Masha Allah I loved this song when am I was a Christian but now Alhamdulillah am a happy muslim I love brother nasir songs mashaAllah mungu akupe afya na akupe umri mrefu inshaAllah
MaashaAllah nimefurahi sana kuisikia hii nasheed nakumbuka zamani sana tukisoma tulipokuwa madrasat, SubhanaAllah nzuri sana nasheed hizi kusikiliza zikiwa hazina music na tutafurahi sana iwapo utaendelea nazo nyingi zinatupa elm. JAZAKAALLAH KHEIR
Masha Allah Allah akuhifadhi na maradhi madogo namakubwa mitihani midogo na mikubwa pia aluongezee kipaji brother Nassir uzidi kututolea nasheed mpya kwani tunapenda sana nasheed zako
Masha Allah this nasheed reminded me of the days when i was young at our local madrasa for tahfidh with ustadh ibrahim...kila time nkisikiza nalia brother walai nmeipenda yangu yote
this is the best nasheed ever bettter than maher zain BROTHER NASSIR IS THE BEST brother nassir nashheed zako nzuri sana nimezipenda sana kilasiku naziskiliza
Mimi lulua nakwambia Mashaallah wewe mzuri wa Nashid watakuomba urudi tena kule studio rudi iyo miziki mpe mwengine wewe zako nashid Allah Kakukubali Rudi nashidQasida ya jina lulua usisahau Elimisha jamii
Brother Nassir kuna annashed ya maut nikama umetasr kutoka kwa murshd wakiarab ivi ila najarb kitafuta cjaipata ila kwenye TV inapigwa sana utanisaidiaje
Mashaallah mashaallah I like it. it’s beautiful I joying listening 👂 I play over and over again at home 🏡 and while I’m driving a car 🚘💖🕋❤️💖🕋🕋💖 too. Mashaallah
Masha Allah I loved this song when am I was a Christian but now Alhamdulillah am a happy muslim I love brother nasir songs mashaAllah mungu akupe afya na akupe umri mrefu inshaAllah
Màashallah ukhty
Mashallah
I'm not a Muslim...but I really enjoy your songs... masterpieces. Keep blessing us
Welcome to Islam
👣🦶
z,,
🍰v 🍰g
g,,. 👣ft
I am a Christian but I just love the message,, Allah bless you brother Nassir
Welcome to Islam bro.
Mshllah nice Nasheed
Mitindo yhnujsfa rasta
This never gets old Mashallah 2024 listeners let's gather here ❤
Inanikumbusha miaka ya 1999,2000 wakati tupo chuoni. Never gets old
MaashaAllah nimefurahi sana kuisikia hii nasheed nakumbuka zamani sana tukisoma tulipokuwa madrasat, SubhanaAllah nzuri sana nasheed hizi kusikiliza zikiwa hazina music na tutafurahi sana iwapo utaendelea nazo nyingi zinatupa elm. JAZAKAALLAH KHEIR
This nasheed will never get old....I found ...am an adult now still listening to it💗💗💗
So sad! Brought back many memories of how beautiful n peaceful our time was! May Allah grant us Husnl khatima
mashallah brother Nassir tuna shukuru sana kwa anasheed zako zatupa mafunzo makubwa biidhnillah mungu atakujazi killa LA kheri
Masha Allah Allah akuhifadhi na maradhi madogo namakubwa mitihani midogo na mikubwa pia aluongezee kipaji brother Nassir uzidi kututolea nasheed mpya kwani tunapenda sana nasheed zako
MashaAllah nzuri afadhali kuangalia hizi kuliko kuangalia za diamond na za lavalava na za mbosso
Kwel
Kweli walahi 😥😥👍👍
👌
Sema za bongoflaver nzima acha chuki
Tena sana
Masha Allah this nasheed reminded me of the days when i was young at our local madrasa for tahfidh with ustadh ibrahim...kila time nkisikiza nalia brother walai nmeipenda yangu yote
My daughter sings it daily, her favorite nasheeda, love it maashaallah
i am from india ....i dont understand words but lyrics is nice ...nd voice is melody
Brother Nasir mimi lulua naomba unitungie Qaswaida ya ilo jina lulua maana limependwa na wengi ilo issim lulu tunga Qaswaida lulua mansoura Hongera yako iyo Nashid zako ninzur rudi nashid kule unaelimisha jamii kweli
hii nashed ndio iliyonisukuma nikufuatilie brother Nassir Hakika Allah akujaalie kila la gheri na akujaalie nguvu kuendeleza kazi zako
this is the best nasheed ever bettter than maher zain BROTHER NASSIR IS THE BEST brother nassir nashheed zako nzuri sana nimezipenda sana kilasiku naziskiliza
Mashallah..I remember it in my olden days in my local madrasa..we use to sing this nashid
Masha Allah ...viewed in 2018 .18 .May. da second day ov Ramadan month ...Allah akujaalie rehma na Amani Brother Nasser.duniani na kesho akhera...Amin
Sai umeharibika brother nassir
Mashalla ,Allah akubariki na sauti uzidi kuimba
jamani watu wengine wamejaliwa kuimba Allah atujalie sote inshaAllah
Shukran Nasheed for taking us back to those old days.
