Hongera sana Musukuma. Huo ndio ubunge kuwaongelea wananchi. Kinachohitajika ni Elimu kwa wavuvi na kuweka vikwazo kwa nyavu ambazo zipo chini ya kiwango inayopendekezwa na wataalamu wetu.
Mkoa wa Geita mlikuwemo waongeaji wawili Msukuma na Doto Biteko wa Bukombe mwenzio kapewa uwaziri kaza buti Msukuma kutetea wanyonge usiwe na shaka Geita vijijini hutokuwa na upinzani
Kweli ni vyema waziri ajikite kuweka Mipango ya kuelimisha wananchi zaidi kuliko kuwaumiza wananchi ambao pengine ni kweli hawajui wanachokifanya. Safi sana msukuma.
Hongera sana Musukuma. Huo ndio ubunge kuwaongelea wananchi. Kinachohitajika ni Elimu kwa wavuvi na kuweka vikwazo kwa nyavu ambazo zipo chini ya kiwango inayopendekezwa na wataalamu wetu.
Nakukubali sana msukuma we king kweli waelimishe
Haya msukumaaaa BIG UP MZEE BABA
Haya bwana hapa kazi tu tutaonana 2020 msukuma mwachia mungu
una hofu ya mungu ndo maana unatetea wanyonge nakupenda saaana
Ongera sana msukuma
Aisee Rais ajae miaka ijayo,Nakuombea kwa mwenyezi Mungu msukumu ...
Hapo Musukumu aliongea points sana
Mm nakukubalii dumkuma kwa point zako
Big up
Bigup sana mkuu
uko vizur musukuma
Nakuelewa sana msukuma
safi sana
Huyu kiboko anaongea point
msukuma huwa una points sana some time keep it up
Mkoa wa Geita mlikuwemo waongeaji wawili Msukuma na Doto Biteko wa Bukombe mwenzio kapewa uwaziri kaza buti Msukuma kutetea wanyonge usiwe na shaka Geita vijijini hutokuwa na upinzani
safi sana msukuma umeongea ukweli ulio hii
Msukuma anafaa kweli kweli
Geita rural we still need you king
msukuma ana faa sana
Nimekukubali msukuma
Kabisa
ww tarifa gani hiyo umeniudhi
Msukuma magufuri akimaliza mihula yake gombea2 uraic baba angu hunafaa saana ila drs7 tu😂😂😂
nikweli kabisa msukuma ziwa halina geti
Aka kajamaaa eti darasa la saba, ahahaaaaaa!!! Musukuma agiza tu mimi nitalipa tu
kunywa Kreti,Msukuma nalipia baba wa Wanyonge
Mpina alikua sahihi..kwasababu inshu ya kuchoma makorokoro ya wavuvi halamu...alikua anafanya kwamujibu wa Sheria ambazo nyie wabunge mliziitisha
Mie natokea Knjaro ila msukuma nampenda Sana anawazidi hata maprofessor
unafaha kura yangu bado inakusubiri 2020 huko juu 100%
Nakuunga mkono
Msukuma wewe sio darasa la Saba. Ni PhD Holder
kati ya wabuge wa ccm huyu jamaa kwa kanda ya ziwa namkabali
kweli msukuma ulichonena
Msukuma nijembe
Kwel msukuma ulisitahiri kuwa waziri
Msukuma motooo tukipataa raisii kama huyu wanahitajikaa
huyo wazir mpina hana utu
Nimekuelewa msukuma
Kweli ni vyema waziri ajikite kuweka Mipango ya kuelimisha wananchi zaidi kuliko kuwaumiza wananchi ambao pengine ni kweli hawajui wanachokifanya. Safi sana msukuma.
Safi sana msukuma we kweli mbunge uliyeenda kutetea haki za wanyonge mungu akutangulie
N.
%
Msukuma ni mfano wa kuigwa sana