MUSUKUMA Amvaa Tena LISSU "Anacheza Sinema Tu"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 325

  • @kahamatv5649
    @kahamatv5649 6 років тому +180

    Kama unamuunga mkono mh. JOSEPH MSUKUMA weka likes kwangu na komenti Fupi fupi;

  • @rehemaamani2011
    @rehemaamani2011 5 років тому +8

    King msukuma nakukubali sana uko sawa uko vizur keep it up

  • @ismailhassan848
    @ismailhassan848 2 роки тому

    From.KENYA 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 lakini nampenda bure mheshimiwa musukuma

  • @gabrielgodwin2576
    @gabrielgodwin2576 6 років тому +4

    Nimeipenda hii ya Msukuma!

  • @makoyerizbon6762
    @makoyerizbon6762 2 роки тому

    Your good

  • @jilalapita9958
    @jilalapita9958 5 років тому +3

    Nice

  • @johnnytygart.5611
    @johnnytygart.5611 6 років тому +13

    Kam tu unaweza kukaa ndani ya ndege kwa masaa 14 utashindwa kukaa bungeni kwa masaa 2 au 4 kweli lissu ana tuactia. Musukuma we ninoumaa😂

  • @aridiyahya8049
    @aridiyahya8049 6 років тому +46

    Watu wachache huwa wakianza kuongea wanapenda kutumia reference ya watu wengi. Mnaompenda Lisu mko wachache kwahiyo msipende kusemea watz wote.

    • @stevenmabungi3245
      @stevenmabungi3245 6 років тому +1

      Nimekupata mkuu√√√√

    • @amevuai8724
      @amevuai8724 6 років тому +1

      Basi na yeye lisu hapaswi kusemea watz wote

    • @omarykinyaga1407
      @omarykinyaga1407 5 років тому

      Hivi huyu msukuma angekuwa yeye ndie kapigwa risasi au ndugu yake ingekuwaje.

    • @fatmalyego2531
      @fatmalyego2531 5 років тому

      Huyu ni zaid ya jembe

  • @wgsaempiretv864
    @wgsaempiretv864 6 років тому +22

    Tanzania inahitaji watu kama Msukuma,,safi sana.wenye elimu siyo Lisu na mataahira wake 😀😁😊😊😁😂😂😁😀.

  • @omarymbuguni4164
    @omarymbuguni4164 5 років тому +1

    Uko sahii kabisa musukuma

  • @naomijamesnaomi5777
    @naomijamesnaomi5777 3 роки тому

    Yes

  • @yusuphmasolwa9870
    @yusuphmasolwa9870 6 років тому +7

    Safiii sanaaa MSUKUMA

  • @godfreymwagu1851
    @godfreymwagu1851 5 років тому

    Leo kwa Lisu kesho kwako angalia maisha yako usiseme kitu kumfurahisha mtu

  • @alanusrespicius1796
    @alanusrespicius1796 6 років тому +36

    LEO NIMEAMIMI ELIMU YA DARASANI NI MAKARATASI TU, MSUKUMA KAONGEA POINT KABISA NINGEKUWA MIMI NDO NINADHAMANA YA KUFANYA MAAMUZI, TUNDULISU NINGESHAMTIMUA ZAMANI MNO. HIVI MNASUBILI NINI?

    • @crownhatibu785
      @crownhatibu785 4 роки тому

      Yaani mskuma umeongea point mpk nataman wangefanya maamuz muda huo,yaani ww no genius

    • @jemabenedict5816
      @jemabenedict5816 3 роки тому

      Kwanini uongozi wa sereli ya Tanzania mnavumilia haya na kuyakumbatia mabaya haya.?? Bila shaka kila jambo linatakiwa kufanyiwa kazi wananchi ndiyo tuliwachagua viongozi wetu ili muwe makini na watu kama lissu iweje serekali msione kuwa lissu ni mkosefu au mnataja mjue lini kuwa wananchi wa singida wanahitaji mbunge wa kujua mahitaji yao na changamoto zao au ndiyo ole mkichagulia kinachoendelea ni kusahau ahadi mlozoahidi na kuzisimamia hadi msijue na kuona kuwa lissu anakosea ??? Haya Raiss haoni??? Mbona mnatustaajabisha?????mnamuogopa??? Lissu mnashindwa kuchukua hatua???

