Ukihitaji msaada wangu kuhusu : 1. Kufungua channel ya youtube 2. Kama unayo channel tayari (Unataka niipitie na kuirekebisha ikae kibiashara) . Wasiliana nami sasa kwa whatsapp namba (+255)759191076 . UA-cam ni biashara nzuri sana kama ukiianza na kuifanya kwa usahihi. Karibu sana!
kufanikiwa ni mtuwenyewe akiamua napia wanasema kuzaliwa masikini so tatizo tatizo kufa masikini nekuelewa sana brother asante sana Mungu akuinue zaidi
Ahsante sana kaka, nina kila sababu ya kusema ahsante ni kwa sababu binafsi unanipa kujifunza nisivyovijua na hasa ktk maisha haya yanayoendelea, mimi napenda kujifunza, kifupi nimekuelewa sana kaka na ubarikiwe na mungu akupe afya njema 🤝🤝🤝🤝🙏🙏
Even if there are others doing what you are doing you can never be exactly the same, each one of you is different and unique. You are doing a great job empowering others.
Nimependa points zote umesiongelea ndugu na ninashukuru sana kwa unifungua macho ili nione kweli am blessed with ur teachings God bless you dear keep it up. Nitaendelea kukufatilia ili niwe jasiri wa maisha yangu
"watu waliofanikiwa ni wale wanaotatua matatizo, na ili uwe na uwezo wa kutatua matatizo lazima uwe umepitia nyakati ngumu" Hii nukuu nimeilewa sana Brother
Asante sana Kwa uhusia wako. Kwani ukweli uponya nafsi zetu naamini kwamba umenigusa kwa huyo sina kusudi lolote la kuendelea kukaa sehemu moja. Mi wakati wa kusimama.
Nakushukuru sana kwa maelezo yako mazuri,Mafanikio ya KWELI yanapatikana kwa kutimiza kanuni,taratibu na Sheria za Kumtegemea na kumtumikia Mungu.Mungu ndiyo muweza wa yote.Ninaoushuhuda wa kutosha juu ya jambo hilo,ndiyo maana maandiko yanasema,WATU WANGU HUPOTEA KWA AJILI YA UKOSEFU WA MAARIFA,KUMCHA MUNGU NDIYO CHANZO CHA MAARIFA.
Asante kwa usaidizi ya kufaulu kimaisha kwani hakuna mtu hataki kufaulu hata waliotutangulia wangefufuliwa bidii Bado watafanya kumaanisha success is a wide thing but remember to do the best of your ability.💪
Kulinganisha ww na wengine kweli kosa la jinai haswaaa! Kaka somo zuri sana, Burundi twahitajia sana somo nzima kama hili, kaka just keep on again and again! Never give up
Ahsante sana wewe nimpigaji wa maisha umetufundisha kuwa dont give up nimependa sana kwamba anza sasa kile unachofikiri utatoboa bila kusubiri capital.
Bloo edzen umenigusa kabisaaaaa asante sana kuna ki2 nimegain hapa Mimi binafsi nina hiyo tabia ya kuwaridhisha wengine yaani kwamba nipo tayari kuingia gharama ili niwaridhishe wengine.......thanks so much, i promise i will be change my behaviour thus because ineed to achieve successful right now Ujumbe wako umenifikia moja kwamoja
No 1 jambo la kujifunza daily..great points. Kingine kila mtu ana utofauti na mwingine hata wote tunalima tikitiki. On another we can all grow doing similar things
Usijilinganishe na watu ahhhhhh The main point brother uchambuzi mzuri Sana ushauri wangu mdogo Kila mada unayotoa iwe Ina point chache ili tupate uwelewa mzuri kwa sasabu Kila point inauchambuzi wakina Sana na mzurihii inapelekea sisi wanafunzi wengine kuhasau kushika point za msingi Asante
Kazi nzuri Kaka ingawa sio rahisi watu kukuelewa sana ahsante kwa SoMo tunahitaji watu wengi zaidi wenye mtiririko unaoendana na wako ili kubadilisha mfumo wa watu wa taifa kupenda Sana udaku,mambo yasiyo na faida hususani mwendo wa technology mpya.
