ITAKUTOA MACHOZI: MFANYA KAZI WA NDANI AMNYONGA MTOTO WA MIEZI 6/UCHAWI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • #JamiiYetuLeo #SyliClassicTv #syliclassictv

КОМЕНТАРІ • 1,3 тис.

  • @golethmalipa7545
    @golethmalipa7545 4 роки тому +6

    Inasikitisha jaman pole sana mama mzazi wa marehem mwenyezi mungu akutangulie na akuongezee nguvu katika kipindii hiki kigumu jaman

  • @maelaalisa2102
    @maelaalisa2102 4 роки тому +13

    🇧🇮 kwakweri huyu Maman mwongo 🙆wafanya kazi sisi munadusemea uwongo sana Mungu anawaona bandungu muaje wongo

    • @aishamkumba9857
      @aishamkumba9857 4 роки тому +2

      Wee mama acha kusema uongo kiasi hicho ujue mungu anakuona yaani unamuhoji mtt kupita kiasi hicho wewe huna roho mtakatifu bali unaroho mtaka bifu tuu

    • @danimaiko6715
      @danimaiko6715 3 роки тому

      @@aishamkumba9857 hahahahahahah uyu kweli loho mtaka bifu duuuh

  • @yshamwilima3301
    @yshamwilima3301 4 роки тому +8

    Innalilah wainailah rajuun,bibi mtu sijakuelewa sioni uchungu ndani yako ,pole sana mama wa mtoto mshukuru mungu kwa kila jambo

    • @faithpanga3591
      @faithpanga3591 4 роки тому +1

      Msipende kujudge, uchungu wa mtu siyo usoni ni moyoni.

  • @rehemakabali9327
    @rehemakabali9327 4 роки тому +16

    kah!!! machozi yananitoka hapa yaan nimechoka had akili, poleni sana wafiwa,mungu awatie nguvu make peke yenu hamuwez, apumzke kwa amani mtoto jaman,

  • @divine6145
    @divine6145 4 роки тому +8

    Watu wanavomsema huyu mama muongo unadhani walikuwepo .....
    Mungu atulindie wanetu
    Pole Sana mama Abby na familia

  • @lailahasan2200
    @lailahasan2200 4 роки тому +44

    Yaani imeniuma kuliko.. Mungu tu ndo mlizi kwa wtt wetu, maana navuta picha itakuwaje na hy maisha bila wadada wa kz na cc tunahangaika na haya maisha 😭😭😭😭😭

    • @ashwramashallah7242
      @ashwramashallah7242 4 роки тому +1

      Mtihan walah mngu tusimamie

    • @rehemaheri5461
      @rehemaheri5461 4 роки тому

      Uyo afungwe ikiwezekana anyongwe na yeye

    • @elizakadege5253
      @elizakadege5253 4 роки тому

      @@rehemaheri5461
      P

    • @monicahmwkali1209
      @monicahmwkali1209 4 роки тому

      Uongo mutupu kumbuka ww pia mzazi

    • @rehemamakwendo7743
      @rehemamakwendo7743 4 роки тому

      @@rehemaheri5461 uwonqo mtupu kumbuka kila mtu atakufa na kifo chake kwann alivyo rudi asimpeleke hospital ujui mtoto alikuwa anaumwa nini wakat alilia sana

  • @hamidamnyika5287
    @hamidamnyika5287 4 роки тому +8

    Kwakweli mungu ndiye anajua Ila Kama wamemsingizia hukumu ni hapa hapa...

  • @mwajabumussa4860
    @mwajabumussa4860 4 роки тому +6

    Jamani poleni sana mungu atulindie wanetu khaa

  • @tausingomeni2568
    @tausingomeni2568 4 роки тому +26

    Mie nataman nijue ukwel kutok kwa madakitar ndio watoaj majib ya mwisho ya vpimo, kwan mwil Wa mtt haukupimw, ukute kafa kwel kwa uwezo Wa Mungu au vyyte vile, ila naumia kazaliw cku moja na mie trh, mwezi jmn 😭😭😭mtangazaj utupe mrejesho Wa hil tukio tujue imekuwaje kifo chake

  • @armphib9332
    @armphib9332 2 роки тому

    #@Omwami Wafula.Mwenyezi Mungu tupe sisi wanadamu roho za utu!!

