Catherine we n malaya nmeumia 😢😢😢sana unavyo musaliti rahimu alfu unajifanya hasira kwa mmeo hufai kua mke wa rahimu unaumiza mtoto wa wenyewe pombavu kabisa wale wameumia kama mm na usaliti wahuyu catherini like hapa
Cathe ww ulikua musaliti na ukasamehewa vp ww una kasirika kama kweli mkuki mtamu kwa ngurue uchungu kwa binadamu 😂😂😂nmecheka sana cathe kukereka wooiii
Ariye sema wanaume wote umbwa warisema vibaya wangesema wanawake wote mbwaaa tu ingekua poa tu yani limwanamke jinga sana yani mateso yote ariyo pitia bado akingari anadanga yani nahandika ayo yote loho inaniuma😢😢😢😢😢😊
Itakuwa karogwa huyu catherine na dada yake yani mtu waliachana anapata mtu wa kumusitili anapata hakiri yaku musaliti Catherine ni mushenzi wa tabia hafugiki kwani huyo msela alikuwa wapi kipindi anahangaika mwanamke hana musimamo khaa
Wow jamn atakam kuwah huku nusura nivunje miguu jamn guys bx namm naomben niw wa kwanz pia naomben like at kidog please❤❤❤❤❤❤❤ nawapenda wanangu wa simulizi za anko
😂😂😂😂kitumbua cha Catherine kinakatwa jamani sijui itakuwaje 🤣🤣🤣 ,ila wazazi tuzae tu ila pressure zitatupanda kwa hekaheka za kulea ahh,Mungu utusaidie 🙏
Catherine tumia akili nawe. Dadako ana kinyongo na wewe ukiolewa,anakuset lkn hujui. Hii yooote ni set- up lkn haufikirii. Pambana na hali yako. Simulizi yenyewe ni more 🔥🔥🔥🔥🔥. Heko kwako Uncle Jay. Kipawa unacho kakaangu!!🎉🎉🎉🎉
Yaani kiukweli hii simulizi uyu mwanamke kananikera sanaaaa hana aya nawala hajui kupendeka yani sisi wanawake atafaziriki tunapenda sana kuchezewa na sio kustiriwa dah pole sana rahimu uyo aikuwa ridhiki yako acha aende kwamwanaume ambae anamtia vizuri
Oyoooo dah! ila anko jay umetuweza kweli kwenye simulizi ya msela wewe na lisa mwalla ila nilimiss sana hii Simulizi hatari bora hata wangapi walimiss hii Simulizi tujuwane 😍😍❤
Na mm number 2 like zifnye kazi wapendwa❤ thank anko jay mapesa tunakupenda❤ sana mungu akubarik🎉🎉🎉
Nimekupa like kipenzi
@@monicagerald6676 na mm sijakupita dear💓
Nawapenda pia
Kipenzi changu na miee😂❤❤
@@Shadia544 nyambie kipenzi umefka huku 🥰🥰🥰
Wale wenzangu wa viporo atimaye tumekumbukwa sasa kama na ww ulisubiri msela kama mm gonga like hapo 😂😂😂🎉🎉
Namie nipo kwa uporoooo😂😂
😂😂
😂😂😂😂
😂😂😂
Sana tu😂😂
Catherine we n malaya nmeumia 😢😢😢sana unavyo musaliti rahimu alfu unajifanya hasira kwa mmeo hufai kua mke wa rahimu unaumiza mtoto wa wenyewe pombavu kabisa wale wameumia kama mm na usaliti wahuyu catherini like hapa
Anakera ajielewi kabisaa
Ananikeraaaaaaa mm kamalaya ka nn
Yani ata Mimi kweli 😂
Kweli simulizi ya MAPENZI YATANIUA iliyoandikwa na mwandishi Lissa Mwalla haionekani tena Ankojay umeifuta nimeitafu hadi jasho la meno,tafadhali!
