NABII MKUU KUTINGA BUNGENI KWA MWALIKO MAALUM - GeorDavie TV

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • SMS/WhatsApp au Piga namba: (Makao Makuu) +255 784 31 51 91 au +255 754 31 51 91 au +255 715 31 51 91 au kwa msaada zaidi. Tupo Arusha, Tanzania, East Africa. Pia Download App yetu na ufurahie huduma zetu, Nenda AppStore au PlayStore andika geordavie halafu itakuja GeorDavie Ministries, endelea kupakua. Na Endapo Umeguswa na Huduma hii na Unapenda Kutoa Sadaka yako Tuma Kwenye namba hii (M-Pesa): +255 769 00 00 34 au (kwa AirTelMoney) +255 788 00 00 35. Pia unaweza Kusikiliza redio yetu sasa hivi Online, nenda: www.nyu.radio12345.com
    Keeping Up With God's Kingdom Government Standards!
    TUFUATILIE
    ▶︎ Facebook: / geordavietv
    ▶︎ Instagram: / geordavietv
    ▶︎@GeorDavie Maarifa

КОМЕНТАРІ • 75

  • @EmanuelNnko
    @EmanuelNnko 3 місяці тому

    Bg up sana kwako nabii mkuu kwa unayoyafanya kutafuta waliopotea

  • @marianajoseph1892
    @marianajoseph1892 Рік тому +1

    Baba Nabii mkuu, unafanya kazi nzuri sana.Mungu akubariki sana , unaupendo sana kwa Watanzania, nchi yako. Heshima yako Baba nabii 💕💕🙏🏻🙏🏻🔥🔥🔥

  • @paulinemwikali5077
    @paulinemwikali5077 11 місяців тому

    This is to much may lord bless you so much

  • @Dorcasfoundation
    @Dorcasfoundation 11 місяців тому

    Mungu ni mwema sana.
    Baba na tamani nije Arusha ❤🎉😊

  • @MaryMwamwezi-xm3iz
    @MaryMwamwezi-xm3iz Рік тому

    Yaani baba nabii Huwa nafatilia sana klip zako. Nikomboe nami baba. Mi mzaliwa wa mbeya .naitaji kufunguliwa

  • @derickcowly6681
    @derickcowly6681 Рік тому +1

    Umeanza tena kuonyesha tena show kama kawaida yako ulianza na show ya mavazi kanisani na sasa unaleta Wabunge ambao wameingiza setikali yetu kwenye matatizo Nabii Mkuu ni Yesu peke yake uyo ni Shetani Mtoto

  • @salomejilanakupendayesubes9392
    @salomejilanakupendayesubes9392 10 місяців тому

    Ameni dady MUNGU akutunze baba uishi miaka mingi ili undelee kutuhudumia watanzania na dunia nzima kwaujumla

  • @Octavinaelisa-fn6js
    @Octavinaelisa-fn6js 11 місяців тому

    Namkubari nabii mungu akutie nguvu akuongezee miaka mia ila nasisi tunakukaribisha geita

  • @mropeamadeus54
    @mropeamadeus54 Рік тому +1

    Mungu ni Mwema sanaaaa 👏👏👏🙏

  • @egidiusananias1260
    @egidiusananias1260 Рік тому +17

    Haya mambo yote yatatolewa hasabu siku ya hukumu nyie mchezeeni Mungu kama mandazi

  • @braymwakaburufu1130
    @braymwakaburufu1130 Рік тому

    Amen amen,tuna barikiwa na maono yako,mungu azidi kukuinua.

