Azam TV - Mzee Makamba awasha moto tena, ampiga dongo Lowassa

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 87

  • @rajabali7769
    @rajabali7769 2 роки тому +4

    I am Kenyan of Tz roots i proudly admire Mzee Makamba.

  • @njombohainga3027
    @njombohainga3027 7 років тому +10

    uko sawa baba magufuri hapa kazi tuu

  • @bisekoc.k.jenjela7936
    @bisekoc.k.jenjela7936 7 років тому +6

    Mzee wetu safi sana.

  • @gracethomas683
    @gracethomas683 7 років тому +4

    I like mzee Yusuph Makamba 😍😍😍

  • @mgasamalulu3557
    @mgasamalulu3557 7 років тому +3

    Nimekubali sana mzee una busara sana

  • @husseinkingai2694
    @husseinkingai2694 7 років тому +4

    Mzee anazeeka mwili Bali akili aminia hongera sana fadha

  • @doreenkahunde3186
    @doreenkahunde3186 4 роки тому +1

    Mzee Mungu akubarike

  • @mropeamadeus5445
    @mropeamadeus5445 7 років тому +10

    Safi Sana Makamba wewe ni Mtu muhiimusa Sana Tanzanian

  • @mwajumabulugu4115
    @mwajumabulugu4115 7 років тому +4

    ccm oyeeee

  • @saudakambi195
    @saudakambi195 7 років тому +1

    Nsipenda ccm sana

  • @mcjabbyevents4938
    @mcjabbyevents4938 7 років тому +5

    Ccm oyee mzeee Makamba unamaneno yaliyojaaa neno tupuuuuuuuuuuuuu uendeleeee baba safi nakuombea maisha marefu

  • @tereseamasawe8111
    @tereseamasawe8111 7 років тому +4

    MZEE MAKAMBA SAFI SANA.MSEMA UKWELI NI MPENZI WA MUNGU.

  • @shukurumuhaya7426
    @shukurumuhaya7426 7 років тому +3

    Hapa kazi tu.

  • @jacquelinemabula2519
    @jacquelinemabula2519 7 років тому +3

    Nakupendaga saana wewe mzee quote zako baba hakuna anaye toboa unafanya kurejea tu kwa bibilia takatifu na quran takatifu ubarikiwe

  • @julianajohn5256
    @julianajohn5256 2 роки тому

    Nyie nao mshukuruni jpm,ccm ilikuwa imekufa na hivi mmerudi mnaiua sasa hivi wapinzani watachukua nchi.

  • @trophainamagogwa9590
    @trophainamagogwa9590 6 років тому +1

    Makamba umeisoma nchi ya Nje kwa upande wa kujua nani mshindi,maana Usioshinda nyumba kumi kumi huko mbele ni kugumu hata Marekani walianza kuogopa baada ya kuona ngazi ndogo ndogo hakuna kitu

  • @raphaelraphael9802
    @raphaelraphael9802 3 роки тому +1

    Mizee mingine bwana

  • @shanelmbunga7522
    @shanelmbunga7522 4 роки тому

    Mzee makamba nakuelewa sana kwa utabili wa ukwel

  • @yusuphyasin601
    @yusuphyasin601 7 років тому +14

    mbowe na wewe upishe sasa mwenyekiti miaka yote

  • @rashidmohamedomar8300
    @rashidmohamedomar8300 7 років тому +3

    Kumekucha "mzee mkapa baada maneno haya unahitaji mengine"

  • @ramadhanishabani9595
    @ramadhanishabani9595 7 років тому +3

    kumbe makamba nijembe

  • @yahayaolomi1057
    @yahayaolomi1057 3 роки тому

    Huyu mzee ni ana style yake

  • @habibomary7444
    @habibomary7444 7 років тому +1

    hawa wazee ukiwapa nafasi ya kuzungumzaaa mmmh...hatari

  • @perediusmartin221
    @perediusmartin221 6 років тому

    Safi mzee

  • @sebastiannyambweta9863
    @sebastiannyambweta9863 6 років тому +1

    Maneno haya yana mchongo mkubwa katika kujenga chama

  • @revocatussebastian2427
    @revocatussebastian2427 2 роки тому

    Anaongea kama yupo kwenye muhazara iyo team wapigaji na safari za ulaya

  • @mkurangacnajemasabatochane4626
    @mkurangacnajemasabatochane4626 7 років тому +2

    dhambi ni mbaya xana hua malipo hapa hapa utabatzwa wewe kabla huja uonja umauti kamwe Mungu hawi radhi na dhambi

  • @emmanuelmujungu2734
    @emmanuelmujungu2734 7 років тому

    Mungu tusamehe maana hakuna aliye mkamilifu..

