Pepo Ya Dunia Ni Mama | At Azam Sea Link

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 1,1 тис.

  • @shekhasaeedb2763
    @shekhasaeedb2763 3 місяці тому +10

    A very nice qaswida, may Allah swt bless all the mothers and grant them Jannatul firdous. Ameen

  • @deed1134
    @deed1134 6 років тому +105

    Ubarikiwe mamangu uwapo ulimwenguni😔 if you love your mother nipe like 👍🏻

  • @shamykasuku4285
    @shamykasuku4285 4 роки тому +16

    Kila nikisikia hii nyimbo da nalia sana namkumbuka sana mama maan sijawahi hata kumuona

  • @allyabdi7659
    @allyabdi7659 5 місяців тому +4

    MASHA ALLAH MUNGU ZIDI KUWAEKA WAZAZI WETU NA WALIOTANGULIA MUNGU WAREHEMU......2024 August here ....My Ringtone since 2020

  • @raudhwatul_jannat496
    @raudhwatul_jannat496 4 роки тому +128

    This never gets old wallah 😍😍😍😍 now am missing my mama wacha nimipigie simu

  • @HayatInspiration
    @HayatInspiration 6 років тому +249

    This Made Me Cry 😭
    My mummy ur my Morning
    my mummy ur my night
    My mother ur my world
    My mummy ur my heaven I love you Mommy ❤️❤❤️👍👌

  • @ukhtyashurasakinamnyoti1786
    @ukhtyashurasakinamnyoti1786 6 років тому +144

    Masha Allah anashdi nzuri kuhusu mama yanitoa machozi kwa ujumbe uliomo Allah awape afya njema mama zetu na waliotangulia awaepushe na adhabu za kabri pia atupe husnil hatwima tulobakia

  • @KhamidatyRashidi
    @KhamidatyRashidi 5 місяців тому +3

    Mungu Awalinde wazazi Wetu na walio tangulia mwenyezimungu awaondolee adhabu za kabur ❤

  • @Fatima-ur2xd
    @Fatima-ur2xd 7 років тому +61

    MashaAllah...my friends in America love this nasheed even tho the don't know kiswahili😁...Mungu akubariki

  • @najmahassan5214
    @najmahassan5214 3 роки тому +3

    Ikiwa mwenyezi mungu amekuajaalia uwepo wa mama hadi saiv mpende mamako kuliko kitu chochote duniani

  • @bijumakassim3697
    @bijumakassim3697 6 років тому +34

    Allah mlaze pema palipo na wema mmangu...wallah hii qaswida nkiskiza nafsi yngu hutulia hata Kama nna mawazo huisha naipenda sana...god bless you BROTHER NASSIR

  • @amirabdirahman2521
    @amirabdirahman2521 4 роки тому +121

    Wale mama yetu waliofariki tuwaombe waingie Hannah❤️❤️❤️❤️

  • @salmahemed2279
    @salmahemed2279 6 років тому +9

    Masha allah a very fantastic nasheed............ni dua nzuri kwa mama. God bless you brothers for beautiful nasheed...........I LOVE U X MUCH MAMA

  • @KhadijaNassormasoud
    @KhadijaNassormasoud Місяць тому +1

    Mashaallaah mungu atupe nyoyo za kuwapenda mama zetu

  • @fatmasayiid5288
    @fatmasayiid5288 7 років тому +34

    I love u bro Nasser thank you for the nasheeda

    • @asmailmi6963
      @asmailmi6963 4 роки тому

      Masha alah😭😭😭😭😭😭❤️❤️❤️❤️❤️👈👈👈

  • @maimunahassan5047
    @maimunahassan5047 6 років тому +70

    MashaAllah I just love this song,may Allah bless all mothers around the world,aaaamin Ya Rabb

  • @samiraofficial9870
    @samiraofficial9870 6 років тому +52

    Mashalllah!!!!! just feel like listening it on every second. love u mama
    Who is here listening it on 2019

