Sheikh Yusuf Abdi - Musinitupe Wanangu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 501

  • @bosskhan_bills
    @bosskhan_bills 7 років тому +141

    Allah amrehem mzazi wangu amsameh madhambi yake ampee nur katika kaburi lake

  • @caamirjr5530
    @caamirjr5530 3 роки тому +13

    This nasheed made mi cry 😭😭😭 ooh Allah grant my parents janantu firdaws

  • @kwasidanzurik8589
    @kwasidanzurik8589 8 років тому +88

    yaAllaah tujaalie tuwe watoto wema kwawazaziwetu amin

  • @leylahbillah4876
    @leylahbillah4876 4 роки тому +5

    Eenh Allah nipe moyo wa huruma mbele ya wazazi wangu kwao wao ndo pepo yangu miye 😥😥

  • @SalmaAli-rq5kz
    @SalmaAli-rq5kz 7 років тому +94

    subhanallah, enyi nduhi zngu wa kiislam, tumcheni allah tukumbukeni pepo yetu ipo chini ya nyao za wazee wetu, allah atupe iman yaraby tuweze kuwatizama wazazi wetu. amin

  • @fatimazahra-sc8gc
    @fatimazahra-sc8gc 7 років тому +74

    Yaa RABBY Tujaalie miongoni mwa kuwahurumia wazazi wetu,walivo tuhurumia😭

  • @frostyncraved5075
    @frostyncraved5075 2 роки тому +5

    Baba yangu nakupenda sana , nakuahidi sitakuacha hata iwaje ALLAH uwe shahidi Ameen

  • @subrasalim8927
    @subrasalim8927 4 роки тому +3

    Allah umsamehe baba yangu madhambi yake na umuondolee adhabu ya kabri na umsamehe na mama yangu umpe mwisho mwema

  • @daha786
    @daha786 8 років тому +79

    Subhanallah Allah atujaalie tuwe miongoni mwa wale wanawatunza wazazi wetu

  • @mwanaamrani5577
    @mwanaamrani5577 7 років тому +62

    subhannallah, hii nasheed inanitoa nachoz. yaallah msamehe bab yang makosa yake na muepushe na adhab ya kabr.najua ckuweza kuulpa wema wako ulio nitendea . ntazd kukuombea duwa

    • @binaljabirmshihirzanzibar8369
      @binaljabirmshihirzanzibar8369 3 роки тому

      Ameen ameen kwa uwezo wa Allah ampe kaul Thabit inshaallah kher

    • @akiraathuman8501
      @akiraathuman8501 3 роки тому

      Sawa

    • @akiraathuman8501
      @akiraathuman8501 3 роки тому

      Allahumma aamin

    • @ruuaida3980
      @ruuaida3980 3 роки тому

      Aamin

    • @mwanamkuufarahali7495
      @mwanamkuufarahali7495 3 роки тому

      Mwenyezi mungu awarahamu wazazi walotangulia mbele ya haki.
      Na walioko duniani mwenyezi mungu awape afya na umri.
      Nacc Allah atupe subra na imani. Atuongoze siratul. Mustaqeem.
      tuwalee wazee wetu kwa mapenzi na imani..

  • @nadyahassan7924
    @nadyahassan7924 5 років тому +3

    yarabi nakuomba umuepushie baba angu kipenzi na adhabu za kabri tujalie vizazi vyetu Allah viwe vyema km sisi tulivyo kuwa kwa wazazi wetu

  • @rehemasalum6876
    @rehemasalum6876 4 роки тому +10

    😭😭😭😭😭Allah wape pepo njema wazazi wangu

  • @ashaomar9113
    @ashaomar9113 6 років тому +13

    YaAllaah tujaaliye tuwe watoto wazuri kwa wazazi wetu na tuwaheshimu wazazi wetu 🤲🤲 ..I LOVE MY PARENTS MORE THAN I LOVE MYSELF 😢

  • @aminaabdhallah6842
    @aminaabdhallah6842 8 років тому +50

    Ya Allah wahurumie wazazi wetu, wajaalie makaazi mema siku yasiku

  • @mishiabdallah9254
    @mishiabdallah9254 Рік тому +6

    🙏 yarabii tujalie tuwangalie wazazi wetu ishaAlla

    • @abdullatifhassan9399
      @abdullatifhassan9399 10 місяців тому

      Ameen yaa rabb... Ili na ss tuje tuangaliwe na vizazi vyetu.