"Beauty begins the moment you decide to be yourself" 😊😊😊😊 powerful message thank you for sharing no 3. "Complaining" OMG I hate to complain but I always do quiting now😊😊 4. "Second guessing" OMG yaani fear of failure is hunting me everywher😂😂😂😂 and hey broo your voice is captivating🙌🙌🙌
Ubarikiwe sana kwa kazi njema, kwa umuhimu wa masomo haya bado kuna uhitaji mkubwa wa walimu. Mungu awatie nguvu nyie mliothubutu kutusaidia kwa kutoa mlicho pewa na Mungu
Una sauti nzuri sana Uncle,inasikilizika,inashawishi,inahamasisha,inanipa nguvu na imani kubwa ya kufanikiwa.Nina imani Mungu alikuumba kwa ajili ya kuwasaidia watu.You are blessed maaan🀄🀄🀄🙏🙏🙏🙏🙏
Ndio Muda sahihi huu ndugu yangu usilaum mimi naiyona leo 03/12/2024 nimelizwa sana na hii kuwalizisha watu nimebadirika nakujijali mimi sasaivi nimetengwa na ndugu wa karibu naumia sana 😢😢😢
Kweli kabisaaa uoga ni kitu kibaya na kulalamika ni kosa kubwa mimi nakumbuka Mwaka 2017 nilisafiri kwenda nchini uganda kutokea mkoa wa mwanza kumuangalia rafiki yangu alinishirikisha biashara nikakataa but after him to make 100 millions just in one year I was so embarrassed but guess what baada ya kukatishwa kukatishwa Tamaa nirirudi mkoa wa mwanza nikawa focus kufanya kazi kwa bidii ndani ya miezi 5 nilitengenez millions 10 now my life is super Thanks God to make me stonger💪💪💪💪💯
Thanks braza,. Nimepata kitu, nilikua nawafatilia kina jaq ma, but bahat nzuri Leo nimepata ya mbongo mwenzangu ,. I will be student kaka,. Well done.,. Point zote zimeniguxa especially,. Kucomplain, to make excuses,. To please others,.
Uko vizur sana broo mda mwingi nikawa natafuta ntakupataje sikuwah kuwaza kama una channel UA-cam ...Una2 inspire Sana vijana towards success..keep it up
Asante nashukuru sana Mimi nimependa elimu yakonimetoka sehemu Ile waliyo nizoeya na nimekwenda kuishi mbali ulifundisha nitazidi kufanyia kazi, Niko chini,ila ninakipawa Cha kuponya na watu wanafunguliwa ila nilianza kujiogopa nikisema mbona vitu kama ivi vinafanywa na manabii na wachungaji lakini Mimi ni mkiristo wa kawida, lakini Sasa nitafanya Kwa kujiamini,Asante Kwa elimu yako
Very true Chaz Kollah Safi sana Work of grace kwa kupenda kujifunza ni vizuri kuongeza maarifa kwa kujifunza kutoka kwa wengine karibu pia Golden Nation ua-cam.com/channels/X-ZMz52PbtoLHaW4ft9FuQ.html
Ukihitaji msaada wangu kuhusu :
1. Kufungua channel
ya youtube
2. Kama unayo channel tayari (Unataka niipitie na kuirekebisha ikae kibiashara)
.
Wasiliana nami sasa kwa whatsapp namba (+255)759191076
.
UA-cam ni biashara nzuri sana kama ukiianza na kuifanya kwa usahihi. Karibu sana!
