VUMILIA MOYO WANGU (Endure My Heart) OFFICIAL VIDEO BY BROTHER NASSIR FULL H D

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 506

  • @ETt-r3e
    @ETt-r3e 4 місяці тому +3

    InshaAllah mungu atuomgeze subra katika mitihani ya kidunia

  • @BrotherNassir
    @BrotherNassir  8 років тому +73

    Assalaam Aleikum Warahmatullahi Wabarakaatu Thanks For Keep On Supporting Your Brother
    Please Kindly Share the Link On Your Social Media To All Your Friends... Brother Nassir Love You All For the Sake of Allah ua-cam.com/video/3R3bjT3Zc5s/v-deo.html

  • @zobidaal4423
    @zobidaal4423 5 років тому +7

    Allah atupesubra tuishinde mitikhani yadunia inshaAllah

  • @husnamrisho640
    @husnamrisho640 2 роки тому +1

    Mashaallah Allah akujalie Kila la kher I brother nassir

  • @salimujabiri3611
    @salimujabiri3611 4 роки тому +4

    Mashallah Mm Naipenda nairudia kila Mara inamavunzo na Kweli ukiwa na subra kila kitu kinakwenda vyema

  • @janataninaim4978
    @janataninaim4978 2 роки тому +1

    Mashaallah broo hii kaswida ulipoitoa wallahi ilinifariji sana Allah akulipe kheri inshaallah

  • @abdullahalrawahi5356
    @abdullahalrawahi5356 8 років тому +23

    Assalam aleykum brother Nassir hakika vumilia moyowangu inagusa maisha tuliyonayo hakika Allah akuzidishie k heri Amina

  • @fayzahamza3568
    @fayzahamza3568 2 роки тому +1

    Shukran Sana🙏Allah baarik
    Hakika Allah atatujaalia subrah

  • @maimunasaidy6998
    @maimunasaidy6998 7 років тому +16

    😢😢😢😢😢😢😢vumilia moyo wangu ninamitihani mingi sana thakn brother umejua kunifariji sana nilishakata tamaa kabisa eee yarab nipe subra 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢shukran duu

  • @munamuna2073
    @munamuna2073 5 років тому +8

    when the first time I listen this qaswida I start crying mashaalah bro kip it up 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @idakamanga6042
    @idakamanga6042 8 років тому +48

    Natamani waislam wote tungekua teamAllah na kusapoti kazi zinazomhusu yeye..kip it up bro.

  • @aishaabdion9802
    @aishaabdion9802 7 років тому +23

    nipo kwny wkt mgumu ila nimepata faraha baada ya kuickia hii nasheed shukran Allah azid kukuongoza In shaaa Allah

  • @salimchiogwe4826
    @salimchiogwe4826 7 років тому +16

    bro nassir you are my roll model.every day ilike lessen you qaswida allah has bless you a beautiful voice which attract all muislims....

  • @elajiabdallah2182
    @elajiabdallah2182 7 років тому +2

    Allah atupe subra kwenye kila mitihani atujalie na mwisho mwema.Ameen

  • @maryamjabiry5639
    @maryamjabiry5639 6 років тому +3

    Uzito malimwengu ni kadari yake mungu,vumilia moyo wangu faraja iko karibu
    Maa shaa Allah , Asante sana kwa nasheed nzuri

  • @jokhanassor3507
    @jokhanassor3507 6 років тому +2

    Alhamdulilah =ni kweli kabsa dunia nyumba ya mitihani shukran brether 😎👆

  • @daulathabeer7192
    @daulathabeer7192 6 років тому +2

    Wallahy naipenda sanaaa hiiii inanigusa wallahy mashallah Allah akuzidishie

  • @frankkimaro47
    @frankkimaro47 6 років тому +8

    kiukwel hii nasheed inanitoa machozi . Allah akuzidishie brother nasr

  • @ياسمينياسمين-ج9د
    @ياسمينياسمين-ج9د 5 років тому

    Umenifariji sana nilikata tamaa kwa mitihani niliyoipata. Thank u brorther nassir🙏🙏💞💞💞💞💞🌹🌹🌹🤗🤗🤗💓💓💓💓💓💓

  • @zalhatmzalhat4183
    @zalhatmzalhat4183 6 років тому +4

    Ma shaa ALLAH ALLAH protect him for everything In shaa ALLAH

  • @sheimaasalimu1564
    @sheimaasalimu1564 6 років тому +6

    vumilia moyo wangu😍 faraja ipo njiani. mashallah

  • @muslimsnewsvideos7882
    @muslimsnewsvideos7882 8 років тому +1

    mashallah mashallah mashallah shukran AL Akhii hadi umeniliza ndugu yangu...... Allah akuzidishie kila la kher

  • @fransiscasimon6658
    @fransiscasimon6658 5 років тому

    Yaani hii NI Tiba ya moyo Mwenyezi Mungu azidi kukutumia kwa kazi yake Kaka machozi yanitoka AAA my God

  • @asaliaisha
    @asaliaisha 7 років тому +2

    Asalam aleikum, mabrroook shairi na sauti nzuri mashaAllah. nimeupenda sana. nimeujia wakati mwafaka. unaniliwaza sana.Ya Rabbi atuzidishie uvumilivu.