  • @farish2899
    @farish2899 5 років тому +6

    Let's not forget we will grow old also. Big lesson from that song.

  • @atumyahilwin7905
    @atumyahilwin7905 5 років тому +19

    SubhanaAllah parents are the best gifts given to us by Allah..they are our key to paradise ❤️😍

  • @huktyasnaty9115
    @huktyasnaty9115 5 років тому +3

    Allah awarehem wazazi wangu awape kauri thabit na nuru katk makabur yano 😭😭😭😭😭

  • @tumajuma6917
    @tumajuma6917 6 років тому +49

    SubhanAllah....this nasheed really touches my soul.may Allah guide us to the right path🙏

  • @munahahmed2310
    @munahahmed2310 7 років тому +17

    SubhanaAllah! it`s really touching....yana mafunzo kweli, Allah atuwezeshe tuwe watoto wema kwa wazazi wetu hapa duniani ameen....Our parents are the tickets to Jannah, May Allah bless them and have mercy on them....Allahumma ameen.

  • @Yohanadominicus
    @Yohanadominicus 4 роки тому +2

    Jmn inaniliza imeniingia liukwel Allah wafanyie wepes wazaz Wang hapa dunian na kesho akheraa

  • @jumabajun2419
    @jumabajun2419 3 роки тому +5

    Tuwe na huruma na wazazi wetu amiin 🤲🏼🤲🏼🤲🏼🤲🏼🤲🏼🤲🏼

  • @muadhmohamed8997
    @muadhmohamed8997 4 роки тому +3

    Ya Allah tujaalie tuwe enyehuruma na iman kwa wazazi wetu amin inshaallah

  • @yusufjeylani5325
    @yusufjeylani5325 8 років тому +73

    Ya Allah wahurumie wazazi wetu

  • @faizkhalidmohamedawadh9408
    @faizkhalidmohamedawadh9408 8 років тому +2

    Ni huzuni kubwa kwani haya ndio yanayotokea katika jamii zetu. Wazazi ni muhimu wawe na watoto wao haswa katika uzeeni. Ewe Mungu tujaalie tuwe watoto wema kwa wazazi wetu. Uwape umri afya na maisha ya furaha hapa duniani na kesho akhera.
    Shukran sheikh kwa ukumbusho huu!!!!

  • @asiamwarabu7510
    @asiamwarabu7510 6 років тому +16

    Sina hamani week nzima sheghe want nalia tu na hi nyimbo ninayopitia Allah ndo anajua Alhamdulilah Pumzi pia ni mtaji tosha

  • @mohammedjones846
    @mohammedjones846 7 років тому +40

    PLIZ PLIZ PLIZ LET US TAKE CARE OF OUR PARENTS

  • @husseinmohammed3410
    @husseinmohammed3410 4 роки тому +5

    Wazazi wetu ndio waliobeba hatima ya maisha yetu

  • @amaynajazariy3585
    @amaynajazariy3585 7 років тому +34

    ya allah tusamehe makosa yetu sisi na wazazi wetu na utupe mwisho mwema

  • @aminahadi4967
    @aminahadi4967 7 років тому +41

    Allah atupe imani na Huruma tuangalie wazazi wetu kama walovyo tuhurumia tulivyokua wadogo