    • @milkabelias448
      @milkabelias448 3 роки тому

      We'we msukuma unajua kazi:sio wale wa ndio mzee:tunataka viongozi Kama we!!

    • @milkabelias448
      @milkabelias448 3 роки тому

      Kazana maana wengine wamelala tu!!

  • @DavidMohamed-r5q
    @DavidMohamed-r5q 10 місяців тому

    Msukuma nimekubali

  • @annahpatrick2247
    @annahpatrick2247 5 років тому +7

    Wewe noma kaka kwaukwel tu

  • @sungwamalewa9851
    @sungwamalewa9851 3 роки тому

    msukuma wewe ni noma tena noma sana endelea baba

  • @bakarimngazija6672
    @bakarimngazija6672 6 років тому +18

    Ama kweli kuchanganikiwa ni hatari kwa maisha ya msukuma. Nawashauri msimjibu kachanganikiwa kuona Lissu hakufa ni mtihani.

    • @allenmajebele7839
      @allenmajebele7839 6 років тому +2

      Hivi wewe unajielewa , pumbavu mtu mzimaaa na ndevu juu hata hujui siasa kalale......

    • @wannaproducts
      @wannaproducts 6 років тому +1

      Nani aliemtaka afe kama sio kick zake binafsi, dalali wa rasilimali na utu wa nchi yetu ndio mnamuona wa maana?
      Aliuwawa sokoine hapa nchini akiwa waziri Mkuu na bado hatukuona taifa likichafuliwa kama anavofanya huyu tundu la choo

  • @msafirikapange4675
    @msafirikapange4675 4 роки тому

    True

  • @alexwamoyolutta6479
    @alexwamoyolutta6479 6 років тому

    Uko sawa king piga kazi

  • @JohnMadoni
    @JohnMadoni Рік тому

    Jamani Joseph msikima ungekuwa raise wananchi tungenyika TU ila lissu achana nae

  • @tinyaanosiatha1118
    @tinyaanosiatha1118 6 років тому +47

    Msukuma uko sawa. Mimi
    Nashauli Wamufute ubunge hana maana.

    • @georgemelliyo1791
      @georgemelliyo1791 6 років тому

      Angepigwa risasi bwana wako ungesema hivyo naamini

    • @younginspired3899
      @younginspired3899 6 років тому

      Kajifunze kwanza kiswahili😒

    • @brorichardmusingithe7th11
      @brorichardmusingithe7th11 6 років тому +1

      namimi pia wamfute ubunge tuu

    • @wannaproducts
      @wannaproducts 6 років тому +1

      @@georgemelliyo1791
      Ulishuhudia akipigwa? Endelea kudanganywa na huyo tundu la Choo, na kama anawajua waliompiga nae mwanasheria kwanini asifungue mashtaka akiwa na ushahidi kamili?

    • @josephbalayata4506
      @josephbalayata4506 5 років тому +1

      Kwelu

  • @editak4353
    @editak4353 4 роки тому

    Sema kweli ndungu

  • @josephjila957
    @josephjila957 6 років тому +20

    Kwa upende mwingine msukuma anaweza akawa sawa

  • @mathiusthomas3074
    @mathiusthomas3074 6 років тому +1

    Wew kweli la saba

  • @selemsigala4771
    @selemsigala4771 6 років тому +3

    Msukuma anacho kiongea ni kweli kabisa.

