PLAN B _ Episode 16

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 вер 2024
  • #kp #kpnazebuu #zebuu

КОМЕНТАРІ • 1,1 тис.

  • @user-zs9wt4xi2g
    @user-zs9wt4xi2g 4 дні тому +72

    Anae soma comenti hii mwenyez mungu ampe hitaji LA moyo wake ❤

  • @sabrathissa6077
    @sabrathissa6077 4 дні тому +142

    Tulikuw tunamuombea sheyshey afanikiw kubrock system tujuanjmn 🙌🙌😅😅

  • @CrombiaNiomuhoz
    @CrombiaNiomuhoz 4 дні тому +63

    Sheyi sheyi
    Nakukubari kinoma kazinzuri❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤benitha gutoka Burundi tunawapenda sana

  • @janemumbua4683
    @janemumbua4683 4 дні тому +115

    Nani mwingine ameona shei shei angekuwa mwanajeshi angelinda nchi yake kwa matashi makubwa sana makofi kwa shei shei 👏👏👏👏👏ameitendea hii movie haki kweli

  • @kitomangatv8318
    @kitomangatv8318 4 дні тому +61

    Nampenda mzee likoma vile anavaa huusika kama nawewe una mkubali like

  • @OmarChigamba-sx4yc
    @OmarChigamba-sx4yc 3 дні тому +37

    Kama zebu anamficha kitu nable hamwambie ukweli kuhusu mjamzito wa kp hata like nipatieni mungu ata wabarik

  • @j.claudeniyonkuru3989
    @j.claudeniyonkuru3989 4 дні тому +79

    Kp wetu Bujumbura Burundi tuko pamoja leo mimi Niko wakwanza nipeni like zenu hata tanu tu

  • @MajimbiTz
    @MajimbiTz 4 дні тому +64

    WA MWISHO LEO🇹🇿🇹🇿🇹🇿.. EWE UNAESOMA HII COMMENT MUNGU AKUZIDISHIE RIZIKI ZAKO ZOTE NA AKUPE MAISHA MAREFU AMEEN🙏🙏🙏🙏🙏

  • @Ased-qy7sh
    @Ased-qy7sh 4 дні тому +17

    Shey shey alivyo shinda kuweka password nimefrahi mpka nimeamsha majilani ebu mpeni shey shey na kp maua yao❤❤❤❤❤❤

  • @merinasrije8687
    @merinasrije8687 4 дні тому +21

    Kweli hii ni plan B kazi yenu ipo vzr sana shey shey hongera sana kwa plan zako

  • @SirKinyogoli
    @SirKinyogoli 4 дні тому +171

    Wangapi hawataman kisai afanikishe kufujisha for tag tujuane hapa

  • @mkacibeiib7278
    @mkacibeiib7278 4 дні тому +264

    jmn Toka. nianze kuangalia plan B sijapt hata like Moja 😢😢

    • @numpefikimwaipopo
      @numpefikimwaipopo 4 дні тому +13

      Like sio zako dear wewe ndo utoe like Kwa wahusika mnatuchosha kuomba like utafikiri ndo mmetunga script

    • @Kharim_MTU
      @Kharim_MTU 4 дні тому +6

      Sikuizi vijana mnapenda like

    • @Barakabudobi
      @Barakabudobi 4 дні тому

      Ndiyo like zina faida gani​@@numpefikimwaipopo

    • @AgnesMasoud
      @AgnesMasoud 4 дні тому +4

      Na hautapata mwehu wewe😂😂 nenda uigize ya kwako😂😂😂

    • @OmninjafaceII.
      @OmninjafaceII. 4 дні тому +3

      Za Leo mingi ...kula kidogo zingine uuze

  • @mwanamisikifogo869
    @mwanamisikifogo869 4 дні тому +41

    30 mint watu mi 900 jamani 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉movie nzuri sana enjoy from kenya 🇰🇪 😂😂😂😂😂zuu utafanya nini umemuona mbaya wako leo

  • @Hayam-m8f
    @Hayam-m8f 4 дні тому +25

    Kazi safi sana Sheila 😅😅😅,nimefurahia Kwa kazi ambayo umeifanya siku ya leo,hongera dadangu,I hayam from Kenya🇰🇪🇰🇪👏👏👏👏

