Mambo 6 ya Kufanya Watu Wakupende Zaidi

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 сер 2024
  • Mambo sita (6) ya kufanya watu wakupende zaidi:
    Ikiwa tutaweza kuwashawishi watu wakatupenda zaidi bila kutumia nguvu basi bila shaka watapenda hata kushirikiana nasi katika baadhi ya mambo yao ambapo inaweza kuwa moja ya njia za mafanikio.
    .
    Tuandikie kile ulichojifunza kwenye comments, gonga “LIKE” pamoja na “ku-share” link ya somo hili kwa wengine. Asante
    .
    KUWA MZUNGUMZAJI MAHIRI KWA KOZI HII:👇🏼
    Boresha uwezo wako sasa wa kuzungumza na utengeneze njia za kuingiza kipato zaidi. Nunua kozi ya “Speaking Skills Course”
    Kwa bei ya punguzo ya 20,000 TZS tu!
    👇🏼👇🏼
    Tuma neno “KOZI” au “COURSE” kwenye whatsapp: 0759-19-10-76
    Au bonyeza hapa: wa.me/255759191076
    .
    NUNUA VITABU:
    Nunua kitabu kitakacho kusaidia kukua na kujiongezea thamani.
    Kupata orodha ya vitabu tuma neno: “KITABU” au “VITABU”
    kwa WhatsApp namba: 0759-19-10-76
    Au bonyeza hapa: wa.me/255759191076
    .
    KOZI YA UA-cam CHANNEL MASTERY (BURE):
    Ichukue hapa: / @youtubepesa255
    .
    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP (BURE):
    Ingia moja kwa moja kwa kubonyeza Link hii:
    chat.whatsapp....
    .
    WASILIANA NA EZDEN JUMANNE
    Media Personnel & An Entrepreneur
    Instagram: / ezdenjumanne
    Twitter: / ezdenjumanne
    Facebook: / ezdenjumanne
    WhatsApp: wa.me/255759191076
    .
    SUBSCRIBE Kwenye channel zetu nyingine:
    .
    HAMASA YA LEO👇🏽
    / hamasayaleo
    .
    VOICE-OVER CHANNEL👇🏽
    / ezden_voiceover
    .
    KWA MATANGAZO NA BIASHARA:
    - Kuweka tangazo lako kwenye channel hii.
    - Unahitaji Voice-over (English & Swahili).
    - Kutengenezewa tangazo zuri la video na sauti
    Tuwasiliane:
    CALLS: (+255) 759 191 076
    WHATSAPP: wa.me/255759191076
    EMAIL: ezdenjumanne@gmail.com
    .
    .
    Mafanikio, Malengo, Kujitambua, Nidhamu, Kujiamini, Ubunifu, Uwezo, Uongozi, Mipango, Kuhamasisha, Kujiboresha, Ukuaji binafsi, Ushawishi, Uhusiano, Afya ya akili, Afya ya kimwili, Ustadi wa maisha, Falsafa ya maisha, Mafanikio ya kifedha, Biashara, Ujasiriamali, Uwekezaji, Elimu mtandaoni, Mafunzo, Kocha wa maisha, Mzungumzaji wa motisha, kitabu, vitabu, Kiswahili, Tanzania, Ezden Jumanne, Success Path Network, pesa, chaneli ya elimu, mwalimu wa mafanikio, njia za mafanikio, utajiri,
    #upendo #watu #mapenzi

КОМЕНТАРІ • 1,1 тис.