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 7 років тому

    Acha Kumtaja Yesu kwenye Ushetani Wewe Changudoa Mchumia Tumbo

  • @happinessmwenda2773
    @happinessmwenda2773 2 роки тому

    YESU NA MITUME WAKE NA WATU WAOVU WAPI NA WAPI.????MSIMDHIHAKI YESU MNAKOSEA HATA KUTAJA JINA LAKE NA MITUME WAKE.MMEYAONA YALIYOWATOKEA.

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 2 роки тому

    Makamba is not. Polition already on his age has to muser plan for keeping his wisdom
    In place politics Wich makamba has got is for yang polition
    But makamba already got challenge on his speech on different way from yang polition
    Type of speech makamba has to creat is like
    speech of late Julia's kambarage nyerere or Ally type atlist or Hassan mwinyi number 2 president Pablic of tanzania
    How he gaide his wisdom
    This is what makamba has to covered himself on wisdom speech apart from that makamba has to asepty lmbarasing in different ways speech of opposition Yang generation

  • @elisantewawa3047
    @elisantewawa3047 7 років тому +5

    Gasper kimario wazee ni hazina akili wanayo.labuda we we duo huna akili

  • @yuventmpiru7738
    @yuventmpiru7738 5 років тому

    Ngoja ubatizo uhamie kwako sasa, unalipwa ulichopanda

  • @emmanuelsamwelu1222
    @emmanuelsamwelu1222 2 роки тому

    Leo wema hawafi hii ndio dunia

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 6 років тому

    Wapinzani watapata tabu sana2020!!

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 7 років тому

    Kibali cha matus tz kumbe kipo

  • @omarimasanga
    @omarimasanga 7 років тому

    Mzee makamba hiyo aya ya pili ktk surat baqra haizungumzii hicho ulicho kisema.

  • @isululumashimba2143
    @isululumashimba2143 6 років тому

    Mh,makamba

  • @ivanymtaki3585
    @ivanymtaki3585 7 років тому +1

    Hahahaha kumbe Kuna wenyeviti wa maisha

  • @lothanathanael2286
    @lothanathanael2286 6 років тому

    Tuseme ccm inahubiriwa injili ni kwa nini isiwe katba yao, KWA hiyo siasa nayo NI ruhusa kanisani sio.

  • @buildtekconsultants9687
    @buildtekconsultants9687 7 років тому +9

    Upinzani sio dhambi. Kuua upinzani ni kosa la jinai maanake mnawalazimisha wananchi waweke mayai yao yote kwenye kikapu kimoja. Ukosefu wa mawazo mbadala sio jambo la maendeleo. Ukiangalia kwa makini mambo mengi yanayofanywa sasa hivi na kusifiwa na wananchi ni hoja au mawazo yaliyoibuliwa na upinzani na kuporwa na chama tawala. Upinzani wenye nguvu ni chachu ya maendeleo ya nchi yoyote.

    • @gabrielmugabo9223
      @gabrielmugabo9223 7 років тому

      Peter Salyeem hata kama wamepolwa agenda wangetekelezaje na madalakani hawapo?

    • @tabusalum1318
      @tabusalum1318 6 років тому

      Mbowe ang,atuke awaaache vijana washike hatamu

  • @priscamallya3661
    @priscamallya3661 3 роки тому

    Haki ilitendeka mzee

  • @trophainamagogwa9590
    @trophainamagogwa9590 6 років тому

    Makamba siku zoote uko Imara nakumbukuka Kigoma Kabanga ulichokifanya ,kabisa Uko Jembe

  • @shanelmbunga7522
    @shanelmbunga7522 4 роки тому

    Uishi miaka mingi unasema ukwel

  • @faridmobji
    @faridmobji 7 років тому

    Daaaah! 😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁

  • @matembelerichard9416
    @matembelerichard9416 7 років тому

    vipi redio hamna nyie mnadili na luninga tu

  • @kevinjeremiah6972
    @kevinjeremiah6972 7 років тому

    hakuna cha HP kz

  • @ssiddenniuussddeenniss8293
    @ssiddenniuussddeenniss8293 7 років тому

    kazi IPO wapinzani wanaunekana hawana maaana msilazimishe mawazo ya mmoja yawe ya ote,na hayo yote in batili

  • @rukiaabdallah92
    @rukiaabdallah92 7 років тому +2

    Shida hiii

  • @hindisaidi5097
    @hindisaidi5097 7 років тому +3

    upinzani unaothamini maendeleo ya kweli .sio upinzani unaobeza kiiila kitu cha serikali .kudharau askari WA nchi yako mwenyewe.Israel kuna vyama vingi lakini "policy" ya serikali haibezwi inathaminiwa na wote.upinzani WA KWELI mi naupenda .

