Hii kwaya ni kama REAL MADRID ya enzi zileee. Yaan, wamejaza ma super-star wa level za juu mnooo. Yaan kwaya ina watu wanaojua woteeeee. Mweeee.......🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
This is what is lacking in churches...Sincere souls & lovely entertainment to calm down ones sorrows & heavy thoughts...keep up guys....True therapy...twende kazi...🕊🕊🕊🕊
Huwa sio mpenzi wa kwaya, lakini, mmenifanya nipende kwaya. Mungu awabariki kina dada masololisti. Kwakweli, Mungu amewapaka mafuta kwa ajili ya kazi yake. Viwango vyetu vyenu vya juu sana. Huku ndiko kuimba kwa ustadi ambako Biblia inatutaka tufanye.
AMAZING MY GOD THE VOCALS IS THE BEST OF THE BEST THE SOLOIST MY GOD THANKS FOR DOING A GOOD SERVICE TO THE SONG NGAO YANGU........................................................NAPENDA SANA 👏👏👏👏👏👏👏👏
Boomplay:www.boomplay.com/albums/80176278?from=search&srModel=COPYLINK&srList=WEB
Audiomack:audiomack.com/ufunuo-choir/album/maisha-yangu
Sportify:open.spotify.com/album/4MLJ2eCUzfcrmwjSuLHfwd?si=AtXHMPTiTy28ZuivD-WEWw
😊
Sijui ningekuwa wap mm, asante mungu wangu. Nawapenda❤
This my albino brother ananibarikingi akiwa mstari wa kwanza🥰🥰
Hata mimi ananibariki sana awe anakaa mbele kwenye wimbo wa usisahau amefanya maajabu tunamtukuza Mungu kwa ajili yake
Dah cjui kwann amekaa nyuma sasa
Hata mimi sijui kwanini anakaa nyuma
Hata mm huwa ananibariki sana
We kama mimi. Jamani he get steps
😢asingekua mungu ningekua wapi asante mungu Kwa Kwa dam ya thamani iliyo mwagika pale msalabani Kwa aajili yangu
Kweli kama si Mungu sijui ningekuwa wapi mimi Asante kwa ulinzi na pumzi hii
🙏🙏🙏🙏
Hii kwaya ni kama REAL MADRID ya enzi zileee. Yaan, wamejaza ma super-star wa level za juu mnooo. Yaan kwaya ina watu wanaojua woteeeee. Mweeee.......🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Halelujah Jalelujah Mungu awatumie mmebarikiwa awainue zaidi Yesu.
Nawapenda Sana, nawapenda Sana, nawapenda Tena, afu huyo Kaka mwenye surulia maroon na shat jeupe aliutendea haki balaaaaa mstar wa kwanza
Mubarikiwe watumishi napenda sana uimbaji wenu mko viwango vingine
This is what is lacking in churches...Sincere souls & lovely entertainment to calm down ones sorrows & heavy thoughts...keep up guys....True therapy...twende kazi...🕊🕊🕊🕊
uimbaji wenu ni next level, SOLORISTS wapo on fire MUNGU awabariki saana
My albino brother be blessed. Unanijazz tu sana.
Nampendaaa uyo kaka albino kweli Kwa Yesu Raha sana
Barikiwen sana Watumishi wazur Mungu✍️🧎🧎📖🙏🙏
From their soloists,their vocals,instrumental vibe🔥🔥..naiombea kwaya yetu ifuke hap
Nawpenda sana ufunuo kiukweli wapo vzr,mungu azid kuwabariki
Kama isingekuwa Mungu nisingekuwa hapa nilipo, Asante Mungu wangu
Haleluya
Sawa kabisa
Mwenyezi mungu azdi kuwainua muimbe katka vwango vngne
NIMESIKILIZA NYIMBO ZOTE TATU...MAISHA YANGU...MUNGU NI UPENDO...
🙏🙏🙏
Wah najipata tu nikidance kama aliyepagawa barikwa sana my people
Albino bro may God bless you
barikiweni watumishi kwa huduma hii ya uimbaji❤
❤❤it's 2024 and I still love this song 🇰🇪
Yani nimependa sana,Mungu awabariki
Nabarikiwa nikiwah srr
The solorists of this choir are of another level 🔥 🔥, the song 🔥🔥🔥, styles 🔥🔥🔥 musical arrangement 🔥🔥🔥,, God bless you servants of God.
