NO BODY IS ALONE EVEN IN DARKEST MOMENT
Вставка
- Опубліковано 21 тра 2024
- Kutoka AL FATAH TV .
Usisahau ku like, comment naku subscribe kwenye chanal Alfatah tv online kwa mawasiliano zaidi piga simu: +255 777 858 490
#AlfatahTvOnline
#AlfatahCharitableAssociation
#ZANZIBAR
Masha Allah mtoto amenawiri vizur Allah s.w azidi kumpa shifaa
Na huku kenya tukitaka kutuma japo kidogo twatuma vp...shukran...shukran Alfatah ...jaza yenu iko kwa Allah .Allah Amjaalie shifaa ya kudumu Bi Hamida in shaa Allah
Alhamdulilah alaakulihal
Haaaaa mashallah kumbe huyu mtoto alikuwa wa kile , alfatah mungu awaweke na awalipe kheri wallahi mi nilizani ni wa kiume sura ilikuwa imemtoka ,now mtoto mzuri mashallah,mashallah mashallah machoI yananitoka
Alhamdulillahi Alhamdulillahi Alhamdulillahi rabbilghaa lamiiin. Kwa yote yaaa rabbi.
Alhamdulillah 😢
MashaAllah mtoto mzuri Mwenyeez Mungu awalipe waote mlio jitolea kwa huyu mtoto na mama yake
Masha Allah mungu azidi kuwalipa Kila la heri
Mashaallah
Maashallah
Kidhungu!!!!