  • @eshynassor5666
    @eshynassor5666 4 роки тому +6

    Mwenyezi Mungu ndie Mlinzi wa watoto na Wajukuu zetu

  • @Yusufuabdulrahmani-bt8hh
    @Yusufuabdulrahmani-bt8hh 8 місяців тому +1

    Sisi ni miliki ya mungu kwake tutarudi huyu mama akamatwe maelezo yake hayaeleweki,mungu awajaze subra wafiwa,mama anafitinisha,

  • @mwanahamisiadinani433
    @mwanahamisiadinani433 2 роки тому +8

    Mungu simama mwenyewe kwa nguvu zetu hatuwezi. Ubaki kuwa mlinzi wa Watoto wetu

  • @RehemaElias-el3jg
    @RehemaElias-el3jg Місяць тому +1

    Jmn tuwaombeen sana wadada wa kazi maan hii ni kweli maan wengi ni ajent wa kuzm na mda anauwa hajielewagi

  • @hamidamnyika5287
    @hamidamnyika5287 4 роки тому +39

    Mama kamkuta kalala na anahema Sasa imekuwaje amemuua jaman tumuogope mungu..hapo Kuna uongo mungu yupo na atampigania huyo binti.....

    • @naimaalkiyumi2273
      @naimaalkiyumi2273 4 роки тому +3

      Umeona eeh kwa maelezo ya huyu mama watamfunga mdada wa kazi bure sababu mama mtoto kamkuta mtot mapigo ya moyo yanapiga inakuwaje dada kamnyonga?Mungu atatenda haki kati yao

    • @mwajumahalinga1808
      @mwajumahalinga1808 3 роки тому

      Mama huyo nimwongo Mara ya kwanza kauliza mama wa mtoto alikua anahema, tumwigope mungu,

    • @danimaiko6715
      @danimaiko6715 3 роки тому +1

      Watapata zambi awa hiyo nimipango ya mungu uyo kamkuta mwanae anaheam sasa kamnyonga saangap

    • @nestertz9677
      @nestertz9677 3 роки тому

      @@naimaalkiyumi2273 a

    • @joachimrichard3087
      @joachimrichard3087 3 роки тому

      Acha unafiki je angekua wako

  • @msafiribakari5941
    @msafiribakari5941 4 роки тому +8

    Jinsi ilivyo hii story huyu mama ndio anamashetani pole kwa mfanyi kazi Mungu atakulinda kwenye siri iliofichika

  • @sheysarahnjeno9326
    @sheysarahnjeno9326 4 роки тому +6

    Mungu ampumzishe kwa A man mtoto mzuri

  • @danfordjackline9426
    @danfordjackline9426 4 роки тому +1

    Mama katoka kazin kakuta mtt mzima amelala na anapumua,Mara katoka kazin kakuta mtt kafa,na mtu akipandisha mashetan yy hawez kujijua mpk mtu aliyepemben yake aeleze,Ila ukwel wa hili ni mungu analijua,ingawa inauma sana!pole kwa familia!

  • @josephinemumbua159
    @josephinemumbua159 4 роки тому +9

    Wewe mama wacha maswali mengi uji uhuwa watoto mungu ndiye ajuaye kifo cha mtoto

  • @joannembaja6053
    @joannembaja6053 4 роки тому +2

    Mungu ndiye ajuaye ukweli..tumuombee huyo dada asaidiwe.Mungu atamkoboa

  • @imaryvitandavizurisanaimar7920
    @imaryvitandavizurisanaimar7920 4 роки тому +7

    Kwa maelezo ya Bibi mtot anaonekana,siku zake tu zilifika,na mungu alimpenda zaid

  • @tushemerirwevanisi8156
    @tushemerirwevanisi8156 4 роки тому +2

    Huyu mama hata macho yake yana oneshauongo ya mwanzo hayafanani na yamwisho na yana iya inasema usimuhukumu mwenziyo kabura haujahukumiwa acha mungu afanye kazi zake

    • @marrybonephacy5245
      @marrybonephacy5245 4 роки тому

      Kwanza hy mama anaonekana mchawi kabixaa mwone kwanza macho yk yalivo makavu

  • @mariamumilaji842
    @mariamumilaji842 2 роки тому +3

    Kwakweli inabidi tuwe wangalifu na wafanyakazi japo ni sehemu kubwa ya maisha yetu.lnasikitisha sana

  • @saidntisi5994
    @saidntisi5994 4 роки тому +1

    Tujihadhar san na hawa waschn wa kazi maan tunawachukua bila hata kujua maisha ya familia zao,,wengine ndokama hawa wanaotumwa damu za watt wadog,Ya allah tulindie wene2 maan wengin ndokama hivi unatoka asbh unarud jion yote nikutafuta rizq

  • @gaudensiamganga1695
    @gaudensiamganga1695 4 роки тому +20

    Pole sana ndg na jamaa, imeniuma sn jamani daah watu wamekuwa wakatili mno

  • @joharychaima1274
    @joharychaima1274 4 роки тому +3

    Jaman vitu vingine tumuachie mungu,msipende kuhukumu watu ovyo,mbona mm baba ang alitoka nyumban mzima akarudi marehemu tena ghafla...tena barabaran😢,vitu vingine tuachen bhana...