  • @ayubmoha8641
    @ayubmoha8641 7 років тому +5

    Noway i don't have any word to say for this nashida bro may Allah bless you

  • @maryamfarhaji9491
    @maryamfarhaji9491 4 роки тому

    Mimi naomba uniowe sina kitu kama hunitaki ww basi nitaftie mwanaume aniowe mweny hofu ya mungu nataka kubadika inshallah 🙏

  • @nassraalbusaid6439
    @nassraalbusaid6439 7 років тому +7

    إن الله مع الصابرين...أتقنت ما شاء الله
    hongera sana.

  • @abdikadirabdisalan9902
    @abdikadirabdisalan9902 6 років тому +1

    Hakika dunia ni nyumba ya mtihani and jela you muumin. Moyo vumilia mpaka utapomrudia mola wako. Asante ndugu kwa Anasheed hiyo nzuri.

  • @wakatiomar5123
    @wakatiomar5123 6 років тому +2

    Masha Allah Allahu barik brother nasir😭😭😭😭😭imeguzaaaa

  • @saumuhassani9414
    @saumuhassani9414 4 роки тому +1

    Mashallah nasheed imenigusa mpk nalia mungu akujaalie brother

  • @rahmahabibu1432
    @rahmahabibu1432 5 років тому +2

    Bro mashallah unatuelimisha nashd zako hz ni nzuri Zaid kuliko ht ulizo Tia mziki

  • @abuuhaythamhajji1474
    @abuuhaythamhajji1474 7 років тому +7

    heart touching nasheed thank you brother nasir for this nasheed may Allah bless you entire of your life

  • @abdulazixhassan1439
    @abdulazixhassan1439 6 років тому +6

    all you nasheeds make me fill strength in heart love you brother nassir may allah grant you jannah tul firdaus all of us umma

  • @omarkeens5924
    @omarkeens5924 4 роки тому +1

    nzuri xana ratha nassir inshalla

  • @najlaskitchen1572
    @najlaskitchen1572 2 роки тому +2

    My heart need to hear this right now..am tired ya Rabb 🤲🤲😭

  • @saidsaid9463
    @saidsaid9463 6 років тому +2

    Huu wimbo unanipaga sana faraja mungu akupe kila lakheri

  • @rahmashaban8693
    @rahmashaban8693 8 років тому

    subhannallah. shukran Brother Nassir. Allah akulipe kher ni mawaidha tosha kwetu.

  • @reymuniud8d8d87
    @reymuniud8d8d87 7 років тому +16

    Mashaallah mungu akuzidishie kipeji bro

  • @zulfahaji283
    @zulfahaji283 6 років тому +2

    Mashaallah kaka hii ndyo nashd sasa isiyokua na midundo allah akuzidishie in shaa allah

  • @daudisongoro5641
    @daudisongoro5641 6 років тому +2

    Allah akuoongoze uendelee kuishika imani

  • @khadijakamau5849
    @khadijakamau5849 3 роки тому +2

    M a bro keep it up I.a u will go high

  • @jamillaburhan1265
    @jamillaburhan1265 6 років тому +10

    Am proud to be a Muslim thank you my dear GOD

  • @rachnavihan3575
    @rachnavihan3575 7 років тому +48

    whenever am sad..i listen to this..shukran brother..inatufaa wenye depression..

  • @mkuureje5121
    @mkuureje5121 4 роки тому

    Brother Nassir nakukubali gaswida zako,mashallah Kwa kipaji chako na Mimi pia naiombea Moyo wangu uweze ku2lia coz imezid uzito wa dunia.😭😭😭

  • @aminaabdul3095
    @aminaabdul3095 4 роки тому

    Allah atupe subra kwan ss wengine tuna diriki kufanya maamuzi na kutoa kauli chafu muda mwingine

  • @AliMwakuikiza
    @AliMwakuikiza 3 місяці тому

    Ndugu zangu waislamu nyote nawaomba msisahau kuwaombea ndugu zetu qhaza Palestinian dua mungu awafanyie wepesi