    • @angelinnamkingi7106
      @angelinnamkingi7106 7 років тому

      Hindi saidi Ni kweli, hapa kwetu Tanzania upinzani sio kabisa.

    • @albanosimon6708
      @albanosimon6708 7 років тому

      Hindi saidi we ulifika Israel au ndo kiki zenyewe faida za upinzani unazijua leo tz tupo hvi kwa sbb ya upinzn

  • @asiakheir3846
    @asiakheir3846 7 років тому

    Ubatizo wamoto kanisa gani?

  • @karanjakamau57
    @karanjakamau57 6 років тому

    Hii ndio sababu wabongo watakuwa MASIKI MPAKA MWISHO WA DUNIA

  • @charleskihiyo3393
    @charleskihiyo3393 7 років тому

    wachumia tumbo wote hao

  • @omariidarushizaomariidarus4338
    @omariidarushizaomariidarus4338 6 років тому

    لم تقولون مال تعلمون

  • @Ishengoma1
    @Ishengoma1 7 років тому

    Eti hana majivuno? Weee muogope mungu

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 7 років тому

    Magufuli Sio Nabii ni Mbwa mhalifu Takataka na Ajali kwa Taifa

    • @tobesimatiku1987
      @tobesimatiku1987 7 років тому

      rushwa Kutoka 23:8 aiseeee

    • @trophainamagogwa9590
      @trophainamagogwa9590 6 років тому

      Thobias Marandu Kalete Raisi unayemuona anafaa,uchaguzi ukipita ujao nitakutafuta ili utuambie kama umempata Raisi mzuri Kuliko aliyepo

  • @gasperkimario8411
    @gasperkimario8411 7 років тому +3

    hivi hawa wasee wana akili kweli Tanzania hii mungu anaona

    • @stevenmamba2464
      @stevenmamba2464 7 років тому

      HAHAHAHA

    • @subramashs2236
      @subramashs2236 7 років тому +1

      Gasper Kimario usimtaje Mungu bure hivi nyie watu mnataka nini

    • @subramashs2236
      @subramashs2236 7 років тому

      Gasper Kimario nyie ndio mnao wadharau wazee wenu

    • @mariachahe7077
      @mariachahe7077 7 років тому +1

      Gasper Kimario we we ndio huna akili unadharau wazee na kutaja jina Mungu Bure😕

  • @gothardmwango6119
    @gothardmwango6119 7 років тому

    Maarifa gani yaliyozidi baba kama sio kubaka demokrasia? Tuache porojo . . . na tufanye siasa za kimaendeleo!

  • @saidisalesi7313
    @saidisalesi7313 7 років тому

    Hakuna maandiko ya mtindo huo.
    Usitafsiri maandiko kama upendavyo wewe.

  • @saidomary4950
    @saidomary4950 7 років тому

    Mzee makamba yani umeongea pumba sana nilitegemea ungeongea mambo ya kukemea kutumia nguvu ya dola wewe na familia yako matatizo haya wapati

  • @josephmarwa3924
    @josephmarwa3924 7 років тому

    MAENDELEO HAYAWEZ KULETWA NA CHAMA KIMOJA. IJAWATOKEA DUNIANI ( KATIBA MPYA INAHITAJIKA)

  • @aggreykyongosya6314
    @aggreykyongosya6314 3 роки тому

    AnononoooooonnnnnnnonnN. J. O positive nn

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 7 років тому

    Mbona anavyojinengea uwanja wa ndege kijijini kwake humsemi? Mzee kapumzike acha kutusome mistari ya biblia ambayo tunaijua. Wewe ulikuwa kiongozi miaka kibao na rushwa ulizion ukagumbia macho mpaka ukastaaf. Pumba tuu mzee na mwanao alochomekwa serkalini.

    • @mnzavachris5423
      @mnzavachris5423 7 років тому

      Afanikiwe Chaula u/ndege bloo!!!!!!??? hospitali sawa wal cn ttzo nalo hata chembe.

  • @gitu4me
    @gitu4me 7 років тому

    Hahha