  • @monicagabriel4388
    @monicagabriel4388 4 роки тому +15

    Jamani Huyo binti anahitaji maombezi kumbe ni mashetani yalimua mtoto siyo Dada wa kazi wewe mama usimsingizie roho wa mungu. ukweli ataongea nani?jamani maombi maombi ni muhimu sana tuwe karibu na wadada wa kazi tusiwaache wenyewe tuwachunguze kabla ya kuwa ajri. Sawa jamani.R.I.P.

    • @zoeyzozo6181
      @zoeyzozo6181 4 роки тому

      Kasema ni mashetani km kujitetea tuu

    • @iddyjory7046
      @iddyjory7046 2 роки тому

      Hee ww Dada huyo ni muuhaji hakuna cha shetani ,,angekua wako ungesema hivo??

  • @homeboytv8233
    @homeboytv8233 4 роки тому +18

    Hii story mama unae toa maelezo mbna huelewek yaaan mtu amezibw pumz alaf akafa..alaf baada ya dkk 45 anampelek kumlaz kitandani anapumua kwa mbali.. HUYO HOUSEGIRL APATIWE UTETEZI... hii story kam ya kutengenezw ivii...

    • @mariamkitundu4406
      @mariamkitundu4406 4 роки тому +1

      labda haelewi anasema nn

    • @lyslinejepchirchir7559
      @lyslinejepchirchir7559 4 роки тому +1

      Mimi pia naona hii story si kweli

    • @gracekangethe8034
      @gracekangethe8034 4 роки тому +1

      Amesema alipofika kutoka kazini alipata mtoto anapumua vizuri sasa imekuwa aje alienda kumwangalia akapata amefariki? Naona kama vile huyu mama amepanga hii stori... Mfanya kazi apewe haki!!!!!

  • @daishajumanne5990
    @daishajumanne5990 4 роки тому +23

    Kwanza uyu bibi kasema mama wa mtoto kaludi kamkuta kalala na alimtazama kama anavyo mtazamaga yupo sawa sasa uyo mfanya kazi kazi kmnyonga mda gani mbona ma mtu alivyo ludi kazini alikua amelala na anapumua vzr kama alivyo sema uyu bibi mdogo

    • @user-dx5gh8me9o
      @user-dx5gh8me9o 9 місяців тому

      Ata mm nmeelewa hivyo ambavyo umeelewa ww huyu dada wa kazi alimnyonga saa ngap

    • @AminaBakari-gy8wz
      @AminaBakari-gy8wz 8 місяців тому

      Inaonekana mama hamjui malehemu

    • @JamilaMansoor-kk4mr
      @JamilaMansoor-kk4mr 8 місяців тому

      Mmmmmmmh mungu amtetee huyu dada wa kazi 🤔🤔🤔🤔🤔

    • @JOHNCENA-lc2ju
      @JOHNCENA-lc2ju 7 місяців тому

      @@AminaBakari-gy8wz wazo lako nilakweli

    • @JOHNCENA-lc2ju
      @JOHNCENA-lc2ju 7 місяців тому

      Essa velha está nós estressar porquê a empregada que matou a criança como que ela mata e depois contar?

