Loves this Qaswida since then,I was still schooling till now married Alhamdhulillah still listening to it..2021.Ramadhan Mubarak my Muslim brothers and sisters.
Mashallah qaswida nzuri juu ya kuelimisha mauaji ya Albino Mola awajalie Wanachuo wote mlioshiiriki kuinba qaswida hii na munhu akujalie Ostadh kwa kutunga na kushirikiana vyema kuinba qaswida hii
asiye penda hii kaswida ni katili love you guys more than 100% mola atujalie tuepuke haya majanga karibuni America ndugu zangu hivi nataka niwe Muslim maana nyinyi mna ujumbe mzito God bless all Muslims forever thank you God
Qaswida nzuri sana wallahy ni ujumbe kamili..kwa nini ewe kiumbe uhadaike na mali ya dunia wakati maisha ni mafupi..Allah anakusubiri na moto mkali unakungoja..
I can hardly understand kiswahili but this song it lifts me actually the whole album... I can understand only few parts of the song and still enjoy and get the message.
Hii ni busara ya hali ya juu kwa hawa waliofikiria kutunga kaswida hii yenye ujumbe wa maana kubwa katika jamii.Hii inabadilisha hata zile fikra hasi kuwa madrasa zetu hazishiriki katika matatizo ya jamii zetu.NAWAOMBEA KWA MOLA HAWA WAHUSIKA AWAZIDISHIE MOYO WA KUSAIDIA JAMII. NA AWALINDE NA KILA BAYA.AMIN
Hesabu za Mungu haziendi hivyo..kibri ni kukata haki, unaogopaje ufukura wakati Mungu ndio mwenye kuruzuku jilazimishe kumcha Mungu.... usiwauue watu kwa kutaka mali kumbuka utalizwa ulichuma kutotaka wapi...zingatia sicheze na wema...
zeituna Abdinoor. This qaswida is blaming and crisis those who killings albino for stupid beliefs that they will be rich by using their parts of the body in their blackmagic.
zeituna Abdinoor its swahili from tanzania they are talkng about peoples killing albinos they dont have mercy on them hope this short note will make you sertisfied
2024 kama unacheki hii qaswida gonga like
Nipo nimeikumbuka baad y kifo cha asimwe aliouliwa n bab yake
Anyone in 2024 listening to this qaswida God bless you
Fist is me
𝒔𝒂𝒎𝒆 𝒕𝒐 𝒖 2
❤❤
Allahum amiin
🤩🤩🤩❤️
Mwaka wa 2024 march, still feeling this as if it was released yesterday 😢
2024 let gather here❤❤
Am Christian
But I like this song
It's very impressive
Mashallah
Amin
Exactly❤
😢😢❤
2024 still listening ❤
Am Christian but am in love with this qwasida
Loves this Qaswida since then,I was still schooling till now married Alhamdhulillah still listening to it..2021.Ramadhan Mubarak my Muslim brothers and sisters.
N halimaa inasikitisha sana
Still here 6 months later 😭heart soothing Maa shaa Allah 🥰🥰
If someone knows this song he or she is a LEGEND 👍👍.
naipenda qaswida hii cjapata kuona. kweli Mungu aingilie kati kwa hili mana huu ni unyama
Hii nihtari
The don poch nene jaman hii kaswida niatali nzuli balaa
Hola
Naeza Pata number yako..dada
Naipenda sana
Mashallah qaswida nzuri juu ya kuelimisha mauaji ya Albino Mola awajalie Wanachuo wote mlioshiiriki kuinba qaswida hii na munhu akujalie Ostadh kwa kutunga na kushirikiana vyema kuinba qaswida hii
asiye penda hii kaswida ni katili love you guys more than 100% mola atujalie tuepuke haya majanga karibuni America ndugu zangu hivi nataka niwe Muslim maana nyinyi mna ujumbe mzito God bless all Muslims forever thank you God
Astaliko Mulishi ... karibu katika dini ya haki
Bitoke coment
Mashaallah
Ndugu vipi umeshakua muslim? kama bado Mungu akufanyie wepesi
Astaliko Mulishi Ameen
Qaswida nzuri sana wallahy ni ujumbe kamili..kwa nini ewe kiumbe uhadaike na mali ya dunia wakati maisha ni mafupi..Allah anakusubiri na moto mkali unakungoja..
Walid Farouk assalam aleykum
qasuda Kali sana inaujumbe
Masha Allah
Hii kaswida Ni Atali naipenda kuisikiliza kila mda
Mashaallah kaswida nzuri sana
I can hardly understand kiswahili but this song it lifts me actually the whole album... I can understand only few parts of the song and still enjoy and get the message.