  • @stephanomaswagaa4860
    @stephanomaswagaa4860 4 роки тому +473

    Oya tunao mwelewa huyu broo gonga like hapa

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy7047 4 роки тому +34

    Allah akupe maisha marefu ili tujifunze zaidi. Ameen.
    Point nyengine ukitaka upendwe na jamii.
    7. Uwe simple. Jishushe cheo chako mbele za watu.
    8. Door open kusamehe wanajamii.
    9.Unaficha siri za watu.
    10. Saidia jamii kadiri ya uwezo wako.
    11. Familia yako ifanye yenye huruma sana kwa jamii na inasaidia jamii kwa hali na mali.
    12.Tabasam hata ukikerwa.
    13.Kuwa tayari wakati wowote kuwasaidia watu. Hata usiku ikiwa emergency amka saidia.
    14. Usiwe mchoyo.
    15. Usiwe mfitinishaji.

  • @fadhilibrahim3480
    @fadhilibrahim3480 4 роки тому +16

    Kiukweli nilikuwa mtu ambaye sina ratiba kamili katika maisha yangu lakini baada ya kuanza kukufatilia nimeanza kuwa MTU makini yani najari mda, najipa mda wa kupumzika, nimeachana na content zisizo na umuhimu mfano nilikuwa muanga wa kusikiliza miziki tuu kula mda lakini sahivi more time nimekuwa nasoma vitabu. Nakushukuru sana Mr edzen kwa kuni insipire mwenyezi mungu akujalie naarifa zaidi ili uweze kuwasaidia watu wengi kama Mimi ulivyo nisaidia maana bola use unajitambua kuliko kuwa na fedha nyingi bila Uhuru wa pesa

  • @realestateagent_binambingw309
    @realestateagent_binambingw309 4 роки тому +10

    Hii point ya kutokuomba msamaha kiukweli nlikua nayo 2 yrs nyuma , nliwahi katika mapito kuwa konda wa daladala za mbagara to mkuranga , nilimpitisha mama mmoja kituo ambacho aliniambia kua nimshushe nikampitisha bahati mbaya , alipokuja kustuka akawa ananifokea balaa na abiria wote walikua wanafoka , nilikua mpole nikaomba radhi kwa yule mama na nikaonesha unyenyekevu na upole wa hali ya juu , sasa hivi nipo kaniajiri ofisini kwake baada ya kuchkua namba zangu kutokana na kitendo kile katika maneno yake anasema hakuwahi kutarajia kama kuna konda mstaarabu namna ile msamaha sio dhaifu msamaha ni tabia njema asante brother edzen

    • @sophietoya4617
      @sophietoya4617 6 місяців тому +1

      Kuomba msamaha NI Jambo la upole❤ hata mtoto wako ukiomba msamaha hata Kama wataka kitu NI vyema

    • @MerlinaKubadesha
      @MerlinaKubadesha 24 дні тому

      Kabisa nakubaliana na wee😂😢😂🎉🎉

  • @oshemuemgimwa3161
    @oshemuemgimwa3161 4 роки тому +57

    Nice, tungeishi hivi jamii ingependeza sana.

  • @devisdenis7305
    @devisdenis7305 4 роки тому +11

    Baba Mungu wa mbinguni akubariki wa huduma yako, nimeipenda saaaana!! Kwakweli kwenye point ya 6, be blessed much!!

  • @tedymwandara5480
    @tedymwandara5480 4 роки тому +18

    Ili upendwe na watu;
    1.Usiwe easily offended( unaekasirishwa haraka).
    2.Usidharau watu, penda kusikiliza na kusaidia watu.
    3.Ucwe mwepesi wa kuanzisha ugomvi.
    4.Usiwe mshindani wa kupita kiasi.
    5.Jifunze kuomba radhi unapokosea.
    6.Usipende ku interfere mazungumzo.Usipende kumkatisha MTU anapokua anazungumza.
    Asante kaka nime summarize nilichoelewa.