Fact it's amazing
@@magdalenapeter5622 very true ✍️🙏
I honestly don't know what to say!!I am just so speechless
Kweli kabisa kwaya ya Ufunuo mko vizuri katika utumishi,, hongereni sana ❤
Kazi nzuri sana, Mungu azidi kuwainua zaidi. Kongole nyingi Kwa dada Mary Nashoni. Hakika umebarikiwa kipaji Cha kuimba since TAG kariwa.
Huwa sio mpenzi wa kwaya, lakini, mmenifanya nipende kwaya. Mungu awabariki kina dada masololisti. Kwakweli, Mungu amewapaka mafuta kwa ajili ya kazi yake. Viwango vyetu vyenu vya juu sana. Huku ndiko kuimba kwa ustadi ambako Biblia inatutaka tufanye.
Amina Sana mtumishi
Safi sana
I love you guys
May God bless you
Amen nabarkiwa sana na ujumbe wa Kristo mungu awapandshe viwango vya juu
Mbarikiwe mno ni madhabahu ya roho mtakatifu 🕊️🙏🙏🙏💋asante yesu
Vraiment j aime cette chorale
I love all the soloists change of theme.. On point..
Barikiwa sanaaaaa watu wa Mungu ❤❤❤❤❤
Kaka mzungu wow❤❤
Woooow..am stuck here..the song is incredible 😍
Mungu awainue
Unawapenda kwasababu usomi mandiko waurize midomo miekundu kawapa Nani Kama soshetani
Nakuona dada Tina.....malengo.,barikiwa♥️♥️
Oooh
Ni kweli kama sio mungu ningekuwa wapi leo
Absolutely amazing.
Mbarikiwe sana nmebarikiwa na wimbo wenu
from uganda, is there an audio for this song, its a nice one i play it every day. God bless you people
Mnajua mnajua tena Mungu awabariki
I like dancing wooow,, God bless you all
❤❤❤❤❤
Mungu azidi kuwainuaa nawapenda
Dunia imeoza mashetani mayo yanaimba kwaya gani iyo iriojaa matendo yakishetani amfati bibiria mnafata matakwa yenu
Acha chuki binafsi na usiiishi kwa kukalilishwa vitu soma neno nalo neno likuweke huru
Wambie midomo iyo miekundu mngu akuwapa kawapa shetani
Amina🙌🙇♀️🤲🙏 apewe sifa Yesu!…….
Nawapenda saana 🥰🥰🥰🥰
I love your dance moves
Hots❤
💯
AMAZING MY GOD THE VOCALS IS THE BEST OF THE BEST THE SOLOIST MY GOD THANKS FOR DOING A GOOD SERVICE TO THE SONG NGAO YANGU........................................................NAPENDA SANA 👏👏👏👏👏👏👏👏
Nimeanza kuwafuatilia. Mnatisha🤣
hongeri sana
amazing songs
Kama si mungu
Everything is good, May the Almighty LORD Take you to great Levels in JESUS MIGHTY NAME AMEN
Kaka akona white on the field line is so talented! He's a soloist and he dances that much???
I mean first line
😂😂😂
🙌🙌🙌🙌❤️❤️❤️❤️
My favorite song
nampenda Sana huyu dada anaeimbisha mweupe alafu mwembamba
Next time mshone nguo au sare za rangi moja mnapendeza sana.
masolorist mmejua kunifurahisha am enjoying every moment when am trying to sing like them daaaahhh😘😘😘😘😘
Wow 🥰
Bwana ni mwema sana mpo poa
Napata upako
Nicee
Wao
🙏🙏🙏🙏🙏
I want to join this church just to be listening to this choir!
Which church is this?
Sasa mmenifurahisha
Mungu akubarki bro
Nyimbo inanibariki sana
Jaman mubarikiwe sana mumependeza sana❤
Wonderful song, but these woman need to work on breaching, black and white
❤❤❤
🙏🙏🙏🙏🙏🙏
🙏🙏