Nahitaj
Nahita Sana niweke vichekesho vyangu
Mm nina channel yangu blaza UA-cam. Inaitwa FLYMEDIA project
Asante sana maana icho kinani gusa mm bnfs nnatabia hiyo
Ndio ndio
kufanikiwa ni mtuwenyewe akiamua napia wanasema kuzaliwa masikini so tatizo tatizo kufa masikini nekuelewa sana brother asante sana Mungu akuinue zaidi
Ahsante sana kaka, nina kila sababu ya kusema ahsante ni kwa sababu binafsi unanipa kujifunza nisivyovijua na hasa ktk maisha haya yanayoendelea, mimi napenda kujifunza, kifupi nimekuelewa sana kaka na ubarikiwe na mungu akupe afya njema 🤝🤝🤝🤝🙏🙏
Even if there are others doing what you are doing you can never be exactly the same, each one of you is different and unique. You are doing a great job empowering others.
Thank you so much my brother. Your comment means alot to me.
Nimependa points zote umesiongelea ndugu na ninashukuru sana kwa unifungua macho ili nione kweli am blessed with ur teachings God bless you dear keep it up. Nitaendelea kukufatilia ili niwe jasiri wa maisha yangu
Kwa jinsi nnavyozidi kukusikiliza ndivyo nnavyohisi maisha yangu yatavyobadirika kuanzia sasa be blessed brother
Hata mimi
Upo sawa Sana ndugu yangu kweli nimejaribu kubadili mfumo. Wangu ktk maisha yangu kutokana na mazungumzo yako upo sawa mungu akubariki Sana IshaAlha
Nimepata kitu,asante sana Mungu awe nawe katika kazi yako
Brother, you've waked me up asante kwa moyo wako msafi coz I have realised smthing I have to create my self
Nimependezwa na comment za walio tangulia Asante xn brother umenifunza kitu nayaona mafanikio yang yapo njiani 🙏naacha kufuraisha watu
haya
Uko sawa brother nimekukubar
umenifungua san kaka tabia zote ninazo niko tear ht kumkopea mt pesa kwajil yakufnikish mambo yke wkt yngu bd sojayawez mungu akubarik san umenifungua
"watu waliofanikiwa ni wale wanaotatua matatizo, na ili uwe na uwezo wa kutatua matatizo lazima uwe umepitia nyakati ngumu"
Hii nukuu nimeilewa sana Brother
Kweli kabisa... Karibu sana
Nimekukubar kaka mkubwa tena nimeguswa hakika we nimkari mbona tutabadilika tu yan.
_
Km
Asante
Asante sanaa
Na taka nipate ujuzi mwingi kupitiya maneno yako
Mr. Jumanne nakupongeza sana maana hizi Familiar zetu, watoto, mke na wengine hayo unayosema kuyaacha wengi ndo wamejikita huko!, Thanks so much!
Big Up Brother
Naomba mawasiliano yako wapo watu wengi wanaohitaji kusaidiwa
Najua kuna shida kubwa sana kwenye familia zetu, ndio jukumu letu sasa kuhakikisha tunarekesbisha
Brother j4 you're extremely talented! Nimejifunza kitu juu ya kulalamika kila wakati, I'm going to change! Thanks be blessed
Online0744557976
I get you bro. "Kama hatutatumia Ideas za vitabu tunavyo visoma basi tutakua tunapoze muda kusoma vitabu vingi "
Asante sana Kwa uhusia wako. Kwani ukweli uponya nafsi zetu naamini kwamba umenigusa kwa huyo sina kusudi lolote la kuendelea kukaa sehemu moja. Mi wakati wa kusimama.
Love you blood ❤️ kwaushauli wako Mungu akubaliki sana kila itwayo Leo🤲
Nakushukuru sana kwa maelezo yako mazuri,Mafanikio ya KWELI yanapatikana kwa kutimiza kanuni,taratibu na Sheria za Kumtegemea na kumtumikia Mungu.Mungu ndiyo muweza wa yote.Ninaoushuhuda wa kutosha juu ya jambo hilo,ndiyo maana maandiko yanasema,WATU WANGU HUPOTEA KWA AJILI YA UKOSEFU WA MAARIFA,KUMCHA MUNGU NDIYO CHANZO CHA MAARIFA.