  • @rashidvuai9750
    @rashidvuai9750 8 років тому +1

    masha Allah Allah akupe umri mrefu update kuzidi kutuelimisha ya kheir

  • @ramadhanihassani256
    @ramadhanihassani256 6 років тому +1

    brother sasa unataka kuzinguaaaaa Bhanaa

  • @salhahamza3427
    @salhahamza3427 5 років тому

    Mashaall mungu akupe umri mrefu ujumbe mzur san

  • @mariammasalu3831
    @mariammasalu3831 7 років тому +5

    Nyimbo zako Mashaallah Mungu akuongezee palipo pungua Inshaallah

  • @nadyahassan7924
    @nadyahassan7924 5 років тому

    mashallah kaka yan nakupenda sn ww unatuelimisha na kuzid kutupa moyo wallah Allah azidi kukupa nguvu pamoja na umri mrefu

  • @qushthumsalim9244
    @qushthumsalim9244 7 років тому +1

    nasheed hii hutamani iwe na mwisho wallahi . its so heart touching. Allah . atujaalie mioyo yetu iwe na subra ya kuhilmili mitihani kma alivyo imba brother Nassir . BN big up . keep giving us more of these . in shaa Allah .

  • @ibrahimomar4412
    @ibrahimomar4412 8 років тому +5

    MASHA ALLAH nzuri sana.Keep it up

    • @BrotherNassir
      @BrotherNassir  8 років тому

      Ibrahim Omar thanks share the link to supporr

  • @mwaminiuwimana2916
    @mwaminiuwimana2916 5 років тому +1

    Mansha allah allah akuzidshe🙏moyo vumilia dunia Ninyumba y'a mithihani😪😪

  • @shuasaishuasai4108
    @shuasaishuasai4108 5 років тому +1

    Niko nna , , huzuni hunijaaa 3 years now am soo sad but nakuskilza hii nasheed yko mashalh Ina ni hope sana 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @salehali8103
    @salehali8103 4 роки тому

    Daaah😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 unanifariji nikiwa wakat mgumu hakika mungu atakupa pepo ya mwazo firdaus kwasote amina

  • @fatmanassor1211
    @fatmanassor1211 8 років тому

    mashllh Nassir mung azidu kukuongoza mashllh kila niangalia video zako nakumbuka madrasa tuli sakina mung amekuongozo mashllh

  • @SbsBts-g3v
    @SbsBts-g3v Рік тому

    Kweli kka AllAH hakupi mtihani usio uweza Inshaa AllAh subra

  • @halimahhalima5706
    @halimahhalima5706 6 років тому +14

    Asalaam alaykum brother Nassir, I really like this song and it's so emotional, it made me cry! It's touching our souls and so encouraging,, however much we maybe going through, Allah is the only solution to our problems ! Jazakallahu khairan, I like your songs coz they've a strong message! May Allah reward you with good!

  • @twaibahussein6636
    @twaibahussein6636 8 років тому +5

    mashllh mashllh..a very touching qaswida..imenilizaa..

  • @qureshaosman5052
    @qureshaosman5052 5 років тому +1

    Allah amesema katika kitabu chake kitukufu Qur'an neema za Allah hai hesabiki

  • @stumaizumbe8252
    @stumaizumbe8252 5 років тому

    Mashallah Allah akuzidishie kwa nasheed hiz

  • @rahmahassan9428
    @rahmahassan9428 7 років тому +8

    Maa sha ALLAH bro, the nasheed is heartwarming walahi, I loved it

  • @amaniyong1037
    @amaniyong1037 4 роки тому +3

    Always remember Allah be4 u make any hestie decision since he is great vumilieni wenzangu coz subira ni muhimu

  • @hawata7614
    @hawata7614 6 років тому

    Allahu Akbar allahu Akbar allahu Akbar
    Ya Allah tuzidishie iman tuwe wenye kushukur kwa kila mitihan tupitiayo mola wetu tujaalie na kiwiliwili jenye kusubiri kila dhiki na mitihani yote itufikapo mola type faraja za dunia na akhera allahumma amin thumma amin

  • @LaletyNurrein
    @LaletyNurrein Місяць тому

    Cngrts bro.Allah azidi kukuongoza utoe zaidi ya hii iweze kuongoza walo potea.Mashaallah

  • @aishaashok4893
    @aishaashok4893 5 років тому +1

    mashaAllah huu wimbo una sauti na maneno ya faraja sana.