  • @MahnazMusa
    @MahnazMusa 3 роки тому +16

    This makes me tear up everytime I listen to it.May Allah bless you my dear Mama

  • @canabmuktar102
    @canabmuktar102 7 років тому +225

    Amazing nasheed mashaallah may Allah protect you brothers

  • @princessssucaad8792
    @princessssucaad8792 6 років тому +465

    InshaaAllah I hope it will be true I love u mom I can lay down my life for u .If u love ur mother give me a like

  • @Libanmasharano10
    @Libanmasharano10 Рік тому +9

    Whenever i tried to listen this nasheed tears comes May the almighty God bless our mothers 😭😭❤️

  • @rukiamajengo2079
    @rukiamajengo2079 3 роки тому +1

    daah mashallah brother nassr bohot baegga

  • @mamalakia7157
    @mamalakia7157 6 років тому +8

    Masha Allah namkumbuka mwanangu aliniimbia sikuwah kuiona Waka kuisikia nilijua nivituko vyake Kimberly kweli Masha Allah.

  • @fuadaladawi1255
    @fuadaladawi1255 10 місяців тому +1

    We're ever l litsen to this amazing mother's song. l go on tair .Good reminders ❤

  • @issandossa7463
    @issandossa7463 6 років тому +285

    Maashaallah mama mama mama ❤️😭, kama unanpenda mama yako kama mimi like za kutosha kwangu

    • @hakizimanaandre7701
      @hakizimanaandre7701 4 роки тому +2

      Namupenda san mama

    • @qadraali6497
      @qadraali6497 4 роки тому +3

      Nampenda sana💘💝💖💖

    • @derickpeter9924
      @derickpeter9924 4 роки тому +2

      nakupenda mama angu mungu akutangulie mama angu

    • @shadyakhalidy9544
      @shadyakhalidy9544 4 роки тому +2

      Duuh, nakutwa natoka na machoz tu, duuh upumzike kwa aman mama yangu kipenz

    • @Golden-Queen0
      @Golden-Queen0 4 роки тому +1

      Nakupenda sana mama yangu wewe ndio ngao yangu wewe ndio kila kitu kwangu I love you so much my mother

  • @sham2mabuda935
    @sham2mabuda935 7 місяців тому +2

    Mama yangu nakupenda hivohivo jinsi ulivo. Nakuombea yote yaluyo mema maana uliyopitia mpaka nimefikia hapa. Allah akulinde na ikifika mwisho iwe mwisho mwema Inshaallah

  • @Shariffalpha
    @Shariffalpha 3 роки тому +8

    Beautiful & love nasheed
    Mashaallah💕💕

  • @faraosama8707
    @faraosama8707 2 роки тому +1

    MashaAllah Menyezi Mungu ampe maisha marefu

  • @princessssucaad8792
    @princessssucaad8792 6 років тому +81

    When I see this boys name and hear his voice I remember my uncle mom u are my everything if I am poor and I have u in my side so I am the richest in the world if someone will leave the world I hope I will be the first person to leave between me and u

  • @lukmanshosi6453
    @lukmanshosi6453 3 роки тому +1

    Sheikh Yusuf abdi lover boy
    Wallahi kwa wanawake hapitwi....

  • @saisalyahmedy2426
    @saisalyahmedy2426 7 років тому +4

    mashaalah hakuna kam wey mamaangu allah bless u ma mam

  • @awinomiriam2177
    @awinomiriam2177 2 роки тому +2

    So sweet Masha Allah make mess my mom l love you umy😍😍

  • @bisharaaden1560
    @bisharaaden1560 5 років тому +5

    Yes is true i love my mother a lot pepo ya dunia ni mama mungu awape afya mama wetu

  • @madonamaddy4659
    @madonamaddy4659 2 роки тому +1

    This song imuende my mom in law(mwanaidi Barasa) and also my beloved mum, wherever you are may Allah bless you, as you coninue to serve me.