  • @masungakibinza1312
    @masungakibinza1312 6 років тому +7

    Msukuma yuko sahii hauwezi kulipwa mshahara wakati haupo kazini

  • @zedekiacharles2626
    @zedekiacharles2626 5 років тому +3

    Msukuma upon sawa

  • @killianwambura9584
    @killianwambura9584 6 років тому +1

    Msukuma upo sawa kabisa

  • @leemassawe8968
    @leemassawe8968 6 років тому +11

    Kweli kabsa msukuma kwaupande mwingne uko saw lakn dah

  • @aminasalum1780
    @aminasalum1780 3 роки тому

    Gres

  • @mrh2812
    @mrh2812 6 років тому +3

    msukuma ni shidaaaaaaa😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌

  • @stevenmasato5787
    @stevenmasato5787 6 років тому +17

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kweli msukuma mwambie

  • @princehancesam9892
    @princehancesam9892 6 років тому +20

    Ni kwel umesema kwel

  • @تبيعهجوسيف
    @تبيعهجوسيف 3 роки тому

    Msukuma jaman ninampenda sana hajasoma darasa la saba lakn anaakili sana kuzd na alie soma

  • @daudipaulomatanga6479
    @daudipaulomatanga6479 6 років тому +39

    uko poa sana broo

  • @habibashabani3706
    @habibashabani3706 3 роки тому

    Uko vzr sichoki kukuangalia

  • @diksonmayogu197
    @diksonmayogu197 3 роки тому

    Ok

  • @raymondmakoy174
    @raymondmakoy174 5 років тому

    Oyo ndo mwenyewee

  • @sharifusalema3448
    @sharifusalema3448 5 років тому +2

    Hahahaaaaa msukuma bhanaaa viboko tenaaa !!!!!!

    • @saramalya6264
      @saramalya6264 3 роки тому

      Wewe Msukuma pambana na hali yako lisu nimpango mzima

  • @salimelly7034
    @salimelly7034 6 років тому

    Uko sawa mh msukuma waeleze hawa manyumbu kwani wanaendelea kuuota kuni ya mjinga watatumwa kuni

  • @priscambwambo1030
    @priscambwambo1030 6 років тому +29

    WALA SI UONGO NI DALALI HASWA ANATUMIWA SANA NA MABEBERU.

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 3 роки тому

    Mtoa taarifa mr mwakajoka nafikir sio mzima mentally, lissu anaumaarufu gn sasa...?

  • @ahmedkapera6989
    @ahmedkapera6989 6 років тому +7

    Tatizo lakusoma ndio hilo mtu kapijiwa lisasi unataka anyamaze duuh wabongo kiboko 🔊🤣🎤

    • @desdelius
      @desdelius 6 років тому +1

      We mwenyewe hujui kusoma."kapijiwa"ndio nini halafu sio "lisasi" ni risasi.kajifunze kuandika kwanza.

    • @amriabubakar9099
      @amriabubakar9099 5 років тому

      Ndiyo shida ya akili ndogo kutawala akili kubwa aisee

    • @amriabubakar9099
      @amriabubakar9099 5 років тому

      Mi nadhani acha jamaa afanye anachofanya maana risasi ni nyingi , vifoo ni vingi na so little action has been taken

  • @wilsonytz6730
    @wilsonytz6730 6 років тому +3

    magufuri hoyeee msukuma hoyeeee

  • @shidabundala8984
    @shidabundala8984 4 роки тому

    Uko poa sana msukuma

  • @susananyasani6526
    @susananyasani6526 4 роки тому

    Mheshimiwa Msukuma ni Mbunge msema ukweli na yote anayosema yaeleweka na msema kweli ni mpenzi wa Mungu asante

  • @machaineomahe6697
    @machaineomahe6697 6 років тому +1

    mpumbavu tyu huna point maan hata elimu yenywe inasadifu na ndio maan bunge linahtaj wasomi

  • @MOROTOWNTV
    @MOROTOWNTV 6 років тому

    Unaweza ukaangalia wananchi wako ukamuacha lissu na maisha yako yakawa vizur tu

  • @josephaty9010
    @josephaty9010 6 років тому

    msukuma wanyoshe babaaa mpaka wapinzan waseme bye bye bye... wapinzan tuendelee kutukana

  • @ChipkizirashidiAwadhi
    @ChipkizirashidiAwadhi 11 місяців тому

    Lisu nimpumbavu sana bab hanaakili kabisaa

  • @leahmgunda5055
    @leahmgunda5055 3 роки тому

    Huyu baba huwa anapenda kuongelea watu.