Qq
Watu wangu wanaangamia Kwa kukosa maarifa na c kama ulivyoandika
Asante kwa usaidizi ya kufaulu kimaisha kwani hakuna mtu hataki kufaulu hata waliotutangulia wangefufuliwa bidii Bado watafanya kumaanisha success is a wide thing but remember to do the best of your ability.💪
Asante alakini usifundishe watu tuu kupata pesa ,pia uwambie wuzima wa milele wapatikana ndani ya Yesucristo
Kulinganisha ww na wengine kweli kosa la jinai haswaaa! Kaka somo zuri sana, Burundi twahitajia sana somo nzima kama hili, kaka just keep on again and again! Never give up
Vipi kaka
Ahsante sana wewe nimpigaji wa maisha umetufundisha kuwa dont give up nimependa sana kwamba anza sasa kile unachofikiri utatoboa bila kusubiri capital.
ninajifunza mengi mkuu kupitia hii crip na mungu akuongozee na akusimamie kwa kazi zako za kila sikuu
Bloo edzen umenigusa kabisaaaaa asante sana kuna ki2 nimegain hapa
Mimi binafsi nina hiyo tabia ya kuwaridhisha wengine yaani kwamba nipo tayari kuingia gharama ili niwaridhishe wengine.......thanks so much, i promise i will be change my behaviour thus because ineed to achieve successful right now
Ujumbe wako umenifikia moja kwamoja
No 1 jambo la kujifunza daily..great points. Kingine kila mtu ana utofauti na mwingine hata wote tunalima tikitiki. On another we can all grow doing similar things
definitely. Thanks
Bro i don't regret to watch this video!! be blessed!!!
Naitaj tena naham yakujua
Thanks bro and i so proud of u, ur video make me confident with my succefully🙏🙏🙏
ASAnte sana kaka umenifungua masikio
Waoo wote!
Nimependa sana ujumbe huu. Nakuombea MUNGU akuzidishe maarifa na afya njema. Nimejifunza vitu muhimu Sana'a.
asante Daud
ubarikiwe sana nimepokea ki2 kikubwa mnoo naahidi kuwa MTU mkubwa sana kwa jili yako ishaalah
Amiiiin
Usijilinganishe na watu ahhhhhh The main point brother uchambuzi mzuri Sana ushauri wangu mdogo Kila mada unayotoa iwe Ina point chache ili tupate uwelewa mzuri kwa sasabu Kila point inauchambuzi wakina Sana na mzurihii inapelekea sisi wanafunzi wengine kuhasau kushika point za msingi Asante
Wow! Great motivation; I've learnt a lot. Be blessed abundantly!
This is great Jumanne! I cant just listen I have to write it down for everyday review. Barikiwa saana nd keep passing the wisdom
Kazi nzuri Kaka ingawa sio rahisi watu kukuelewa sana ahsante kwa SoMo tunahitaji watu wengi zaidi wenye mtiririko unaoendana na wako ili kubadilisha mfumo wa watu wa taifa kupenda Sana udaku,mambo yasiyo na faida hususani mwendo wa technology mpya.
Binafc nmekuelew sn mkuu
Poa sw
Safi kaka, ili upate mafanikio lazima baadhi ya vitu lazima uachane navyo
Upendo nikol
Andante kwa Madini adhimu
Una ni saidiya Sana na iyi somo kakayangu, Mungu akubariki sana
Also follow joel nanauka for more content
"Beauty begins the moment you decide to be yourself" 😊😊😊😊 powerful message thank you for sharing no 3. "Complaining" OMG I hate to complain but I always do quiting now😊😊 4. "Second guessing" OMG yaani fear of failure is hunting me everywher😂😂😂😂 and hey broo your voice is captivating🙌🙌🙌
Thank you so much Vani
Vp
Umejuaje alicho ongea kama haujui kiswahili na kama unajua kipi kilikufanya ukoment lugha za wenzetu tubadilike
Zambia hii baba niekuelewa kaka
@@shabanikamsawa181
Wow! very nice message, kuna baadhi yamenigusa ktk maisha yangu ya kila siku, BIG UP SANA BROTHER.