Hata mm niliitafuta sikuiyona
Cathe ww ulikua musaliti na ukasamehewa vp ww una kasirika kama kweli mkuki mtamu kwa ngurue uchungu kwa binadamu 😂😂😂nmecheka sana cathe kukereka wooiii
Wooh msela imeingia jamani ebu nienjoi timu viporo kuja chapu Asante sana anko wetu mungu akubaliki sana ❤❤🎉
Anko wewe kiboko,listening from Kenya much love
Ariye sema wanaume wote umbwa warisema vibaya wangesema wanawake wote mbwaaa tu ingekua poa tu yani limwanamke jinga sana yani mateso yote ariyo pitia bado akingari anadanga yani nahandika ayo yote loho inaniuma😢😢😢😢😢😊
Kwel kabsa, lakni shida ni moyo😂😂
Mimi ph jomn daaah 😢😢
Kweli kabisa 😢😢😢inauma sana
Nilikonda. Ank j wangu kwakweli mungu akubariki sana
Daah mpaka nimesaau km Kuna simulizi ya msela ❤❤❤🇴🇲🇴🇲mie ningexhangua ndoa
Waooo,msela anatesa tu ❤❤❤🥀🥀🥀🥀🌹🌹🌹🌹💃
Wakwanza jamani naombeni likes zenu teletele na asante sana ankojy kwa simulizi hii tamu kweli kweli 🙏🙏🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao 😘😘
Anko umebana Sana Leo umeamuwa kuachilia I say noma sana😂😂😂😂
Finally imeletwa asante ankojay kwa kazi nzuri nilikuwa sili vizuri kisa msela nakupenda San ❤❤❤❤
❤❤(1) Mimi nacathe nikama pacha vle, nikiona ankojy atakama kiporo siwezi jizuiaa🤣🤣, cathe kapata anaempenda Ila yeye yupo mbio kwa ampendae kma tupo nawe kumelewa zaid msela we2 ankojy navitibwi vyake like tujuane maua yenu🌹🌹🏃
@@user-rc3om5hs9i haya nimekukumbuka mamaa🥰🥰
Ndoakome mana anarudia makosa wacha aoe yule anaempebda..wewe na msela wako
Hahahahaaay😂😂😂@@nurafedrick378
Lisa Mwala hajawahi kutuangusha hata kidogo ❤
Hatimae Tm Vipolo tujuane😊
Nimechlw lkn umtutesa anko j lkn love❤ comment wapendw msininyime
Wao msela nimejiuga ndani❤❤❤❤
Anko jay God bless you Thanks so much
Maua 🥀🥀🌹🌹🌹🌹🌹 yako ankojay leo afadha nimewahi
Kudada deki nmependa sana wana ume wa kibongo wana mapenzi ya kweli cyo kama wakenye wale wanakubaliana na mm gonga like hapa
Usijaribu. Tulia tu na wale tunawajua
Aliyekuambia wabongo Wana mapenzi ya kweli nani ni mmoja Kwa mia weweee kaa Kwa kutulia maana moyo wa mtu ni kichaka.
Jaman na mm leo nimewahi kwa msela
Jamani mm niwakumi karibu msela wetu maaan tulikumis sana il humu ndani naombeni kwa leo nipeni lank ht 5 tu mbon mm nawap
Eeeh watu wako na Kasi ya 6G 🏃🏃🏃🏃nimewahi pia jamani😂❤
Mm ndy cathe mwenyew, Aya like zijae hapo chap😂😂
Heeee mimi niwamuisho leo 😢 naumba like zeno nduguzango
Haya jamaniii finally hatimae 😂 hapo bora mtoa show tuu 😂Wale wa viporo tujuane tu humu ndani tunapenda viporo 😂😂LIKE viporo 😂😂
@@Shadia544 🤭🤭
😂😂😂
Tupo wavipolo
Dada maraya sana huyu chini huko kuna siafu wanatekenya tekenya dar hajui kupendwa kabisa
Wow 🎉 asante sana anko jay
💃💃ni ful kui njoy asante dj mung azidi kukubariki🙏
Uwiiiii mwishoe kachia 😂😂😂😂😂❤❤ nilikuwa kwa lukasi edina mie nimeiyona tu aweee. Thank you anko njey