Best nasheed for albinism 😥😥😥😊😊
I remember this when I was little
The best😍❤️❤️‼️
Mashaallah ‼️
❤❤❤
Allah awajeze imani awalipe Leo na kesho kwa kuwatetea albino kwabutenzi huu mzuri inshaallah
Allah awalinde na mabaya walemavu wa ngozi
Who is here in may 2020?
Who is this
Please.
mashalaa imenihuzunisha sana na nikiangalia nikweli wanauwawa asante kwa kaswida mungu awajalie muzidi kutuelimisha wakenya
had analia duuuh nkweli iman
Tanzania hii bhana we vip?
Hii qaswida imetulia sana,mashallah!
swaadakta ya usithad zidiaaaa mashaallah umemakinika katika ii qaswida
n
@@jrahman827 poa kama uko life
This song still gives me goosebumps still listening 2021
You can say that again☺☺☺
Mashallah 🥰🥰 Mungu awazidishie. I love this song very much
Until now, 2024, I'm listening to this qaswida its has deep meaning😊😊😊😊
Same here
Daa many years ago, but this still touches our heart, memories never dies, miss home 😢😢😢
Imenigusa hii qaswida jamani....Mashallah ustadh Allah awajaze
ماشاءاللہ
Ww ni fala
mashallah kaswida nzuri 😘😘😘
📿📿📿📿
Very nice
Alhamdulillah
I am listening 2012 upto 2023 very impressive
love this qaswida since childhood till now adulthood Alhamdulillah
Kumbe tuko wengi tulio ipenda hii nyimbo utotoni mwetu daah gud memory aise
my mum and my siz a day cant pass without singing this song .what anice song
masha Allha good ostaz namibapenda kuimba qaswida
Mmbo vp
Hii ni busara ya hali ya juu kwa hawa waliofikiria kutunga kaswida hii yenye ujumbe wa maana kubwa katika jamii.Hii inabadilisha hata zile fikra hasi kuwa madrasa zetu hazishiriki katika matatizo ya jamii zetu.NAWAOMBEA KWA MOLA HAWA WAHUSIKA AWAZIDISHIE MOYO WA KUSAIDIA JAMII. NA AWALINDE NA KILA BAYA.AMIN
Nice
Ameena Yarabb
kaygreko
❤️❤️❤️
uko,poa,inaelimisha
Manshalaahh GOD may bless you for your massage inshalaah
Naipenda sana ii kaswid
nyimbo nzuri hongera ustaz
anicetas evarist hivi hii ninyimbo amma nashdi
Masha allah
i still love this song in 2022
Me too
Mungu awabariki sana Kwa qaswida nzuri yenye ujumbe Kwa jamii, 22/04/2024❤❤
Mm ni mkirsto lakn napenda sana kaswida nawapenda jaman
Qaswida mzuri sana mwenyezi mungu ampe rahma
Reminds me of my late Aunt😢😢🥺🥺...Mungu akurehemu Ameen inshaaAllah..akujaalie Janaah.🕯️🕯️
Still listen this qaswida very nice with good message
2019 ..
Gonga likes kwao..
Hesabu za Mungu haziendi hivyo..kibri ni kukata haki, unaogopaje ufukura wakati Mungu ndio mwenye kuruzuku jilazimishe kumcha Mungu.... usiwauue watu kwa kutaka mali kumbuka utalizwa ulichuma kutotaka wapi...zingatia sicheze na wema...
maashallah....ramadhan makbul
Nyimbo hii haichuji, ipo vizuri muda wote. Kaswida bora ya muda wote kuwahi kutokea katika karne hii ya 21.
Kama uko 2019 and still unaskiza hnu nyimbo gonga like
2020 tupo
Vp
from. nakuru. nakumbuka. kipindi. cha. mwezi. mtkf. wa. ramdhani. ni. kiwa. kahama. mtaa. wa. majego. mapya. nikiwa. na. beshte. yangu. azzi. a dala. alikuwa. ana. upenda. huo. wimbo. sama
ujumbe mzuuuuri mno
2020 kidole juu
i love the voice man i really love it and i understand the language it is swahili and iam in america but i left kenya some months ago
Mashallah
Mashaallah 💯
Wacha uongo hauko America
masa allah beutiful voice.
im from indonesia.
jazakallahu kheir.wape ukweli wanaoua albino.hata mimi pia nawalaani
mashallah,,wimbo mzuri wenye mafundisho mazuri
naumia sana sema can lakufanya mungu anajua
subuhana Allah Jamani mola hawanusuru albino wa sio kua na hatia yoyote binadamu kama watu wengine.kwa wanao fanya hivyo sivizuri haki Kwa mola.