  • @jeremiachilamba7442
    @jeremiachilamba7442 3 роки тому

    Magazeti 14/05/2021

  • @rajabumalupu4184
    @rajabumalupu4184 5 років тому +1

    Mkuu nakukubar mh.

  • @sumanation3995
    @sumanation3995 4 роки тому

    Pm

  • @goodlucklutabila7527
    @goodlucklutabila7527 6 років тому

    Roho mbaya mbaya sana hata kama mtu huipendi si kwa kiasi hicho, mishipa inasimama kwa ajili ya kumchongea mtu.

  • @CharlesWambura-e9j
    @CharlesWambura-e9j Місяць тому

    Charles Raurent wiriamu Gibaso

  • @francomwalutende7864
    @francomwalutende7864 6 років тому +1

    Kumbe Lissu ana nguvu sana CCM nzima wanapambana na Lissu tu mpaka ngazi ya balozi. Ukaache matatizo ya wananchi ya maji,elimu,uchumi na miundo mbinu unapambana na Lissu

  • @manyerereomary9266
    @manyerereomary9266 3 роки тому

    Akitoka mzee mwenyew pewa tu nchi

  • @hemedswaibu4667
    @hemedswaibu4667 5 років тому

    Nyie amuwezi kugua bwana na wala amuwezi kupata matatizo kila kitu mnaweza

  • @ahidimtafya4593
    @ahidimtafya4593 5 років тому

    Tundulisu anatakiwa kurudi tz kupambania wananchi wake na cyo ziara anazozifanya hko ughaibuini anatuweka njia panda watz.

  • @kalebumkandi6439
    @kalebumkandi6439 6 років тому +1

    Msukuma wetu mwambie

  • @warlexnyamba2601
    @warlexnyamba2601 5 років тому

    Acha kuongea upuuzi kenge ww usitake lisu aishi maisha yako wa kulewa lissu bado hata kukimbia hawezi unaongea ushenziii kama mtoto wa chekechea

  • @thomasyohana6112
    @thomasyohana6112 6 років тому +1

    msukuma uko vizuri

  • @donshatta5808
    @donshatta5808 5 років тому

    nakuelewa sana kaka

  • @sdawalokole9489
    @sdawalokole9489 6 років тому

    Safi musukuma

  • @suleimanmboje9187
    @suleimanmboje9187 4 роки тому

    King msukuma

  • @mwinjumaramadhani4797
    @mwinjumaramadhani4797 6 років тому

    wabunge wote ni wapigaji 2

  • @kabangoamini8431
    @kabangoamini8431 4 роки тому

    Sikuhizi tz hatawarangurue wavaa kibandiko

  • @igulug5450
    @igulug5450 6 років тому

    Msukuma ndugu yangu lipa kwanza madeni unayo daiwa ndo tutakuelewa bila hivo hatuwezi kukuelewa

  • @tonniethenation3220
    @tonniethenation3220 6 років тому +2

    Jambo lisilokukuta unaona ni dogo ila likikufika litakuwa kubwa.risasi zote zile bado mna roho ngumu,mungu anawaona,value of life.....

  • @JK-yf6dg
    @JK-yf6dg 6 років тому

    kipindi hiki kuna watu watajinyonga juu ya kamanda Lissu maana kawamaliza kabisa

  • @The_storybooktv
    @The_storybooktv 6 років тому

    Mimi ni mkenya ila napenda kusema kwamba huyu lisu anaongea ukweli .. serikali inapoenda kinyume lazima wananchi wairekebishe la sivyo katiba yaruhusu kumng'oa mamlakani kiongozi yeyote anaeenda kinyume na katiba...

