video:Lakini hata sasa (Nirudieni mimi) Chang'ombe Catholic Singers Kwaresma, Aloyce Goden Kipangula
Вставка
- Опубліковано 9 вер 2024
- Maneno ya wimbo
Kiitikio:
Lakini hata sasa asema Bwana nirudieni, mimi kwa mioyo yenu yote x 2
Mashairi:
1. Fanyeni mabadiliko mioyoni mwenu, kwa kufunga, kwa kulia na kuomboleza - nirudieni mimi kwa mioyo yenu yote.
2. Pigeni Tarumbeta huko Sayuni, waambieni watu wote ili wafunge - nirudieni mimi...
3. Kusanyeni watu wote waleteni kwangu, waleteni na watoto hata wazee - nirudieni mimi ...
4. Mpingeni yule mwovu atawakimbia, nikaribieni nami nitawakaribia - nirudieni mimi ...
5. Takaseni mikono yenu iliyojaa dhambi, safisheni mioyo yenu yenye nia mbili - nirudieni mimi ...
#changombecatholicsingers #aloycegolden #mtakatifumikaelimalaikamkuu
Nani yupo hapa anaangalia nyimbo hii sabb ya kuondokewa na kiongozi wetu mpendwa Jpm
Mm jmn😭😭
@@rosemarymsafiri2340 asante sana dar Rose tuko pamoja
Sichoki kusikiliza huu wimbo
Proud to be Christian!!
proud to be acatholic,thank you Abba father,nirudieni mimi,especially now that it is lent.
Po p0ppvv. C
Me too
Mmmkoop
Mmmmkkkkl
Jkoooo
this is beautiful..m not catholic but this song is so deep. Lord help us to repent by rendering our hearts..+255
Bwana Yesu Kristo nakurudia Wewe kwa moyo wangu wote umeninunua kwa thamani nisiwe mtumwa wa mwanadamu. Amina. 1WAKORINTHO 7:23.
Huu wimbo unanikumbusha msiba wa raisi wetu
Tumwombee Rais wetu Upumzike kwa Amani
Mimi sio catholique lakini iyi nyimbo nayipenda sana MUNGU awabaliki
Nikiwa nasikiliza huu Wimbo namkumbuka bibi yangu Marehemu naupenda sana huu Wimbo
Proud to be a Catholic!! My best song ever..
niludien mm kwa mioyo yenu yote MUNGU atubaliki wote kipindi hiki cha majuto ya dhambi zetu tusisahau kujuta na kutubu dhambi zetu
Danrps
I am very proud to be Christian.
Amen good choir
Can't get enough of this song it's so touching.
hongereni sana kwa wimbo huu mzuri kazanene kuinjilisha shetani asije akawatenganisha.
I really love this song. I cant stop listening to it even a day
Tumurudiliye Mungu, mwana mpotevu alimurudiliya babake thank you 🙏🙏🙏
This is my best song ever.
Oooh LORD help us to do your will!
Amen
I'm proud to be a christian!!
Am so proud to be a catholic love da song
Maria Coster I think you should say "you're proud to be servant of God" these things ooooh am Catholic, Lutheran, Adventist,Muslim or anything else can not take us anywhere , we all belongs to God.
Nyimbo inafanya nijisikie amani moyoni mwangu nakuweza kuitafali
@@petromwinyi4955 exactly
My favorite song during this period❤
Huu wimbo unanikumbusha mazishi ya mzee wangu. Mungu awabariki sana changombe choir
Mimi unanikumbusha mazishi ya marehemu kaka yangu dah aisee sahiyo hamna nguvu hata mukipewa chakula hamuwezi KULA dah😭😭
Yaan namkubuka babu yangu mimi jamani😭😭😭 endelea kupumzika kwa amani babu
In God we surrender everything he is a king he love us with all our sins in God we trust❤❤😢
Huu wimbo umekuwa faraja kubwa kwetu kwa kipindi hki kigumu tulichonacho,Ee Mungu mpokee kwa mikono🤝🤝
Huu wimbo unanigusa sana Bwana Yesu nikumbushe kuku rudia
Hii ni nyimbo ya kukumbukwa siku zote za maisha yetu apa Duniani
Mungu ibaliki tanzania yetu nimeijua hi nyimbo kupitia kifo cha lais wetu
kumbe tuko weng nkajua mim tu
Asanteni kwa wimbo mzur wa kwaresma mungu azidi kuwabariki amina
Mavumbini tulitoka mavumbini tutarudi eeeh mwenyewezi mungu tujalie mwisho mwema😢😢😢😢😢
Hongeleni sana nyimbo nzuri MUNGU awape nguvu zaidi na ujuzi wakutunga nyimbo nzuri
Mungu Awabariki sana wanakwaya kwa ujumbe mzuri Nanyi Sasa Mumrudie MUNGU kwa vitendo tuache dhambi
mungu aendelee kutujalia afya njema wakatoliki tuendelee kuimba vizuri nyimbo zetu
Bwana nawomba unishike mukono,usiniakye
Niko hapa baada ya kifo cha JPM.
😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏
4:43 @@fraviansweetberty8819
Daaah huu wimbo unanikumbusha siku ambayo tulikua tunamsindikiza mwanachuo mwenzetu katika nyumba ya milele daaah nikiusikiliza tu namkumbuka Sana laha ya milele umpe ee bwana na mwanga was milele umuangazie
Apumzike kwa Amani
Yan jpm jmn naumia had leo2024
Kipindi cha kwaresma 😭😭
J'aime beaucoup cette chanson, merci beaucoup mes chers parents, frères et sœurs.que Dieu vous Bénisse
Mungu abariki maisha yenu, kazi nzuri na ibadilishe watu wamrudie mungu
Huu wimbo upo vizuri sana naukubali
Vraiment c'est une très belle chanson. Que Dieu vous Bénisse
🙏
Jaman nawa pendeni nyote na mungu awa bariki sana
Lent 2024
Kwa mara ya kwanza kuusikiliza huu wimbo ni kwenye msiba wa wifi yng 2016 hakika niliipenda mbarikiwe watumishi wa Mungu
🙏
Yan jmn naamka nao asubuh huu wimbo,,,japokua muislam ila unafika moyoni
The song is touching to the inner Soul
Bwana tujaaliwe kuukiri udhaifu wetu na kunyenyekea kwako daima.
This one is my song of the year 2021❤
Mbalikiwe sana kwa utuzi mzuli na wenye mafundisho yalio tukuka
🙏
Mpingen yule muovu atawakimbia ,,,nkarbien name ntawakarbia nirudien Mimi kwa mioyo yenu yote
Inatoka kitabu gani huu mstari?
The song is a true reflection of God's love towards our sinful life. He is ready to accepts us as we are as long as we go back to him in truth
🙏
Daa raha kua mkristo
Hii nyimbo inanifanya nizikumbuke dhambi zangu zote
Angel Selesyus ha ha ha zipunguze mzeee kidogo kidogo
Kwakwel huuu wimbo naupenda huwanajiona mdogo sana nikiusikiliza napiga nakuona kuwa sina hak katika ufalme wa Mungu Ee Mungu nisaidie
Naupenda sana huu wimbo Mungu awabariki Sana
The choir has given me a reason to visit Tanzania...i will be glad to come participate in a mass that Changombe sings...inspirational
hello
Mungu awabariki
Your welcome
Vraiment cette chanson m'intéresse beaucoup.c'est jean Faustin technicien à la radio diocésaine de mahagi 105.0 FM.
🙏
Best song I have listened to for the longest I can remember.......playing on rewind mode.....
Pp0⁰⁰⁰eeee121⁰⁰s%aaa@0@|@%%@@
tupendane wakatoriki.... nyimbo zetu ni tamu kama yesu
Kwahiyo mkipendana nyie inatosha!?
Asante wanakwaya wetu kwa nyimbo nzuri sana.
wimbo mzuri na unaogusa hisia za kwaresma
Tumshukuru Mungu
Nirudieni Mimi kwa mioyo yenu yote. Mubarikiwe ndugu zangu mlio wanyenyekevu wa Kristo.