  • @lonamoon2359
    @lonamoon2359 7 років тому +4

    Mashaa Allah nasheed nzuri yanifanya nisimikwe na malaika i mean goosebums

  • @nabawanukanuru9117
    @nabawanukanuru9117 3 роки тому +1

    I keep crying 😭 missing and listening 🎧 to the Message I owe you alot Mungu wa dunia

  • @habibuhudeyfa1746
    @habibuhudeyfa1746 6 років тому +4

    Ma sha Allah Ma sha Allah...beautiful song

  • @ummykharatzenge4763
    @ummykharatzenge4763 4 роки тому +1

    Allah nakuomba kwa radhi zako na kwa huruma zako msamehe mama yangu kipenzi na ulifanye kaburi lake kuwa miongoni mwa bustani za peponi!Nakupenda molla wangu na ninampenda mama yangu japo si nae Tena ulimwenguni Ila mapenzi yake yapo kifuani kwangu na damuni kwangu Nakupenda sana mama

  • @najatabdulaziz7056
    @najatabdulaziz7056 6 років тому +14

    So beautiful mashallah.I always 😢😢😢😢😢😢😢wen I hear this song about MAMA.I miss her so much.May Allah open doors for jannah firdous.May Allah bless u

  • @patrickndakidemi3964
    @patrickndakidemi3964 2 місяці тому

    Amiini yarab kupitia Dua hii mwenyezi mungu naomba uniondoshee matatizo yote katika familia yangu pia katika makazi yangu yarab

  • @salmamaulidi9594
    @salmamaulidi9594 7 років тому +17

    namkubali sana nassir mungu akuongoze. ufike mbali zaidi yapo

  • @lubuvahussein5556
    @lubuvahussein5556 4 роки тому +2

    Allah Amjaalie Mama Yngu Qauli Thaabit Min Thaabit
    Alipo Mbele Za Khak

  • @dikha7525
    @dikha7525 6 років тому +8

    I love you maman, may Allah give you Health and long Life with all the mothers out there.

  • @njmanjma8626
    @njmanjma8626 6 років тому

    Mashallah naipenda sana hii qaswida... Yaan huwa natoa matozi kila Ni napo isikia wallah

  • @yasminebintsaidy2751
    @yasminebintsaidy2751 5 років тому +133

    Mtutu anae mpenda mama🤰ila anamwombea Dua ☝️ YA ALLAH UMENIPA MAMA KAMA ZAWADI KUTOKA KWAKO ILA NAKUOMBA UMUJALIE JANNATUL-FRIDAUS🤲 UMULINDE JAHANNAMU🔥 AMEEN YA AKHIR.

  • @nusurasadala2267
    @nusurasadala2267 4 роки тому +2

    Manshallah Manshallah!Ooooh My Mom My Every thing,May Allah Bless na protect my Lovely mom!Amiin!

  • @salhamohammedy3018
    @salhamohammedy3018 6 років тому +16

    Maa shaa Allah
    I love this nasheed so much always I wanna listen it

  • @zulfamohammed4882
    @zulfamohammed4882 6 років тому

    Mashallah ni nzuri Sana qaswida pepo ya dunia ni mama.

  • @altafally5107
    @altafally5107 6 років тому +3

    Mashallah,Allah awajaze kila la kheri,I like your nasheed brothers

  • @FatinaKhalidi
    @FatinaKhalidi 3 місяці тому +1

    Allah akupe maisha marefu mama na yenye baraka

  • @suadahaji905
    @suadahaji905 6 років тому +6

    Wow mashallah I admired it really may Allah bless yu guys and all of us Aamiin

  • @abdulsamadkhalfan4075
    @abdulsamadkhalfan4075 6 років тому

    Nasheed nzuri inatuuengezeya mapenzi kwa Mama---MASHAALAH Sheikh Yusuf Abdi na Br Nassir.