  • @vedastinakamgisha1545
    @vedastinakamgisha1545 2 роки тому +1

    Pole sana mungu amlaze mtoto wamalaika maala pema peponi amina

  • @tianitinnytiano4143
    @tianitinnytiano4143 4 роки тому +6

    May the baby soul rest in peace but uyo mama anakaa asemi ukweli Mungu tuh ndie ajua yalietokea

  • @jamil1547
    @jamil1547 4 роки тому +21

    Tanzania ziwekwe daycare kila mtaa na bei nafuu na serikali isaidie kuwawezesha watakao anzisha hizo daycare za mitaani

    • @shabaniguma8696
      @shabaniguma8696 3 роки тому +1

      Thubutu mambo ya maana haya wahusu watoto wao wana uangalizi mzuri

    • @jumazuber2101
      @jumazuber2101 3 роки тому

      @@shabaniguma8696 ukweli anaujuwa mungu pekeeake

  • @kwimanizyampemba2044
    @kwimanizyampemba2044 4 роки тому +3

    Hakika.mungu akumbuke watoto wetu ,pollen sana

  • @joysorewitindi8542
    @joysorewitindi8542 4 роки тому +2

    Pole Sana mamy Mungu awe nawe na hakufariji

  • @annayohana3310
    @annayohana3310 4 роки тому +4

    Duh! Iko kazi inauma sana, sana, mungu atusaidie.

  • @yehovaniceeliamringi3714
    @yehovaniceeliamringi3714 3 роки тому +1

    Pole wanawake wafanyakazi . Mungu atusaidie luwalinda watoto wetu

  • @zaharajuma5019
    @zaharajuma5019 4 роки тому +11

    Ivi mnaamini haya maneno yahuyu mama maana kesi zakusingiziwa ni Kama dili tz mutu anaweza akakutungia kesi nawatu wakaamini

    • @fadhilalukindo1659
      @fadhilalukindo1659 4 роки тому +1

      Kiukweli mungu ndio ajuaye sirini,lakni anachanganya maneno huyu mama,ila kama amemshurutisha akubali maneno yake ni dhambi,mana hiyo nikesi kubwa,na kufa usingizin ni jambo la kawaida mbona hata wakubwa wanakufa

    • @neemamogolo3709
      @neemamogolo3709 4 роки тому

      Kabisa

    • @joharychaima1274
      @joharychaima1274 4 роки тому

      Mi cjamuamn kabisa....

    • @fadhilalukindo1659
      @fadhilalukindo1659 4 роки тому

      @@joharychaima1274 umeonaeee,hata kama kuna ukweli lakin kuna uwoga flan ametishiwa

    • @fatimaabdulla6967
      @fatimaabdulla6967 4 роки тому

      At list wangeonyesha majibu ya dactari yamesemaje na pia wakahoji mdada mwenyewe tusikize atasema nn ila huyu mama muongo kbs

  • @fadhilarashid6396
    @fadhilarashid6396 4 роки тому

    Pole mama kwa kufiwa mungu akujaze matumain ktk kipindi hiki kigumu lkn wewe mama maelezo yako yanatuchanganya hayana ukweli wowote

  • @patriciaboniphace7141
    @patriciaboniphace7141 3 роки тому +5

    Mungu tumaomba utulindie watoto wetu jamani pekeyetu hatuwezi kwakweli watoto wetu wanawakat mgumu sana Roho mtakatifu atulindie watoto wetu jaman nawaza nafika mbali

  • @deograsiamoyo4975
    @deograsiamoyo4975 3 роки тому +2

    kupitia hii story naamini yesu magumu ninayoputia na uzao wa tumbo la mama yangu mungu utarnda kututendea hautatuacha tukiangamia

  • @giftkisika6025
    @giftkisika6025 4 роки тому +8

    Watu mnapenda kukoment hata mjamaliza kusikiliza bibi alimrekodi yule binti mabinti wa kazi ni shida tena msiwatetee nikuomba mungu atulindie familia zetu

  • @salomengalya3822
    @salomengalya3822 2 роки тому

    Pole dada pia muombee malaika mungu ampumzshe salama amina

  • @mellaniabruno9339
    @mellaniabruno9339 4 роки тому +19

    Tobahh that's why niliamua kuacha kazi nilee mtoto angu mwenyewe kwa kweli inauma sana

    • @wisebless5302
      @wisebless5302 4 роки тому +1

      Yani mwenyewe niliachaga kazi kabisa nileee watoto na nimefanikiwa Bora kujiajiri sitaki kabisa hao wadada

    • @hajramiraji4678
      @hajramiraji4678 4 роки тому

      Safi sana maana hiyo ndio kazi zetu wamama basi tu tunataka makubwa lakini ni vyema mama siku zote kuwa na watoto wetu karibu

    • @johnignas179
      @johnignas179 4 роки тому

      Sawa kabisa dada maana mtoto wa miezi hata mwaka bado unamuachiaje mdada na hapo labda mdada alitoka nakumuacha mtoto peke yake mzazi mwenye uchungu awezi muacha mtoto kichanga mungu awape nguvu