  • @stephenmunyao2787
    @stephenmunyao2787 Рік тому

    Baba Niko Kenya mungu akubariki kwa kazi nzuri unaoifanya

  • @user-ye9lf4mg6g
    @user-ye9lf4mg6g 11 місяців тому

    Shalom nabarikiwa sana na mahubiri yako na jinsi mungu anavyo kutumia kutufungua nikiwa kenya

  • @subirisamson1880
    @subirisamson1880 11 місяців тому

    Baba

  • @Dorcasfoundation
    @Dorcasfoundation 11 місяців тому

    Shalom Baba ❤🎉

  • @user-fv7kg6zf1e
    @user-fv7kg6zf1e Рік тому

    Kazi nzuri Sana unayoifanya Nabii mkuu

  • @paulinemwikali5077
    @paulinemwikali5077 11 місяців тому

    Amen, Amen.Hallelujah

  • @agnessmalyeek9387
    @agnessmalyeek9387 Рік тому

    Nabii uko vizuri nakuombea upate maomgezeko zaidi

  • @ebenezermachange-zp4es
    @ebenezermachange-zp4es Рік тому

    Amen.Amen akaribie kabisa Glory to God

  • @abeidkhamis6130
    @abeidkhamis6130 Рік тому

    Yaani tulidhani tumeukwepa mtego na ukoloni wa wazungu kwa jina la kanisa yani ukoloni hulehule wazungu wamewapisha weusi kuendeleza ukoloni kwa jina la yesu

  • @EliauMtishbi-os5ky
    @EliauMtishbi-os5ky Рік тому

    God bless you Mh. Mirisho Gambo

  • @agnessmalyeek9387
    @agnessmalyeek9387 Рік тому

    Amen yaliyoendele nimeyapenda in yah I'm watu mungu amewatembelea

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 Рік тому

    Amina tunashukuru

  • @frankbangimoto3462
    @frankbangimoto3462 Рік тому

    Tumuitaji Mungu ili tupate kibali cha kufanya siasa. Hivyo Mungu yupo pia katika siasa.

  • @karimpasclee4043
    @karimpasclee4043 11 місяців тому

    Amen

  • @abellymwambwiga
    @abellymwambwiga Рік тому

    Mungu ni Mwema

  • @beatricemunisi7891
    @beatricemunisi7891 Рік тому

    Amen 🙌🙌

  • @stephenmunyao2787
    @stephenmunyao2787 Рік тому

    Baba naomba uniombee nipate kufunguliwa Ameni

  • @salmampinga4995
    @salmampinga4995 Рік тому

    Daddy Umestahili 👍👏🥰

  • @paulinemwikali5077
    @paulinemwikali5077 11 місяців тому

    Ningefika kule ngurumo la upako ningebarikiwa

  • @SamweliEzekiel-ks7sl
    @SamweliEzekiel-ks7sl Рік тому

    Baba yangu upo juu sana kuliko hata milima

  • @RuthyTemu-ev5li
    @RuthyTemu-ev5li Рік тому

    Mungu akubariki zaid umezidi kuwa baraka kwa WaTanzania Daddy we love you kama ambavyo unatuonyesha upendo daddy piga kazi

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 Рік тому

    Noon❤❤❤❤

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 Рік тому

    MBONA WEWE JOE DAVI HUNA MATATIZO YA KUPAMBANA NA KUWATUKANA VIONGOZI WA SEREKALI NA SEREKALI KAMA WALE WAKINA MMBARIKWA!!

    • @peterchesam5737
      @peterchesam5737 Рік тому

      Sio yeye tatizo PESA tafuta PESA na sio Hela

    • @JohnNikodem-ts1nz
      @JohnNikodem-ts1nz Рік тому

      Mbarikiwa muache yule ni chuma na Nuru ya Mungu ulimwenguni

  • @eliphazendahimana7122
    @eliphazendahimana7122 10 місяців тому

    Na huyo ambae anajiita mnabi. Anajua vizuli kama mungu anaetumikia sio wa mbiguni bali Ibilisi.Mimi namuombea kuokoka tu.

  • @goldshawiz6403
    @goldshawiz6403 Рік тому

    ngurumo motoooooo

  • @sarahmtambo7515
    @sarahmtambo7515 8 місяців тому

    jaamani jamaani natamani kuja kumuona na bii mkuuu

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 Рік тому

    Honqera nabii mkuu gd

  • @samwelmollel602
    @samwelmollel602 Рік тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @HappneshRamadhan
    @HappneshRamadhan 9 місяців тому

    Naomba kujua unapatikana wapi Arusha?