  • @husseinathuman9845
    @husseinathuman9845 6 років тому +4

    Mashaallah very amazing Allah ibarik brothers

  • @khadijajuma7179
    @khadijajuma7179 6 років тому +1

    Mashallah amezing my brothers

  • @zamzamabdi6914
    @zamzamabdi6914 7 років тому +10

    MashaAllah nice nasheed

  • @masikaabdallah292
    @masikaabdallah292 4 роки тому +2

    Masha Allah may God bless you nice one love u mummy ♥️♥️♥️😘

  • @Kosunitedstates
    @Kosunitedstates Рік тому +4

    This song brought tears to my qalbi. I lost my mother 2017 and sometimes it feels like yesterday. I miss her so much and i pray for her every single salah and in between. For those of you who have their mothers, you are lucky if you have relationship or was raised by her. God gave mother higher standerd than father. You bond with your mother while you are in her belly.

  • @ubahali9658
    @ubahali9658 4 роки тому

    Mashaalah nakutakia kila la kheri ndugu kwa huu wimbo nzuri uliotoa ....Nampenda sana mamangu

  • @halimaabu7221
    @halimaabu7221 4 роки тому +22

    i dedicate this to my beloved mom.love her so much

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 6 років тому +1

    Maa Shaa Allah, Maa Shaa Allah, Hakuna kama Mama Allah awabariki.

  • @quruxdhixablaha6118
    @quruxdhixablaha6118 6 років тому +4

    Masha Allah nasir i love brother

  • @hamidomarabdalla2845
    @hamidomarabdalla2845 6 років тому +2

    napenda sana nashid zenu mwenyezmung awape maisha marefu ❤️❤️❤️

  • @timabushuti4499
    @timabushuti4499 7 років тому +8

    Yes ni kweli kabissa.Allah mpe maisha marefu yenye kheri ndani yake

  • @deqaacadey8159
    @deqaacadey8159 5 років тому +1

    Brother nassir naipenda nasheed zako kwa sana mungu akubariki pamoja na wazazi wetu wote ameen

  • @nanalita5157
    @nanalita5157 6 років тому +3

    Mashallah mashallah mashallah may Allah's mercy be with you i love you brother Nasir

  • @saidamoti7120
    @saidamoti7120 5 років тому

    Nice mungu amrehemu mamangu amwekee makao yake firdaus brro nasir mungu akupe siha kwa yako mahaba ya mama i love it nalia yaret ningekuwa na mamangu nimweke kichwani asinitoke ubavuni ya allah mrahamu aminnnn ♥♥♥♥ love my mom

  • @muminaali446
    @muminaali446 5 років тому +85

    When i watch this video i feel like crying just how much i love my mother.maashaallah

  • @sakhatdiiara524
    @sakhatdiiara524 6 років тому

    Masha Allah nafarijika brother naseer

  • @kingofkings7633
    @kingofkings7633 6 років тому +12

    Mashallah this nasheed is very beautiful

  • @saidamoti7120
    @saidamoti7120 5 років тому

    Ya allaal mrehemu mamangu mweke pema peponi kwenye wema ameen yarabb mama ni mama jamani

  • @jasminebaibe7355
    @jasminebaibe7355 6 років тому +3

    Mashaallah thabaaraka Allah nashith mumayyaz😍😘😍😍

  • @rukiamohammed5031
    @rukiamohammed5031 5 років тому +2

    Haswaa pepo ya dunia ni mama Allah Mpe maisha marefu mama kipenz Amina inshaallh 😢

  • @cyberexpress3621
    @cyberexpress3621 6 років тому +5

    mashaAllah ALLAH PROTECTS THIS TWO BROTHERS

  • @zarahayoub9296
    @zarahayoub9296 Місяць тому +2

    Weka like kama unaitizama Dec 2024 ❤️

  • @Its_sadia
    @Its_sadia Рік тому +2

    Mashallah beautiful nasheed❤

  • @abdiaziziali3064
    @abdiaziziali3064 3 роки тому

    Umma namwomba Allah akupe maisha marefu yenye furaha n uone mafanikio yangu ili mradi nikuridhishe ❤😭

  • @riizabaalawi104
    @riizabaalawi104 2 роки тому +17

    Mashalllah!!!!! just feel like listening it on every
    second. love u mama
    Who is here listening it on 2022🥰

  • @cynthiandayisaba4406
    @cynthiandayisaba4406 5 років тому

    Allah mupe maisha marefu mama yng yenye mafanikiyo na ibada ?