  • @yusuphhabibu6955
    @yusuphhabibu6955 5 років тому +3

    Allh Huma .iwe mwenyezingu
    irhamu Huma .warehemu wazee.wangu ...ina ma.anta swabirana.kama walivo nihurumia mm nilipo kua mchanaga ....nakupenda Sana baba ila allh amekupenda Zaid .....love you Mama nipo nawe daima

  • @frostyncraved5075
    @frostyncraved5075 2 роки тому +9

    Our parents are treasure ❤️

  • @mwasitimwangwena2733
    @mwasitimwangwena2733 5 років тому +4

    Yaaaallah tusaidiee tuweze kuwalea wazazii wetuu ,,amiin

  • @rehsanhassan8141
    @rehsanhassan8141 4 роки тому +3

    Ya Allah wafanyie wepesi wazazi wangu na uwahurumie kama walivyonihurumia mimi nilipokua mdogo

  • @zainabjumaa3055
    @zainabjumaa3055 Місяць тому

    Ya rabby msamehe baba yangu upe kauli thaabit amsamehe makosa yake mjaalie kaburi lake liwe ni bustani miongoni mwa ma bustani ya peponi na asijaalie kuwa ni shimo miongoni mwa ma shimo ya motoni amiinii

  • @hafsakhamisi1180
    @hafsakhamisi1180 8 років тому +11

    Allah atujaalie tuwe watoto wema kwa wazazi wetu in sha Allah 👏👏👏

  • @alhajiomary2294
    @alhajiomary2294 5 років тому +12

    كما تدين تدان-utavofanya ndivyo utakavyofanyiwa.tujitahidi kuwapenda,kuwaheshimu na kuwalea ipasavyo.

    • @mamymdogomamy3670
      @mamymdogomamy3670 4 роки тому

      Nn Wamanisha?

    • @husseinnuru7544
      @husseinnuru7544 6 місяців тому

      Kiukweli mama yangu nilimpenda pamoja nababaa yangu haki naumwa najiona naenda kwababa yangu namuomba mungu anilehemu naanisameehe aaalllah AMPE mama angu fulaha yamilele dunian mpaka akhela mungu nisameeh yote makosa tangu

  • @najmaabubakar95
    @najmaabubakar95 8 років тому +46

    May Allah Guide Us in th right path....... May Allah make our relationship with our parents Good

  • @moonmoonmpole2548
    @moonmoonmpole2548 6 років тому +3

    Subhanallah, Allah atujaalie Imani ya kuwahurumia wazee wetu na kuwafanyia ihsan. Wallahy it's so sad.

  • @kingdadon5280
    @kingdadon5280 2 роки тому +4

    I love uh dad, I love uh Mom from the bottom of my heart ❤

  • @manazirmohamed4466
    @manazirmohamed4466 5 років тому +5

    Masha Allah baba yetu our parents do a lot for us plz let's take good care of them

  • @abdulrasulabbas1024
    @abdulrasulabbas1024 5 років тому +7

    Enyi waislamu
    Angalieni wazazi kwa kuwa nyinyi hamujui mwisho wenu

  • @faudhiasaid93
    @faudhiasaid93 7 років тому +23

    yarabb tujaalie tuw watoto wem kwa wazaz wetyu ameen

  • @samiradaud8636
    @samiradaud8636 4 роки тому +9

    This nasheed really touches my soul .Oohh Allah bless our lovely parents

    • @sadayusuph8406
      @sadayusuph8406 Рік тому

      Hii kaswida ad leo nikianganlia nalia tu yaaan nammis babangu gafra

  • @zahramobne7807
    @zahramobne7807 5 років тому +3

    😭😭😭😭😭😭 Allah wape watoto wetu imani kwa wazazi Ameen.

    • @joharihuseni2617
      @joharihuseni2617 5 років тому

      Subhanallah atujalie tuwe miongoni mwawale wanawatunza wazazi wetu!!!