  • @NeemaLuambano
    @NeemaLuambano 4 дні тому +23

    Nampendag shei shei mm chukuw maua yakoo🎉🎉🎉🎉

  • @ChichiMackson
    @ChichiMackson 4 дні тому +24

    Sheila au komando kipens nakupendraaaaa ❤

  • @robertmurungi5621
    @robertmurungi5621 4 дні тому +17

    K p mko poa sana nawapenda sana.❤❤❤🎉 from kenya 🇰🇪 😍 nipeni like 👍 shangu 😅😅😅😅

  • @salimasava11
    @salimasava11 4 дні тому +23

    Shei shei kiboko yao good job girl 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @SamuelAloo-qv3kg
    @SamuelAloo-qv3kg 4 дні тому +16

    Shei shei mwenyewe nakupenda sana kwa kazi nzuri

  • @AnnaEugen
    @AnnaEugen 4 дні тому +13

    Tunaamini mr kisai anaenda kushindwa weka like

  • @PrincessHellen-pg1oy
    @PrincessHellen-pg1oy 4 дні тому +10

    Sijutii kufatilia plan B😊 shey shey na kp 😊

  • @bayubaheallydelly-rn2zv
    @bayubaheallydelly-rn2zv 3 дні тому +8

    Ii plan B ni bonge la mouve iko n'a experience ya wachezaji wao

  • @DottoMoshi-x9o
    @DottoMoshi-x9o 3 дні тому +25

    hii ndio maana halisi ya PLANI B wangapi tunaikubari tujuwane hapa❤

  • @CalmBallet-wf6un
    @CalmBallet-wf6un 4 дні тому +22

    Shey shey n stadi qwa kuigiza❤😅😅

  • @BagumaJulienBagumaJulien-k8g
    @BagumaJulienBagumaJulien-k8g 4 дні тому +13

    Jamani nawapenda sana kp pamoja na shey shey ninamatumaini mutaishinda vita kisai hata fanyikiwa💝💝

  • @Mnyazi-km9if
    @Mnyazi-km9if 4 дні тому +17

    Movie ikiwa n Sheishei huwa ni tamu sana

  • @AGRIPINAGABRIEL-do2ed
    @AGRIPINAGABRIEL-do2ed 4 дні тому +17

    Sheyshey na Kp me naona mngemshirikisha na likoma ingekuwa poa maana yko vnzur kweny mamb ya hayo

  • @RashidKidume-w8e
    @RashidKidume-w8e 3 дні тому +9

    Sheishei kazi nzuri upo juu kama mwezi na nyota nimependa kazi yako

  • @janemumbua4683
    @janemumbua4683 4 дні тому +87

    Kila mmoja anaye angalia na ku like movie hii awe na baraka za MUNGU maishani wakwaza ku like in 15second

  • @RuthMwende-qv7jo
    @RuthMwende-qv7jo 4 дні тому +8

    ❤❤wow KAZI nzuri hongera shey shey .

  • @aishaallyaishaally3220
    @aishaallyaishaally3220 4 дні тому +28

    Tunakukubali sana sheyshey huna show mbovu mauwa yako mama❤❤❤❤❤

    • @user-qo3oz5sv8b
      @user-qo3oz5sv8b 3 дні тому

      Pokea mauwa yako shey shey ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😅

    • @user-qo3oz5sv8b
      @user-qo3oz5sv8b 3 дні тому

      Naombeni like zenu jaman

  • @titusmwange4988
    @titusmwange4988 4 дні тому +15

    Nimeingoja Sana plan b thanks wanangu

  • @StephenKozgei
    @StephenKozgei 4 дні тому +11

    Wagapi wanatamani mipango y kisai ifeli❤❤❤😢

    • @user-qo3oz5sv8b
      @user-qo3oz5sv8b 3 дні тому

      ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍👍✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊✊🤜🤛🤜🤛🤜🤛🤜🤛🤜🤛🤜🤛🤜🤛🤜🤛🤜🤛🤜🤛🤝

  • @MATEOJOSEPH-nc8gf
    @MATEOJOSEPH-nc8gf 4 дні тому +34

    Kama ww bado hujalala unatazama plan b weka like hapa❤

  • @Mussa-j4i
    @Mussa-j4i 4 дні тому +21

    wakwanz mm leo🎉🎉🎉

  • @LinetOpio-uj2eb
    @LinetOpio-uj2eb 4 дні тому +12

    😂😂😂😂nisamee kwakuhisi vibaya beb... Rafiki yangu, sawa beb😮 rafiki yangu aki nyinyi tuuu