  • @simbaali8233
    @simbaali8233 4 роки тому +60

    Yaani bro mimi nazifatilia contents KWANI nàkuona UKO makini NA unayo yafundisha yana msaada sana . Inshallah nitapambana ilikuhakikisha watoto wangu wana amkia kitabu NA hawaLali BILA kusoma kitabu. 🤔

  • @bokas2549
    @bokas2549 3 роки тому +8

    "Talk less listen more'"WONDERFULL ONE MASHAALLAH

  • @allynkungu9208
    @allynkungu9208 4 роки тому +126

    Elimu si lazima mtu aende shuleni, maneno yako pia ni darasa tosha bro!!! Mungu akuinue zaidi kaka. Anything happens for reasons, kuna sababu ya wewe kuwepo hapo!!

  • @esthermoraa6648
    @esthermoraa6648 4 роки тому +9

    My first time listening your teachings 👏👏👏👏👏nitakufatilia Sasa in every episode

  • @huseninchasi
    @huseninchasi 2 місяці тому +1

    braza usije ukaacha kusali hasa swala tano mm nilichokiona kwenye uso nikavutiwa na tunaamini waislmu huwa ni kweli sana sijawatukana wakiristo pia wapo wazuri snaaaaa haki mungu

  • @emmanuelmakindi4409
    @emmanuelmakindi4409 4 роки тому +45

    Nashukuru kwa elimu yako.
    OMBI: naomba utoe video inayohusu Customer services/Namna ya kuhudumia Wateja.Ahsante!

    • @tabithampinga4606
      @tabithampinga4606 4 роки тому

      Customer service sector? or in which establishment unahitaj kujua kujua zaid

    • @emmanuelmakindi4409
      @emmanuelmakindi4409 4 роки тому

      Its all about customer services.

    • @tabithampinga4606
      @tabithampinga4606 4 роки тому

      Oky good let us wait...buh f u real need it i can give some tips on how to be a good service provider. While waiting for the video from our Brother

    • @Jitu_Lisilofikirika.
      @Jitu_Lisilofikirika. 4 роки тому

      @@tabithampinga4606 instagram yako please

    • @tabithampinga4606
      @tabithampinga4606 4 роки тому +1

      Taby Ridhaa same as fb

  • @hassanovajunior6972
    @hassanovajunior6972 3 роки тому +11

    Thank you my brother Ezden your lessons helped me a Lot May ALLAH Bless you abundantly 🙏🙏

  • @alhamdulillah5796
    @alhamdulillah5796 4 роки тому +2

    Ukitaka kupendwa na watu mpende Mola wako na fuata aliyokuamrisha utajikuta unafanya mema kwa watu lkn unategemea malipo kwa Allah na yale mapenzi ya watu ni ziada. Lkn ukisema unafanya mazuri ili watu wakupende utaishia kujiumiza moyo wako na stress.
    1)Watu hawajali chochote zaidi ya pesa yako na ikimaliza upendo umeisha.
    2)Watu utawashauri wakifanikiwa watakupongeza na wakiharibikiwa kwa uliowashauri watakuona hasidi umewapoteza makusudi.
    3)Utatupa nguvu zako wapo watakaothamini na wapo watakaoona unajieka kimbelembele na kutaka kujua mambo ya watu.
    4) Wapo watakaokuja na mambo yao maovu uwashauri ukikataa hawatokuelewa.
    Usijikalifishe kwa mwanaadamu mwenzio, Laa yukalifu nafsan il-la wus-'aha. Timiza aliyokuamrisha Mola km zakka na sadaka, tenda wema kwa wote kwa mazungumzo, vitendo na ishi na watu vizuri na jiepushe na mafarakano. Allah atakusogezea wema mtasaidiana na kupendana na atakuepushia wabaya. Mana hata na ww unahitaji mtu wa kukupa ushauri, kukusaidia na kukupenda. Kwa hio km hujatenda matendo yako kwa ajili ya Allah, ukitenda kwa ajili ya mtu linapokufika ww utajikuta peke yako kwa sabbu wale wote uliokua unawaona wanakupenda walikupenda kwa ajili ya kitu na nguvu yako na sio upendo wa kweli.
    Hao ni uoni wangu.

