂tunaenjoy mno
Wa 7 Leo 😂❤
Nimewahi pia mm 🎉🎉🎉is the
Duh watu hamlali jmn😂😂😂 1h lakn mshafika mia8🔥🙌🙌maua yetu nyote🎉😊
Wakwanzaaa😂
Nimewai Leo jaman ata siamini❤😜🤩
Sawa Kaka nakuelewa sana asante
Huyu Cathe mshenzi Kila mwanaume anamwambia nipe mda natamani niingie kwenye hiyo simulizi nimpige 😅😅😆😂
Hapo umesema mjinga haswa kathe nkama bendera tu huenda kila uendako upepo kila mwana mme anamtaka yy mpuzi ajieshimu utu wake
Jamani nimechelewaaa ila tulisongesheee ahsante anko ...like zangu jamani❤😂❤❤
Ahsante anko jay ❤❤❤🎉🎉
Thanks anko jey kwa Io simulizi,tamu sana,God bless u.may God expand ur territories.
🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤barikiwa sana Anko wetu🎉🎉🎉❤❤❤
Nimewahi sijacerewa😊
Nimerauka leo😅
Tamu sana❤❤❤
Anko jay eid yang mara hii haijaboeka ata kidg simuliz kila siku❤
Woyooo nimewahiii kwenye comment 58
Ankoj hakika umeamua maana. ni burudani iliyo kiubora zaidi Ankoj inatisha sana
Catherine msichana wakugawa kitumbua 😅😅 lakini marifiki zake Hawana ushauri mzuri😢
Huwez kuishi kwakutegemea akili za marafik zako huo ni ujinga halafu pia caty ni mbinafsi yaani yeye anataka awe na wengine lkn mwenzie asiwe na mtu si ujinga huo
Matatizo ya kiuchumi na maisha ndiyo vinamwondoa ktk barabara ya mwelekeo huyo Catherine
❤❤❤
Liikauna-aaaaaa😂
Anko unajua🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kazi nzuri kaka
Huyu msela nomaaa😂😂😂😂😂
😂😂😂😂 yani dakika moja watu 40 hii kali
Shukurn 🙏 Ankojay wetu ❤️
92😢😢 but naomba likes❤❤❤
❤❤❤ tunakpenda sn ank jay wet
Heee watu hamulali
Mwendo wakobe ako jay mlete msela mlete msela❤❤❤❤
Masaa machache sana
😂😂😂 daa! mbona ni mkasa huu 🤣🤣🤣 wuwiii nimecheka 😂😂😂
Kunawatu wanawai hatar 😂😂😂
Aaah Ankojay unakusudi ww😂😂
Ila we anko nakutaka siku moja nishuhudie maneno yako maana kama hicho giharage unacho Sema gukunwa ukinikune hivo hivo unavyo, sema😂😂😂
Hatulali Leo anko jamani
Zam ya lancy sas kulelew na mshangz kwaiy jitulize cathy🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
79 kwangu nimewai jamani 😂😂😂😂
Leo wa kwanza jamani like zenu wana family wa ankojay
Huu mwanamke hata akija kutendwa sawatu maana ana kuto kuridhika ni kahaba. Eti usi mpende mtu kisa ana kadogo!
Duuh watu mnajua kuwahi
Afadhali sijachelewa
Hana wazazi wakati wazazi mpo,😂😂😂😂maigizo hayo 😂😂😂😂
Wazazi wapenda pesa😂😂😂 cathe amewakosesha pesa😂😂😂😂😂
@@jamilanahimana-wc4nd yaani pesa imekuwa kama laana kwa mwanadamu
Asante kwa simulizi nzuri anko jay ❤❤
Jamn utamu sana
Very stor so much ❤❤
Ankoy ni tamu sana hii simulizi daah.