Mama Tasha umeniliza kweli kweli ,hongera sana kwa kuweza kumlea Tasha ukiwa peke yako bila baba yake single mother sio mchezo,Sasa kilamba nawew hukumbuki kua bibi yupo subiri yakukute
Baba tasha kwakweli uhuruhusiwi kuitwa baba kabisa ,umemnyanyasa mama tasha sana kwa mda mrefu sana ,maoni yangu ni haya mbona msamaha ukiwepo mambo rahisi jamii iwe pamoja ,😂😂😂😂😂
Ila Huyu Bibi ake zuu ni mnafikii Kwanini hakutaka kufatilia alivyokua kwa mchepuko mpaka Baba akee Kay kaondoka kumtafta na yeye hasemi chochote sijapenda 😂kumharibia kilamba wangu Bhna 😅😅😅
Baba Tasha ni miongoni kwa wale wababa wasiojielewa badalankuyajenga uwayabomoa😢 kilamba we n mkeo chaenda kuwalamba sasa bibi zuri kshaona mchezo mlioucheza😂 jamani candy haezi kubadilik😅
Iyi sasa ndo busati TV niliyokua nahisubiri busati TV ahicheleweshake Ila Siku izi busati TV mlikua nalala sana. anaye amini busati TV imerudia kama zamani tujuane kwa like
Ila Sania Na mchumba wako mmenibamba sana 😂😂😂😂
@@salimmwero6840 hk nahuyo rafikie yake alie kosa aibu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Matangazo mengi mpaka kelo
Usichukie mtanagazo ndio yanafanya tunashoot
@@LailatFrancis download uangalie kawaida bila matangazo
Saiv na enjor BUSATI MUNG AZIDI KUWAP NGUVU MSITUCHELEWESHEE ..MOVIE YETU❤❤
Kama unakubali mama Tasha n kiboko weka like tukisonga
Nakupenda Sana mama tash
Asante sana mama kwa kunilea peke yako bila baba na nikasimama imara asante sana ❤❤❤
Malezi ya MMA bila BBA ni tofauti na ukipatamalezi ya wazazi wote mr
Tasha nakukubali sana kaka angu
Mama tasha chukua maua yako🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Na mm namuongezea 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤ mama Tasha tunakupenda
Mama tasha amecheza part yake kama.wamama wote amewmakilisha single mother wote🎉🎉🎉🎉🎉🎉mama n mama hadi sku ya kiama😢😢😢
Mama Tasha ameniliza kweli kweli😭😭😭😭nani mwingine ametokwa machozi kwa maneno ya uchungu ya mama tasha
Mama Tasha umeniliza kweli kweli ,hongera sana kwa kuweza kumlea Tasha ukiwa peke yako bila baba yake single mother sio mchezo,Sasa kilamba nawew hukumbuki kua bibi yupo subiri yakukute
🤣🤣🙌🙌
😂😂kajitowa akili 😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂kilamba kitakuramba
Kipande hicho Cha baba na mama Tasha nimekipenda sana hongera director
Shukran
Mama Tasha pongezi kwawa Mama woote wenye nidhamu kama Mama Tasha tujuane kwa like
Tupo
Kiramba kmemramba 😂😂😂😂naomben like jmn ata kam nmechlwa🎉🎉
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Kilamba
Mungu awabariki sana wote mnaoangalia move hii 🎉🎉🎉
Baba tasha amenikera sana kiukwer 😢😢😢😢😢😢
Kendi nakupenda buree
Pia mimi amenifika kooni
Baba Tasha anabowa
Ww mjnga ww baba Tasha unampgia nn mam Tasha acha ujinga
Mama Tasha ongera w ni mama jasir ❤❤❤❤❤ nashukur Kwa mafunzo yako
Baba tasha kwakweli uhuruhusiwi kuitwa baba kabisa ,umemnyanyasa mama tasha sana kwa mda mrefu sana ,maoni yangu ni haya mbona msamaha ukiwepo mambo rahisi jamii iwe pamoja ,😂😂😂😂😂
Wanaume wakuogopa mke wake kama Kai walikufa na vita ya maji maji wanaume wa Zama hizi wanachepuka na bado wanajibu jeuri
Nkwambia
😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂
Ww kilamba huyu zoba kakuponza maaan umejisahau kua bibi ni nimtalam umevuja waminifu kwa zuu daa nakuonea huruma ww na mpumbavu mwenzako daa pole ila mko juuu🎉🎉🎉❤
🙏🙏🙏
Kilamba kitakuramba unasahau kuwa kna bibi😮😮😮
Kilamba nakuonea sana huruma mpango gan huo una mahauri mwenzako 🥱🥱🥱
Daaaa ganyai umeyabananga Leo, bora hata ungejiita mshindo tu maana huna hadhi ya kuwa ganyai
😂😂😂😂😂😂😂😂wasambongo
Polee mama tashaa I love you❤️❤️❤️
Kilamba we ni kiboko ila umeumbuka kwa bibi zulu 😂😂😂😂😂
😂😂😂 kilamba amenichekesha
Sukari rooooohbo alivyochukiwa na shemeg yake cendy😂😂😂😂😂
Haha bibi zuuu mhmhmh ok nice njia ya muongo fupi
Hili suala la mama Tasha kupitia magumu liwe funzo kwetu soote
Haki kilamba unajua kuigiza
Atakutana na wasambongo shauri yake
Ila Huyu Bibi ake zuu ni mnafikii Kwanini hakutaka kufatilia alivyokua kwa mchepuko mpaka Baba akee Kay kaondoka kumtafta na yeye hasemi chochote sijapenda 😂kumharibia kilamba wangu Bhna 😅😅😅
😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂kimemuramba kama jina lake kiramba😂😂😂
Bibi mbea sana😂😂😂
@@kibibimlaula2526 Sanaa 😂😂🙌
@@zuleykhasaid967 atulize kitobo🤣✍️
Baba Tasha ni miongoni kwa wale wababa wasiojielewa badalankuyajenga uwayabomoa😢 kilamba we n mkeo chaenda kuwalamba sasa bibi zuri kshaona mchezo mlioucheza😂 jamani candy haezi kubadilik😅
❤❤❤
❤❤❤❤@@busatitv
Bibi atawafichuwa kwenye hili nani anae amini hili naomba like zenu jamani
😂
Bi zuu akiwa Mimi sina shinda😂😂😂😂😂wewe Kiramba nakuona kwa ukuta TV 🤣😂🤣🤣😂🤣🤣😂🤣🤣😂🤣🤣
😂😂😂😂😂😂@@ivayodianap
Kilamba kitamlamba kama Jina lake ameumbuka mapemaaaa😅😅😅😂😂😂😂 kumekuchaaa yaan nikama vile ulitabili kua wataumbukaaa
Kazn kw kilamba kuna kazi
Ila candy jmn😃😃😃😃😃yaan sania hao watu anaowapata 😄😄😄
Mama ni mama aisee apewe thaman yake tuwapende sana mama zetu kama wapo hai na kama ametangulia mbele za haki basi tusichoke kuwaombea dua
Kilamba kitakuramba 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌
😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂kilamba unadanganya ngoja Bibi zuu akaongee na mizimu yake Leo ndo utaumbuka
Kiramba kimerumba kweli bibi ametatua ukweli utaficha wapi sura yako na hiyo machozi ya uongo 😂😂😂😂
Bora chai na muhogo kuliko mkate wa masimango
Naombeni mnambie candy bado ni chizi au 😂😂😂❤
N kama ana wazm bard 😂😂😂 chizi gan uyo kackia million 4 akili zmemrudi 😆😆🙌
@salamamwazuma315 jamani 🤣🤣
Kiramba kimekuramba utajua haujui na hiyo uongo wako, haukutambua kuna bibi zuu, pole sana ndugu yangu
Mpumbavu mwenzangu Leo ameongea kama mtu mzima...ndoa na line na simu hahaha mambo Moto jamani afazali ndoa ya zuu isivunjike jmni
Kilamba kitakuramba 😄😄😄😄😄😄😄😄😄💪
Xaxa kiramba xubili kikurambe unawaongopea waxambongo kazi unayobaba
Kiramba kinakuramba kama jina lakoooo😂😂😂
Ila kiramba Bana uwongo adi una Liya Ila atari kwako basambongo wamesha kuhona😂😂😂
Lkn kilamba Leo umecheza vizur kwa hii movie
Bibi zu awezi sema cz anajua wanaokoa ndoa ya mjukuu wake
Heri anyamaze nae mana loooh si angeenda kule kwa mchepuko ili Kai asibakwe
Mmh kilamba jamaniiiiiiiiiiiii🤣🤣🤣
Kazi nzuri sna mungu awafanyie wepesi
Kilamba mnampa dakika nyingi sana halafu hana uchekeshaji wa nini
Kilamba Leo hutalamba ukwaju wa Bibi 😅😅😅😅
Ila kilamba leo umeyatimba, umesahau kama kuna masambongo ya bibi zuuu.