  • @MwaishambaKipanga-bu9sz
    @MwaishambaKipanga-bu9sz 2 місяці тому

    Nawapenda sana wazazi wng MUNGU awape umri mrefu wenye kheri na baraka

  • @omanmuscat3461
    @omanmuscat3461 4 роки тому +2

    Ewe mola wng wasamehee wazazi wng na uwarehem warham fil janat Amiinaa ya Rabilaaalamiin inshaallah 🙏😭😭😭😭😭nawakumbukaa sana ila Allah awapee vitabu vyenu kwa mkono wa kulia 🤲😭😭

  • @fakhirhamad1273
    @fakhirhamad1273 4 роки тому +1

    Napenda SNA aloimba jamni asenteni kwa ujumbe mzuri😘😘😘

  • @zubedaibrahim2488
    @zubedaibrahim2488 5 років тому +3

    Yani ad nashindwa kuangalia Najikuta Nalia2 Natamani ningekuwa na baba Nimuhufumie Mungu awaepushi wale Mungu alo wakea baba zao wacwakimbie Ad Mungu atakapo wapa atma njema

  • @khadijayusuf7065
    @khadijayusuf7065 8 років тому +10

    Mashaallah Shukran wajazakum Allahu Kheir it really teaching my heart God bless you

  • @faridasaid693
    @faridasaid693 3 роки тому +3

    Allah awarehemu wazazi wazazi wote wawili amin

  • @chimenyatvanganga8032
    @chimenyatvanganga8032 Рік тому +1

    Allah awaongoze wanetu watujuze wanetu

  • @latifayussuf1434
    @latifayussuf1434 4 місяці тому

    Allah atuepushe atujalie sisi tuwe wenye kuwatii wazazi wetu na kupata radhi zao.

  • @queentunush925
    @queentunush925 5 років тому +2

    Allah atungize peponi aaamiin

  • @katundakiliza5894
    @katundakiliza5894 6 років тому +1

    Ridhallahu fiiridwaalidayni wasukhtullah fiisukhtilwaalidayni Allah atupe mwisho mwema

  • @mira-gq3qg
    @mira-gq3qg 5 років тому +2

    Ya Allah tujaalie tuwapende sana wazazi wetu ili tuipate pepo yako

  • @kassimsalim6160
    @kassimsalim6160 11 місяців тому

    Sijui nimeangalia mara ngapi........imenigusa hii qaswida Subhanallah 🥺😭😭😭😭😭 Allah Atuongoze Yaallah usitujaalie wenye kuwatupa wazazi wetu hata wakiwa wazee 😭😭😭😭🤲🤲🤲🤲🤲

  • @sharifamedkhan7693
    @sharifamedkhan7693 2 роки тому +2

    Allah atuhifadhi atuzidishie imani tusiweze watupa wazazi wetu wote wawili..Tuishi nao mpka mwisho inshaAllah.. this has touched my heart..Allah is great

  • @jasmin.omasiga5441
    @jasmin.omasiga5441 7 років тому +18

    roho inauma xn ,nawapenda xn wazaz wangu kupita maelezo

  • @alshaljnaima4739
    @alshaljnaima4739 3 роки тому

    Wallah naipenda sana hii qaswida nimeitafuta sana jina lake Alhamdulillah leo nimeiona

  • @hawamashallahmkubwa5416
    @hawamashallahmkubwa5416 7 років тому +4

    Allah atupe imani tuwalee W azazi wetu WAllah msiba

  • @khayratsuleiman5346
    @khayratsuleiman5346 3 роки тому

    Allaahumma ghfir Aliy Hamad Aliy warhamhu
    Umlaze mahal pema pepon na umuashie nuru kaburi lake na umuondolee adhabu ya kabri
    Hakika ninakukumbuka sana mwanao hii nasheed inaniumiza kwa sanaaa