    • @rebeccampeta6650
      @rebeccampeta6650 6 років тому

      Bill Criss sema wewe my dear

    • @The_storybooktv
      @The_storybooktv 6 років тому

      @@rebeccampeta6650 Yeah hata huku shida ni hio hio hata twataka tuanfamane ili kumng'oe MCA mamlakani

  • @mwachamwacha5538
    @mwachamwacha5538 6 років тому

    mnazunguka lakini wananchi wa kawada sana tunajuwa mnachotaka kukifanya .fanyeni tuu haraka acheni kuzungukazunguka ..mnatufanya wananchi mazuzu sio ..tunajua mnachotaka kikifanya ni nini .

    • @aridiyahya8049
      @aridiyahya8049 6 років тому

      Mwacha Mwacha usitusemee. Sema mwananchi wewe sio wananchi. Upo mwenyewe

    • @esauchristian9693
      @esauchristian9693 6 років тому

      Wee msukuma sio dkitari.

  • @munirahmed7753
    @munirahmed7753 4 роки тому

    Huyu msukuma anaacha kuchangia maada za maana bungeni yy anakaa ugomvi tu na upinzani mara mbowe mara lisu mara yule basi yale yaliyomleta bungeni hana habari nayo kabisa

  • @emmanuelkonki59
    @emmanuelkonki59 6 років тому +2

    Alafu anayejua afya ya Lissu ni dactari siyo bunge, hivyo bunge lijadili mambo mahususi wasipoteze Kama msukuma na ndiyo utajua elimu inasaidia ukisikiliza hoja za msukuma anadhalilisha wasukuma wenzake

  • @emmanuelyraphaely3907
    @emmanuelyraphaely3907 6 років тому

    du h kweli byana lissu anaboa

  • @chazjerome9999
    @chazjerome9999 6 років тому +1

    Msukumaaaaaaa nahene namala

  • @ezranelson2619
    @ezranelson2619 6 років тому +1

    we fala tu

  • @ylracci
    @ylracci 6 років тому +1

    London to belgium..around 1hour 15mins..huu mtu ana agenda..maana kusema uongo eti maasa 4..why lie..?

    • @esterdaniel1574
      @esterdaniel1574 5 років тому

      kwani lisu Ananini haswa mpaka serikali impe mshahara wa bure?tuondoleeni kichefuchefu cha mjinga mwenzenu muandarieni mashamba akirudi aanze kurima mawere sawa hakuna Pesa za kuchezea wakati wajane Na watoto wanateseka subirini jpm Atuboreshee miundo mbinu kwanza ndipo muongee mambo ya tundurisu kwanza ametosha Na Alizonazo ndungai safi sanaaa msukuma oyeeeeee

    • @charlesjonas1036
      @charlesjonas1036 5 років тому

      In Tanzania,there is no need 2 have a democracy coz no political freedom of speech in oppositional political party 2be overthrewen some where coz of being transparently

  • @shaffihramadhan563
    @shaffihramadhan563 6 років тому

    king huyo

  • @erickelias2463
    @erickelias2463 6 років тому +1

    bunge linatakiwa lijadili kuhusu vifo vya watoto uko mnaongelea mishahara yenu

  • @gabrielishmael5956
    @gabrielishmael5956 6 років тому

    Tanzania ya matukio

  • @raymondlyimo243
    @raymondlyimo243 6 років тому

    bangi mbaya sanaa

  • @manyweletheboss6053
    @manyweletheboss6053 6 років тому

    We ulitakaje

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 6 років тому

    UKIWA NA WABUNGE WASHAMBA KAMA HAWA,INCHI HAIWEZI ENDELEA

  • @johnmunywoki1121
    @johnmunywoki1121 3 роки тому

    Msukuma hatar

  • @stevenmasato5787
    @stevenmasato5787 6 років тому

    huyo Mwakajoka hana akili huyo

  • @djonetz2730
    @djonetz2730 6 років тому

    A wap hauko sawa king msukuma unazingua jamn kumbuka Huyo ni mbunge nwenzako hupaswi kuongea hivyo