Oyoooo dah! Nilimiss Sana hii Simulizi hatari bora hata wangapi walimiss hii Simulizi tujuwane 😍😍
Merci beaucoup anko j pour la suite tuli subiri atimaye ume tu leteya merci 🙏 🇨🇩🇨🇩✌️
Khaaa,jamani huyu Cathe hadi namhurumia,hata mwelekeo hana,sijui ni nini hiki,siyo uzima huu jamani ni ugonjwa 😮
Itakuwa karogwa huyu catherine na dada yake yani mtu waliachana anapata mtu wa kumusitili anapata hakiri yaku musaliti Catherine ni mushenzi wa tabia hafugiki kwani huyo msela alikuwa wapi kipindi anahangaika mwanamke hana musimamo khaa
Wa kumi n 17 kweli jamn apan mauwa yenu🎉🎉🎉🎉🎉 wanangu kama unapenda simulizi za anko kam mimi gonga like hapa jamn nawapenda san wanangu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Hatimae...thanks anko jay❤❤❤
mwenye🧑💻 tumekuwa tukisubiri 🪑🙇♀️msela🩵💙🤗🤗 leteni like please jamani🙏🙏
Unatukumbuka Sasa anko, Asante sana, nijilalie zangu nifate kesho
Asante Ankoj niliisubiri sana hatima ya msela maana kila mtu hulipwa kadri ya matendo yake cathe anastahili
Team viporo kujeen na ata like moja tu❤
Mumbi Wa Naivasha ako Ndani wapi likes
Wow jamn atakam kuwah huku nusura nivunje miguu jamn guys bx namm naomben niw wa kwanz pia naomben like at kidog please❤❤❤❤❤❤❤ nawapenda wanangu wa simulizi za anko
Weeee weeee mambo sindo haya anko wetu ❤Mungu akuzidishie kipajii ❤❤❤❤❤❤❤
Uuuuuuwiiiiii kumekucha jamani mko wapi wadau
hatimaye wanyonge tumefikiwa oooyaaaaaaa❤❤❤
Ahsante bwana anko Jay simulizi na wewe lisa mwalla 😅
Hongera na ahsante kwa simulizi yenye mafunzo majuto na masikiiko
Hatimae ❤❤thank-you 🎉🎉🎉
😂😂😂😂kitumbua cha Catherine kinakatwa jamani sijui itakuwaje 🤣🤣🤣 ,ila wazazi tuzae tu ila pressure zitatupanda kwa hekaheka za kulea ahh,Mungu utusaidie 🙏
😂😂😂😂 kwakweli
Cathe anatisha ransirons ndo kl kitu kwake❤
Mama Cathe ni ndo mzazi bora siwakuchekea mtoto mpuzi kikatwe tu icho kiarage
@@MamahetuChikuti-mp5lj😂😂😂😂😂😂😂 kukatwa tena😂😂😂😂
Jmn nimeisubiria mpaka nimechka khaa ila nimefrah San ❤❤❤❤
HATA KAMA NIMEKUA WA MWISHO NITAPAMBANA HIVOHIVO 😂😂😂😂NIPEEWE LIKE ZANGU MIE 😂
@@agnesagnes5288 jamani ukikasirshwa huku unafurahishwa huku ndio mana iliitwa anko jay simuliz🥰🥰
😂😂 atal sana
😂😂😂@@user-rc3om5hs9i
Asante sana anko j mapessa mungu azidi kuku nehemesha na kukupa afya
Like moja wapenzi
Oyoooooo🔥🔥🔥hatimae😂asantee anko j❤❤❤
Mmmmh😂😂😂hamlali an naljua online muda kidg lkn kurudi mshafka 118jmn mko vzr nawapenda sana mashabiki wa anko jay🎉🎉🎉🎉anko ❤❤❤❤❤
Nice story be blessed anko Jay wetu kipenzi twakupenda pia mnooooo pamoja na Dada Lisa be blessed kwa kazi nzuri unatupatia kila siku ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Wow anko thanks ❤❤❤❤
Kaa yani loho imelukaluka❤❤❤❤❤
Nlisubiri sana kwa hamu mwisho wa cathe ❤❤❤❤wapenzi wenzangu wa ankoj nasikiliza nkiwa Lebanon wapi lkn za wapenzi wenzangu
Wew anko asant