  • @asmahanyally3225
    @asmahanyally3225 4 роки тому +4

    Jmn kiukweli mm sielewi wangefanya vipimo ili tujue lkn hivi inakuwa mbele nyuma mbele nyuma......Tumuachie mungu yy ndiye hakimu wa haki

    • @fransiscodeocharles6945
      @fransiscodeocharles6945 3 роки тому

      Ni Uongo!!! Kwann mama yake alimkuta mzima? Cha msingi madaktari wazibitishe hili

  • @dionestermwinuka7520
    @dionestermwinuka7520 4 роки тому +13

    Kuna kitu kinaitwa Silence Death Syndrome. Inatokea kwa watoto chini ya watoto wa Mwaka mmoja.polen.

  • @user-wk7xn8cf6z
    @user-wk7xn8cf6z 6 місяців тому +1

    Ila jamani Mambo mengine yanasababishwa n mabosi kunyanyasa wafanya kzi ndiy maana watu awtaki kufanya kazi za ndani mupunguze midomo uyo dada mungu amlinde

  • @joymgawe6535
    @joymgawe6535 3 роки тому +5

    Mungu achilia ulinzi kwa watoto wetu

  • @abokrarshamsan7963
    @abokrarshamsan7963 4 роки тому +1

    Innalillah wainnaillah rajiun mwenyezi mungu amurehemu na ailaze roho yke mahali Pema peponi inshallah, ila jameni kama hyo mdada kamuuwa mtt mwenyezi mungu ndie anaejuwa yte kma kweli kumuuwa hyo mtt n mungu ndie ataka muadhibu.

  • @simonitaagesti3657
    @simonitaagesti3657 4 роки тому +4

    Jamani binadamu atuna huruma kiumbe cha mungu akijui chochote unaenda kukifanyia unyama hali yakua akiwezi kujitetea jmn inauma sana

  • @deboramichael2445
    @deboramichael2445 2 роки тому +2

    Jamani pole sana mama mungu atakujalia

  • @happyjuma3166
    @happyjuma3166 4 роки тому +8

    Mh jamani mwogopeni mngu kama mtoto alinyongwa mbona mama alimkuta anapumua kila mtu kapangiwa kifo chake kwavile huyo dada alibaki nae ndokawa muuwaji mbona hakuumua izo sikunyingine chunguza vidhuli nasio kumuhukumu mtu nabibi hana ata maumivu inamana nimwongo naasingizia loo mtakatfu jaman kina mama mnao mabinti kwaiyo msihukum mtoto wamwana mke mwenzenu

  • @ponsianambele4486
    @ponsianambele4486 4 роки тому +2

    Yaan Mungu atusahidie sana maana mtu unaongea uongo bila at uoga uyu mama ni muongo so kama angenyongwa asinge mkuta mtoto wake akiwa ana pumua so serikali imchunguze huyu Mama vizuri siyo siri Wadada wa kazi upewa kesi ambazo si zao Mungu akurehemu xn ww mama

  • @mariamukajiru2302
    @mariamukajiru2302 4 роки тому +5

    Munguu wanguu najisikia kuumwa, Mungu tusaidie.

  • @alphonsinesingirankabo6274
    @alphonsinesingirankabo6274 4 роки тому

    Musikuwe na patiya bafanya kazi ba cunge watoto wenu mama mufanye angalisho pole sana dada

  • @annapeter4994
    @annapeter4994 4 роки тому +3

    Mungu wangu dunia ndo ishaisha

  • @minjaminjaukovizurdogo5187
    @minjaminjaukovizurdogo5187 4 роки тому +2

    Nimepata tumbo la kuharisha jaman, eeh! Najikuta naandika nafuta , wazazi wenzangu nawaomben tuwe makini sana na hawa mabint kabla hujamchukua mdda tunatakiwa tumsirikishe Mungu kwanza, maskin mma Gabriel pole sana dda, pole mno maana nayajua machungu ya mtto

  • @mossomar5189
    @mossomar5189 4 роки тому +20

    Duuh km nikweli mungu tuokoe waja wako,ya Allah, subhanallah

  • @VioletAnyango-ei8vy
    @VioletAnyango-ei8vy 4 місяці тому

    ❤poie Kwa hiyo msiba ya Mtoto mudogo kweii inauma Sana poien sana

  • @saymonguga1471
    @saymonguga1471 4 роки тому +4

    Daaaaaaah inaumaaa sana mungu amuweke huyu MTT mahal pema pepon

  • @reginakitungulu8830
    @reginakitungulu8830 4 роки тому +1

    Poleni saaana jaman tujuwe tuko siku za mwisho tuombe sana maana inatisha hii!!!.