Nimekukubali sana bro,Naamini kuwa tangu kuzaliwankwangu mpaka siku na kufa akuna mtu ambae atakae kuja kufanana na mimi ,respect my brother
naam, sawasawa. everyone is born unique, but most people die copies.. tukijiamini tumemaliza kazi
Ubarikiwe sana kwa kazi njema, kwa umuhimu wa masomo haya bado kuna uhitaji mkubwa wa walimu. Mungu awatie nguvu nyie mliothubutu kutusaidia kwa kutoa mlicho pewa na Mungu
Hongera. Sana Mwl. Jumanne
Tukipenda kukualika utupe Mhadhara wa madini Kama haya tufanyeje tukupate
Tuwasiliane tafadhali 0759191076
This all me 😭, thanks bruuh for inspiring us and makes who wanna yo be ,I love this energy.
This is proper use of social networks.....appreciated
Na anza kuhisi kama akili ime anza kufunguka najiuliza maswali mengi Sana Asante kwa kunitoa usingizini
Thanks alot nimejifunza vitu vingi Sana Glory to God
Una sauti nzuri sana Uncle,inasikilizika,inashawishi,inahamasisha,inanipa nguvu na imani kubwa ya kufanikiwa.Nina imani Mungu alikuumba kwa ajili ya kuwasaidia watu.You are blessed maaan🀄🀄🀄🙏🙏🙏🙏🙏
I dont know what to say.... maybe this will mean what I feel and mean.... "THANK YOU SO MUCH" Be blessed
Sito kata tamaa wala sitoongea mipango yangu kwa watu 🙏
Tedy Okachu nimeipenda san
Safi sana kaka nimejifunza mengi,nitayafanyia kazi.Be blessed brother.
Tusaidie kwa magumu kwa wanadamu mawazo mabaya
Dahhhhh mbn nlichelewa xana kuiona hiii 😢 ila cjachelewa asante kaka big up yaan zote ninazo izo
Ndio Muda sahihi huu ndugu yangu usilaum mimi naiyona leo 03/12/2024 nimelizwa sana na hii kuwalizisha watu nimebadirika nakujijali mimi sasaivi nimetengwa na ndugu wa karibu naumia sana 😢😢😢
Niko hapa tena kuangalia upya baada ya miaka this is 2024
Thanks bro umenifungia mahali nlikua nmejisahau na nmekua mafanikio yangu ninapo yapotezea,big up Sana bro.
Kweli kabisaaa uoga ni kitu kibaya na kulalamika ni kosa kubwa mimi nakumbuka Mwaka 2017 nilisafiri kwenda nchini uganda kutokea mkoa wa mwanza kumuangalia rafiki yangu alinishirikisha biashara nikakataa but after him to make 100 millions just in one year I was so embarrassed but guess what baada ya kukatishwa kukatishwa Tamaa nirirudi mkoa wa mwanza nikawa focus kufanya kazi kwa bidii ndani ya miezi 5 nilitengenez millions 10 now my life is super
Thanks God to make me stonger💪💪💪💪💯
Fursa gani hiyo pls check me
0742962661
🔥🔥
Amen
you give us something special message it sharpen,it make us to stepp forward,It motivate,it awake,It really nicely message
woow you're so blessed my Brother I am encouraged with your advises
Asante umeniokolea,,, wish ningejua mapema
Asante kaka, hii video nimeilewa sana, god bless u
Respect brother for ur advice big up San brother Allah akulinde na apanue elimu yako
Seen this popping up so much...I decided to look at it... I don't regret being here
Asant sanaaaa kwa mamb unayofundisha Mungu aendelee kukuongeza zaidi nimependa sana mfano wa Maua nimejifunza
nashukuru sana Editha. Asante sana kwa dua njema
These tips bring me to one step ahead. Stay blessed bri
Asante kaka nimekupenda buree I wish ntabadilika, together we stend aloan you go"
AHSANTE SANA KAKA KWA MAFUNZO YAKO MAZURI.