😂😂😂😂 hi imezidi anko j hadi watu tunasahau kama kuna simulizi ya msela😂😂😂😂😂aaaaaaaaaahh😂ankoooooooooooo
Shukurn 🙏 Ankojay wetu ❤️🤔
Catherine tumia akili nawe. Dadako ana kinyongo na wewe ukiolewa,anakuset lkn hujui. Hii yooote ni set- up lkn haufikirii. Pambana na hali yako. Simulizi yenyewe ni more 🔥🔥🔥🔥🔥. Heko kwako Uncle Jay. Kipawa unacho kakaangu!!🎉🎉🎉🎉
Yaani kiukweli hii simulizi uyu mwanamke kananikera sanaaaa hana aya nawala hajui kupendeka yani sisi wanawake atafaziriki tunapenda sana kuchezewa na sio kustiriwa dah pole sana rahimu uyo aikuwa ridhiki yako acha aende kwamwanaume ambae anamtia vizuri
I was waiting for this last episode but thanks cna God bless you
Mama jamani usikikate kitumbua cha Catherine 😂😂 sasa atamvusha vipi msela kwenda ng'ambo ya pili 😅😅
❤❤❤waaooohh anko J ww tunakupendaaaa
Wow finally msela imerushwa hewani shukran kaka Ankojay ❤❤❤❤
Wooow,jamani uncle jay tunaomba Binti mina mbona umetususa
❤❤tulingojea kwa hamu
❤❤ lisa mwalla asante kwazi nzuli zenyemafundisho pokea shukurani nazawad 🌹🌹🌹 mwenye sikio naasikie,nakujufunza kupitia wewe🙏🙏🏃
Nagawa like kwawooote Kisha mnipe like pia ❤❤❤❤
WOW tulikuwa tumeimiss sana🎉🎉🎉🎉🎉 shukrani tunakupenda zaidi ❤❤❤❤❤
Asante anko jay maana unatuoa Raha sana watu tulio gulf na kutukampani asante
Tunakupenda anko wetu
Nimewahi jamani like zangu
Nirikuw nakosa yakusikiriza mpaka narudiya marapiri simurizi zenye nisha sikiriza
Jitahidi kutofautisha Kati r na L samahan lakin
Yani nimesikiliza sana hadithi zako anko jay lakini hii hadithi aah cathy amejua kuniboa hadi nilizilaga kusikiliza hii hadithi 😂😂
Chukueni maua yenu mliewahi🎉🎉🎉
Watu wanalala humu jamani ❤❤❤
Oyoooo dah! ila anko jay umetuweza kweli kwenye simulizi ya msela wewe na lisa mwalla ila nilimiss sana hii Simulizi hatari bora hata wangapi walimiss hii Simulizi tujuwane 😍😍❤
Thanks AJ and may God bless your work mightly
Weeeh!haya asantee
Mambo mazury san uku
Jamani nimewahi leo😅😅
Ngoja nifike mwisho mdada kiboko huyu kaah yn mtu kakupga tukio unaenda tena kulala nae jmn akili muhimu
Nakubali sana master
cathe ana tabiya mbaya umeolewa na ajuwi kusema sitaki cathe heshimu dowa jamani huyu dada anafaa kuchapuwa 😂😂😂😂kichapo jamani kitamu hii tamu 😂😂ingine tamu kana hiyo yakunyanduwana
Jaman eeee Leo nami nimewah si haba
Wale wambipolo wako wangambi😂😂😂?iyii simulizi nilikuwa naisumbiri sana kwa hamna sana asikuambiya mtu 😊😊
Wow msela ni 🔥🔥🔥 ankoooo
Haya tupo❤❤❤❤
Halafu kesho nisikuya sin twasubir ❤❤❤❤
Yan cathe anaboa jmn aaakh adi ana kasirisha sas
Asanteee kpenz anko ♥️♥️♥️
Wa kwanza
final lkn anko umetutesa kwel😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kiporo😂fc wenzangu nawasalimia kwa jina la kiporo fc 😊
Hatimaye nasisi tumefikiwa anko msela wetu penda wew❤
Hatimae imeletwa 🥰🥰
Thanks alot kwa mwendeleso
❤❤❤❤ thanks Anko ❤❤❤❤