MashaAllah
Hii anashed imenisukuma nikufuatilie mno brother Nassir Allah akuzidishie ujasir na akulipe kila la gheri
A mother to the most beloved one of the almighty Muhammad s.a.w be will be with him in jannah in sha Allah
Mashaallah brother naasir kaswida zako zina nifundisha sana Allah akujaalie her
MashaAllah. I love this. It reminds me when I was a child. We use to sing it everyday. MashaAllah
Mashaallah nasheed inanikuumbusha utoto Allah akuhifadhi na atupe mwisho mwema
Brother rudia huku unapendeza sana wallah tunakupinda sana kqa nasheed mziki unapoteza
Masha Allah Mungu akupe kila la kheri dunian na kesho akhera
Brother Nassir. We need more nasheeds from you. This was your best. Wacha nasheeds za mahaba. Kwa ehsani yako.
Mashaalah .......brother nassir ......never give up may Allah reward u
My best Nasheed artist ever @brothernassir nakukubali Allah atujaze khairaat Inshaallah
sichoki kuisikiza wala kuitazama kiukweli uko vizuri sana kwa utunzi brother nasir ...
Yh mashaallah
Manangu mungu akuhifadhi na uwenayo hiyo dini m. A
Masha Allah brother nassir keep up teaching us like that
Mimi nalea mimba yangu kwa dhiki sana,hii qasida yanifanya niwe na subira sana.
Wallah Nasheed zako kalibia zote nazipenda mnoo Allah akubarik
mashaallah Nassir upo juu Allah azid kukuongoza uzid kipaj anapenda sana
Nzur sana ina nyoa minywele yako wajifsnanisha nakina mondi
I love the nasheed Amina kalea mimba yake bro Nasser keep up
huyu ndo brother nassir yule wa sasa tumebadilishiwa
MashaAllah nyimbo zako zanikosha
Mashaallhh kipindi hicho nipo madrasa Rahim mashaallh
number one munsheed in East Africa
#NeverGiveUp
#MashaAllah
THANKS FOR THE COMMENT.. PLEASE KINDLY SHARE THE LINK TO ALL - BARAKALLAH
Brother Nassir you got it Brother
AhmedTube Awsome it's very good
AhmedTube Awsome ameen ameen thumma ameen
AhmedTube Awsome mashallah
Shukran jazzak Allah kheyr kaswida naipenda sanaa nakumbuka madrassa walhi 30yrs ago
Masha Allah love this qaswida keep it up used to sing it i love it 💖💖💖
mashallah, wallahi I was waiting for this nasheed. thanks brother may Allah reward you.
amearibika sahi
@@alisomhammad7521 kiaje?