  • @katundakiliza5894
    @katundakiliza5894 5 років тому +2

    Mmh huzuni imentandana ndan ya moyo wangu Allah awarehemu wazee wangu😱😱😭😭

  • @erickronoh2433
    @erickronoh2433 4 роки тому +1

    ya allah tupe kheiri yawazazi apadunia na akhera

  • @user-zg9yy8ec6u
    @user-zg9yy8ec6u Рік тому +1

    mashaAllah heart touching nasheed..this really made me cry...may Allah grant my parents Janatu firdaus

  • @mrashiabdallah2640
    @mrashiabdallah2640 4 роки тому +1

    Ya Allah warehemu wazazi wetu walitangulia mbele ya haki wasamehe makosa yao wape vtabu vyao kwa mkono wa kulia waondolee adhabu ya kabri Innalillah wainna ilaih rajwn mbele yao nyuma yetu

  • @asmaahmed5330
    @asmaahmed5330 7 років тому +28

    mungu awarehemu wazazi wangu

  • @arabianillusionsworld734
    @arabianillusionsworld734 4 роки тому +19

    Aww this one really touched me, and your voice is incredible ❤

  • @tunehamad8515
    @tunehamad8515 5 років тому +2

    wema ni akiba na ubaya ni akiba ukiwafanyia wema wazazi na wanao badae watakujakukufanyia wema mara mbil zaid na ukiwafanyia ubaya na wako pia watakuja kukufanyia ubaya thank you for good idea tumejifunza na nashid yako nzur

  • @user-co1bk7wo7t
    @user-co1bk7wo7t 6 місяців тому

    😭😭😭 y’a Allah warahemu wazazi wetu uwape mwisho mwema

  • @canoksancomprehensivelearn7182
    @canoksancomprehensivelearn7182 7 років тому +1

    Jazaakallaahu khayraa ya sheikh Yuusuf Abdi. haya ni ukumbusho kwa kila ambaye muniib kwa allah na mwenye chembe ya iman kwa watu. tumche Allah na tujue huenda kuna siku umri ukaenda na yakatutokea kwa watoto wetu mithli ya tuliyowatendea wazazi wetu iwe ni kama malipo ya dunian na adhabu ya akhera ni kubwa lau tungejua.

  • @ukhtymwana40
    @ukhtymwana40 2 місяці тому

    Hii nasheed hainisha hamu kila siku naisikiliza ni nzuri kwakweli

  • @aydruskayse1945
    @aydruskayse1945 8 років тому +8

    Masha`allah,
    Ni Nzuru sana.

  • @aeshaha8770
    @aeshaha8770 8 років тому +5

    ya allah tupe imani kwa wazazi wetu amiin
    shukran sheikh yusuf abdi

  • @nassorali1492
    @nassorali1492 4 роки тому +1

    Hii qasid inaniliza Ya Allah msamehe wazazi wangu

  • @zuberihamiss9515
    @zuberihamiss9515 4 роки тому +2

    Ya allah warehem wazazi wang wape nuru kweny kabur zao😢😭😭😭😭😭

  • @barkyabdallah170
    @barkyabdallah170 Рік тому

    Mola anijalie huruma kwa babangu mzazi wallahi

  • @ayanahmed3495
    @ayanahmed3495 7 років тому +64

    Ya Allah tuhurumie wazazi wetu amiiin ya rabi

  • @habityyabdallahsaidabdalla9459
    @habityyabdallahsaidabdalla9459 4 роки тому +3

    May Allah protect my father and forgive him ameen y rabbi

  • @babynaa3757
    @babynaa3757 8 років тому +12

    mashallah heart touching nasheed..