  • @magrethmanintveld2486
    @magrethmanintveld2486 4 роки тому +4

    Mungu wangu Ni malaika wa Mungu jamani, ungemrekod ingekuwa vizuri Ni ushaidi tosha

  • @magdalenamrugala749
    @magdalenamrugala749 2 роки тому

    Jaman mungu akupe nguvu madame kwa msiba uyo malia ukumu yake nikubwa mbele ya mungu

  • @hellenswai8423
    @hellenswai8423 4 роки тому +3

    uyu mama anajichanganya,mwanzoni kasema mamaake alivyokuja alimcheki akakuta anahema vizuri,

    • @edinaboss1835
      @edinaboss1835 3 роки тому

      Uyu bibi muongo kama anajifanya mjuaj vile

  • @shidabundala8984
    @shidabundala8984 4 роки тому +1

    Poleni sana kwamsiba uliowakuta 😭😭 Allah atakulipia 2 nahuyo mfanya kazi Allah amuhuku kuanzia dunian nakesho akhera

  • @doreenandrew3063
    @doreenandrew3063 4 роки тому +10

    Mmmh hayo maelezo siamini hata kidogo khaaaaa 😭😭😭 Mungu atafanya jambo.. hebu tusikie hiyo record

    • @luciahomwono4148
      @luciahomwono4148 4 роки тому

      Huyu mama mie ananichanganya, sipendi uongo kabisa, amefanya nisisubscribe. Mara mama ya mtoto alikuja akapata mtoto anapumua huo muda wote, mara mama akaja akaambia msichana beba mtoto... nkt. I hate uongo kabisaaaa, God knows if the lady killed that kid.

  • @rehemamagere8602
    @rehemamagere8602 4 роки тому +4

    Mungu wangu nitunzie wanangu wajao yesu wng dunia imeisha jamani wadada hawa aiseeee daaah

  • @wahidabogoyo8909
    @wahidabogoyo8909 4 роки тому +4

    Mungu amlaze mahali pem pepon amin

  • @harerimanagaudence4999
    @harerimanagaudence4999 4 роки тому +1

    Jamani musimuhukumu vibaya chenye naona muachie Mungu sababu nami wakwangu arifariki bira ugonjwaa nanirikuwa nikopamoja nae mimi Muzazi

  • @dianamasaka9129
    @dianamasaka9129 4 роки тому +4

    Wadada wa kazitunakazi kwelkwel kilakitu ni sisi mungu tuangalie

    • @faymahamisi5726
      @faymahamisi5726 3 роки тому

      Kweli mungu awalinde kila kitu nyiye namabos Wana loo mbaya wengine wanawake yada wadada wakazi ishi nao vizuri yeye unamtesa unategemeya nini kinacho fata kisasi cha kukuumiza na wewe

    • @user-ct1wn3zm6s
      @user-ct1wn3zm6s Місяць тому

      Kwakwer tunapitia kipind kigum san

  • @safrinecheboi3763
    @safrinecheboi3763 4 роки тому +2

    Acha uongo we mama....Muogope Mungu

    • @Ankobcomedytz
      @Ankobcomedytz 3 роки тому

      Ulikuwepo, Cha msingi mungu anajua

  • @fatumamkuzi1475
    @fatumamkuzi1475 4 роки тому +3

    Hata sielewi mm
    Mama mtoto ali kuja muona mzima jamani Mungu atusamehe madhambi yetu

    • @edinaboss1835
      @edinaboss1835 3 роки тому

      Kwel bana maana mama mtoto alisema alimkuta mtoto mzima akamsilizia vizr akaona yuko vzr sasa imekuwaje!! Duh

    • @joycekialo1626
      @joycekialo1626 3 роки тому

      Poleni sana

  • @zariaayoub
    @zariaayoub 22 дні тому

    😮poleni Sana mungu atulindie watt wetu Hawa wadada wakazi jamani mh

  • @doreenmasinde9452
    @doreenmasinde9452 2 роки тому +5

    May God protect our children

  • @khightmaroa9782
    @khightmaroa9782 3 роки тому +2

    mtoto au mtu aweza kufa tu sio eti msichana kamuua,,yaweza akafa ghafula ,kazi ya mungu haina makosa,,wanadamu wakiona makosa lazima waongee uongo na ukweli lakini hukumu ni kwa mungu