Poa
Proud to be a swahilian guy, kuzaliwa uswailini raha
Ni Raha walai
Tunao skiliza tena kwa karima ya Allah 2023 like jamani😙
Verry nice song
Childhood nasheed ☺️🥰🥰🥰
Masha'Allah Allah atujaalie Jannah mzee wangu
i like this qasida
Mashaalah mungu awazidishie mutuerimishe albino ni binadam kama binadam wengine
Wasio na Imani walojaa hapa nchini mola atawalaani 😭😭 MUNGU naomba nijalie mwisho mwema 🙏🙏 naipenda mno hii kaswida
2019 tunafunga na nyimbo nzuri kabisa ya mafunzo Kama unakubaliana nami gonga like apa
Innshllah kwa mtunz mwenyezmungu amupe mwongozo mwema
So nice qasida,love it😘😘
I love this ansheed ..but I don't understand the meaning I wish I could know this language
zeituna Abdinoor. from where ma greand
zeituna Abdinoor. This qaswida is blaming and crisis those who killings albino for stupid beliefs that they will be rich by using their parts of the body in their blackmagic.
zeituna Abdinoor its swahili from tanzania they are talkng about peoples killing albinos they dont have mercy on them hope this short note will make you sertisfied
Hui
zeitun you not a Tanzanianieeee let me explain to u
Asimwe alikuwa na Makosa ganiiiii😢 Mungu akupe Pumziko la Milele Asimweeee😢😢😢😢😢🤲🤲🤲
Mashallah kaswida nimeikumbuka sana Leo nimeitafuta
Masha Allah
Zener A
singeli
M.a
2021 welcome here 💔💞💗💝
Nakumbuka albino waliuwawa mno..
Sitasahau ,inauma sana sana
i wish one day i will learn this beautiful language
Don't worry ✌
Welcome
subhanllah. sauti nzuri lkn maneno yke yasikitisha
Zuhura Salim 😱😱😱
Zuhura Salim UN
Zuhura Salim San my awajui km dunia mapto
Napenda all qaswida za kiswahili
Yeah me 2 I like it
As Salaam Aleykum Wa Rahmatullah Wa Barakatuh.....Ma Sha Allah Qaswida yenye kuckitisha jazaka Allah kher....Allah Akuzidishiye Utajiri wa Afya
mashaallah hakika inapendeza
Qaswida mzuri sana MashaAllah 😍
Masha-allah, such a lovely nasheeda and inspiring
Osman Abdi naombeni kaswaida ya zilairi aliyosoma huyu ustadh mwenye nayo
mansha Allah nice nice Allah awa sima miye iri muzidi kutufu ndisha v2 vzr 🕋🕌 from 🇹🇿🇹🇿⚘⚘Allah ibariki Tanzania na dunia kwa ujumra hamin
Mashaalah qaswida nimeipenda
Mwenyezi mungu awabarki Kaz zur sana
it entartain also educates
mashaallah qaswida nzuri sana
qaswida nzuri kweli
qaswida nzuri kweli
Mashaalah qaswida nzuri wow👌👌👌👌👌
Masha allah kaswida ya zamani lakini unapo isikiza ni kama mpya 2023
2024 alguém mais aí?❤❤
wimbo nzuri sana,mashaallah
Nasrahamisi01
Wow caroline Jackson
Caroline Jackson waabudia jua
Mashaallah
20/3/2023😍still love this kaswida
Me ni mkristo naipenda sn din y uislamu kwa mafunzo mazur ktk miadhara na ata katika kuimba qaswida
Mashaallahh
2024 fatahii ww good job Zanzibar
QASWIDA moja nzur sana tangu day one kuiskia mpka Leo ipo kichwani WALLAHI ITS HEART TOUCHING ONE LOVE FROM OMAN 🇴🇲 ❤
mash'allah!
i don't know de meaning of this nasheed but I liked it masha Allah.
They're saying albinos should not be killed bcz they have not chosen to be albino and that Allah has cursed those who kill albinos
Vifo vya albino very amazing qaswida Allah tumuwombeye a tupe alidjana
Ambao bdo wanaiangalia na kuiskilza kaswida 2022 gonga like hapa
It's 2024 still listening to this song
It's very good asante sana brother
Waimbahi wa kaswidwa hii pongezi kwenu kwa Kazi nzuri ya kuelimisha
mashaallah allahu_barik
kitambo sana daahh mashallah
2022.. still loving ❤it
Hii qwasida inanikumbusha mbali sana...🙏🙏🙏❤🤲
kaswida nzur sana yan
masha allah
Wakwanza elfu 2024
Daima pamoja.Allabarakafii.
stanley daud
edi zizu nimeipenda