  • @lwidikoluwondo4109
    @lwidikoluwondo4109 4 роки тому +2

    Asantee sana bro unatupa masomo mazuri ubarikiwe sana

  • @dottnatt7110
    @dottnatt7110 4 роки тому +9

    Shukran..kaka Ezden Jumanne.
    Wallah nimejifunza mengi kupitia hili somo..
    Allah akufungulie milango ya kheri inshaaAllah👏

  • @chunaamina8719
    @chunaamina8719 4 роки тому +9

    Mashaallah mafunzo sio ya shule tu kwa wtt hata ss wtu wazma yanatufaa sana, nmejifunza kwa kweli Allah akujaze kila la kher

  • @AbubakariLigi
    @AbubakariLigi 2 місяці тому

    Big up sana wewe,joel na mpagaze nimewafatilia kwa muda wa m3 lakini matokeo nilio pata ni very potentially kwenye maisha yangu nimepiga hatua kubwa muda mfupi kwa ujumla mungu awabaliki kwa kazi ya kuelimisha jamii

  • @user-ux4cx3xe5j
    @user-ux4cx3xe5j 4 місяці тому

    Kusema kweli hiyo ni hekima ya juu kuwaimiza watu wenye hawafahamu mahadili njema kwa jamii hongela sana.

  • @khayraatsaidi3801
    @khayraatsaidi3801 4 роки тому +5

    Maa shaa Allah
    Shukran sana
    Mungu Akubariki

  • @albinamarcel3117
    @albinamarcel3117 4 роки тому +34

    Allah! bless u bro

  • @user-lz7sd1vd2e
    @user-lz7sd1vd2e 3 місяці тому

    Asante kwa mafundisho mazuri ndio mara yangu ya pili nitakuwa nakufuatilia kila siku mungu akubariki kwa kutuelimisha na kupata mafanikio

  • @aswaneliphas2271
    @aswaneliphas2271 7 місяців тому +2

    Much love from Kenya guy's like back

  • @maubusiness2409
    @maubusiness2409 4 роки тому +8

    Nakuelewa sana Ezden kwa kazi unayofanya ina nifanya niwe makini sana Allah akuzidishie kila la kheri

  • @kanjisaliim5691
    @kanjisaliim5691 4 роки тому +6

    Jazaka llah kheir Ahsante najifunza mengi hapa Allah bless you and your family

  • @user-ph8qi4lc4p
    @user-ph8qi4lc4p Місяць тому +2

    Nashukuru sana Kwa SoMo hili🙏

  • @kimutattoo4067
    @kimutattoo4067 4 роки тому +2

    NaKufatilia Since 2017 mpaKa LEO hii
    Naendelea KUJIFUNZA kupitia Wewe "ALLAH AKUBARIKI🙏🙏🙏🙏🙏"

  • @mariamyoyote8172
    @mariamyoyote8172 4 роки тому +29

    Unanifurahishaga Sana kuongea kwako hasa English na mbwembwe much love in Allah be bless

  • @khadijajuma7142
    @khadijajuma7142 4 роки тому +8

    Nimejifunza sanaaa, japo mm kama hazijanigusa sanaa karibu zote 😁Alhamdulillah.

  • @mwajinachallo4471
    @mwajinachallo4471 2 роки тому +1

    Asante mdogo angu mungu atakulipa,unanifungua sana.

  • @erikalutevele8362
    @erikalutevele8362 11 місяців тому +1

    Asante sana kaka Ezden toka nimeanza kufuatilia post zako sijawahi baki nilivyo Mungu azidi kukutunza zaidi

  • @obedyvyuguta9920
    @obedyvyuguta9920 4 роки тому +3

    Daa mm huyu broo namelewa sana , be blessed Mr. Jumanne

  • @santosgirbert8522
    @santosgirbert8522 4 роки тому +11

    Bro wewe ni Genius

  • @johnjohnson-hc5fr
    @johnjohnson-hc5fr 4 роки тому +1

    daaah kaka sjawah kujuta tangu nianze kukufatlia,sijapata pesa wala sijawa tajiri lakin umenifanya niwe a real meaning of gentlmn,thanx so much ezden jumanne