KEEP DOING WHAT YOU DO BEST.
BE BLESSED!
shukrani Modest
Ahsanteeere
@@successpathnetwork ahsanteee
Ni kweli kaka katka maisha ni mapambano kaka na katka biashara lazima upande au ushuke ndo biashara
Amna biashara ukifanya lazima uwe mbuniff ila na bila changamoto ndo ucsim
Thanks bro unafundisha vizuri sana and that the reality of our lives ntaacha baadhi ya mambo hayo🙏
A very great and motivating message indeed thank you soo much
Thanks bro your talk is really inspiring may God bless you beyond measure
Be blessed brother, your lesson is very important!
Kwa kweli ni nzuri sana nimesikiliza ila nimejifunza mengi sana .mungu akubariki
Thanks mtanzania unatupa elimu nzuri Mungu akupe maarifa zaid ili tujifunze mengi zaid
Thanks brother for good lesson that help us to learn more.
So proud to have you guy, keep teaching us
Saaaawa rfk yangu
Really nimefarijika sana,all you talked are life experiences keep it up
Alhamdulillah,nimejifunza sana,asante.
The explanations are real awesome....I don't regret to watch the video.
All the love to my guys duhh!! I love this content talking about success in life thank you so much man
Kaka I like you qoutes, natamani kujifunza mengi sana God bless u
Ahsante sana huu ujumbe umenitia nguvu sana katika kuanza jambo. Barikiwa sana
Thanks braza,. Nimepata kitu, nilikua nawafatilia kina jaq ma, but bahat nzuri Leo nimepata ya mbongo mwenzangu ,. I will be student kaka,. Well done.,. Point zote zimeniguxa especially,. Kucomplain, to make excuses,. To please others,.
shukran. endelea kuwepo mazuri zaidi yanakuja
Hongera bro from Kenya nakubaliana na wewe asilimia 100%
I see I really like u
You are right. Find your niche and focus what makes you happy. Great message and inspirational.
Thank you miss bantu
This is very much amazing..exactly
Santee nashukuru kwa juu ujimbe,naomba unionyeshe vile nitaomba maombi kumi na mbili 🙏🙏🙏
Kitu gani kizuri umejifunza katika somo la leo? Na ni tabia gani ambazo unaona unaenda kuzifanyia kazi na kuziacha ili uwe mtu wa mafanikio?
Ezden Jumanne asante kwaushauri
Moja tu me ndo ime nigusa" yaku ogopa ku fail tu.
Ezden Jumanne sawa ntafanyia kazi ushauri wako asante sn mkuu
Good & attractive technics in my life
safi sana brother unatufuza mengi sana ambayo tunajisahau so nimeupenda ujumbe wako
Uko vizur sana broo mda mwingi nikawa natafuta ntakupataje sikuwah kuwaza kama una channel UA-cam ...Una2 inspire Sana vijana towards success..keep it up
Thanks Ezden napenda sana kazi zako so hongera sana bro nakutakia kazi njema na Allah.. Akupe afya njema InshaAllah..
Shukran sana kwa somo mkuu nimepata madini ya kutosha leo
Moe Mussa kaka nimekuelewa sana japo Niko mbal na ww ukanpa somo zaid ya hayo
Shukran sana Allah akuinue zaidi ya ulipo kwa idhni yake pamoja nasi aamiin
The session is so resourceful. Keep it going Ezden!
Nimependa iyo ya , don’t compare yourself with others, and don’t to please everyone around you, then to do not Complain ( May God bless you Sir!!)
Leo nimefunguka akili bro kiukweli ili ulilosema niulemavu kwangu so asante nimepata njia. 2019imekujia na jipya. Thnx much God bless you brother
Safi sana
Asante Ezden somo zuri umepangilia Jinsi ya kuwakilisha you sound good, endelea mbele Mark Senzo Shammah
Shukrani sana
Nimejifunza mengi sana kaka, ubarikiwe sana
+Ezden Jumanne Daaah baba Uko vzr Sana Sana hongera Sana ezden j. nne
Nimejifunza mengi sana nimependq mafundisho yako may God bless you 🙏 ❤️
Amiin...