  • @nemaSafina
    @nemaSafina 4 дні тому +15

    wakwanza kutoka Burundi nawapenda sana❤

  • @NshimirimanaEmmelence
    @NshimirimanaEmmelence 4 дні тому +8

    Jmn kp ebu wayisha next ep usiwe unatukaiza sana nakupenda kutoka burundi❤ hongera kwa kaz nzuli🎉

  • @DonMooFILMES_Express
    @DonMooFILMES_Express 4 дні тому +25

    Hii ndio kazi yangu bora kwakweli plan B ❤❤❤

  • @CalebMuhindo-zs1pj
    @CalebMuhindo-zs1pj 4 дні тому +24

    Wakwanza leo ❤❤

  • @LucasBugagire
    @LucasBugagire 3 дні тому +7

    Hii movie inatufundisha tusikate tamaa katika maisha tunayopitia wangapi tunakubaliana like zenu ni muhimu sana ❤❤

  • @ConfusedBeetle-tw3um
    @ConfusedBeetle-tw3um 4 дні тому +16

    Tokea nifatilie kp na zebuu bado sijapata likes hata moja

    • @numpefikimwaipopo
      @numpefikimwaipopo 3 дні тому

      @@ConfusedBeetle-tw3um like sio zako dear ni za KP na Zebuu

  • @SamyShungu
    @SamyShungu 4 дні тому +14

    Nilikuwa na chunga kwa amu épisode ya 16🎉🎉🎉🎉🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @SarahNduwimana
    @SarahNduwimana 3 дні тому +2

    Kazi nzur saana kep na sheishei mungu mungu awabarik kwenye kazi yenu nzuri

  • @SmokeStar-
    @SmokeStar- 4 дні тому +14

    Khåzī khåzī ❤❤❤

  • @sadcome3213mapenzi
    @sadcome3213mapenzi 4 дні тому +16

    Wenyetunataka kuona zebuu stafanya nn like hapa

  • @FaridaFadhil
    @FaridaFadhil 4 дні тому +15

    ila mzee likoma jamaniii 😂😂😂😂

  • @SalomeRugalema
    @SalomeRugalema 4 дні тому +12

    Mzee likoma ndo apande nyuma ya bajaji😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @TBrownMusic-uw2ut
    @TBrownMusic-uw2ut 4 дні тому +6

    Kp good bless you kaz nzur San

  • @MwanatumuAmin-e2f
    @MwanatumuAmin-e2f 4 дні тому +7

    Sijachelewa naomba like na mm wa2 wa kp

  • @BerthaMisana
    @BerthaMisana 4 дні тому +11

    Nyie nao mnatuchosha bana Kila mtu anasema wakwanza anataka like mnakela bana

  • @jameswanyama4258
    @jameswanyama4258 4 дні тому +14

    Wakwanza🎉🎉🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @anthonianyangari9074
    @anthonianyangari9074 3 дні тому +4

    Jamani yote tisa mm nimemmisi suraji jaman ivi mmempeleka wapi

  • @JosephWanga-q1g
    @JosephWanga-q1g 4 дні тому +8

    Mko chap sana na mnaleta vitu vizr big up sana kwenu lakini sulaji yuko wap

  • @GladisKazoungo
    @GladisKazoungo 4 дні тому +5

    Oyaa sheishei nakukubali mwamba❤

  • @Treezer_85
    @Treezer_85 4 дні тому +2

    Kisai ananifundish jambo moja na limenisaidia sana kwamba kikulacho kingwoni mwako , sio kila anaekuchekea anakutakia mema, Rafiki wa karibu ndiye anaekumaliza hapa kuna cha kujifunza hongera mzee kitambi
    Pili nimempenda anavojiweka smart mzee wa suit❤

  • @FurahiniNsemwa
    @FurahiniNsemwa 4 дні тому +9

    Hahaaaa likoma ndo uliona sehemu ya kupanda ni huko nyuma ya bajaji tuu

  • @isayamwanjoka3958
    @isayamwanjoka3958 3 дні тому +2

    Kp & zebu mnabamba like clam vevo

  • @LukaKisoka
    @LukaKisoka 4 дні тому +9

    Kazi nZuri hingereni

  • @FahimuFarao
    @FahimuFarao 4 дні тому +8

    Sheila nakukubali sana rafiki yangu aseee

  • @ChristianRugenge-kd1xh
    @ChristianRugenge-kd1xh 4 дні тому +5

    Kwenye iyi movîe mtu ambaye amuja mutendeya haki kama zebuu mume Ambaye amepewa Awa endane kabisa ❤❤❤ mahana iyo couple si ipendi Kweli