  • @muhammadahmedaliyyu3854
    @muhammadahmedaliyyu3854 4 роки тому

    Aisee huwa nikipata mda napenda KUFATILIA chanel razima nicheke mana Nakupenda kweli kwa Ajili YA ALLAH Azza WA jalla kwanza huwa napata elmu erimu mbari mbali zanyeti Zaid huwa najikuta Nime furahia uhodari NA kipaji chamuhusika kwa kutufunza kweli ma sha Allah 👌 Jazak Allah khayran Mola wetu MLEZI Akudhidishie elmu yenye kunufaisha.

  • @fikirihamisi1485
    @fikirihamisi1485 4 роки тому +22

    Bro nina miaka 30 nafatilia UA-cam vitu mbal mbal muzik nn ani vitu vingi ilaa we ndo wa kwanz kufanya naandika comment yangu na kukupigia saluti unatisha san inshallah mungu akuongoze unajua kufundisha watu

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  4 роки тому +1

      Asante sana kaka. Karibu sana. Tuko Pamoja

    • @pitajohn8793
      @pitajohn8793 3 роки тому

      Kaka Samahan mi nataka kama hutojali niongee na ww japo kwa video call what's app so namba zako katika hizo cjui ni zpi itakua rahisi

    • @user-ro2bf1js3j
      @user-ro2bf1js3j 2 місяці тому

      Nimependa sana kaka usipojifunza hapa ndiobasi tena

  • @edmundisospeter7837
    @edmundisospeter7837 4 роки тому +13

    Kaka me sijawahi kumiss vitu vyako Asante Mr Ezden Jumanne👊👊👍 halafu mifano yako ipende pia kuwagusa hata wanafunzi simply because am still a student and always very interested on listening your advices 🙏🙏🙏🙏

  • @mejachen5363
    @mejachen5363 7 місяців тому

    Kaka kwanza niseme hongera sana kwasababu hii akili kwanza chanzo niwazazi walio kuzaa wanahekima sana nahii ni majaaliwa kutoka kwa Allah Kaka Allah akuzidishie hekima utuelimishe tulio kosa busara Asante sana

  • @evahealthservice7390
    @evahealthservice7390 4 роки тому +1

    Nimejifunza vitu vikubwa sana, asante mwanasaikolojia.

  • @masterkey2253
    @masterkey2253 4 роки тому +5

    Your article really helped a lot. I was a sort of a person, used to downlook others especially when they mess up spellings, which caused many friends of mine to hate me. I learnt more here thanks

    • @user-yf3lq3hx9f
      @user-yf3lq3hx9f 8 місяців тому

      Asante brother kwa kutufundisha mambo yatakayo tusaidia katika maisha yetu big up

  • @hadijaabuu4178
    @hadijaabuu4178 4 роки тому +5

    Ur so creative honestly nimepata funzo , Allah akuzidishie elmu zaidi ya hyo

  • @asaaomar1912
    @asaaomar1912 3 роки тому +1

    Asanten kwa ukumbusho wako

  • @corboytv
    @corboytv 4 роки тому +3

    Asantesana kwakunifungua ufaham

  • @souzyrajabmaganga844
    @souzyrajabmaganga844 4 роки тому +5

    My brother, God bless you

  • @sabinashabani4688
    @sabinashabani4688 4 роки тому +5

    Kaka upo vizuri yani unaeleweka ,asante kwa somo nzuri

  • @walidkhalid5598
    @walidkhalid5598 4 роки тому +1

    Una maneno yamaana shukran kaka

  • @mathiaslaban8530
    @mathiaslaban8530 2 роки тому +1

    Hii video nimeipenda mnoo shukran

  • @asmaabdallah9103
    @asmaabdallah9103 4 роки тому +33

    Kuna vingi UA-cam lakin we umewazid wote

  • @aminamundhir2713
    @aminamundhir2713 4 роки тому +6

    Mashaallah brother Allah akubariq

  • @monicagabriel4388
    @monicagabriel4388 4 роки тому +2

    Asante sana kwa mafundisho yako.nimejifunza kuomba msamaha , kusikiliza , pia tusiwe wakorofi katika jambo lolote.