  • @ematuku7013
    @ematuku7013 4 роки тому +6

    Huyu bibi aangaliwe vizul anachanganya maneno mwazo amemkuta anapumua mala kamkuta kafa daaa wafanyakazi kazi wanaya

  • @tatunasoro838
    @tatunasoro838 2 роки тому +1

    Mungu amlaze pema mungu ametoa namungu ametwaa

  • @rehemaothman2185
    @rehemaothman2185 4 роки тому +5

    Poleni sana mama mungu akituie nguvu katika kipindi hiki kigumu

  • @mamakokuagnes38
    @mamakokuagnes38 4 роки тому

    Tunahitaji nguvu za MUNGU kwelikweli Yesu wangu niokowe na roho chafu ktk jina la YESU KRISTO

  • @asmarashid743
    @asmarashid743 4 роки тому +21

    Mungu ndo ajuaye Kilakitu

    • @pascolukas2490
      @pascolukas2490 4 роки тому

      Ila kweli kanyongwa,fanyeni uchunguzi kiundani zaidi

  • @alphonsinesingirankabo6274
    @alphonsinesingirankabo6274 4 роки тому +1

    Mungu ailazeroho ya marehemu mahali pema peponi pole sana dada na sikitika sana

    • @user-je1bb5sd3h
      @user-je1bb5sd3h Рік тому

      Poleni nduguzangu Allah awape badala ya uyo Alie potea ddaangu akupe mtto mwema

  • @shifaazawadi4438
    @shifaazawadi4438 4 роки тому +3

    Wewe mama wacha uwongo munfiki mkubwa wewe mawlezo yako haujielewi umesema mama alikuja mkuta anapumua ukasema mama alikuja mkuta apumua ushikwelipi sasa huko ho's hakuchunguzwa Kama ameuliwa na nini naumia na mtoto kupoteza uhai lakini maelezo ya nipumba Sana

    • @bahatikyeje766
      @bahatikyeje766 4 роки тому

      Msikilize vizuri unaweza mwelewa,, maana kasema mama mtu alimkuta anapumua na bint ndo akasema hapumui

    • @jacklinekisowani8330
      @jacklinekisowani8330 4 роки тому

      Kweli haeleweki.

  • @mahadnur4565
    @mahadnur4565 4 роки тому +2

    Jaman usiombe ya kukute Mimi mwenyewe yaliwai nikuta nilikua nafanya kazi niliachiwa mtto mdogo Mama yake nimwalimu ss iyo siku Mama yake alikwenda shule nikabaki na mtto alikua kalala badae akaamuka wakati uo baba yake alikua badae Baba yake nae a kaondoka akaniacha namvarisha nguo gafura mtoto akabadirika hawezi pumua Ana toka jasho anajivuta yani weacha niliogopa Asikwambie mtu jaman

  • @sergekakule9492
    @sergekakule9492 3 роки тому +4

    Mungu asaidiye watoto wetu

  • @monysanga7516
    @monysanga7516 8 місяців тому

    Ayo maelezo tungesikia toka kwa mhusika alieshinda na mtoto mungu tulindie watoto wetu

  • @leylahleylah4599
    @leylahleylah4599 4 роки тому +6

    Mmmh..sasa angemnyonga mamake siangemkuta keshafariki? Mmh maelezo hayajajitosheleza kwa kweli" mungu mjuzi wa yote

  • @susanmuthoka7705
    @susanmuthoka7705 4 роки тому +1

    Jamani usalama wa watoto wetu ukoapi sisi tunaotegemea wasichana wa kazi.... Mwenyezi Mungu tupe mwisho mwema tuakuomba

  • @erastofrancis684
    @erastofrancis684 4 роки тому +4

    Wallah ningekua Mimi nae angekufa , maana hata maandiko yanasema anae UA kwa upanga nae afe kwa upanga

    • @RehemaElias-el3jg
      @RehemaElias-el3jg Місяць тому

      Jmn j yani munge muombea mtto tu wala msingempeleka polis

  • @shemamihambo-pn9bz
    @shemamihambo-pn9bz 11 місяців тому

    Poleni cana wafiwa marehemu apumzike mahara peponi amen

  • @faridashayo7761
    @faridashayo7761 4 роки тому +77

    Eee mungu wewe ndio mlinzi wa watoto wetu

  • @RehemaElias-el3jg
    @RehemaElias-el3jg Місяць тому

    Jamani tumwabudu mungu kwa roho na kweli ili mungu alinde familia zetu

  • @ayunramadhan3104
    @ayunramadhan3104 4 роки тому +14

    Hajanyongwa huyo amekufa kwa uwezo wa mungu wengi wanakufa bila kuumwa waweza kulala na usiamke