Nakupenda San huu wimbo ni mzm kweli kwa kuinjilisha kumludia bwan wetu ASA wakati kam huu tunapojitakasa ili tuweze kufufuka na bwana wetu yesu Kristo
Amina
Mungu azid kuwabariki waimbaji wa kwaya katoliki
Wimbo huu na uzuri wake na mafundisho yake, unanitoa machozi
Tumshukuru Mungu
Ahsanteni Sana Kwa kutukumbusha ujumbe wenye mashiko Pia namkumbuka rafiki yangu siku ya maziko yake Mr Joseph maganiko lupelanya mayai katika makaburi ya mahina alliance tarehe 28/06/2018 siku ya alhamis Mungu ampe pumziko zuri,
Lakini hata sasa asema Bwana niludieni mm kwamiyoyo yenu yote Mungu awabarik sana .Atujalie kipindi hiki cha kwaresm
Helda Oman asanten sana waimbaji kwa ujumbe mzuri na wenye iman tosha moyon mwangu na Mungu wa mbinguni awabariki na atujalie kwaresma njema yenye kujitoa na yenye kutubadilisha maisha yetu na yenye kutuweka pamoja na Mungu Baba wa mbinguni kwani yeye ni mwema amen
nymbo zetu catholic nzuri jamaani
manfred koko kwa kweli
@@kasembechilangwe6223 Asante Sana mbarikiwe
Sanaaaaà
Wimbo huu una tafakari nzito sana niusikilizapo machoz hunitoka..... Eeee Mungu wetu mwema tusamehe dhambi zetu na uzid kutukinga na mabaya ya dunia hii tuzid kukutegemea wewe
Huu wimbo huwa nikiusikiliza huwa machozi yananitoka sana namkumbuka baba yangu pamoja na dada yangu mwenyezi MUNGU azilaze roho zao mahali pema pepono. Amina
Amina
As catholic youthx let's repent,
Nice song really inspiring 😍 jesus is lord
Lovely just lovely
Wimbo mzr Sana.huu wimbo unakuaga mpya kila siku. Hasa ktk msiba unaona km unaitwa kwa Mungu na unaanza kusikia huruma ya Mungu na lazima utajisikia kutubu hata km huna dini
Mmeniliza mbarikiwe
Mungu niwezeshe kufanya kulingana na unavyotaka ili niwe nikikutumikia wewe pekee,Nyimbo nzuri chang'ombe barikiweni xana!
I really love the song
The song remind me on the funeral of my beloved sister may God rest your humbled soul in peace. Amen🙏🏽
Amen
May her soul rest in peace 🙏
May God comfort and console you and your family
@@christinebaraza7026 Amen🙏🏽
Pindi niusikiapo wimbo huu adi mwili wangu unasisimka hongeleni sana
Stuwart Mwarugala thanks Lord
Mpiga kinanda umetenda haki Sana! Sifa mrudishie BWANA!
Nice song
Hakika nikisikia huu wimbo machozi yananitoka
Mungu awabariki sana watu wa MUNGU kwa wimbo mzuri kwa kipindi kigumu kwa kuondokewa na rais wetu
Naupenda sana wimbo huu
Tumshukuru Mungu anayetujalia vipaji mbalimbali ikiwemo kipaji Cha Kutunga na kuimba Nyimbo
This song played on my mind and I came to listen to it 24 July 2023
🙏
Amina..tumregelee Mwenyezi Mungu kwa miyoyo yetu yote..barikiweni sana watumishi wa Mungu mme nifariji sana kwa huu wimbo
Nice one
Wimbo huu hunibariki sana 🙏🙏🙏
Mungu awabariki,munaimba vizuri.
Wimbo huu kwa mtu wa rohoni unamfaa sana wa mwilini hauelewi hata kidogo labda aamue kubadilika na Mungu atambadilisha.
Naipongeza kwaya hii kwa kuelezea ujumbe wa Nabii Yoeli kuhusu "wito wa kufanya toba"
Ni wimbo wangu wa maombi
Tumshukuru Mungu
….nirudieni Mimi kwa mioyo yenu yote🙏🏿
🙏
Tukumbuke kutubu dhambi zetu hasa kipindi cha kwarezima tumrudie mungu ili tusamehewe dhambi zetu
Wimbo mzuri sana wa kwaresma. Mungu nikomboe na maovu. Nakurudia Mungu wangu wakati huu wa kujidia mwenyewe.
Ni mwanzo Sasa kumrudia Mungu ili kuondokana na matatizo yote hata hasa katika kipindi hichi Cha janga hili la korona.
Mungu wangu dhidi kunilinda ktk shida na raha ili nikuabudu weee
Wimbo huu nikiusikiliza unanipa shuhuda kubwa kwanini nisimrudie Mungu wng maisha haya ni ubatili mtupu tumrudie Mungu
Tumludie bwana kwani ndiye anayetoa uhai : amina
Amina
2024🙏🏿
Wimbo mtamu 😍😍
Usipime mzee sauti ya dhahabu iliyo jaa ufundi
Hii nyimbo ikipigwa msiban au wakat wa mazishi kutokwa na machoz n rahis sana hata kama n mgumu vp😭
Nakurudia wewe Bwana wa majeshi...unipokee eeh Kristo