Nampenda sana brother Nassir
Mashaallh umenikumbusha mbali sana mashaalllah
Imenikumbusha mbali. Alhamdulilah. Mashallah Tabarakallah
Mashaallah brther Nasir u hv a swt voice hrt touching one mungu akuzudishye ❤️🥰
that nisshid tamuu sana brother nassir mashallah
It makes me feel better about the religion and the saum is a good time to listen to songs (Qaswida)
I am Muslim I love my Prophet Muhammad. Saw
MashaAllah Allah akujaze kher niliitafuta mda mrefu hii qaswida
Mungu akuzidishie ndugu yangu zina ni gusa sana
Masha Allah alaakupe maishamarefu❤❤❤❤❤
M.a inanikumbusha ustaad HAJAJ SAID alipotufunza shuleni KHALIFA BIN JASIM
Masha'Allah brother Nassir I saw this coming toka tukiwa Madrasa TUL, Saqina
It Never gets old... Bravo bro
Mashallaah kk mungu akuongoze vyema
Brother nassir unasauti nzuri Masha Allah
Mungu akuhifadhi inshaallah na uwe katika watu wema na watu wa peponi Ameen na uwe na maisha mazuri Ameen wewe ni muhimu nitumie hii please shukran
ahmed karama kknnnnjjj
Jk I am iuuuuhhhh
Mashallah unafanya vizuri sana
He performed live for us and his voice was perfect
Mash Allah. Nimipeipenda Sana’ it was the best nasheda
I’m proud Bo be Muslim ❤
Daah! Umenikumbusha mbali sana.Allah akupe kila la kheri.
Mashallah napenda nashidi zako sanA sana😭😭😭😭
Maaashallaaah maaashallaaah, Baarakallaahu fiik
Mashallah brother Muslim kaba bolti hivo hivo unaweza.
MashaAllah bro nakupenda kwa ajili ya Allah
MashaAllah brother nassir...
Mimi lulua nakwambia Mashaallah wewe mzuri wa Nashid watakuomba urudi tena kule studio rudi iyo miziki mpe mwengine wewe zako nashid Allah Kakukubali Rudi nashidQasida ya jina lulua usisahau Elimisha jamii
Alhamdulilah for the faith of islam.
Since childhood days this qaswida was a hit ❤
Allah akufanyiye wepesi
jazakallahu khayran mungu akuongoze ktk kila lenye uzito inshallah 🙏🙏
masha Allah I call this amazing..we use to sing this nasheed wen we were young but Brother Nassir did it better..Masha Allah bro.
salim ali 😊😊Shukran Brother.. Keep Sharing The Link With All
salim ali ...yaaah mashaAllaah we used to sing it at school... mashaAllaah nyc
Brother Nassir upo vyema chuoni nimepitia qaswidar hiyo kwa sasa nna miaka 35 nimepita katika qaswidar hiyo nina miaka 8 beliv me or not?
salim ali V
Mashallah
Mashaallah Mungu akuzidishie kaka
The paradise is under the feet of the mother❣❣❣
Daaaaaah u took me back when i was 3yrs.😢😢😢😢😢😢 damn
Mashallah< Nice Nasheed Brother Nassir, Usikate tamaaa
ma sha Allah mob love brother nassir😙 Ramadhan Kareem wa swaum maqbul
mashallah Allah Akufanye wepesi kilakitu inshaallah
maashallah me too i was waiting for this nasheed
Am one of your fun brother nassir shukran with ur naat
Masha Allah historia ytu ya mtume inapndeza
Mashaallah Realy like all qaswidah of Brother Nassir
Best nasheed mungu akuhifadhi mashaallah
THANKS FOR THE COMMENT.. PLEASE KINDLY SHARE THE LINK TO ALL - BARAKALLAH
Brother Nassir kuna annashed ya maut nikama umetasr kutoka kwa murshd wakiarab ivi ila najarb kitafuta cjaipata ila kwenye TV inapigwa sana utanisaidiaje
ma sha Allah uko vzr kk
mashaallah
star boy wow
MashaAlllah brother naseer keep on making more videos😘Wlllhyy ur nasheeds makes me happy👍👍😘😘😘endelea wid the gud work👍❤❤keep it up💪
MASHALLAH MUNGU AKUPE KHERI DUNIANI NA AKHERA
Masha allah mungu akupe kila la kheri Ameen
Mashallah! I love the qwasida❤
Mnshllh nakumbuka zamani
wow brother Nasir keep
it up and MashaAllah may Allah bless you Ameen 💖🎉💖
Nimeipanda sanaaaaaa🖒🖒🖒🖒🖒🖒🖒❤❤❤❤❤❤💙💚
Kweny mzk hufananii rudi kuomba nasheed kama afaiz
Mashaallah mashaallah I like it. it’s beautiful I joying listening 👂 I play over and over again at home 🏡 and while I’m driving a car 🚘💖🕋❤️💖🕋🕋💖 too. Mashaallah
Mashallah Brother Nassir