  • @babuumpole8564
    @babuumpole8564 Рік тому

    Mungu atujalie tuwemiongoni wenye mwisho mwema inshallah

  • @aairraahseif5648
    @aairraahseif5648 3 роки тому

    Subuhanah Allaaaah matungu yasio kwisha haya, wazazi hatuwezi kuwalipa na chochote ikawa fafhila yao hakuna cha kuwalipa, Allah awalaze mahala pema peponi, na wazazi wa wenzangu Allah awape pepo 🙏🙏😭😭tunatamani kurudisha muda na siku nyuma turudi kuwa lea na kuwatumikia zaidi wazazi wetu,lakini haiwezekani tena, Allah atupe radhi zao na tulipo kuwa na mapungufu Allah atuswamehe Yarrabb 🙏

  • @user-de7nf8pp3w
    @user-de7nf8pp3w 7 років тому +49

    subhannallah!! allah atujaalie tuwatunze wazaz wetu inshaaallah

  • @salehkhaulan2798
    @salehkhaulan2798 6 років тому +10

    Nakupendeni wazazi wangu

  • @najmadida79
    @najmadida79 5 місяців тому

    treat ur father well some of us we dont have the love of our father dont disrespect them love them make them happy i watch this vedio en its makes me cry remember Allah is watching u for wat u have done to him or her may Allah gives them subr 😢😭😭

  • @jamilatoodhe5181
    @jamilatoodhe5181 7 років тому +1

    Alihamudu lillah ,Mimi na Mdogo wangu, tuna mtunza xana mama wetu111 yrs

  • @alicious3986
    @alicious3986 7 років тому +4

    Mashaallah vryy nice song sheikh usuf abdi a song wich can tought us alot of things concerning our parents in totally dat nice sheikh my God bless u and us all keep it up on remind muslms

    • @kalle0264
      @kalle0264 7 років тому

      Ali Cious just so you know its a nasheed

  • @fauziakassim323
    @fauziakassim323 6 років тому +2

    Mashallah may Allah bless you shk Abdu

  • @ubaxluul1749
    @ubaxluul1749 6 років тому +2

    Allah awazidishie you have made me cry you're amazing mashallah

  • @mussabinnassory8801
    @mussabinnassory8801 3 роки тому +1

    Mashaallah Allah atupe mwisho mwema sisi pamoja na wazazi wetuuu

  • @SalmaShee-nz4qd
    @SalmaShee-nz4qd 4 місяці тому

    Allah awajalie maisha mema peponi wazazi wetu inshaallah

  • @AbubakariMbutuka
    @AbubakariMbutuka Рік тому

    kila nikisikiza nasheed hii najikuta cm mkononi kumjulia hali dady, ALLAH wahifadh wazaz wetu😭😭😭

  • @user-vz5eb1lx1x
    @user-vz5eb1lx1x 10 місяців тому

    Yarabii tujaalie nyoyo tuwapende wazazi wetu😢

  • @KibomboAmisiHassan
    @KibomboAmisiHassan Місяць тому

    Allah uwarehemu na uwasameh wazazi wetu

  • @twaariqahmad7249
    @twaariqahmad7249 5 років тому +3

    My best swahili nasheed of all time

  • @ummaymanayman1327
    @ummaymanayman1327 10 років тому

    Saaaddd......"niambieni wanangu mulipo ntawajiaaaa".....then you leave your parents...SubhanAllah....Cant stop crying...."unipe nami makini hadi nitapo jifia"

    • @muhamadshaban3646
      @muhamadshaban3646 7 років тому

      awee mola tujalie miongoni mwa waja wema wenye kuwatii mazazi wetu.AMEEN

  • @nambutasomoe3412
    @nambutasomoe3412 3 роки тому

    Subhanaallah! Ama kwl nikupotea huko sheikh asante Kwa mafunzo mema

  • @AliOmar-le2cy
    @AliOmar-le2cy Рік тому

    Allah tupe mapenzi yakuapenda wazazi wetu

  • @husseinabdulrehmanabbas7225
    @husseinabdulrehmanabbas7225 8 років тому +1

    Wallahi wasiya mzuri sana Mngu awajaaliye wenye kuongoka watoto wetu . Shukran

  • @khalifahmwarangi4845
    @khalifahmwarangi4845 5 років тому +9

    Still my favorite 2018