    • @esterdaniel1574
      @esterdaniel1574 5 років тому

      kwanza warimpiga vibaya hawana shabaha mpuuzi Kama tundurisu angepigwa ya kichwa akafa kisiasa nawalaum sana warimlenga vibaya wangerenga kichwa lisu ni mshenzi sana anajifanya kiburi Na dharau za kinyeramba Atanyooka tuuuuu

    • @esterdaniel1574
      @esterdaniel1574 5 років тому

      mnaojipraudi Kwa tundurisu nendeni akawaoe msukuma yuko sahihi kabisaaaa nyie ndio mnaropoka bwana yenu na baba yenu kuvuriwa ubunge hana faida Tanzania kwanza hatumtakiii lisu ni mjinga Kama mnaomtetea asiyefanyakazi Na asire kwanza nahisi mmechizika kwani hamna kazi za kufanya?

  • @edgeredson9691
    @edgeredson9691 6 років тому +1

    Afutwe ubunge tu.anatusaidia nn?

  • @hassanmadodi5396
    @hassanmadodi5396 6 років тому

    Watanzania tunaushamba sana wa elim.
    Badala ya kujaji logic ya kitu unajaji elimu ya mtu.
    Kwani wasomi wangapi wametuingiza chaka.
    Tuache mapenzi.

  • @ibrahimjuma8349
    @ibrahimjuma8349 6 років тому

    Kwan lisu ye ninan hdi mhangaike kias hicho,nyie ndo mnampa umaaruf ila yeye hana vhochote mpotezeen tu! Mbna bora ya mond anawafuas wakutosha kuliko huyo jamaa! Kama lisas kwanza ye ndo Wa kwanza kupigwa lisasi! Anatumalizia mb tu pumbafu!

  • @kimaramwisho8972
    @kimaramwisho8972 6 років тому

    msukuma ajataja umbali kutoka tanzania kwenda india mgonjwa kutibiwa anakwenda umbali gani?

  • @brownenas2779
    @brownenas2779 6 років тому +1

    ww maushuzii ww, sjui nan huwa anakutuma ila ongeza na akilii zakoo japo tunajuaa ww ni mbumbumbuu,,unalopoka tuu,,unaniboa ww,,,anii jitu lisikumbukee alichofanyiwa lisuu lakn linalopoka upuuzii,,,ivii kwa akilii ya msukuma ulitaka lissu anyamaze ili akirudii mmpige tenaa???akili ya kimnyama sio binadam ww

  • @mosesnghogwa2614
    @mosesnghogwa2614 6 років тому

    Kipindi hiki tutasikia mengi

  • @danielhumble4292
    @danielhumble4292 6 років тому

    Mamako ndio mcheza sinema za ukweli ndio maana alicheza zaidi na akabinuabinua kiuno chake ndipo akakuharisha ukatoka na akili zakipuuzi na babako akakuridhisha uchawi wa kisukuma pumbavuu sana we malaya wa serikali ya msukuma mwenzio

  • @munirahmed7753
    @munirahmed7753 4 роки тому

    Huyu mbunge jimboni mambo ya jimboni kwake humsikii kabisa kuchangia

  • @rabielulomi8607
    @rabielulomi8607 6 років тому +2

    Kuna mambo mengine ukitumwa unatakiwa kukataa,kwa sababu wanaokutuma wanakuona zezeta!!

    • @neemakilomoni4258
      @neemakilomoni4258 6 років тому +2

      Rabiel Ulomi umesha zoea kutumwa ww basi unaona watu wote wana tumwa Msukuma Mzalendo sio huyo Tundu wenu cjui tundu la wapi

    • @hamisimihambo24
      @hamisimihambo24 6 років тому

      Lisu oyeee mungu akupe afya njema waache wabwabwaje tu

  • @iddiupepo8449
    @iddiupepo8449 6 років тому

    we ni kichaa watu wanakulaga bata hospitali ?

  • @bravoothegreat3115
    @bravoothegreat3115 6 років тому +1

    wale waliosaport lissu apigwe risasi tunaanza kuwaona daah binadamu bwana awapend kuona lissu anaishi