  • @nasraabdi1529
    @nasraabdi1529 4 роки тому +2

    Asante sana kaka kwa moyo wako mzuri M mungu akuzidishie upendo wa kusaidia watu

  • @khalifalutonja6125
    @khalifalutonja6125 4 роки тому +3

    Ujumbe wa kuzingatia sana huo maana ni ujumbe wenye uhalisia.

  • @moussababanla399
    @moussababanla399 4 роки тому +26

    Success Path Network tuko sambamba teacher💪🏿💪🏿

    • @chunaamina8719
      @chunaamina8719 4 роки тому +1

      Yap mafunzo ya kuishi salama Na kwa adabu from ur teacher

    • @davidmichael9748
      @davidmichael9748 4 роки тому

      Kaka mungu akujalie maana unafundisha vizuri unaelimisha

  • @martinmgesha9066
    @martinmgesha9066 2 роки тому +1

    Uko vizuri brother respect to you

  • @taybatanaka1484
    @taybatanaka1484 4 роки тому +1

    Mi nimekupenda sababu ya hiyo alama kwenye pahi lako. Mashallah

  • @reginabenedict2912
    @reginabenedict2912 4 роки тому +6

    Perfect lesson.

  • @caritaspaul7702
    @caritaspaul7702 4 роки тому +6

    Thank you so much bro...you've teach me things that I've no been taught at school.... Respect bro!!!

  • @revocatuskamugisha8138
    @revocatuskamugisha8138 3 роки тому +1

    Ahsante bro NAKUPENDA !Barikiwa sana kwa mafundisho mazuri saaana bigup bro!

  • @RashidSaid-t9i
    @RashidSaid-t9i Місяць тому +2

    Kweli brother uko fresh mchango wako ni muimu sana ktk maisha pamoja sana.

  • @mohameeddoaan2296
    @mohameeddoaan2296 4 роки тому +3

    Asante sana kaka ezden nimejifunza mengi sana Alhamdhulilah sasa nitaishi vizuri nahawa waarabu ndani yasaudia msimu huu wacorona

  • @janethpallangyo2633
    @janethpallangyo2633 4 роки тому +4

    Asante 👏👏👏👏👏👏👏

  • @henrymlowe2548
    @henrymlowe2548 2 роки тому +1

    Mungu akubariki sana

  • @kedmonmjelwa3406
    @kedmonmjelwa3406 4 місяці тому

    Asante Nimejifunza neno moja muhimu sana ktk maisha yangu (Ya kuwa kwa nini tuna mdomo mmoja na masikio mawili)Narudia asante sana Ubarikiwe sana mwalimu

  • @faredamobilo3678
    @faredamobilo3678 4 роки тому +3

    True talks out about Mtandao etc,thank Our Bro!

  • @M-BembeTv
    @M-BembeTv 4 роки тому +9

    Thank you for your lesson bro. You remind me why we have two ears and one mouth.
    Wish a good luck...

  • @uwimanauwimana7692
    @uwimanauwimana7692 Рік тому

    Nashukuru sana nimejifunza kitu hpo kutokujipendekeza kwa watu kunakujivunjia heshima nikweli kabisa upo sahihi 👌👌

  • @pascalshio3361
    @pascalshio3361 9 місяців тому +1

    Shukrani sana Bro.