Mpumbavu umetisha
Kilamba utajua hujui 🤣🤣🤣🤣🤣
Wenye wanaomba Bibi akatazwe na masambongo kufichua ukwel fiken apa
Hahahaaaa😂😂😂😂😂 kilambaa bibi zuu ajakuaibisha 😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂kilamba Bibi zuli atakuona na misimu yake wewe kilamba 😂 kitakuramba kwl
Lakini candy yuakumbuka Ana ujauzito wa pweza😂😂😂😂😂😂😂😂anavyomwongelelea mpenzi wa mwnzie😂😂😂😂😂😂kweli nyani haoni kundule😂😂😂
Yeye kajisahau
Siunajua huyu kichwa chake hakipo sawa bado😂😂😂😂😂
Bado hajapona huyo 😂😂😂😂
Ila kilamba bwana Eti mwili kushoto miguu kulia😂😂😂😂
@@ShukuruSamwel-po1wh eti🤣🤣🤣michongo ya uongo hio🤣🤣🤣
Kiramba wauliza bibi yuaenda wap subir wasombongo wasema ukweli😂😂😂😂😂leo kitakuramba 😂😂😂😂
Hapo nilicheka kwa sauti
😂😂😂😂😂😂😂
Kilamba unaenda kumbuk 😂😂
Kilamba Ulisema Hutomsaidia Kai kimekupata nn😂😂
Sambongoo subir amuonyeshe bibii
Mpenzi Wa Sania habadilishi😂😂😂😂😂 nguwo 😅😅😅
Kilambo kumbe anajua ku fake incident...inaruhusiwa kutumia uongo kwa jambo la manufaa...amesahau bibi ako na wasambulu..washaumbuka.
...😅
Kilamba utaonana na bibi baadae 😂😂😂
Bibi atachomoa betrii 😂😂😂😂
Nyie hii nyumba yakai mbona chumba chabibi hakifanani na nyumba tunavoiona sebleni😂😂
CHUMBA CHA NJE
Kweli kabisaaa
Muongo bwana
Hasira zimeishia kwa vijana 😅😂 baba Tasha
Honger sana mama Tasha kwa Msimamo wako jana mama ❤❤❤🎉🎉🎉
Ķilamba my favorite 😂😂😂😂😂😂😂😂
Mjomba sukari roobo
Mam tashaaa🎉🎉🎉🎉
Bibi lamba kilamba alambike kwa uongo wake😂😂
Team strong kujen tutoe stress uku jaman
yaani stress 2nazimalizia uku hongera wanabusat
😂😂😂kilamb bib zuu amekuon kam umetegenez uwog kitakuramb sas😮😅
We Kilamba bibi atakuumbua😂😂
Nimunafiki nganyai reo doamejua samani yamtoto wanawake tushituke wanaume kama mzee nganyai wapo tena awafai kabisa mungu awaazibu ipasavyo
Wow hii n Kali kilamba nimecheka yangu yote
Kilamba unanipa raha 🎉🎉🎉🎉 unajuwa kumaliza kesi kilaini Hadi raha 🥰
like iyooo kilamba kimemlamba kweli jamaniiii umeona sasa unajiondelea uwaminifu😅
Iyi sasa ndo busati TV niliyokua nahisubiri busati TV ahicheleweshake Ila Siku izi busati TV mlikua nalala sana. anaye amini busati TV imerudia kama zamani tujuane kwa like
Safi sana bibi🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Zuu na bibi mnafanana😂😂😘
Asante
Kilamba leo kimekulamba mpumbavu mwenzng 😆😆😆 bibi c wakuchezea 😅
Léo nimewai naoba laik jamani
😂😂😂😂kilamb kitakulamb kam jin lako😊
Kilamba sio kwa uongo huo😂😂😂😂
😢muwaishe nyingine jamani kazi nzuri sana
Kilamba bibi zuu muko nayeye sambamba😂😂😂😂😂😂usijifanye mujanja 😂😂😂wasambongo wamesha weka ukweli hadharani😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Naomben like hata tano
😮😮basambongo bameonesha ukweli bibi kwamba kiramba anasema uwongo❤❤❤
😂😂😂😂😂 bibi zuuh chukua mauwa Yako waumbuwe wakome😅😅😅
Wa kwanza Leo🤣🤣 twende nalo
Wapi maua ya mama Tasha❤❤❤❤
Kilamba umemsaau bibi zuu nipeni like zang
Kiramba 😂😂, true friend 😅
Mama Tash 😭😭😭😭😭😭kweli single mothers tuliyapitia na badu tunayapitia😢😢😢
Hongera sana mama Tasha 🎉🎉🎉
Huyo bibi nae na mizim yke mbona haikumuonyeshaaaa aluvyolala njee
Kilamba umepatikana na uongo wako leo 😂😂😂taambia nini bibi
😢😢😢Haya kazi iendelee
Mama Tasha nakukubali kiramba umeanguka mtihani