  • @user-um8cw6ze6f
    @user-um8cw6ze6f Рік тому

    🎉🎉🎉🎉

  • @johnshayo9635
    @johnshayo9635 Рік тому +1

    Huyu jamaa labda niseme Kwa moyo wa utoaji kama kweli hiyo pesa wanapewaga otherwise mi simwelewagi

  • @user-ei4it7lj1b
    @user-ei4it7lj1b 9 місяців тому

    Naombeni namba zake jamani

  • @Catherine-mh8sw
    @Catherine-mh8sw Рік тому

    Nabii pesa zote anazitoa wapi?. Anatowa sana pesa

  • @HappneshRamadhan
    @HappneshRamadhan 9 місяців тому

    Nabii mkuu unapatikana eneo gani Arusha?

  • @josephitangishaka960
    @josephitangishaka960 Рік тому

    Maneno machache Kazi Kubwa Zaidi

  • @mwamudaniel7912
    @mwamudaniel7912 Рік тому +2

    Mheshimiwa Gombo wewe ni mchungaji. Fanya jambo

  • @goldshawiz6403
    @goldshawiz6403 Рік тому

    kumekuchaaaaa

  • @alirashid3239
    @alirashid3239 Рік тому

    endelea kucheza na akili za watu Allah anakusubiri.

  • @jongoshaushi6945
    @jongoshaushi6945 Рік тому

    Nikweli bunge nilawatanzania ila mlishinda uchaguzi kwahaki

  • @Jomba00
    @Jomba00 Рік тому

    Sasa mbona una murinzi nyuma yako natena tunajuwa kama murinzi ni mungu sasa nini kimetokaa kanisani mpaka umutafute murinzi wa mwanadamu

  • @chrisdeoglatias8665
    @chrisdeoglatias8665 Рік тому

    Mh nini hk nmeona katikati ya clip!!?
    Ni kikundi cha wanakyaya ya kanisa!? Akina dada waliovalia vivaz vya mitindo!?
    Nyie ndg msifikiri mungu atabadiru ht herufi 1 ya neno/ hukum yke kwasabb ya uwingi wa maovu ytu,msimfnye Mungu kama kipofu eti au hv mwaweza vaa vimini hvyo mbele ht za wakwe zetu au wazazi wenu!!? Inakuwje madhabahuni?
    Wapendwa Mungu hadhihakiwi,wala msifikiri mko salama mkihisi labda kwkuw mko na ajiitae nabii mkuu,hkika Biblia hudema NABII HUMTII NABII ukiona nabii anaacha kufundsha kweli yte ya MUNGU anaacha machukizo kufnyika kwke tena ht yeye ndio kuwavesha hvyo mjue wazi kuwa ameacha sheria ya Bwana.
    Km kiashiria cha kujiita NABII MKUU haiwajulishi kuw c wa Yesu bc nyingine hyo msipoelewa leo mkiw dunian sio shida kuna mahali mkifika mtaelew vzr sn kuw mlikuw vpofuv na vzw mlijulishwa mkashupaza shingo.

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 Рік тому

    Mnachanganya DINI NA SIASA, TANGANYIKA inaelekea pabaya.

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 Рік тому +1

    SIKU ZA MANABII ZIMEPITA,HATUNA NABII IKIWA WEE UNAJIAMINI KUWA NI MTU WA DINI.USIDANGANYE WATU..NABII WA MWISHO NI MUHAMAD, MRISHO UPO NA WEE KWA HAYOOO😮

    • @annaniasamuelmgawe1698
      @annaniasamuelmgawe1698 Рік тому +1

      Huyo Muhammad ni nabii wako wa mwisho kwa imani yako. Usipende kulazimisha watu waabudu Mungu wako.

    • @fatmaahmed8637
      @fatmaahmed8637 Рік тому +1

      Hivi lini au wapi tangu zama hizo kuna Manabii zaifi ya dini ya lslam..sio ajili yangu fanya kama msoma kitabu.

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw Рік тому

      ​@@annaniasamuelmgawe1698hajakwambia uamini dini yake

  • @nurumollel5988
    @nurumollel5988 Рік тому

    Mungu ni Mwema