  • @peterngila4221
    @peterngila4221 4 дні тому +28

    Wakwanza kutoka Kenya,, naomba likes zenu

  • @philisterrehema-yj4mu
    @philisterrehema-yj4mu 4 дні тому +5

    🎉🎉❤ wow hii kali kazi nzuri sana kp

  • @NzeyimanaNanaNzeyimanaNana
    @NzeyimanaNanaNzeyimanaNana 4 дні тому +4

    Hodiii umu ndani wapendwa❤❤❤❤ nawapenda sana team kp na zebu

  • @DEJONG_LEEH
    @DEJONG_LEEH 4 дні тому +31

    Wakwanza munipe like zangu
    Team zebuu na kp uhakika wanaupiga mwing snaaaa

    • @NiyeraJacqueline
      @NiyeraJacqueline 4 дні тому

      clam habari ya mjini

    • @DEJONG_LEEH
      @DEJONG_LEEH 4 дні тому

      @@NiyeraJacqueline ni gud cjui ww!!!!

    • @patrickkahangwa6666
      @patrickkahangwa6666 4 дні тому

      wee niii team clam VEVO bwnaa

    • @DEJONG_LEEH
      @DEJONG_LEEH 4 дні тому

      @@patrickkahangwa6666 yeah vp ww!?

    • @patrickkahangwa6666
      @patrickkahangwa6666 3 дні тому +1

      @@DEJONG_LEEH yah kaka mm team clam VEVO SEMAA hapaa pamoto ilaa clam VEVO ana balaaa sanaa aisee ngojaaa tuone u babe WA Tanu Kwa usalitii alafu bailamu kaka ameludiiii😂😂

  • @RunnyBoy_0
    @RunnyBoy_0 4 дні тому +6

    Safi Sana kp,ila jaribu ku harakisha❤🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬

  • @MaryamAdam-x8l
    @MaryamAdam-x8l 4 дні тому +10

    Waoooo❤️❤️❤️❤️

  • @hamzaIlunga
    @hamzaIlunga 2 дні тому +1

    From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo team aquino❤

  • @aliyahaji8512
    @aliyahaji8512 4 дні тому +4

    Good job kp na zebun keep it up ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @JullianaEmmanuel-tm5xg
    @JullianaEmmanuel-tm5xg 4 дні тому +6

    PGA kelele kwa wadada wapambanaj kama shey shey. Oyoooo kwny hii movie shey umetsha girl

  • @jorgecesilio8862
    @jorgecesilio8862 4 дні тому +5

    Shey shey na dogo nani bingwa wa computer?🤔🤔

  • @aishaabdallah1378
    @aishaabdallah1378 4 дні тому +5

    Utafikiri mm ndo niliempa komwe 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @JohnThomas-mq5fw
    @JohnThomas-mq5fw 4 дні тому +3

    Kazi nzuri saaana ❤️❤️🌹

  • @Fizzohofficial
    @Fizzohofficial 3 дні тому +3

    Walahi hii ni zaidi ya movie..... congrats kp kwa kufikiria ...... sheyshey uko sawa mamaaa..... zaidi nawapogeza wooote .... fizzoh wa kenya🍹🍹🍹🍹🍹🍹🍷

  • @MaryianKea
    @MaryianKea 4 дні тому +3

    Hongera binti likoma unafnya kazi kwa ufasaha🎉🎉🎉

  • @JemahEvaristo
    @JemahEvaristo 4 дні тому +4

    Shey shey apewe maua yake jaman 🎉🎉🎉🎉 anajiamini uyu dada nampenda bure

  • @KassimSalim-f4d
    @KassimSalim-f4d 4 дні тому +3

    yeah mzigo on trending tunasepa na kijij chap tu hongeren San 🔥🔥

  • @IradukundaEvelyneEvelyne
    @IradukundaEvelyneEvelyne 3 дні тому +2

    Sheishei nakubali dada yetu sheishei wangu ilove you so much from Burundi 🇧🇮🇧🇮 nawapenda bure my family 💯💯😘😘😘👌🏻👌🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🫰🏻🫰🏻