  • @tarahjangassa4770
    @tarahjangassa4770 2 роки тому +1

    mungu amlaze Mahali Pema peponi

  • @evamlay8997
    @evamlay8997 4 роки тому +13

    Mama muongo jamani mwachie mungu utapata zambi bureeee

    • @shifaazawadi4438
      @shifaazawadi4438 4 роки тому +3

      Kweli huyu mama nimuongo kbsa cz ameseme kua mama alikuja mkuta anapumua mara abadilishe alikuja mkuta amekufa hajielewi huyu mama

    • @judithmelvinealuchio8968
      @judithmelvinealuchio8968 4 роки тому +6

      yakikupata ndio utajuwa unaweza changanyikiwa my friend don't joke

    • @fabiolafabulauwimana4020
      @fabiolafabulauwimana4020 4 роки тому +5

      @@shifaazawadi4438 kasikilize vizuri hajabadirisha maneno sema wewe ndo unataka kuabadilisha alisema mwanzo mama anafika alikuta mtoto kalala akamusikiliza akasikia anapimiwa baada ya mda ndo akashituka akajiuza mbona mtoto analala sana kurundi kumwangaria akakuta amefariki

    • @happybakari643
      @happybakari643 4 роки тому +2

      Angekuwa muongo asinge jua kama aliwah kumkabanwa na recod isinge sikika

    • @homeboytv8233
      @homeboytv8233 4 роки тому +2

      Kabis ni muongo..eti anasema alimziba pumzi mtot akafa alaf baada ya dkk 45 anampelek kumlaz mtot kitandani eti anapumua kwa mbal kwa shidaa.... HUYOO HOUSEGIRL APEWE UTETEZI

  • @mulikamartin4242
    @mulikamartin4242 3 роки тому

    Inahuzunisha xana mungu saidia watoto Wetu😎😎😎

  • @upendokereti5027
    @upendokereti5027 4 роки тому +9

    Ee Mungu ukawe mlinzi wawatoto wetu

  • @maryachieng885
    @maryachieng885 11 місяців тому +1

    Poleni sana kwa familia wenye walipata mkasa..

  • @rosehaule220
    @rosehaule220 4 роки тому +12

    Mungu weee ina maana huyu mtoto alikuwa anateswa siku zote bila mama mtu kujuwa alikuwa amabana anampiga yaan mtoto katsekaa jaman

    • @teychriss3248
      @teychriss3248 4 роки тому +4

      Uwiii! Unaweza kumnyonga na yeye ukajikuta na wewe mtuhumiwa! 🙆🏻‍♀️ wadada wa hivi huwa wanakuwaga wachawi hawa wanatumika na wanga wenzao kuua! Uaminifu kwa wadada umekuwa utata mtupu miaka hii!

    • @issasaidiprince8354
      @issasaidiprince8354 4 роки тому

      Jamani huyo mtoto amemufany nn huyo mdada wakazi 😭😭😭😭

    • @africanmom2663
      @africanmom2663 4 роки тому

      Mtihan skuiz wazaz tunaenda leba maumivu..halaf tunawaamini watu na watt wetu.mie nna 3 wallah nafanya kaz usiku mchana naangalia wanangu.simuamini mtu hata mmoja..mtt wangu wa mwisho ana miez 8 sikubal hata kumuachia mtu

    • @africanmom2663
      @africanmom2663 4 роки тому +1

      Dah naskia maumivu ya moyo jaman km mzazi

    • @angelaloys7306
      @angelaloys7306 4 роки тому

      Sasa mbona mama mtu alikuta mtoto mzima?

  • @user-fe4by2wf4b
    @user-fe4by2wf4b 10 місяців тому

    Siyo kama ana mashetan hiii imekuwa ni kwa wadada wengi wa ndani Sharma zichukuliwe jaman mungu amlaze mbali pema pèpon

  • @maureenruto5500
    @maureenruto5500 2 роки тому +3

    May God comfort you ...may the innocent soul continue resting peace

  • @hgcbj635
    @hgcbj635 2 роки тому

    Mwenyezi mungu aturindiy watoto