Bulembo wewe ni mkongwe katika siasa nakushauri ujikite kumshauri mdogo wako mpina Kama mdogo wako sasa kwa tafsili ya kawaida umeonesha dhairi Kama hata rais alifeli kumteua Kuwa waziri. Huyu ni mwanaccm mwenzetu tumuweke chini tumshauri tusisubiri bungeni mnamuharibia hats Kwa wapiga kura wake. Tumieni busara zilizowapelekea kumpata magifuri kipindi cha nec.
Kwl
Kweli
Waaambiee
kumbe mnaogopa!
sasa mbona mnajifanyaga kibri?
napita