  • @EdwardMelius-b2i
    @EdwardMelius-b2i 4 дні тому +5

    Du good job

  • @Niska_Comedian_KP_243
    @Niska_Comedian_KP_243 3 дні тому +2

    Nawakubali sana Boss ❤❤❤❤

  • @anastasinjerigathoni1833
    @anastasinjerigathoni1833 4 дні тому +4

    Watching from kwetu home😂😂😂

  • @MwanakomboAliKhamis
    @MwanakomboAliKhamis 4 дні тому +5

    A shei shei we kiboko ila nawapenda sana big up

  • @NillaDotto
    @NillaDotto 4 дні тому +4

    Today as a first to comment nawapenda san kp gang

  • @Mcsadjomovies
    @Mcsadjomovies 4 дні тому +6

    Wa kwanza kutoka kongo GOMA liké zangu jmn

  • @Simbaa375
    @Simbaa375 4 дні тому +11

    Wakwanza Leo

  • @HillaryIsindu
    @HillaryIsindu 4 дні тому +7

    Kazi safi

  • @user-tl9qp3wb9u
    @user-tl9qp3wb9u 4 дні тому +2

    Kama unamkubali shei shei na kp,bonyeza👍,❤❤❤❤shei shei the plan Master 🫡

  • @halimamathew285
    @halimamathew285 4 дні тому +2

    She'll.sheli.lazima
    Tukupe.mauwa.yako.upo.makini.saba.nakupenda.kupita.maelezo.ilanawapenda.wote❤❤❤❤❤

  • @DennisKorir-kl3up
    @DennisKorir-kl3up 4 дні тому +8

    Wow!!!! zebuu ameshangaa zake yote😅😅😅 alafu hakuwa anadharajia sister yake amependana na adhui wake 😊😅😅😅 from Kenya 🇰🇪

  • @AsmaAsma-hy7wp
    @AsmaAsma-hy7wp 4 дні тому +9

    Wa Kwanza Leo like zangu

  • @salimasava11
    @salimasava11 4 дні тому +4

    Jamani huku watu wako mbioni kazi nzuri Leo mimi pia niko among the first ones

  • @nabiriecatherinemuchuka8816
    @nabiriecatherinemuchuka8816 3 дні тому +1

    woow sheishei najua hizo sio petrol😄😄😄😄🤩😍lakini big up. nakupenda tuu sna

  • @rajabunakuhwa1321
    @rajabunakuhwa1321 4 дні тому +7

    Picha linaanza...
    Baba yao akina Norah ni mgonjwa yupo hospital...
    Baba yao akina Norah ndye aliyembaka mama yk kp
    Kwahyo kp, Norah na zebuu ni ndugu
    Chen ambayo aliachiwa kp na Mama yake ndyo itamfanyaa baba yao akina Nora kumjua kp kupitia Chen ya Mama take
    Nimewaza mbele...

  • @bayahamisi
    @bayahamisi 4 дні тому +6

    Yan nacheka na cjamalza

  • @HappyMoses-rt1nv
    @HappyMoses-rt1nv 4 дні тому +4

    Nilikuwa naisubili toka asubh jamn❤❤❤❤❤❤

  • @YusraMshomary
    @YusraMshomary 4 дні тому +10

    Kila siku nawahi hamjawahi nipa like zangu Leo naombeni ajili ya timu nzima ya kp na zebuu ❤❤

  • @GrâceNchuti-y6b
    @GrâceNchuti-y6b 4 дні тому +3

    Âme naswa jamani 😂❤ nawa penda sana❤

  • @RuthNyatuka-qe3kd
    @RuthNyatuka-qe3kd 4 дні тому +1

    Sheyshey wewe n moto wa kuotea mbali,,, big up girl🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉sending love from kenya and team kp kwa ujumla kazi nzuri mungu awaongezee maarifa zaidi muzidi kutuburudisha

  • @salmanadjibu
    @salmanadjibu 4 дні тому +10

    Japo nimecelewa ilasiyosan nipeni lank atakumi kp nazebu nawapend bila kumusahahu nora

  • @mwajumalubuva
    @mwajumalubuva 4 дні тому +3

    Hehe kimeumana kp zebuu wapedwa 😂😂😂😂nilikuwa naisubi kwa ham