  • @mwashighadijames3018
    @mwashighadijames3018 4 роки тому +8

    Am linet from KENYA
    Infact naendelea kupata ufahamu sana ndugu Ezden God bless you na azidi kukupa hekima

    • @johnmwadime4590
      @johnmwadime4590 4 роки тому

      Mtaita mwenzangu kumbe na wew upo hapa,Tuendlee kuelimishana

    • @officialbatuli2272
      @officialbatuli2272 3 роки тому

      Dah hongera sana nimepata something very nice

  • @musackasabiya6464
    @musackasabiya6464 4 роки тому +4

    Mungu anitanguliye nataka kuwa Wise man kabisa

  • @shamsiamsaghati
    @shamsiamsaghati 2 роки тому +1

    Shukran kwa somo
    ALLAH akulipe kheri InshaAllah

  • @subiraomari5908
    @subiraomari5908 4 роки тому +1

    Asante Sana kwa somo zuri

  • @farouqsilvester9918
    @farouqsilvester9918 4 роки тому +14

    That’s brilliant bro, I really appreciate u bro, that’s true bro ... we gona try to learn slowly slowly bro yeah 😀😀... it’s so hard to change someone especially wen u getting old, but yeah we gona try it bro, yeah safi sana bro keep gone bro,

  • @erickbasombana5685
    @erickbasombana5685 4 роки тому +34

    Bro , i wish I could write everything you said on my body as my tattoo , so that everyone can get the chance to read on me.i really like the lesson. From Johannesburg South Africa. Thanks

    • @mbwanaali4251
      @mbwanaali4251 4 роки тому +3

      I like you ezden but I think you should try to be more specific and stick to your original points, yaani moja baada ya nyingine mpk ziishe kwa mujibu wa intro yako coz sisi wengine tuna muda mfupi sana wa kuangalia vitu mitandaoni, so plz try to be more specific itapendeza zaidi mkuu, niwie radhi lakini! Ahsante!

    • @raphaelomae27
      @raphaelomae27 4 роки тому +1

      Thanks bro

    • @kimutattoo4067
      @kimutattoo4067 4 роки тому +1

      @@mbwanaali4251 fact100%

    • @tonybezzy4796
      @tonybezzy4796 2 роки тому +1

      Bro tupo pamoja.

    • @jonsonibarinaba
      @jonsonibarinaba Рік тому +1

      Asanth sana

  • @agathamichael3789
    @agathamichael3789 4 роки тому +2

    I don't knw what is wrong with those people who dislike,this wonderful video we should appreciate his work. He's really doing very hard for gives advice I can't writing to much but am I agree bro bigup.

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  4 роки тому +1

      Thank you so much Agatha for understanding what you've just understood... Thank you. A lot more is coming on this channel.

    • @arnoldkabogo3427
      @arnoldkabogo3427 4 роки тому

      Uko vizur kaka

  • @MwamediMahobela
    @MwamediMahobela 10 місяців тому +1

    Asante Sana kaka nakuerewa sana

  • @margaretmkangala7774
    @margaretmkangala7774 4 роки тому +7

    Umefundisha vizuri nakupa zawadi ya wmbo huu Yasoo ya Malik imoulouk utafute

  • @divaimafuru2394
    @divaimafuru2394 4 роки тому +4

    Umebadilisha life style yangu broh big up👏👏👏

  • @user-mv7uf7jo1j
    @user-mv7uf7jo1j 10 місяців тому +1

    Asante sana unafundika vitu vzr sana kaka appreciate

  • @omarathuman5813
    @omarathuman5813 2 роки тому +1

    Umenifungua ujinga brother Asante Mungu akulinde inshallah

  • @mwalimutesha9647
    @mwalimutesha9647 4 роки тому +7

    Kaka tunajifunza mengi, ndio maana napenda kukusikiliza asubuhi

  • @liberatussylvanus9952
    @liberatussylvanus9952 4 роки тому +7

    Kwenye hiipointyamwisho watuniwengisana wenyehiyotabia even me I was! But from now never hapen thenks kaka