  • @leilamohamed4061
    @leilamohamed4061 8 років тому +3

    MashaAllah.this is one of the best nasheeds brother nassir.keep it up

  • @jasmineidd8524
    @jasmineidd8524 7 років тому +1

    Thank you brother nassir kwa nasaha nzuri, mola wangu nipe moyo wa subira nizidi kuvumilia mitihani inayonikuta ktk maisha yangu. amiin

  • @hamisadodo453
    @hamisadodo453 6 років тому

    MashaaaAllah nafarijika nisikiapo nashidi hii Santee

  • @fatumamacharia9465
    @fatumamacharia9465 6 років тому +4

    Thank you bro and let God fight for your battles 🙏🙏🙏

  • @sophmaua2097
    @sophmaua2097 7 років тому +6

    maa shaa Allaah Amazing nasheed

  • @husnajohn212
    @husnajohn212 6 років тому +2

    mashaallah brother nassir nakupenda kwa
    ajili ya Allah

  • @salusecurity2980
    @salusecurity2980 6 років тому +1

    masha Allah....... Brother Nassir hakika umejua kugusa mioyo ya wengi katika hili

  • @salmamohammad7308
    @salmamohammad7308 7 років тому +6

    MashaALLAH best nasheed...keep it up

  • @asmaahmed5330
    @asmaahmed5330 7 років тому +4

    mashaAllah brother nasir keep it up mungu akuzidishie imani inshaAllah

  • @shuusimpson6987
    @shuusimpson6987 8 років тому +10

    mashaallah nasheed nilikuwa naisubir kwa ham ahsante😙#vumilia moyo wng

  • @maryamomar7668
    @maryamomar7668 6 років тому

    maashaa Allah
    nakupenda kwa ajili ya Allah Bro nassir Allah akuzidishie kila lenye kher

  • @biommy9472
    @biommy9472 7 років тому +6

    soo touching...like very much ur qwaswida broo nasheed

  • @عايشهسعيد-ض5ذ
    @عايشهسعيد-ض5ذ 7 років тому

    shookraan sana brother Nasser wallah imenigusa na naipenda sana allah akubarik kipenzi chetu

  • @yussramasoud1695
    @yussramasoud1695 2 роки тому

    Nasheed hi inaniliza sana wallah yarrabi nifanyie wepesi kwakila mtihani

  • @fatumahassan2044
    @fatumahassan2044 5 років тому

    Mashallah.. allah akuzidishie kutupa moyo

  • @faudhiasaid93
    @faudhiasaid93 8 років тому

    mungu akujaalie mwisho mwema bro nasr bext nasheed

  • @hashimhabib3024
    @hashimhabib3024 7 років тому +1

    kwa hakika ni tamu sanna maneno yanapenya mpkka ndani ya moyo

  • @77bakarijuma77
    @77bakarijuma77 7 років тому +1

    nice nasheed brother. ALLAH akuongoze

  • @masonkhalifa3216
    @masonkhalifa3216 5 років тому

    mh.wekwel noma insha Allah mungu. akupekipaj zaid yaapo. ulip fikia tupate kusikia vizury amen

  • @zaudatmakula3454
    @zaudatmakula3454 7 років тому +3

    masha Allah umenigusa moyo mpaka chozi lanitoka😢😢😢😢😭😭😭😭😭

  • @binaffan5582
    @binaffan5582 7 років тому +8

    mashaallah bro,keep it up may Allah bless u and give u knowledge

  • @salhakhatibu500
    @salhakhatibu500 7 років тому +1

    a/alykum br nasir nafurahi Sana ninaposikiliza qaswida zako kwasababu zote zinamaana zinaelimisha m/mungu akupe umri mrefu inshaallah

  • @samirahasna9005
    @samirahasna9005 7 років тому

    Masham lah nazipenda sana Bro nassir mung akuzidishie uzidi kuendelea ameen

  • @maryamliposso1353
    @maryamliposso1353 6 років тому +5

    This nasheed is everything, Masha Allah,

  • @ayshasalim1963
    @ayshasalim1963 6 років тому +5

    my favorite qaswida of all the time. ..ma shaa Allah

  • @badruahmed2064
    @badruahmed2064 8 років тому +32

    Masha Allah. The best heart touching nasheed .keep it up broo. #lazimtartiib

  • @aminaalihamad7749
    @aminaalihamad7749 7 років тому +3

    nice 1 brother Nassir
    vumilia moyo wangu 😢

  • @chilejr1034
    @chilejr1034 6 років тому +1

    Asante nduguh
    Beautiful nasheed 😍😍👍

  • @mwanaharusimbwana3079
    @mwanaharusimbwana3079 4 роки тому

    Allah ampe umri mrefu,amiin

  • @saidasaidjuma3505
    @saidasaidjuma3505 6 років тому

    Insha'Allah yarabil ghlamimiin ALLAH ATUJALLIE MWISHO MWEM 🙏🙏🙏🙏NA WENYE KUVUMILIA 🙏🙏

  • @hannannshee6921
    @hannannshee6921 8 років тому

    mashallah nice nasheed.mungu atuzidishie moyo wakuvumilia

  • @athmanali8575
    @athmanali8575 6 років тому

    Subra muhimu kaka Allah atakufikisha utakapo In Sha Allah

  • @najmaabdy31
    @najmaabdy31 4 роки тому +2

    Yah having Allah in your life is the best thing ever