Hii clip imenitoa sehemu moja na kwenda sehemu nyengne asanteee bro mungu akubariki sana
Kaka asnte umenifundisha kujiamin zaadi asnte ubarikiwe
I like mostly your teachings may my lord grant you more time
Kaka nakuelew sana naomba kama una audio ya clips zako nijiunge unitumie kw what ssap
Shukran sana.... Allah akuzidishie 🙏
Aamiin
Nice da Zahara
Kiukweri nimekuelewa kuhusu swala lakubadika maana Mimi binafs limenigusa Sana
Zahra Myungile mambo
ok
Asante nashukuru sana Mimi nimependa elimu yakonimetoka sehemu Ile waliyo nizoeya na nimekwenda kuishi mbali ulifundisha nitazidi kufanyia kazi, Niko chini,ila ninakipawa Cha kuponya na watu wanafunguliwa ila nilianza kujiogopa nikisema mbona vitu kama ivi vinafanywa na manabii na wachungaji lakini Mimi ni mkiristo wa kawida, lakini Sasa nitafanya Kwa kujiamini,Asante Kwa elimu yako
Successful start in your mind if you pass in mind you pass in real life if you fail in mind you fail in real life...
hongera sana kaka kwa kazi yako nzuri Mungu akubariki
Good ideas.thanks
@@magambojohn5165 pamoja sana brother
Chaz Koillah nice
Very true Chaz Kollah
Safi sana Work of grace kwa kupenda kujifunza ni vizuri kuongeza maarifa kwa kujifunza kutoka kwa wengine
karibu pia Golden Nation
ua-cam.com/channels/X-ZMz52PbtoLHaW4ft9FuQ.html
Be blessed my brother with what a truth you spread
god blessed
exactly bro I like one point which says quit complaining all in we together for sharing idea
Mr juma NNE godbless you my brother ,I have understood you about seven steps of success
..
Very nice and attractive lesson,keep it up brother!!!
Asnt san kak nimechelew san duuuu
Hongera sana Mr. Ezden Jumanne kwa kweli unatuelimisha sana
nzuri sana bwana ezden nimependa sanaaa big up mwanangu wa nguvuu
shukrani. Endelea kuwepo. Spread the news, mazuri zaidi yanakuja
Ezden Jumanne naomba kuuliza kitu kaka et mafanikio hayawezi kuja bila mke ????
Yes bro! Unazidz kutufanya tuwe positive Sana mungu akusimamie milele uzili kutubadilisha ss kizaz Cha utandawaz respect sn🤝🤝
Shukrani sana kaka. Tuko pamoja
Thanks brother for your education to the society. God bless you
Mungu akulinde, mawazo yako yawafikie wengi. Upo vizuri sana
Asante sana kwa somo zuri... stay blessed 🖐🖑
Cute
Thanks bro. First time to hear and see u.. U inspire me a lot. Umeniongezea mwendo. Be blessed.
Asante na karibu sana...
Nimejifunza kwenyelile neno mwanafunzi akiwatayari mwalimu atatokea.asante
Asante kaka nimekwelewa sana nakufatilia na nafanyiya kazi masomo yako
Nimekuwa inspired na sijachelewa kwa kweri ntaanza kuimplement baadhi ya Mambo especially to stop waiting
Thx for your advice it's healthy
Very educative.GOD bless you for the excellent work
Specific info stepfoward as far as possible
Thank you so much brother through you're ideas we are able to change our thoughts from negativity into a positive way.be blessed
I got xomething
Nikweli
Tudo bem
Dah bro umeongea vitu ya msingi na vya ukwel endelea kuelimosha jamii maneno yak yamenipa mafunzo makubwa na yamenijuza thank you so mach I Likee you