  • @pureclass4124
    @pureclass4124 7 років тому +20

    Mashaallah may Allah protect you and family

  • @zeinabhish6545
    @zeinabhish6545 5 років тому +1

    Manshaalah. I feel like crying when I watch this video. The some way u feel u people. MY mother is my heart miss mam

  • @farish2899
    @farish2899 5 років тому +9

    This songs reduces me to tears!!!

  • @hawaabubakar2619
    @hawaabubakar2619 5 років тому

    Hakuna kma MAMA Na alokua na mapenzi ya kweli ni MAMA tu Nawapenda kwajili ya Allah from saudi Arabia

  • @mohamedkhamis1126
    @mohamedkhamis1126 7 років тому +4

    Super sweet collabo wallah...hopping for more from you two lovly brothers to eternity
    #B_nassir&S_YussufAbdi

  • @hassanomar4273
    @hassanomar4273 6 років тому +1

    Kamavile brother nasir anaviyo sema papo iko chini ya mguu wa mama

  • @MajorBridge_Africa
    @MajorBridge_Africa 7 років тому +64

    Masha'Allah i dedicate this to my Mom.

  • @hishamtisaster7141
    @hishamtisaster7141 6 років тому +2

    mashallah may allah bless you brother nassir

  • @alkarimdewji2706
    @alkarimdewji2706 7 років тому +3

    Wallah,sina la kusema kuhusu huyu brother,Allah akujalie maisha marefu na afya Njema

    • @BrotherNassir
      @BrotherNassir  7 років тому

      alkarim dewji ameen shukran Ndugu Yangu, Allah akubariki

  • @mariamabdalla1612
    @mariamabdalla1612 3 роки тому +2

    Not bad it can win you over♡♡♡

  • @ifraaxibrahim636
    @ifraaxibrahim636 7 років тому +13

    Maashaalah that's true wallahi

  • @mamushiem229K
    @mamushiem229K 4 роки тому +1

    I love mama.... This Nashid makes me cry 😢

  • @shukrikaahiye2622
    @shukrikaahiye2622 3 роки тому +3

    Mashaallah may Allah bless our mothers inshaallah

  • @hodaneymaxamed6793
    @hodaneymaxamed6793 6 років тому

    mashallah barakalllah brother nasir

  • @hajraghanim2217
    @hajraghanim2217 6 років тому +7

    amazing mashaallh

  • @leahmunji6432
    @leahmunji6432 3 роки тому

    Tunawaombea inshallah mama zetu ...na walio tangulia mbele za haki mungu awaondolee athabu ya kaburi.

  • @hanifayunus8502
    @hanifayunus8502 7 років тому +4

    MashaAllah TabarakAllah..

  • @fatmahbakhar9686
    @fatmahbakhar9686 6 років тому +2

    Mashaallah I like this nasheed may Allah subhanah wataAllah Grant u jannah.#Nani kama mama.?

  • @asmahansalim8992
    @asmahansalim8992 5 років тому +3

    Mashallah takbir mabruk 👊👊👊👊💪💪👍👍👍

  • @rehemasizya4709
    @rehemasizya4709 2 роки тому

    Hakika pepo ya dunia ni mama 🥰Allah awape maisha marefu walio hai awape kauli thabiti waliotangulia mbele za haki 😘

  • @janerosememba7498
    @janerosememba7498 6 років тому +3

    Mashaallah, God bless you brothers

  • @simonitaagesti3657
    @simonitaagesti3657 5 років тому

    Nakukumbuka mamangu mwenyezi mungu akulaze pema peponi mama