    • @aminaabas554
      @aminaabas554 4 роки тому

      mungu akubariki sana ..nimejifunza mengi kupitia video zako...inshaallah nitapo rud tz nitajiunga na kamouni yenu

    • @mariambazil6158
      @mariambazil6158 4 роки тому

      Kweli nimejifunza sana ila naomba kila Mara utuletee elimu nilikuwa nakuona tu kumbe Bonge la Mwalim wa maisha asante

  • @vincentmhoro1952
    @vincentmhoro1952 Рік тому +1

    Waooo! Jumanne.
    I like you

  • @adamumachengo5073
    @adamumachengo5073 3 роки тому

    kaja EZDEN JUMA NNE mungu akubariki kiukweli darassa ninalolipata kwako ni zaidi ya shule kwasababu akuna ata siku moja inapita bila kuku fatilia japo kuna siku moja nilikupigia simu ila atujaelewana Asante sana nina ndoto ya kuonana wewe ni zaidi ya MWALIMU kazi njema

  • @alexrauya3168
    @alexrauya3168 4 роки тому +5

    KAKA TUNASHUKURU KWA USHAURI WAKO NA ELIMU YAKO UNAYOTUPATIA YA MAADILI MEMA MBELE ZA WATU

  • @ditrammwanaharakatimike1492
    @ditrammwanaharakatimike1492 4 роки тому +3

    Sasa hizi dislike 33 maaanake hawajaelewa

  • @jescapascaline2117
    @jescapascaline2117 3 роки тому +1

    Asante sana kaka mungu akuzidishiye maana tuko wengi ambao atujuwi kuhishi na watu

  • @ombennykamwela2516
    @ombennykamwela2516 4 роки тому

    Hakika ukizingatia haya hakuna atakayekuchukia.. Asante sana

  • @delphiniusalex
    @delphiniusalex 4 роки тому +21

    Aisee napenda English speaking yako

  • @suzanedgar5113
    @suzanedgar5113 4 роки тому +1

    Asante Sana jmanne,, very insiped lesson.

  • @daudisamwel7826
    @daudisamwel7826 4 роки тому +1

    Dah!! Broo najifunza vyingi kupitia wew, unatufungua vijana wengi sanaa, long live broo.

    • @mariamgervas1792
      @mariamgervas1792 3 роки тому

      Nimejifunza vitu vingi na Barikiwa sana,Maana kila mtu kwa kwel ana karama yake.

  • @user-br5ci6xw5o
    @user-br5ci6xw5o 11 місяців тому +1

    Wonderful

  • @bintmailiga8184
    @bintmailiga8184 3 роки тому

    Nimekupenda buree Kaka angu mungu akuzidishie asieyeelewa na Apo m uko vizuri Sana Yani umenigusa tunashukulu Sana

  • @emilykilwake4693
    @emilykilwake4693 4 роки тому

    Asante kwa funzo nzuri sana

  • @officialraymond4532
    @officialraymond4532 3 роки тому +1

    Asante saaana Kaka kwaushauri nimekuhelewa sana kaka

  • @mandiatv8737
    @mandiatv8737 4 роки тому

    Shekhe unajua sana elimu yako yafundisha sana shukran

  • @zenamuhammed4057
    @zenamuhammed4057 4 роки тому +1

    Nakubl kaz boss wng yn upo vzr mungu akuzdshie kipaji chako

  • @alnasway1883
    @alnasway1883 9 місяців тому

    Kabisa kaka tena unakuta jibaba lizima linapositi ujinga na wakati kuna wadogo zake watoto mke marafiki hata wazizi alafu halijitambui ni aibu tupu 💯✍🏾

  • @JoelleChirhalabwa
    @JoelleChirhalabwa 5 місяців тому +1

    Thank you so much kwaushauri

  • @johnjeremiah3144
    @johnjeremiah3144 9 місяців тому +1

    Shukrani bro..mafunzo poa kabisa